High Volume

#Simbasc

شاهد 3.7M فيديو ريلز عن Simbasc من أشخاص حول العالم.

شاهد بشكل مجهول دون تسجيل الدخول.

3.7M posts
NewTrendingViral

عمليات بحث ذات صلة

ريلز رائجة

(12)
#Simbasc Reel by @simbasctanzania (verified account) - Pata motisha na kujipoza na Mo Xtra. #METLGroup #SimbaNguvuMoja #SimbaSC #TunagusaMaishaYako
1.3M
SI
@simbasctanzania
Pata motisha na kujipoza na Mo Xtra. #METLGroup #SimbaNguvuMoja #SimbaSC #TunagusaMaishaYako
#Simbasc Reel by @mganga_wa_yanga_ - Yanga Tareh 1 mtafanyiwa hivi na simba Lazima mfungwe goli 2 tunatonesha kwenye kidonda washenzi nyie wajaa laana pumbafu 😂😂😁💪

#yanga #yangasc #s
52.7K
MG
@mganga_wa_yanga_
Yanga Tareh 1 mtafanyiwa hivi na simba Lazima mfungwe goli 2 tunatonesha kwenye kidonda washenzi nyie wajaa laana pumbafu 😂😂😁💪 #yanga #yangasc #simba #simbasc #mganga_wa_yanga
#Simbasc Reel by @bbcswahili (verified account) - Haji Manara @hajismanara aliyekuwa Msemaji wa zamani wa vilabu vya Simba na Yanga amefanya mahojiano na mwandishi wa BBC @regina_mziwanda na kutolea u
186.9K
BB
@bbcswahili
Haji Manara @hajismanara aliyekuwa Msemaji wa zamani wa vilabu vya Simba na Yanga amefanya mahojiano na mwandishi wa BBC @regina_mziwanda na kutolea ufafanuzi wa masuala mbalimbali yanayomuhusu ikiwemo kuhama kwake Simba kwenda Yanga? msemo aliyowahi kuitoa katika kuhamasisha soka ambayo anajivunia zaidi? na mambo mengine mengi - Kutazama mahojiano haya kwa urefu zaidi tembelea YouTube ya BBCSwahili - - - #bbcswahili #tanzania #nyotwaafrikamashariki #simbasc #yangasc #kandanda #soka
#Simbasc Reel by @moodewji (verified account) - Leo ni fainali ya Kombe la Shirikisho barani Afrika, na kwa unyenyekevu mkubwa tunamuomba Mwenyezi Mungu atujaalie baraka, rehema, na ulinzi kwa timu
887.3K
MO
@moodewji
Leo ni fainali ya Kombe la Shirikisho barani Afrika, na kwa unyenyekevu mkubwa tunamuomba Mwenyezi Mungu atujaalie baraka, rehema, na ulinzi kwa timu yetu pendwa — Simba Sports Club. Naomba Mwenyezi Mungu awalinde wachezaji wetu, awape utulivu, awape nguvu, awape umakini, na awape uwezo wa kuzingatia maelekezo ya benchi la ufundi ili waweze kucheza kwa nidhamu, uhodari, na ushindi. Tumefanya maandalizi yote kwa kiwango cha juu kadri tulivyoweza, tumefanya kazi kwa bidii, lakini sasa tunamtegemea Allah peke yake. Ewe Mola wetu, ni Wewe tu tunayekuabudu, na ni Kwako tu tunakuomba msaada. Hatuna wa kumkimbilia ila Wewe. Tunakuomba utusaidie tupate ushindi katika fainali hii, utukirimu kwa kheri, na utujaalie furaha hii ambayo mioyo yetu inaitamani. Na tunakubali, Mola wetu, kuwa Wewe ndiye mbora wa waandishi wa mipango, na hakika mipango Yako ni bora kuliko yetu. Tunakuomba utupe lililo bora kwa sisi – khair – na tukubali kwa moyo mmoja yale utakayotuandikia, kwa sababu imani yetu iko Kwako tu, ee Mwenyezi Mungu 🙏🏽 #NguvuMoja #SimbaSC
#Simbasc Reel by @dw_kiswahili (verified account) - Meneja Habari na Mawasiliano wa Klabu ya Yanga ya Tanzania, Ali Kamwe amezungumza na DW Kiswahili na kuthibitisha kwamba moja ya matakwa yao waliyoyaw
108.9K
DW
@dw_kiswahili
Meneja Habari na Mawasiliano wa Klabu ya Yanga ya Tanzania, Ali Kamwe amezungumza na DW Kiswahili na kuthibitisha kwamba moja ya matakwa yao waliyoyawasilisha kwa Bodi ya Ligi ya Tanzania ni kutocheza mchezo wao dhidi ya Simba siku ya tarehe 15 Juni 2025. Kwa hivyo licha ya watani wao kuthibitisha kwamba Jumapili ya Juni 15 watakuwa uwanjani kwa mchezo huo, Yanga wao hawatokwenda. Nini hatma ya mvutano nuu? Mahojiano kwa urefu yapo YouTube ya DW Kiswahili. #yangasc #simbasc #tanzania
#Simbasc Reel by @tbc_online (verified account) - Simba na Yanga, #Challenge imetua Bungeni.

