#Mbuzi

Schauen Sie sich 80K Reels-Videos über Mbuzi von Menschen aus aller Welt an.

Anonym ansehen ohne Anmeldung.

80K posts
NewTrendingViral

Trending Reels

(12)
#Mbuzi Reel by @mbuzi_jangwani_dar (verified account) - Karibu tukuuzie MBUZI NA KONDOO wazuri kwa bei nafuu kabisa

✅ Mbuzi wazuri kwa bei nafuu
✅ Mbuzi & Kondoo aina zote  wakike & wakiume
✅ Size zote zin
11.8K
MB
@mbuzi_jangwani_dar
Karibu tukuuzie MBUZI NA KONDOO wazuri kwa bei nafuu kabisa ✅ Mbuzi wazuri kwa bei nafuu ✅ Mbuzi & Kondoo aina zote wakike & wakiume ✅ Size zote zinapatikana ✅ Afya bora Hakuna magonjwa 📍 Tunapatikana Jagwani Dar es Salaam 📞 WhatsApp / Call: +255 693 442 260 Karibu uchukue wako kwa matumizi ya nyumbani, biashara au sadaka!
#Mbuzi Reel by @ramjaan_meat.tz (verified account) - Salalah Breed kutoka Oman ndo mfalme wa mbuzi duniani.
Kama hujawahi kuona mbuzi wa $3,000 kwa mtoto mchanga na $15,000 kwa dume mkubwa, basi karibu u
62.3K
RA
@ramjaan_meat.tz
Salalah Breed kutoka Oman ndo mfalme wa mbuzi duniani. Kama hujawahi kuona mbuzi wa $3,000 kwa mtoto mchanga na $15,000 kwa dume mkubwa, basi karibu ujionee. Bei ya manunuzi Ni kuanzia $15,00 (Tsh: 3,630,000.} adi $3,000 (Tsh: 7,260,000.) kwa watoto wa mwezi. Jike/Dume wakuanzia miezi 12 ni kuanzia $15,000. (Tsh: 36,300,000.) Adi $30,000. (Tsh: 72,600,000.) Kumbuka Mbuzi hizo zinachinjwa kwa familia za kifalme tu na watu wenye uwezo wa juu. Mbuzi ni ghari kuliko Baadhi ya Magari Tanzania. Boer, Red Kalahari, Dorper, Mubende na Meat Master na Mbuzi/kondoo wote Duniani hakuna anaefikia Thamani ya hao Salalah Goat. . . . . . . . . #Agribusiness #FarmingLife #DairyFarming #LivestockBusiness #EastAfricaBusiness #TanzaniaFarming #EntrepreneurLife #MilkProduction
#Mbuzi Reel by @yobo_rain_farm - UFUGAJI WA MBUZI
Unavyo taka kuanza kufuga mbuzi,cha kwanza kabisa ni soko lazima uangalie soko linaendaje na sehem husika je soko linahitaji nyama au
2.8K
YO
@yobo_rain_farm
UFUGAJI WA MBUZI Unavyo taka kuanza kufuga mbuzi,cha kwanza kabisa ni soko lazima uangalie soko linaendaje na sehem husika je soko linahitaji nyama au maziwa ya mbuzi na malengo yako ya baadae umsafilishe sehem nyingine au lah then 🎯 BREED _Hapa ndio inaingia Elimu au uzoefu yakupaswa kujua uchukue breed gan itakuwa nzuri kwako na kwaaina gani ya uzalishaji kama hufahamu ni bola uulize kwawataalamu au wazoefu na UFUGAJI FARM DESIGN _Lazima ujue ramani ya shamba lako litakuwaje kuwaje wapi wakae mbuzi wakubwa wapi wadogo ,Banda lako liwaje la chini au la juu na kwanini ,mikondo ya uchafu iwaje Banda likase maelekezo gani vyote unazingatia hapa usicopy picha t kisa umeona mtandaoni hujui kaweka vile sababu gani it's better ukafahamu 🎯 MALISHO _Hapa lazima uangalie kabla yakuanza kufuga utawalishaje lishaje ,wataenda kuchunga,au unawazalishia malisho wakitoka kuchunga wale au watakaa tu ndani na hayo malisho ,hapi ni mazur kwa mbuzi ,yapi yanabiomass kubwa yanakuwaje ,nayatunza vipi 🎯 SECURITY _Hakikisha shamba linakuwa na ULINZI na usalama sababu unawekeza pesa mfugaji,jihakikishie ulinzi imara katika sehem uliyo ichagua 🎯MAJI_Hakikisha kunaupatikanaji wa maji yakutosha na yawe safi na salama itakusaidia san katika kuzalisha malisho,kutumia Kam chakula na usafir 🎯WAHUDUMU_Wahudumu wa shamba hakikisha wanakuwa na upendo na mifugo,hapo zingatia San sio lazima awe mtaalamu,akiwa mzoefu na upendo na mifugo mafanikio utayaona Mwisho Mwombe sana Mungu na ishi kwa upendo na wafugaji ndugu jamaa na marafiki wanao kuzunguka walipe wafanyakazi mshahara kwa wakati ishinao kwa upendo matokeo utayaona Follow @yobo_rain_farm kwa Elimu, ushauri, matibabu, breeds zote za mifugo, Mbegu za Malisho ya mifugo mbegu za vyakula mbadara,farm visit Tuko MOROGORO 🇹🇿 MJINI Whatsapp no.+255625406806 Normal call 🤙+255714060010 #trending #mbuzi #foruyou #viralvideos #1m
#Mbuzi Reel by @kibembe_ranches (verified account) - SUPPLEMENTARY FEEDS:

