#Matangazo

شاهد فيديو ريلز عن Matangazo من أشخاص حول العالم.

شاهد بشكل مجهول دون تسجيل الدخول.

ريلز رائجة

(12)
#Matangazo Reel by @millardayo (verified account) - Tunaendelea kuchota ujuzi na maarifa kutoka kwa Nguli wa matangazo kutoka Kampuni ya Mikakati ya Masoko na Matangazo ya Aggrey & Clifford ( @aggreycli
148.6K
MI
@millardayo
Tunaendelea kuchota ujuzi na maarifa kutoka kwa Nguli wa matangazo kutoka Kampuni ya Mikakati ya Masoko na Matangazo ya Aggrey & Clifford ( @aggreyclifford ) kama Mwenyekiti na Mkurugenzi, Bw. Rashid Tenga. Tenga leo anafafanua ni kwanini Kampuni za Media kama Magazeti, Radio, TV, Outdoor na Social Media hazitoweza kufanya biashara pasipokuwa na matangazo au subscription. Full video yenye sehemu ya kwanza ya mahojiano haya tayari ipo kwenye Youtube ya millardayo
#Matangazo Reel by @mmediatanzania - Jamaa haamini alichokiona😁

Fuatilia mitandao yetu ya kijamii

Kwa matangazo tupigie simu kwa namba 0769916700

Instagram: @mmediatanzania
Tik Tok: @
780.6K
MM
@mmediatanzania
Jamaa haamini alichokiona😁 Fuatilia mitandao yetu ya kijamii Kwa matangazo tupigie simu kwa namba 0769916700 Instagram: @mmediatanzania Tik Tok: @M - MEDIA TANZANIA Facebook: M MEDIA TANZANIA YouTube: M- MEDIA TANZANIA
#Matangazo Reel by @eng_makelele - Kuangalia video za youtube bila matangazo.#engmakelele #techinswahili #swahilitech
35.2K
EN
@eng_makelele
Kuangalia video za youtube bila matangazo.#engmakelele #techinswahili #swahilitech
#Matangazo Reel by @millardayo (verified account) - Jana hapa IG. niliweka countdown ya Matangazo 13 ya Televisheni ambayo ni miongoni mwa Matangazo yaliyotikisa na kuzishika hisia za Walaji miaka zaidi
400.9K
MI
@millardayo
Jana hapa IG. niliweka countdown ya Matangazo 13 ya Televisheni ambayo ni miongoni mwa Matangazo yaliyotikisa na kuzishika hisia za Walaji miaka zaidi ya 10 iliyopita Nchini Tanzania, Je ulitamani kufahamu ni nani alibuni na kutuletea Matangazo hayo ? Jina lake ni Rashid Tenga, Cheo chake ni Mwenyekiti na Mkurugenzi wa Kampuni ya mikakati ya masoko na matangazo ya Aggrey & Clifford ( @aggreyclifford ) ambapo kazi zake ndio zimebadilisha mtazamo wa Watanzania wengi kuhusu chapa (brand) kubwa hapa Tanzania na kwengineko Duniani. Kwa miaka 24 sasa amekuwa akiaminiwa na Makampuni makubwa, Mashirika na Taasisi mbalimbali ndani na nje ya Nchi katika kujenga taswira, ushawishi na mikakati ya kukuza chapa (brand) katika masoko. Katika Interview zangu nilizozipenda toka huu mwaka huu umeanza, hii imo Top 5 with @fridaamaniofficial and @vido_vidox
#Matangazo Reel by @wolperstylish (verified account) - Ni Mimi Tuu Nikikaa Nyumbani Nachukiwa Nawasaidizi chini kwa chini ila awasemi au? Ni wa Mama wote🤣🤣Yani nitapangua vtu nisikute mende nisikute vumb
1.5M
WO
@wolperstylish
Ni Mimi Tuu Nikikaa Nyumbani Nachukiwa Nawasaidizi chini kwa chini ila awasemi au? Ni wa Mama wote🤣🤣Yani nitapangua vtu nisikute mende nisikute vumbi lol..Mimi sina pakuoshea vyombo jamani ila Mdogo mdogo Patakaa sawa👌 . usisahau kupita insta story kwa Matangazo ya product zetu cheq us 📞+255759888288
#Matangazo Reel by @cfmtanzania - Mirriam chirwa akiwa na mumewake mtarajiwa, ambae wanatarajia kufunga ndoa takatifu hivi karibuni.