#Challenge na Mbunge wa Jimbo la Kilosa, Prof. Paramagamba Kabudi, kuelekea mechi ya watani wa jadi Simba
359.5K
TB
@tbc_online
Simba na Yanga, #Challenge imetua Bungeni. #Challenge na Mbunge wa Jimbo la Kilosa, Prof. Paramagamba Kabudi, kuelekea mechi ya watani wa jadi Simba na Yanga maarufu ‘Dabi ya Kariakoo’ Swali ni Je, timu ipi itashinda? Usikose kusikiliza mtanange wa mechi hiyo kupitia TBC Taifa na mtandao wa YouTube wa TBC online kesho Aprili 20, 2024 kuanzia Saa 11:00 jioni. Host ✍🏾 @clementsilla 🎥 @nellyniceproduction @jameslerombo #YangaSimba #YangaSC #SimbaSC #TBCupdates #TBCdigital
#Simbasc Reel by @bbcswahili (verified account) - Kwa miaka mingi, klabu kongwe za soka Tanzania Yanga na Simba zimekuwa zaidi ya timu za mpira; zimekuwa jukwaa la siasa, kusaka umaarufu na daraja la
158.0K
BB
@bbcswahili
Kwa miaka mingi, klabu kongwe za soka Tanzania Yanga na Simba zimekuwa zaidi ya timu za mpira; zimekuwa jukwaa la siasa, kusaka umaarufu na daraja la mafanikio ya kisiasa kwa baadhi ya viongozi. - Hata hivyo, kuna hatari ya klabu kutumika kisiasa bila kupata faida ya moja kwa moja kama vile wanasiasa kutumia jina la klabu kujinufaisha kisiasa bila kuwekeza au kusaidia maendeleo ya klabu hizo. - Swali la msingi linaibuka: Ni nani ananufaika zaidi klabu au siasa? - Ungana na Mwandishi wa BBC @eagansalla_gifted_sounds akilichambua hili kinagaubaga. - 🎥: Frank Mavura - - - #bbcswahili #tanzania #siasa #soka #kandanda #simbasc #yangasc
#Simbasc Reel by @kipato_junior - ILA MUTALE 🤣🤣🤣🤣🤣

#simbasctanzania 
 #simbasc 
#nguvumoja 
#wenyenchi
139.6K
KI
@kipato_junior
ILA MUTALE 🤣🤣🤣🤣🤣 #simbasctanzania #simbasc #nguvumoja #wenyenchi
#Simbasc Reel by @simbasctanzania (verified account) - Toa neno moja kwa onana #SimbaNguvuMoja #MotuNagusaMaishaYako #UbayaUbwela #SimbaSC
1.5M
SI
@simbasctanzania
Toa neno moja kwa onana #SimbaNguvuMoja #MotuNagusaMaishaYako #UbayaUbwela #SimbaSC
#Simbasc Reel by @wcb_wasafi (verified account) - Ama Ndo @bigman_talented Apande Juu Ya Meza?? #KIBANGO 
@Iamlavalava Ft. @Diamondplatnumz  #KIBANGOCHALLENGE 
____________________ 
#BIGMANTALENTED
#K
45.8K
WC
@wcb_wasafi
Ama Ndo @bigman_talented Apande Juu Ya Meza?? #KIBANGO @Iamlavalava Ft. @Diamondplatnumz #KIBANGOCHALLENGE ____________________ #BIGMANTALENTED #Kibangochallange #DarEsSalaam #WasafiTv #Zuchu #MillardAyo #MillardAyoUpdates #DiamondPlatnumz #RayVanny #WasafiFm #Simba #Wcb4Life #WcBWasafi #SimbaSc #YangaSc #Tanzania _________________________
#Simbasc Reel by @msimbazi_podcast - ISMAEL TOURE 🔥

