#Msasa

شاهد 2.9K فيديو ريلز عن Msasa من أشخاص حول العالم.

شاهد بشكل مجهول دون تسجيل الدخول.

2.9K posts
NewTrendingViral

ريلز رائجة

(12)
#Msasa Reel by @baraka_da_silver - Wachimbaji wadogo wa mgodi wa  msasa wamefukuzwa baada ya kuhoji mbona serekali inachukua asilimia 50%
3.6K
BA
@baraka_da_silver
Wachimbaji wadogo wa mgodi wa msasa wamefukuzwa baada ya kuhoji mbona serekali inachukua asilimia 50%
#Msasa Reel by @kaniki_brown (verified account) - FUJO ZA MSASA GOLD MKURUGENZI AFUNGUKA MAZITO 

#WEWENIFAMILIA

Ripota wa Habari za Mikoani ✍ @kaniki_brown

"Endelea kufuatilia #Ripotawahabarizamiko
685
KA
@kaniki_brown
FUJO ZA MSASA GOLD MKURUGENZI AFUNGUKA MAZITO #WEWENIFAMILIA Ripota wa Habari za Mikoani ✍ @kaniki_brown “Endelea kufuatilia #Ripotawahabarizamikoani kwa taarifa sahihi na za uhakika. KWA MATANGAZO YA BIASHARA NA HABARI Follow kwa updates zaidi. Kuwasiliana 📞 0622 732 287 #kanikibrown”
#Msasa Reel by @triple_a_tools_and_machinery - Mashine ya kupigia Msasa wale mafundi rangi Karibuni sana Ifanye kazi yako iwe MPesa

#generatol #mbeya #mwanza #tunduma_border #vairal #zanzibarislan
22.9K
TR
@triple_a_tools_and_machinery
Mashine ya kupigia Msasa wale mafundi rangi Karibuni sana Ifanye kazi yako iwe MPesa #generatol #mbeya #mwanza #tunduma_border #vairal #zanzibarisland #dodoma #arusha #mtwaratvonline #totalstartion Call/WhatsApp 0742909075🇹🇿✅ ——————————————————-
#Msasa Reel by @cfmtanzania - FUJO ZA MSASA GOLD  MKURUGENZI AFUNGUKA

Ripota wa Habari za Mikoani ✍ @kaniki_brown

CFM GWALA AHSANTE WEWE HAPO!

Only @cfmtanzania Kuitazama Habari
2.8K
CF
@cfmtanzania
FUJO ZA MSASA GOLD MKURUGENZI AFUNGUKA Ripota wa Habari za Mikoani ✍ @kaniki_brown CFM GWALA AHSANTE WEWE HAPO! Only @cfmtanzania Kuitazama Habari hii Tumekuwekea Kwenye YouTube Channel Yetu kwa Habari zaid Link ipo kwenye Bio Yes! Tunafanya Matangazo ya Feed and Story post, Slide Into Our Dm's or Contact Us (+255) 0622732287 Or (+255)0718675428) C FM 103.3 DODOMA Simply The Best
#Msasa Reel by @theannualmaronderamarket - What would we do without Msasa Village guys. This is our special little place in Marondera! Come and enjoy it with us on Friday.
2.1K
TH
@theannualmaronderamarket
What would we do without Msasa Village guys. This is our special little place in Marondera! Come and enjoy it with us on Friday.
#Msasa Reel by @mawo_buy (verified account) - 🪵✨ WALL SANDING MACHINE YA MSASA - KAZI SAFI, HARAKA, BILA VUMBI! ✨🪵

Hii wall sanding machine ya kisasa ni suluhisho la mafundi wa ukuta na finishi
19.9K
MA
@mawo_buy
🪵✨ WALL SANDING MACHINE YA MSASA – KAZI SAFI, HARAKA, BILA VUMBI! ✨🪵 Hii wall sanding machine ya kisasa ni suluhisho la mafundi wa ukuta na finishing: ✅ Inaondoa vumbi mara moja ✅ Inafanya msasa wa ukuta kwa haraka ✅ Inakufanya ufanisi kazi zako ✅ Ina matokeo safi, laini na ya kitaalamu Usichoke kwa msasa wa mkono — teknolojia inakusaidia kamilisha kazi kwa muda mfupi! 📍 MAWO BUY – Mwananyamala Ujiji, Dar es Salaam 🌍 Tunapatikana pia mikoa mingine 9 Tanzania 📞 0750401818 / 0757471618 #WallSandingMachine #MashineYaMsasa #MAWOBUY #FundiSmart #FinishingZaKisasa
#Msasa Reel by @nhctanzania (verified account) - HAPA TUNAPIGA MSASA KITAALAMU - MOROGORO, PLOT 2 H