🎥 : maimartha

Ripota wa Habari za Mikoani ✍ @kan
778.1K
CF
@cfmtanzania
Mirriam chirwa akiwa na mumewake mtarajiwa, ambae wanatarajia kufunga ndoa takatifu hivi karibuni. 🎥 : maimartha Ripota wa Habari za Mikoani ✍ @kaniki_brown CFM GWALA AHSANTE WEWE HAPO! Only @cfmtanzania Kuitazama Habari hii Tumekuwekea Kwenye YouTube Channel Yetu kwa Habari zaid Link ipo kwenye Bio Yes! Tunafanya Matangazo ya Feed and Story post, Slide Into Our Dm's or Contact Us (+255) 0622732287 Or (+255)0718675428) C FM 103.3 DODOMA Simply The Best
#Matangazo Reel by @didas_tv - Mtangazaji wa vipindi vya televisheni na streamer wa kike kutoka China anaripotiwa kupoteza wafuasi 140,000 baada ya kichujio cha urembo(beauty filter
285.0K
DI
@didas_tv
Mtangazaji wa vipindi vya televisheni na streamer wa kike kutoka China anaripotiwa kupoteza wafuasi 140,000 baada ya kichujio cha urembo(beauty filter) alichokuwa akitumia kuharibika ghafla wakati wa matangazo ya moja kwa moja na kufichua sura yake halisi.
#Matangazo Reel by @ngasamedia_dodoma - Daaaa Nimecheka sana hii Clip.

Kuna Offer ya Matangazo Bureeee Mwezi Mzima
Kwa Wafanyabiashara wa wadogo wa Dodoma.

Soon tutawapa Utaratibu kwa Udha
699.5K
NG
@ngasamedia_dodoma
Daaaa Nimecheka sana hii Clip. Kuna Offer ya Matangazo Bureeee Mwezi Mzima Kwa Wafanyabiashara wa wadogo wa Dodoma. Soon tutawapa Utaratibu kwa Udhamini wa @matei_realestate @matei_realestate @matei_realestate
#Matangazo Reel by @mc_tonny_ - PART 2- Hii michambo ya kingereza kwakweli Bora nikae pembeni tu nitazame maana hata kujibu tu siwezi ndugu zangu kazi yangu ni kushangaa tuu 😂😂🙌 i
188.2K
MC
@mc_tonny_
PART 2- Hii michambo ya kingereza kwakweli Bora nikae pembeni tu nitazame maana hata kujibu tu siwezi ndugu zangu kazi yangu ni kushangaa tuu 😂😂🙌 ila huu mtanange mimi @mc_tonny.events yangu macho tuu 🙌🙌 Valentine hii tutaona mengii 😂😂🙌💔 Twendeni kwa @mr_bando_nafuu KAMA UNATAKA MATANGAZO YA BIASHARA AU KAMPUNI TUCHECK DM AU WHATSAAP ☎️ 0767 172528
#Matangazo Reel by @kaniki_brown (verified account) - Atokee mtu mmoja amguse @brotherkmobimba  kidogo tu atusimulie nini kitatokea 🤣🤣🤣