#SimbaSC #UsajiliWaSimba #NguvuMoja #Usajili #IsmaelToure
505.1K
MS
@msimbazi_podcast
ISMAEL TOURE 🔥 #SimbaSC #UsajiliWaSimba #NguvuMoja #Usajili #IsmaelToure
#Simbasc Reel by @dw_kiswahili (verified account) - Watani wa jadi wanakutana tena! 🦁🟢 Ngao ya Jamii inawashusha ugani Benjamin Mkapa nani ataibuka na ushindi?

#DWKiswahili #yangasc #simbasc #kariako
4.1K
DW
@dw_kiswahili
Watani wa jadi wanakutana tena! 🦁🟢 Ngao ya Jamii inawashusha ugani Benjamin Mkapa nani ataibuka na ushindi? #DWKiswahili #yangasc #simbasc #kariakooderby🔥 #tanzania

✨ دليل اكتشاف #Simbasc

يستضيف انستقرام 3.7 million منشور تحت #Simbasc، مما يخلق واحدة من أكثر النظم البصرية حيوية على المنصة.

#Simbasc هو أحد أكثر الترندات تفاعلاً على انستقرام حالياً. مع أكثر من 3.7 million منشور في هذه الفئة، يتصدر صناع المحتوى مثل @simbasctanzania, @moodewji and @msimbazi_podcast بمحتواهم الفيروسي. تصفح هذه الفيديوهات الشائعة بشكل مجهول على Pictame.

ما هو الترند في #Simbasc؟ أكثر مقاطع فيديو Reels مشاهدة والمحتوى الفيروسي معروضة أعلاه.

الفئات الشعبية

📹 اتجاهات الفيديو: اكتشف أحدث Reels والفيديوهات الفيروسية

📈 استراتيجية الهاشتاق: استكشف خيارات الهاشتاق الرائجة لمحتواك

🌟 صناع المحتوى المميزون: @simbasctanzania, @moodewji, @msimbazi_podcast وآخرون يقودون المجتمع

الأسئلة الشائعة حول #Simbasc

مع Pictame، يمكنك تصفح جميع ريلز وفيديوهات #Simbasc دون تسجيل الدخول إلى انستقرام. لا حساب مطلوب ونشاطك يبقى خاصاً.

تحليل الأداء

تحليل 12 ريلز

🔥 منافسة عالية

💡 المنشورات الأفضل تحصل على متوسط 1.0M مشاهدة (2.4× فوق المتوسط)

ركز على أوقات الذروة (11-13، 19-21) والصيغ الرائجة

نصائح إنشاء المحتوى والاستراتيجية

💡 المحتوى الأفضل يحصل على أكثر من 10K مشاهدة - ركز على أول 3 ثوانٍ

✍️ التعليقات التفصيلية مع القصة تعمل بشكل جيد - متوسط الطول 348 حرف

📹 مقاطع الفيديو العمودية عالية الجودة (9:16) تعمل بشكل أفضل لـ #Simbasc - استخدم إضاءة جيدة وصوت واضح

✨ العديد من المبدعين الموثقين نشطون (75%) - ادرس أسلوب محتواهم

عمليات البحث الشائعة المتعلقة بـ #Simbasc

🎬لمحبي الفيديو

Simbasc Reelsمشاهدة فيديوهات Simbasc

📈للباحثين عن الاستراتيجية

Simbasc هاشتاقات رائجةأفضل Simbasc هاشتاقات

🌟استكشف المزيد

استكشف Simbasc#simbasc app
#Simbasc ريلز وفيديوهات إنستغرام | Pictame