High Volume

#Biashara

Schauen Sie sich 1.4M Reels-Videos über Biashara von Menschen aus aller Welt an.

Anonym ansehen ohne Anmeldung.

1.4M posts
NewTrendingViral

Trending Reels

(12)
#Biashara Reel by @coco_outfity_store - 👉🏽MFANYA BIASHARA WA JUMLA NJOO UNUNUE NGUO AMBAZO ZITAUZIKA KWA HARAKA SABABU YA DESIGN NZURI PAMOJA NA QUALITY YA HALI YA JUU SANA.

☎️0625-625827
7.9K
CO
@coco_outfity_store
👉🏽MFANYA BIASHARA WA JUMLA NJOO UNUNUE NGUO AMBAZO ZITAUZIKA KWA HARAKA SABABU YA DESIGN NZURI PAMOJA NA QUALITY YA HALI YA JUU SANA. ☎️0625-625827 whatsup/call ☎️0673-037515 whatsup/call 👉🏽 UNACHANGANYA SIZE ILI KUKUPA UNAFUU WEWE MTEJA WA JUMLA KUA NA SIZE ZOTE AMBAZO ZITAKUSAIDIA KUTOKUKOSA SIZE KWA MTEJA YOYOTE YULE AMBAE ATANUNUA NGUO KWAKO. 👉🏽BIASHARA NZURI NI ZILE UNANUNUA NGUO ZENYE QUALITY NZURI KWA BEI NAFUU NA UNAPATA FAIDA NZURI PIA NA MZIGO AUKUKALII DUKANI. #fashion #menswear #oldmoney #gurkhapants #blackstreetstyle #aesthetic #outfits #explore #onlineshopping #fashionindustry #style #blackstreetoutfits #blackstreetfashion #foryou #shorts #reels #trending #instagood #instadaily #igreach #explorepage
#Biashara Reel by @prof_davismela - Biashara zenye mzunguko mkubwa wa pesa hazikupi faida kubwa kwa mauzo ya mara moja,
lakini zinakuingizia hela mara nyingi - kila siku au kila wiki 💸
445.3K
PR
@prof_davismela
Biashara zenye mzunguko mkubwa wa pesa hazikupi faida kubwa kwa mauzo ya mara moja, lakini zinakuingizia hela mara nyingi — kila siku au kila wiki 💸 👉 Hapa ndipo watu wengi hujenga mtaji mkubwa haraka bila makeke. 🥇 1. Biashara ya Chakula (Mama Lishe / Mgahawa Mdogo) 🍛 Watu hula kila siku Mauzo ya kila siku Faida ndogo lakini mzunguko mkubwa 🥈 2. Uuzaji wa Vinywaji (Maji, Soda, Juice) 🥤 Inatembea kila saa Mtaji hurudi haraka sana 🥉 3. Duka la Rejareja (Retail Shop) 🛒 Sukari, unga, mafuta, chumvi Bidhaa za lazima kila siku 💳 4. Agent wa Mobile Money (M-Pesa, Tigo Pesa, Airtel Money) Huduma hutumika kila siku Faida ndogo lakini volume ni kubwa 🍟 5. Chips & Mayai Maarufu sana Tanzania Mtaji mdogo, pesa ya kila siku 🛵 6. Daladala / Bajaji / Bodaboda