Tunatumia mashine za kisasa kusmoothen ukuta kwa usahihi wa hali ya juu - ukuta unakuwa laini, saf
2.5K
NH
@nhctanzania
HAPA TUNAPIGA MSASA KITAALAMU – MOROGORO, PLOT 2 H Tunatumia mashine za kisasa kusmoothen ukuta kwa usahihi wa hali ya juu – ukuta unakuwa laini, safi na tayari kwa hatua ya mwisho kama rangi au mapambo ya ndani. Kazi safi. Kasi ya kisasa. Ubora wa kitaalamu. Plot 2 H, Mtaa wa Lumumba – Morogoro Kwa nini utuchague? ✓ Mashine za kisasa ✓ Mafundi wabobezi ✓ Ubora wa hali ya juu ✓ Tunazingatia usafi na umaliziaji bora Wasiliana nasi leo – uone tofauti ya kazi ya kisasa! #MsasaWaKisasa #Morogoro #NHCProject #UjenziBora #FinishingTouch #TeamYaWataalamu #Plot2H #UjenziWaKitaalamu
#Msasa Reel by @finishingmaster - Kama unataka kuwanza ufundi huu wa kisasa anza na seti hii ya mashine mashine mbili za msasa na mix moja hapo  utakuwa umeanza vizuri sana na lazima u
1.5K
FI
@finishingmaster
Kama unataka kuwanza ufundi huu wa kisasa anza na seti hii ya mashine mashine mbili za msasa na mix moja hapo utakuwa umeanza vizuri sana na lazima uone matokeo namba zetu ni #0659410501 @finishingmaster karibu .
#Msasa Reel by @mzawaonline (verified account) - #VIDEO:

Tume ya uchunguzi wa ajali ya kutitia kwa mgodi wa Msasa uliopo Wilaya ya Bukombe, Mkoa wa Geita, imekabidhi rasmi taarifa yake kwa Serikali,
159
MZ
@mzawaonline
#VIDEO: Tume ya uchunguzi wa ajali ya kutitia kwa mgodi wa Msasa uliopo Wilaya ya Bukombe, Mkoa wa Geita, imekabidhi rasmi taarifa yake kwa Serikali, ikibainisha kuwa chanzo cha ajali hiyo ni mpasuko wa ardhi uliosababishwa na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha. Kwa mujibu wa taarifa hiyo, mvua hizo zilisababisha kulegea kwa udongo na miamba, hali iliyosababisha kutitia kwa maduara manne ya uchimbaji. Taarifa hiyo ya uchunguzi iliwasilishwa Aprili 21, 2026 mbele ya Mkuu wa Mkoa wa Geita, Martine Shigela, pamoja na wamiliki wa leseni na wachimbaji wadogo waliokusanyika katika Kata ya Runzewe kusikiliza matokeo ya uchunguzi huo. Akisoma taarifa hiyo, Ofisa Madini wa Mkoa wa Kimadini Mbogwe, Joseph Mrimi, amesema hatua zilizochukuliwa ni pamoja na kufanya ukaguzi wa kina wa eneo la ajali ili kubaini hali halisi. Baada ya uwasilishaji wa taarifa hiyo, Serikali ilieleza kuwa imeagiza kufanyika kwa uchunguzi wa ziada kutoka kwa wataalamu wa Wizara ya Madini. Imeelezwa kuwa endapo eneo litathibitika kuwa salama, wachimbaji wataruhusiwa kuendelea na shughuli zao kuanzia Jumamosi ya wiki hii. Akizungumza katika tukio hilo, Mkuu wa Mkoa wa Geita, Martine Shigela, amesisitiza umuhimu wa kuzingatia usalama kabla ya kurejea katika shughuli za uchimbaji. Kwa upande wake, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Geita, SACP Safia Jongo, amewataka wananchi kushiriki katika kuimarisha ulinzi na usalama wa eneo hilo. Aidha, amekemea vikali uenezaji wa taarifa za uongo au za kupotosha kuhusu matukio yanapotokea, akisisitiza kuwa Jeshi la Polisi halitavumilia vitendo hivyo. Pia amewataka wachimbaji kuendelea kudumisha amani na utulivu, na kuepuka vitendo vyovyote vya vurugu au uvunjifu wa amani. Ajali hiyo ya kutitia kwa mgodi wa Msasa, inayohusisha wachimbaji wadogo, ilitokea Machi 29, 2026. #MzawaUPDATES
#Msasa Reel by @wasafifm (verified account) - "Ni bora wanafunzi wachujwe wakiwa likizo ili wale ambao walifanya vizuri waendelee, na wale ambao walijitahidi wapigwe msasa, na wale ambao hawakufan
38.2K
WA
@wasafifm
“Ni bora wanafunzi wachujwe wakiwa likizo ili wale ambao walifanya vizuri waendelee, na wale ambao walijitahidi wapigwe msasa, na wale ambao hawakufanya vizuri basi wasiendelee” ____ @oscaroscarjr Cc. @adellatillya @officialbabalevo @oscaroscarjr @edokumwembe #JANAnaLEO