When it comes to providing additional/supplementary feeds to our lactating does, we do not compromise on that na wala hatucheki
4.3K
KI
@kibembe_ranches
SUPPLEMENTARY FEEDS: When it comes to providing additional/supplementary feeds to our lactating does, we do not compromise on that na wala hatucheki na wowote. Wakati huo wa unyonyeshaji ndo wakati muhimu zaidi wa kumpatia mbuzi virutubisho muhimu ili moja aweze kuproduce maziwa ya kutosha kunyonyesha watoto wake wakue vizuri na pili aweze kurudisha afya yake haraka aingie kwenye joto na kuweza kupandwa kwa ajili ya cycle nyingine ijayo ya uzalishaji. Wazungu wana msemo kwamba, Garbage in Garbage Out and vice versa. Na waswahili tunasema kwamba mwili haujengwi kwa tofali. Basi na kwenye mbuzi ndo hivyo, unachoweka ndicho utakachopokea. Ukiweka makapi utapokea makapi, ukiweka ubora utapata ubora zaidi. No compromise. Nitakuja kutoa mchanganuo wa ingridients za hicho chakula in our next post. Usiogope kuanza, utajifunza mbele ya Safari. We GOAT You.
#Mbuzi Reel by @alhaji_mbuzi - MBUZI WA KUFUGA

Unatafuta kuanza au kupanua shughuli yako ya ufugaji wa mbuzi? Usitafute zaidi ya mbuzi wetu wa ubora wa hali ya juu, waliofugwa kwa
5.6K
AL
@alhaji_mbuzi
MBUZI WA KUFUGA Unatafuta kuanza au kupanua shughuli yako ya ufugaji wa mbuzi? Usitafute zaidi ya mbuzi wetu wa ubora wa hali ya juu, waliofugwa kwa kusudi maalum la kutoa maziwa bora na nyama nzuri. Mbuzi wetu wanalelewa katika mazingira safi na yenye afya, wanakula chakula cha hali ya juu kabisa, na wanapatiwa makazi na huduma za kutosha. Tunatoa aina tofauti za mbuzi wa kuchagua, kila mmoja akiwa na faida na sifa zake maalum. Mbuzi wetu ni hodari na imara, wanaweza kustahimili hali ngumu ya hewa na wanakinga ya magonjwa ya kawaida ya mbuzi. Ni rahisi kuwatunza na wanahitaji matengenezo kidogo, hivyo wanafaa kwa wafugaji wenye uzoefu au wapya. Usikubali kupata chini ya ubora. Wasiliana nasi leo kununua mbuzi wako wa ubora wa hali ya juu na kupeleka shughuli yako ya ufugaji kwa kiwango kingine. Bei Kwanzia Tsh 80,000 Wenye mimba Tsh 100,000 Mimba ya mapacha Tsh180,000 Mwenye watoto Tsh 300,000 na Watoto wake 📍K/Koo jangwani Dar-es-Saalm 🛻 Delivery Tunafanya 📞#0654914148 What's app KARIBU KWETU UPATE KILICHO BORA
#Mbuzi Reel by @kimomwe_farm_tz - Alhamdulillah 😇😇😇😇 