Usafiri hauna msimu Pesa inaingia kila siku 🍎 7. Uuzaji wa Matunda na Mboga Mahitaji ya kila siku Cash ya haraka 🥩 8. Biashara ya Nyama (Butcher) Wateja wa kila siku Mauzo ya haraka 💇 9. Salon & Kinyozi Huduma hurudiwa mara kwa mara Hakuna bidhaa kuharibika 👕 10. Biashara ya Mitumba Inauzika haraka ukichagua mzigo mzuri Mzunguko mkubwa sokoni 🥚 11. Uuzaji wa Mayai (Retail & Wholesale) Mahitaji makubwa Mzunguko wa kila siku 📱 12. Vifaa vya Simu (Chargers, Covers, Screen Guard) Faida nzuri Bidhaa haziharibiki 🖨️ 13. Printing, Photocopy & Stationery Shule, ofisi, wanafunzi Cash flow ya mara kwa mara 🧊 14. Biashara ya Barafu Inahitajika kila siku Inatembea sana maeneo ya joto 🔥 15. Uuzaji wa Gesi ya Kupikia Bidhaa ya lazima Wateja hurudi mara kwa mara 💊 16. Duka la Dawa (Pharmacy / DLDB) Mahitaji ya kila siku Mzunguko mkubwa sana wa pesa 🌐 17. Internet Café / Printing Wanafunzi & kazi za ofisi Mauzo ya kila siku 🧱 18. Biashara ya Ujenzi (Saruji, Nondo, Mchanga) Inahitaji mtaji Pesa huzunguka haraka 💄 19. Vipodozi & Perfumes Vinanunuliwa mara kwa mara Faida nzuri ukijua soko 🏠 20. Udalali wa Nyumba / Viwanja Huhitaji mtaji mkubwa Dili moja = pesa kubwa ⚠️ KANUNI MUHIMU ZA BIASHARA ZENYE FAST CASH FLOW ⚠️ ✅ Usichanganye pesa ya biashara na matumizi binafsi ✅ Nidhamu ya pesa ni lazima ✅ Faida ndogo + wateja wengi = utajiri wa muda mrefu 💡
#Biashara Reel by @jessicollections1 - Kwa TSHS 150000 Unaweza kuanza Biashara ya Urembo leo.
Utapata pea za hereni zaidi ya mia moja(100) Tena Zenye Quality nzuri sana na Unique ( za kipek
85.6K
JE
@jessicollections1
Kwa TSHS 150000 Unaweza kuanza Biashara ya Urembo leo. Utapata pea za hereni zaidi ya mia moja(100) Tena Zenye Quality nzuri sana na Unique ( za kipekee) sio tu Tena Utapata na cheni PCs 10. Amua Leo Kutumia Fursa Hii ili Uanze / uendeleze safari yako ya Kibiashara. Tafadhali Naomba mtag au share na yeyoye ili Aweze kunufaika na Fursa Hii. Kwa HUDUMA ya malipo na mawasiliano Zaidi What’sAAp 0742562006
#Biashara Reel by @nishabebee - Mtaji wa laki na themanini na tano tu (185,000)
Anza hii biashara ya kuuza viatu vizuri