✨ دليل اكتشاف #Msasa

يستضيف انستقرام 3K منشور تحت #Msasa، مما يخلق واحدة من أكثر النظم البصرية حيوية على المنصة.

اكتشف أحدث محتوى #Msasa بدون تسجيل الدخول. أكثر الريلز إثارة للإعجاب تحت هذا الهاشتاق، خاصة من @wasafifm, @triple_a_tools_and_machinery and @mawo_buy، تحظى باهتمام واسع. شاهدها بجودة عالية وحملها على جهازك.

ما هو الترند في #Msasa؟ أكثر مقاطع فيديو Reels مشاهدة والمحتوى الفيروسي معروضة أعلاه.

الفئات الشعبية

📹 اتجاهات الفيديو: اكتشف أحدث Reels والفيديوهات الفيروسية

📈 استراتيجية الهاشتاق: استكشف خيارات الهاشتاق الرائجة لمحتواك

🌟 صناع المحتوى المميزون: @wasafifm, @triple_a_tools_and_machinery, @mawo_buy وآخرون يقودون المجتمع

الأسئلة الشائعة حول #Msasa

مع Pictame، يمكنك تصفح جميع ريلز وفيديوهات #Msasa دون تسجيل الدخول إلى انستقرام. لا حساب مطلوب ونشاطك يبقى خاصاً.

تحليل الأداء

تحليل 12 ريلز

🔥 منافسة عالية

💡 المنشورات الأفضل تحصل على متوسط 23.2K مشاهدة (2.6× فوق المتوسط)

ركز على أوقات الذروة (11-13، 19-21) والصيغ الرائجة

نصائح إنشاء المحتوى والاستراتيجية

🔥 #Msasa يظهر إمكانات تفاعل عالية - انشر بشكل استراتيجي في أوقات الذروة

✍️ التعليقات التفصيلية مع القصة تعمل بشكل جيد - متوسط الطول 388 حرف

✨ العديد من المبدعين الموثقين نشطون (42%) - ادرس أسلوب محتواهم

📹 مقاطع الفيديو العمودية عالية الجودة (9:16) تعمل بشكل أفضل لـ #Msasa - استخدم إضاءة جيدة وصوت واضح

عمليات البحث الشائعة المتعلقة بـ #Msasa

🎬لمحبي الفيديو

Msasa Reelsمشاهدة فيديوهات Msasa

📈للباحثين عن الاستراتيجية

Msasa هاشتاقات رائجةأفضل Msasa هاشتاقات

🌟استكشف المزيد

استكشف Msasa#mgodi wa msasa runzewe#msasa runzewe#msasa mgodini#mgodi wa msasa#msasa habari saa 24#msasa park#steers msasa#farm and city msasa