#WEWENIFAMILIA

Ripota wa Habari za Mikoani ✍ @kaniki_brown

"En
136.3K
KA
@kaniki_brown
Atokee mtu mmoja amguse @brotherkmobimba kidogo tu atusimulie nini kitatokea 🤣🤣🤣 #WEWENIFAMILIA Ripota wa Habari za Mikoani ✍ @kaniki_brown “Endelea kufuatilia #Ripotawahabarizamikoani kwa taarifa sahihi na za uhakika. KWA MATANGAZO YA BIASHARA NA HABARI Follow kwa updates zaidi. Kuwasiliana 📞 0622732287 #kanikibrown”
#Matangazo Reel by @linexsundaymjeda (verified account) - Kwa Michezo ya matangazo ya biashara au audio Kali Kama hii ya @bollolifestyle Dm Tukakuulie kwa Ukubwa Michezo tunaiweza na tunaifanya kwa Heshima na
6.3K
LI
@linexsundaymjeda
Kwa Michezo ya matangazo ya biashara au audio Kali Kama hii ya @bollolifestyle Dm Tukakuulie kwa Ukubwa Michezo tunaiweza na tunaifanya kwa Heshima na ukubwa kWA RANGI AINA ZOTE CHECK NA @bollolifestyle #THEVOA
#Matangazo Reel by @tbc_online (verified account) - Tupo mbashara kupitia Chaneli ya TBC1, TBC Taifa na TBC Online kwenye mtandao wa Youtube, kukuletea matangazo ya hafla ya kupokea ripoti ya Tume ya Uc
6.4K
TB
@tbc_online
Tupo mbashara kupitia Chaneli ya TBC1, TBC Taifa na TBC Online kwenye mtandao wa Youtube, kukuletea matangazo ya hafla ya kupokea ripoti ya Tume ya Uchunguzi wa matukio ya uhalifu yaliyotokea wakati na baada ya uchaguzi mkuu wa Oktoba 29, 2025, inayofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam leo Aprili 23, 2026. Ripoti hiyo inakabidhiwa kwa Rais Samia Suluhu Hassan. Endelea kufuatilia matukio mbalimbali kutoka kwenye hafla hii kupitia mitandao yetu ya kijamii ya TBC Online. #tbcupdates #tbcdigital #tbconline

✨ دليل اكتشاف #Matangazo

يستضيف انستقرام thousands of منشور تحت #Matangazo، مما يخلق واحدة من أكثر النظم البصرية حيوية على المنصة.

#Matangazo هو أحد أكثر الترندات تفاعلاً على انستقرام حالياً. مع أكثر من thousands of منشور في هذه الفئة، يتصدر صناع المحتوى مثل @wolperstylish, @mmediatanzania and @cfmtanzania بمحتواهم الفيروسي. تصفح هذه الفيديوهات الشائعة بشكل مجهول على Pictame.

ما هو الترند في #Matangazo؟ أكثر مقاطع فيديو Reels مشاهدة والمحتوى الفيروسي معروضة أعلاه.

الفئات الشعبية

📹 اتجاهات الفيديو: اكتشف أحدث Reels والفيديوهات الفيروسية

📈 استراتيجية الهاشتاق: استكشف خيارات الهاشتاق الرائجة لمحتواك

🌟 صناع المحتوى المميزون: @wolperstylish, @mmediatanzania, @cfmtanzania وآخرون يقودون المجتمع

الأسئلة الشائعة حول #Matangazo

مع Pictame، يمكنك تصفح جميع ريلز وفيديوهات #Matangazo دون تسجيل الدخول إلى انستقرام. لا حساب مطلوب ونشاطك يبقى خاصاً.

تحليل الأداء

تحليل 12 ريلز

✅ منافسة معتدلة

💡 المنشورات الأفضل تحصل على متوسط 942.4K مشاهدة (2.3× فوق المتوسط)

انشر بانتظام 3-5 مرات/أسبوع في الأوقات النشطة

نصائح إنشاء المحتوى والاستراتيجية

💡 المحتوى الأفضل يحصل على أكثر من 10K مشاهدة - ركز على أول 3 ثوانٍ

📹 مقاطع الفيديو العمودية عالية الجودة (9:16) تعمل بشكل أفضل لـ #Matangazo - استخدم إضاءة جيدة وصوت واضح

✨ العديد من المبدعين الموثقين نشطون (50%) - ادرس أسلوب محتواهم

✍️ التعليقات التفصيلية مع القصة تعمل بشكل جيد - متوسط الطول 356 حرف

عمليات البحث الشائعة المتعلقة بـ #Matangazo

🎬لمحبي الفيديو

Matangazo Reelsمشاهدة فيديوهات Matangazo

📈للباحثين عن الاستراتيجية

Matangazo هاشتاقات رائجةأفضل Matangazo هاشتاقات

🌟استكشف المزيد

استكشف Matangazo