☎️☎️0766484890 Njoo whatsapp uweke order ya chochote unachota
10.0K
NI
@nishabebee
Mtaji wa laki na themanini na tano tu (185,000) Anza hii biashara ya kuuza viatu vizuri ☎️☎️0766484890 Njoo whatsapp uweke order ya chochote unachotaka mchanganyiko. Ukiongeza idadi itapendeza zaidi. #pc zipo chache unahitaji fanya haraka order inafungwa muda wowote. @nishas_wedding
#Biashara Reel by @businesseaglesstartup (verified account) - 𝐃𝐀𝐑𝐀𝐒𝐀 𝐋𝐀 𝐌𝐀𝐅𝐔𝐍𝐙𝐎 𝐘𝐀 𝐁𝐈𝐀𝐒𝐇𝐀𝐑𝐀 𝐌𝐓𝐀𝐍𝐃𝐀𝐎𝐍𝐈 𝐍𝐀 𝐌𝐀𝐍𝐔𝐍𝐔𝐙𝐈 𝐘𝐀 𝐁𝐈𝐃𝐇𝐀𝐀 𝐂𝐇𝐈𝐍𝐀 !

Karibu kwenye darasa l
92.1K
BU
@businesseaglesstartup
𝐃𝐀𝐑𝐀𝐒𝐀 𝐋𝐀 𝐌𝐀𝐅𝐔𝐍𝐙𝐎 𝐘𝐀 𝐁𝐈𝐀𝐒𝐇𝐀𝐑𝐀 𝐌𝐓𝐀𝐍𝐃𝐀𝐎𝐍𝐈 𝐍𝐀 𝐌𝐀𝐍𝐔𝐍𝐔𝐙𝐈 𝐘𝐀 𝐁𝐈𝐃𝐇𝐀𝐀 𝐂𝐇𝐈𝐍𝐀 ! Karibu kwenye darasa letu la mafunzo ya kila Jumapili kwajili ya kujifunza biashara mtandaoni na manunuzi ya bidhaa China 🇨🇳 Kupitia Darasa hili utajifunza yafuatayo - Jinsi ya kupata supplier mwaminifu na kufanya manunuzi kwa bei nafuu - Jinsi ya Kufanya malipo kwa supplier - Jinsi ya kuanza na kufanya biashara mtandaoni - Matumizi sahihi ya application za kichina na Website zake kwa manunuzi -Safari za China kibiashara na usafirishaji wa bidhaa zako Group hili ni sahihi tuu kwa wale wanaotamani kufanya biashara au ambao tayari ni wafanyabiashara wanatamani kujifunza zaidi na kufahamu machimbo ya bidhaa kwa bei nafuu 𝐀𝐃𝐀 20,000 𝐓𝐒𝐇 𝐊𝐖𝐀 𝐎𝐅𝐀 NA OFA YA KITABU 𝐓𝐔𝐍𝐀𝐇𝐈𝐓𝐀𝐉𝐈 𝐖𝐀𝐓𝐔 𝟓𝟎 𝐓𝐔! 𝐖𝐀𝐇𝐈 𝐌𝐀𝐏𝐄𝐌𝐀 𝐍𝐀𝐅𝐀𝐒𝐈 𝐙𝐈𝐌𝐄𝐁𝐀𝐊𝐈 𝐂𝐇𝐀𝐂𝐇𝐄 TUMA UJUMBE WHATSAPP 𝟎𝟕𝟓𝟑𝟐𝟎𝟗𝟐𝟒𝟒 ‘NIUNGE’ KUPATA UTARATIBU AU DM
#Biashara Reel by @coach_nasra - Watu wengi wanaamini kuanza biashara lazima uwe na mamilioni… lakini ukweli wangu ni tofauti kabisa.
Nilianza biashara kuwa na mtaji hata wa millioni
57.2K
CO
@coach_nasra
Watu wengi wanaamini kuanza biashara lazima uwe na mamilioni… lakini ukweli wangu ni tofauti kabisa. Nilianza biashara kuwa na mtaji hata wa millioni moja 1,000,000 hakuna mtu aliniamini kipindi hicho 😂hakuna aliyejua nitafika wapi. Lakini nilichojua ni hiki: Siku ambayo unaanza kutumia kile ulicho nacho, ndiyo siku biashara yako inaanza kukua. Na hiyo ndiyo nguvu nataka nikufundishe leo. Ukitazama hii video, utaona kwamba mtaji mdogo sio kikwazo… ukosefu wa direction ndiyo tatizo. Watu wengi wana pesa ndogo, lakini hawajui waanzie wapi, wauze nini, wafanye kivipi, au wafuate mfumo gani wa kuhakikisha pesa yao inazunguka badala ya kupotea. Nimeandaa darasa kwa ajili ya mtu ambaye anasema: • “Nina 100k hadi 200k lakini sijui niuze nini” • “Nataka biashara inayoingiza fasta, sio ndefu ndefu.” • “Nataka mfumo wa kuniongoza bila kupoteza pesa.” • “Nataka kujua Nasra aliwezaje kugeuza 170k kuwa mtaji unaojilipa mara dufu” Katika darasa nitakufundisha: ✔️ Biashara unayoweza kuanza na 170k–200k na zaidi ✔️ Jinsi ya k ✔️ Mfumo sahihi wa biashara utakaokusaidia kutengeneza kipato endelevu. ✔️ Namna ya kupata wateja bila kujuana na watu wengi (Kwa watakao anza biashara) Ada za kujifunza: 📌 Group Class (Online au Ofisini) 10,000 📌 Private Class (One-on-One, Online au Ofisini) 30,000 📌 Nje na ratiba niliyoiweka 50,000 hadi 100,000+ (per session) Hii siyo hadithi… ni uzoefu wangu halisi. Na kama nilianza na kidogo na nikafanikiwa, wewe pia unaweza unahitaji tu mtu akupe direction sahihi. DM neno “NAANZA” kama uko tayari kuanza biashara mwaka huu bila kutafuta mamilioni ya kuanzia. Najua unataka kubadilisha maisha yako na hii ndiyo hatua ya kwanza. 🔥 WIN WITH COACHNASRA🦁
#Biashara Reel by @johnmadeje_ (verified account) - Usijenge mbali na biashara yako.
Usipange kuishi mbali na biashara yako.

