#Idras

شاهد فيديو ريلز عن Idras من أشخاص حول العالم.

شاهد بشكل مجهول دون تسجيل الدخول.

ريلز رائجة

(12)
#Idras Reel by @tratanzania (verified account) - #IDRAS Meneja wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Mkoa wa Ilala, Bi. Eva Raphael atoa wito kuhusu IDRAS.
27.1K
TR
@tratanzania
#IDRAS Meneja wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Mkoa wa Ilala, Bi. Eva Raphael atoa wito kuhusu IDRAS.
#Idras Reel by @suyoo_institute_of_business (verified account) - IDRAS PRACTICAL TRAINING

Coverage.

✅ Understanding New IDRAS System Features & Updates
✅ Monthly Tax Returns Filing using IDRAS (VAT, PAYE, WHT & SD
21.1K
SU
@suyoo_institute_of_business
IDRAS PRACTICAL TRAINING Coverage. ✅ Understanding New IDRAS System Features & Updates ✅ Monthly Tax Returns Filing using IDRAS (VAT, PAYE, WHT & SDL). ✅ Business Compliance & TRA Regulations under IDRAS ✅ Common IDRAS Errors & How to Avoid Penalties. ✅ Live IDRAS System Demostration (Hands-on Demo)⁠ Fee. 150,000/= Include Training Fee, Notes Presentation , Practical Demostration & Certificate of Completion.! Date : 21/02/2026 Time : 09:00Am - 01:30Pm 02:30Pm - 04:00Pm Day: Saturday Venue : Online Via Zoom Meeting.! For More Information & Registration +255 (0) 683 136 076
#Idras Reel by @plustax_associates_tz - 🚨 Only 10 Slots Available!

Join our Tax & Business Compliance Training on 28th Feb 2026 in Dar es Salaam.

💼 Practical IDRAS & Corporate Governance
750
PL
@plustax_associates_tz
🚨 Only 10 Slots Available! Join our Tax & Business Compliance Training on 28th Feb 2026 in Dar es Salaam. 💼 Practical IDRAS & Corporate Governance 💰 TZS 400,000 (VAT Incl.) Contact us: 0747 878 689 Secure your seat now📌 First come, first served!📌
#Idras Reel by @tratanzania (verified account) - #DARESSALAAM IDRAS ITAONGEZA WIGO WA KODI NA KUSIMAMIA USAWA - CG MWENDA.

Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bw. Yusuph Juma Mwenda am
50.5K
TR
@tratanzania
#DARESSALAAM IDRAS ITAONGEZA WIGO WA KODI NA KUSIMAMIA USAWA – CG MWENDA. Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bw. Yusuph Juma Mwenda amesema Mfumo Jumuishi wa Ukusanyaji wa Mapato ya Ndani (IDRAS) unaotarajiwa kuzinduliwa hivi karibuni utaongeza wigo wa Kodi na kusimamia usawa katika ulipaji wa kodi. Hayo yamebainishwa na Kamishna Mkuu wa TRA Bw. Yusuph Juma Mwenda alipokuwa akifungua mafunzo ya IDRAS kwa washauri wa kodi na wahasibu jijini Dar es Salaam, Januari 15, 2026 ambayo yatafanyika kwa siku tatu na kuendelea kwa makundi mengine kwa muda wiki mbili. Kamishna Mkuu Mwenda amesema mfumo wa IDRAS unakwenda kufanya maboresho makubwa kwa mifumo ya kodi za ndani iliyopo na unatarajiwa kuleta mapinduzi makubwa katika ukusanyaji wa mapato kwa kuweka usawa katika makadirio ya kodi. Amesema kupitia IDRAS wataweza kuwabaini na kuwabana wanaokwepa kodi kwa njia mbalimbali na kuongeza wigo wa kodi kwa kusajili walipakodi wapya huku wakiwezesha biashara za walipakodi na kuzilinda. “Kuwezesha biashara za Walipakodi ni pamoja na kutunza kumbukumbuza zao, IDRAS itakapoanza kazi itakuwa muarobaini wa kutunza kumbukumbu za biashara za Walipakodi na zitakuwa salama” amesema Bw. Mwenda. Kamishna Mkuu Mwenda amesema nia ya Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Samia Suluhu Hassan ni kuona mifumo ya Taasisi za Serikali inasomana ili kuongeza uwazi na uwajibikaji na TRA inatekeleza kwa vitendo jambo hilo kupitia IDRAS ambayo itaiunganisha na taasisi nyingine za Serikali. Amesema kupitia IDRAS walipakodi wataweza kutoa risiti za EFD bila kutumia mashine ambapo pia wataweza kupatiwa Hati/Cheti cha Uthibitisho wa kutokuwa na madeni ya Kodi (Tax Clearance) jambo ambalo linatarajiwa kurahisisha biashara. “IDRAS itakapoanza itakuwa na manufaa makubwa kwa mlipakodi ambapo ataweza kufuatilia taarifa zake na maombi yoyote ambayo atakuwa amefanya TRA kupitia mfumo huo ambao ni muhimu sana hasa katika eneo la akaunti ya Mlipakodi” amesema Bw. Mwenda. Kwa upande wake Kamishna wa Kodi za ndani Bw. Alfred Mlegi amesema wameamua kutoa mafunzo hayo kwa washauri wa kodi kabla ya kuanza kutumika kwa mfumo huo kuongeza uelewa kwa jamii na walipakodi kuhusu mfumo.
#Idras Reel by @richardgpa_esq - Big up TRA🔥 @tratanzania