Soon tutaanzisha  darasa la  ufugaji wa mbuzi🔥🔥🔥🔥
566
KI
@kimomwe_farm_tz
Alhamdulillah 😇😇😇😇 Soon tutaanzisha darasa la ufugaji wa mbuzi🔥🔥🔥🔥
#Mbuzi Reel by @chrislukosi (verified account) - Tuna mbuzi wengi sana tena sana

Wapo Bunju KC

PIGA SIMU KITENGO MBUZI +255 656 22 81 08 Utaletewa ulipo au njoo uchague mwenyewe
109.0K
CH
@chrislukosi
Tuna mbuzi wengi sana tena sana Wapo Bunju KC PIGA SIMU KITENGO MBUZI +255 656 22 81 08 Utaletewa ulipo au njoo uchague mwenyewe

✨ #Mbuzi Entdeckungsleitfaden

Instagram hostet 80K Beiträge unter #Mbuzi und schafft damit eines der lebendigsten visuellen Ökosysteme der Plattform.

Entdecken Sie die neuesten #Mbuzi Inhalte ohne Anmeldung. Die beeindruckendsten Reels unter diesem Tag, besonders von @chrislukosi, @ramjaan_meat.tz and @mbuzi_jangwani_dar, erhalten massive Aufmerksamkeit.

Was ist in #Mbuzi im Trend? Die meistgesehenen Reels-Videos und viralen Inhalte sind oben zu sehen.

Beliebte Kategorien

📹 Video-Trends: Entdecken Sie die neuesten Reels und viralen Videos

📈 Hashtag-Strategie: Erkunden Sie trendige Hashtag-Optionen für Ihren Inhalt

🌟 Beliebte Creators: @chrislukosi, @ramjaan_meat.tz, @mbuzi_jangwani_dar und andere führen die Community

Häufige Fragen zu #Mbuzi

Mit Pictame können Sie alle #Mbuzi Reels und Videos durchsuchen, ohne sich bei Instagram anzumelden. Kein Konto erforderlich und Ihre Aktivität bleibt privat.

Content Performance Insights

Analyse von 12 Reels

✅ Moderate Konkurrenz

💡 Top-Posts erhalten durchschnittlich 47.7K Aufrufe (2.7x über Durchschnitt)

Regelmäßig 3-5x/Woche zu aktiven Zeiten posten

Content-Erstellung Tipps & Strategie

🔥 #Mbuzi zeigt hohes Engagement-Potenzial - strategisch zu Spitzenzeiten posten

✨ Viele verifizierte Creator sind aktiv (42%) - studieren Sie deren Content-Stil

✍️ Detaillierte Beschreibungen mit Story funktionieren gut - durchschnittliche Länge 440 Zeichen

📹 Hochwertige vertikale Videos (9:16) funktionieren am besten für #Mbuzi - gute Beleuchtung und klaren Ton verwenden

Beliebte Suchen zu #Mbuzi

🎬Für Video-Liebhaber

Mbuzi ReelsMbuzi Videos ansehen

📈Für Strategie-Sucher

Mbuzi Trend HashtagsBeste Mbuzi Hashtags

🌟Mehr Entdecken

Mbuzi Entdecken#mandi mbuzi#muzi the mbuzi#mbuzi online goba#kibao cha mbuzi#mbuzi ya kukuna nazi#pilipili mbuzi#mbuzi wet fry#ufugaji wa mbuzi