Unapokuwa mbali na biashara yako, unakosa mengi:
Unakosa kujua kinachoendele
200.3K
JO
@johnmadeje_
Usijenge mbali na biashara yako. Usipange kuishi mbali na biashara yako. Unapokuwa mbali na biashara yako, unakosa mengi: Unakosa kujua kinachoendelea kwa sasa, unachelewa kugundua tatizo dogo kabla halijawa kubwa, na unashindwa kuwa sehemu ya kila hatua ya ukuaji wa biashara yako. Biashara yako ni kama shamba – Ukilima halafu ukaondoka, utaitegemea mvua ya bahati. Lakini ukiwa karibu, unalima, unanyunyiza, unaondoa magugu, na hatimaye kuvuna kwa uhakika. Kaa karibu. Ishi karibu. Fanya iwe rahisi kufika, kuingia, kuongoza, na kusimamia. Uwepo wako ni nguvu ya biashara yako. Usiweke umbali kati yako na mafanikio yako. ✅️Action: Kama umejifunza kitu hapa, usikose kufanya mambo mawili: 1. Follow @johnmadeje_ kwa maarifa mengine ya biashara na fedha. 2. Nitafute WhatsApp 0653 993 171 kama uko tayari kubadilisha maisha yako kwa kuanza biashara
#Biashara Reel by @hamisa_accessories_store - Anza biashara ya urembo kwa mtaji wa laki moja tu 👌
@hamisa_accessories_store Tunapatikana kariakoo mtaa wa mkunguni 📞0677723432

Tembelea account y
12.7K
HA
@hamisa_accessories_store
Anza biashara ya urembo kwa mtaji wa laki moja tu 👌 @hamisa_accessories_store Tunapatikana kariakoo mtaa wa mkunguni 📞0677723432 Tembelea account yetu kuona bidhaa tofauti tofauti Tunauza jumla na rejareja Tunafanya delivery mikoa yote mpaka nchi jirani tunatuma kwa uwaminifu mkubwa ❌no free delivery
#Biashara Reel by @earn_worldwide1 - Biashara ni shughuli yoyote inayofanywa kwa lengo la kupata faida. Faida inaweza kupimwa kwa viwango tofauti, kama asilimia ya mtaji uliowekezwa, kias
57.6K
EA
@earn_worldwide1
Biashara ni shughuli yoyote inayofanywa kwa lengo la kupata faida. Faida inaweza kupimwa kwa viwango tofauti, kama asilimia ya mtaji uliowekezwa, kiasi halisi cha fedha kinachopatikana baada ya gharama, au thamani inayoongezeka kwa muda. Kuchagua Njia Sahihi ya Uwekezaji Katika kuamua wapi pa kuwekeza, kuna mambo kadhaa ya kuzingatia: 1. Usalama wa Mtaji: Uwekezaji kama hatifungani ni salama zaidi kwani unaungwa mkono na serikali, wakati biashara inaweza kuwa na hatari kubwa zaidi. 2. Kiwango cha Faida: Biashara inaweza kuwa na faida kubwa zaidi ya 15.95% kwa mwaka, lakini pia inaweza kuwa na changamoto nyingi. 3. Uwezo wa Kukuza Mtaji: Uwekezaji kama huu unatoa faida thabiti, lakini biashara inakupa nafasi ya kukuza mtaji kwa kasi ikiwa una mipango mizuri. Kwa Nini Forever Living Ni Uwekezaji Sahihi? Forever Living ni kampuni ya kimataifa inayojihusisha na biashara ya bidhaa za lishe, afya na urembo kupitia mfumo wa Network Marketing. Hii ni njia ya uwekezaji inayoweza kutoa faida kubwa zaidi kuliko hatifungani, kutokana na sababu zifuatazo: 1. Faida Isiyo na Kikomo: Tofauti na hatifungani ambazo zina faida iliyopangwa, Forever Living inakupa nafasi ya kujenga mtandao wa wanunuzi na wasambazaji, ambapo unaweza kupata faida kubwa kulingana na juhudi zako. 2. Uwekezaji Mdogo: Huhitaji mtaji mkubwa kama katika biashara zingine. Unaweza kuanza kwa kununua bidhaa na kuzisambaza, kisha kujenga mtandao wa wanunuzi na wasambazaji. 3. Mkondo wa Mapato Endelevu: Mara unapojenga mtandao wako, unaweza kuendelea kupata kipato hata kama hufanyi kazi moja kwa moja. 4. Uhuru wa Kazi: Tofauti na uwekezaji wa hatifungani ambao unakufanya utegemee soko la fedha, hapa unafanya kazi kwa uhuru, bila kubanwa na muda wa kazi wa kawaida. 5. Kukua kwa Kipato Kuliko Uwekezaji wa Kawaida: Wakati hatifungani zinaweza kutoa faida ya 15.95% kwa mwaka, Forever Living inaweza kukuingizia faida kubwa zaidi endapo utajikita kwa bidii. Kwa hiyo, ikiwa mtu anataka njia salama ya uwekezaji bila changamoto nyingi, hatifungani za serikali ni chaguo zuri. Lakini kwa wale wanaotaka kuongeza kipato kwa kasi na kuwa na udhibiti zaidi wa mapato yao, Forever Living ni chaguo bora zaidi.
#Biashara Reel by @kim_china_business - 🔹MZIGO UPO OFISINI🔥🔥🕺🏻🕺🏻