Kwa huduma zote za kikodi karibu tukusaidie.

@jainaattorneys
@kasimbaguconsultancyagency

#tratanzania 
#tax 
#idras 
#law
327
RI
@richardgpa_esq
Big up TRA🔥 @tratanzania Kwa huduma zote za kikodi karibu tukusaidie. @jainaattorneys @kasimbaguconsultancyagency #tratanzania #tax #idras #lawyer
#Idras Reel by @habariclouds - Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) mkoa wa Mwanza imekutana na wafanyabiashara jijini Mwanza kwa lengo la kutambulisha mfumo mpya jumuishi wa mapato ya
602
HA
@habariclouds
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) mkoa wa Mwanza imekutana na wafanyabiashara jijini Mwanza kwa lengo la kutambulisha mfumo mpya jumuishi wa mapato ya ndani ujulikanao kama IDRAS, ambao utaanza kutumika rasmi tarehe 9 Februari 2026. Mfumo huo unalenga kuimarisha matumizi ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA) pamoja na kurahisisha utendaji kazi wa kila siku kwa walipa kodi. Kupitia mfumo huo, Wafanyabiashara wataweza kujihudumia wenyewe bila ya kufika katika ofisi za TRA. Akizungumza kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Katibu Tawala wa Mkoa huo, Elikana Balandya, amesema kuwa mfumo wa IDRAS utasaidia kuondoa malalamiko ya walipa kodi, kuongeza ufanisi katika ukusanyaji wa mapato ya ndani pamoja na kuboresha utunzaji wa takwimu. Kwa upande wake, Meneja wa TRA Mkoa wa Mwanza, Faustine Mdessa, ametoa ufafanuzi wa kina kuhusu matumizi ya mfumo huo na kuwasisitiza walipa kodi kuzingatia matumizi sahihi ya mfumo ili kufanikisha malengo yaliyokusudiwa. #cloudsdigitaulpdates
#Idras Reel by @alpha_associatestz - Franco Sanga ni mmoja wa watumishi wa Alpha Associates Tanzania LTD waliopata nafasi ya kuudhuria Mafunzo ya mfumo wa IDRAS yaliotolewa kwa muda wa si
552
AL
@alpha_associatestz
Franco Sanga ni mmoja wa watumishi wa Alpha Associates Tanzania LTD waliopata nafasi ya kuudhuria Mafunzo ya mfumo wa IDRAS yaliotolewa kwa muda wa siku tatu (15/01/2026- 17/01/2026) Jijini Dar es salaam katika ukumbi wa Mlimani City. Mafunzo ya IDRAS yaliandaliwa na Mamlaka ya mapato Tanzania (TRA) kwa kampuni zinazo jishughulisha na maswala ya ushauri wa kikodi kwa upande wa Jiji la Dar es salaam. Alpha associates Tanzania LTD ni sehemu ya watoa huduma ya ushauri wa kikodi na usimamizi wa maswala ya kibiashara kwa wateja mbalimbali, hivyo mafunzo haya yameongeza ufanisi katika utendaji wa kila siku. #IDRAS #ALPHA #MAFUNZO
#Idras Reel by @tpsf_tanzania (verified account) - Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Shirikisho la Sekta Binafsi Tanzania (TPSF), Bw. Deogratius Massawe @massawe_deogratius , amewahimiza Watanzania kutambua kuw
2.3K
TP
@tpsf_tanzania
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Shirikisho la Sekta Binafsi Tanzania (TPSF), Bw. Deogratius Massawe @massawe_deogratius , amewahimiza Watanzania kutambua kuwa kutoa elimu ya kodi ni jukumu la kila mwananchi. Ameyasema hayo katika kipindi cha Malumbano ya Hoja, akichangia mjadala kuhusu mfumo mpya wa ukusanyaji wa kodi za ndani (IDRAS). Aidha, Mkurugenzi ameeleza kuwa nia ya TRA kuongeza wigo wa walipa kodi ni hatua muhimu itakayosaidia kuongeza mapato ya ndani, huku ikitoa fursa ya kufanikisha ombi la sekta binafsi la kupunguza kiwango cha kodi bila kuathiri maendeleo ya Taifa na kuhimiza wananchi kua ili jambo hili lifanikiwe ni lazima nchi iwe na walipa kodi wengi. #TPSF #TRA #IDRAS #ElimuYaKodi #Uchumi SektaBinafsi Tanzania
#Idras Reel by @utvtz - Walipakodi waliosajiliwa na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) wamefikia zaidi ya milioni saba kutoka milioni 2.8 miaka minne iliyopita, huku mamlaka hi
227
UT
@utvtz
Walipakodi waliosajiliwa na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) wamefikia zaidi ya milioni saba kutoka milioni 2.8 miaka minne iliyopita, huku mamlaka hiyo ikibainisha kuwa kuanzishwa kwa Mfumo Jumuishi wa Kodi za Ndani (IDRAS) kutasaidia kuongeza wigo wa ukusanyaji wa kodi. #AzamTVUpdates Mhariri | John Mbalamwezi