🔹YANI WAKUTOSHA HASWAAAAA🔥

🔹FURSA ZA BIASHARA✅

📱CALL +255 67 653 6085

📍GOBA BUSINESS PARK📍
61.8K
KI
@kim_china_business
🔹MZIGO UPO OFISINI🔥🔥🕺🏻🕺🏻 🔹YANI WAKUTOSHA HASWAAAAA🔥 🔹FURSA ZA BIASHARA✅ 📱CALL +255 67 653 6085 📍GOBA BUSINESS PARK📍

✨ #Biashara Entdeckungsleitfaden

Instagram hostet 1.4 million Beiträge unter #Biashara und schafft damit eines der lebendigsten visuellen Ökosysteme der Plattform.

#Biashara ist derzeit einer der beliebtesten Trends auf Instagram. Mit über 1.4 million Beiträgen in dieser Kategorie führen Creator wie @prof_davismela, @johnmadeje_ and @businesseaglesstartup mit ihren viralen Inhalten. Durchsuchen Sie diese beliebten Videos anonym auf Pictame.

Was ist in #Biashara im Trend? Die meistgesehenen Reels-Videos und viralen Inhalte sind oben zu sehen.

Beliebte Kategorien

📹 Video-Trends: Entdecken Sie die neuesten Reels und viralen Videos

📈 Hashtag-Strategie: Erkunden Sie trendige Hashtag-Optionen für Ihren Inhalt

🌟 Beliebte Creators: @prof_davismela, @johnmadeje_, @businesseaglesstartup und andere führen die Community

Häufige Fragen zu #Biashara

Mit Pictame können Sie alle #Biashara Reels und Videos durchsuchen, ohne sich bei Instagram anzumelden. Kein Konto erforderlich und Ihre Aktivität bleibt privat.

Content Performance Insights

Analyse von 12 Reels

✅ Moderate Konkurrenz

💡 Top-Posts erhalten durchschnittlich 205.8K Aufrufe (2.4x über Durchschnitt)

Regelmäßig 3-5x/Woche zu aktiven Zeiten posten

Content-Erstellung Tipps & Strategie

💡 Top-Content erhält über 10K Aufrufe - fokussieren Sie auf die ersten 3 Sekunden

📹 Hochwertige vertikale Videos (9:16) funktionieren am besten für #Biashara - gute Beleuchtung und klaren Ton verwenden

✍️ Detaillierte Beschreibungen mit Story funktionieren gut - durchschnittliche Länge 825 Zeichen

✨ Einige verifizierte Creator sind aktiv (17%) - studieren Sie deren Content-Stil

Beliebte Suchen zu #Biashara

🎬Für Video-Liebhaber

Biashara ReelsBiashara Videos ansehen

📈Für Strategie-Sucher

Biashara Trend HashtagsBeste Biashara Hashtags

🌟Mehr Entdecken

Biashara Entdecken#biashara ya spare za pikipiki#biashara ya nafaka#biashara ya mtaji wa 50000#biashara plaza#logo za biashara#banda la biashara#biashara ya hardware#biashara zenye faida kubwa