✨ دليل اكتشاف #Idras

يستضيف انستقرام thousands of منشور تحت #Idras، مما يخلق واحدة من أكثر النظم البصرية حيوية على المنصة.

مجموعة #Idras الضخمة على انستقرام تضم أكثر الفيديوهات تفاعلاً اليوم. محتوى @tratanzania, @suyoo_institute_of_business and @tpsf_tanzania وغيرهم من المبدعين وصل إلى thousands of منشور عالمياً. فلتر وشاهد أحدث ريلز #Idras فوراً.

ما هو الترند في #Idras؟ أكثر مقاطع فيديو Reels مشاهدة والمحتوى الفيروسي معروضة أعلاه.

الفئات الشعبية

📹 اتجاهات الفيديو: اكتشف أحدث Reels والفيديوهات الفيروسية

📈 استراتيجية الهاشتاق: استكشف خيارات الهاشتاق الرائجة لمحتواك

🌟 صناع المحتوى المميزون: @tratanzania, @suyoo_institute_of_business, @tpsf_tanzania وآخرون يقودون المجتمع

الأسئلة الشائعة حول #Idras

مع Pictame، يمكنك تصفح جميع ريلز وفيديوهات #Idras دون تسجيل الدخول إلى انستقرام. لا حساب مطلوب ونشاطك يبقى خاصاً.

تحليل الأداء

تحليل 12 ريلز

🔥 منافسة عالية

💡 المنشورات الأفضل تحصل على متوسط 31.7K مشاهدة (2.9× فوق المتوسط)

ركز على أوقات الذروة (11-13، 19-21) والصيغ الرائجة

نصائح إنشاء المحتوى والاستراتيجية

🔥 #Idras يظهر إمكانات تفاعل عالية - انشر بشكل استراتيجي في أوقات الذروة

📹 مقاطع الفيديو العمودية عالية الجودة (9:16) تعمل بشكل أفضل لـ #Idras - استخدم إضاءة جيدة وصوت واضح

✨ العديد من المبدعين الموثقين نشطون (42%) - ادرس أسلوب محتواهم

✍️ التعليقات التفصيلية مع القصة تعمل بشكل جيد - متوسط الطول 511 حرف

عمليات البحث الشائعة المتعلقة بـ #Idras

🎬لمحبي الفيديو

Idras Reelsمشاهدة فيديوهات Idras

📈للباحثين عن الاستراتيجية

Idras هاشتاقات رائجةأفضل Idras هاشتاقات

🌟استكشف المزيد

استكشف Idras#colegio idra#idras tra portal login#idras tra#idra club manchester#idras tanzania#idra di lerna#etna idra#idra recipe