#Nsimb

Schauen Sie sich Reels-Videos über Nsimb von Menschen aus aller Welt an.

Anonym ansehen ohne Anmeldung.

Trending Reels

(12)
#Nsimb Reel by @ufmradiotz - Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Paul Makonda, amesema Wizara hiyo imepatiwa shilingi bilioni 2 itakayowawezesha watengenezaji wa maudhui
1.0K
UF
@ufmradiotz
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Paul Makonda, amesema Wizara hiyo imepatiwa shilingi bilioni 2 itakayowawezesha watengenezaji wa maudhui mbalimbali mitandaoni kuimarisha kazi zao na kuwaongezea kipato kupitia majukwaa ya kidijitali. Amesema hayo jijini Dodoma na kubainisha kuwa, fedha hizo zimetolewa naSerikali kwa lengo la kuyawezesha makundi yote ya watengeneza maudhui ikiwemo katika Sekta ya Utalii, Michezo, Habari, Jamii, Muziki, Filamu na sanaa nyinginezo. Mhariri | @rajjmsangi #UFMUpdates
#Nsimb Reel by @ufmradiotz - Jamii imetakiwa kuondokana na fikra potofu kuwa watoto wenye ulemavu hawawezi kusoma, hivyo baadhi yao kuwafungia ndani huku wakikosa haki yao muhimu
535
UF
@ufmradiotz
Jamii imetakiwa kuondokana na fikra potofu kuwa watoto wenye ulemavu hawawezi kusoma, hivyo baadhi yao kuwafungia ndani huku wakikosa haki yao muhimu ya kupata elimu. Wito huo umetolewa na Jumuiya ya Wanawake wa Jeshi la Magereza wa Rukwa walipotembelea na kutoa msaada kwa wanafunzi wa shule ya Msingi ya wasiona ya Malangali mjini Sumbawanga ambapo watoto hao wakiomba jamii kupaza sauti kwa wenzao walemavu waliokosa fursa hiyo ya kusoma. Sammy Kisika ana taarifa ifuatayo #UFMUpdates
#Nsimb Reel by @mjinifm - Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda amesema Wizara hiyo imepewa kiasi cha Tsh. Bilioni 2 kwa ajili ya kuwawezesha watengenezaj
896
MJ
@mjinifm
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda amesema Wizara hiyo imepewa kiasi cha Tsh. Bilioni 2 kwa ajili ya kuwawezesha watengenezaji wa maudhui mitandaoni kuimarisha kazi zao na kuongeza kipato kupitia majukwaa ya kidijitali. Fedha hizo zimetolewa na Serikali ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, zikilenga kusaidia makundi mbalimbali ya watengenezaji wa maudhui katika sekta za Utalii, Michezo, Habari, Jamii, Muziki, Filamu na Sanaa nyinginezo. Zoezi la uandikishaji wa walengwa limeanza leo Januari 30 hadi Februari 15, 2026, ambapo watengenezaji wa maudhui wanatakiwa kufika katika ofisi za Halmashauri za Wilaya, Manispaa na Majiji kupitia vitengo vya habari ili kuchukua na kujaza fomu za maombi. ✍🏼#TheTyper 92.5 FM | mjinifm.co.tz | #NewsDesk | MjiniFM #MjiniFursa #KwetuNiKwako
#Nsimb Reel by @ufmradiotz - "Tumefanya utafiti kila mahali fani zipi ni kipaumbele kwa vijana, kila halmashauri tumegundua fani 5 kipaumbele cha juu, tumezitengenezea karakana, k
846
UF
@ufmradiotz
“Tumefanya utafiti kila mahali fani zipi ni kipaumbele kwa vijana, kila halmashauri tumegundua fani 5 kipaumbele cha juu, tumezitengenezea karakana, kijana anachagua fani anayoipenda” sehemu ya maneno ya Prof Philipo Sanga, Mkuu wa taasisi ya elimu ya watu wazima akizungumza kipindi cha #Pevuka kuhusu mikakati ya kutoa fursa ya mafunzo ya amali. #UFMUpdates
#Nsimb Reel by @radio7tz (verified account) - Serikali kupitia Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo imetangaza uwepo wa mfuko wa jumla ya Shilingi Bilioni 50 kwa ajili ya kuwawezesha vija
560
RA
@radio7tz
Serikali kupitia Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo imetangaza uwepo wa mfuko wa jumla ya Shilingi Bilioni 50 kwa ajili ya kuwawezesha vijana wanaojihusisha na sekta ya ubunifu nchini ikiwemo watengeneza maudhui mtandaoni (content creators), wasanii, wanamuziki, waigizaji, waandishi wa habari, influencers pamoja na wabunifu wa kazi mbalimbali za sanaa. ‎ ‎Akizungumza jijini Arusha, Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Paul Makonda amesema mfuko huo ni utekelezaji wa maelekezo ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, yenye lengo la kuwawezesha vijana kiuchumi kupitia sekta ya habari, sanaa na ubunifu. #radio7updates
#Nsimb Reel by @ufmradiotz - Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi na Ofisi ya kamishina wa ardhi mkoa wa Kagera imetoa huduma za kufanya usajili, kutoa hati za umiliki w
646
UF
@ufmradiotz
Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi na Ofisi ya kamishina wa ardhi mkoa wa Kagera imetoa huduma za kufanya usajili, kutoa hati za umiliki wa ardhi na kuelimisha jamii juu ya upatikanaji wa hati hasa kwa wanawake. Elimu hiyo iliyopewa jina la Samia Ardhi Kliniki imetolewa katika viwanja vya Mayunga mjini Bukoba ikiwa ni kuelekea siku ya wanawake duniani ambayo huadhimishwa kila inapofika March 8 kila mwaka. Benson Eustace ameandaa taarifa ifuatayo. #UFMUpdates
#Nsimb Reel by @radiomaarifatz - #HABARI: Kitongoji cha Nunu kilicho Kijiji cha Msakala, Kata ya Ziwani, Wilaya ya Mtwara, kimekumbwa na ukosefu wa maji safi kwa zaidi ya miaka 30, hu
140
RA
@radiomaarifatz
#HABARI: Kitongoji cha Nunu kilicho Kijiji cha Msakala, Kata ya Ziwani, Wilaya ya Mtwara, kimekumbwa na ukosefu wa maji safi kwa zaidi ya miaka 30, huku wakazi 400 wakilazimika kutembea umbali mrefu kupata maji yasiyo salama, jambo linaloongeza magonjwa na kupoteza muda wa kazi. Mzigo huu umekuwa sugu licha ya ahadi za viongozi wa awali. Hata hivyo, matumaini yameibuka baada ya Mbunge wa Mtwara Vijijini, Arif Premji, kupeleka mtambo wa kuchimba kisima cha maji, mradi unaogharimu Sh. 11.5 milioni, ambao ukikamilika utaboresha maisha ya wakazi kwa kudumu. #radiomaarifa #Update #maarifaupdate#MajiSafiyaNunu #UhabaWaMaji #MtwaraVijijini #MatumainiMapya #Watanzania #MaendeleoYaMaji #HudumaBora #KisimaChaMaji
#Nsimb Reel by @kinywasalama - Siku ya Leo mkuu wetu wa idara ya habari na mawasiliano Ndugu Abubakar kipanga amefanikiwa kufanya mahojiano na kituo Cha redio @uhurufmtz  ikiwa ni k
546
KI
@kinywasalama
Siku ya Leo mkuu wetu wa idara ya habari na mawasiliano Ndugu Abubakar kipanga amefanikiwa kufanya mahojiano na kituo Cha redio @uhurufmtz ikiwa ni katika kutekeleza matukio ya maadhimisho ya siku ya afya ya kinywa na meno duniani.
#Nsimb Reel by @jambofmtz - Licha ya kwamba mradi mkunwa wa umeme jua uliopo wilayank Kishapu mkoani Shinyanga kuwepo kwa muda wa zaidi ya siku 100, @yusuphmagupa anafafanua kwa
494
JA
@jambofmtz
Licha ya kwamba mradi mkunwa wa umeme jua uliopo wilayank Kishapu mkoani Shinyanga kuwepo kwa muda wa zaidi ya siku 100, @yusuphmagupa anafafanua kwa nini mradi huo unaingia kwenye mafanikio ya siku 100 za Rais Samia Suluhi Hassan, akijibu swali la Wambura Mtani. #jambofmtz #chaguamaishafresh
#Nsimb Reel by @ufr_tz - Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini chini ya Mwenyekiti wake, Mhe. Subira Mgalu, imeridhishwa na utekelezaji wa mradi wa uzalishaji wa nguz
221
UF
@ufr_tz
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini chini ya Mwenyekiti wake, Mhe. Subira Mgalu, imeridhishwa na utekelezaji wa mradi wa uzalishaji wa nguzo za zege unaoendeshwa na Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) kupitia kampuni yake tanzu ya TCPM Mkoani Tabora. Kamati hiyo ikiongozana na Waziri wa Nishati, Mhe. Deogratius Ndejembi, Machi 12, 2026 ilifanya ziara ya ukaguzi katika kiwanda hicho na kujionea maendeleo ya uzalishaji wa nguzo za zege zinazotumika katika miradi mbalimbali ya usambazaji wa umeme nchini. Akizungumza baada ya ukaguzi huo, Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Mhe. Subira Mgalu, amesema kamati imeridhishwa na utekelezaji wa mradi huo na kuishauri Wizara ya Nishati kuweka mikakati ya kujenga viwanda kama hivyo katika kanda mbalimbali za nchi kwa kushirikisha wawekezaji wa ndani. 📻 Sikiliza Uyui FM Radio popote ulipo duniani, bofya kiungo (link) kwenye bio yetu. #2026Fanikisha #tunasambazaunyamwezi #Fanikisha #radioyetusautiyetu
#Nsimb Reel by @uhurufmtz - Mkuu wa Taasisi ya Elimu ya Watu Wazima (TEWW), Prof. Philipo Sanga, amesema bado wanahitaji wafadhili ili kufanikisha mpango wa kupeleka elimu ya wat
86
UH
@uhurufmtz
Mkuu wa Taasisi ya Elimu ya Watu Wazima (TEWW), Prof. Philipo Sanga, amesema bado wanahitaji wafadhili ili kufanikisha mpango wa kupeleka elimu ya watu wazima katika mikoa 10 nchini. Prof. Sanga alitoa kauli hiyo alipokuwa akizungumza katika kipindi cha Hello Tanzania kinachorushwa na Uhuru FM.
#Nsimb Reel by @uhurufmtz - Staff Sajent Idd amefafanua vyombo vya moto ambavyo mara nyingi vinakuwa na dharura na jamii imetakiwa kuvitambua vikiwa barabarani.

ameeleza hayo al
111
UH
@uhurufmtz
Staff Sajent Idd amefafanua vyombo vya moto ambavyo mara nyingi vinakuwa na dharura na jamii imetakiwa kuvitambua vikiwa barabarani. ameeleza hayo alipokuwa akizungumza kwenye kipindi cha hello tanzania kichorushwa uhurufm.

✨ #Nsimb Entdeckungsleitfaden

Instagram hostet thousands of Beiträge unter #Nsimb und schafft damit eines der lebendigsten visuellen Ökosysteme der Plattform.

Entdecken Sie die neuesten #Nsimb Inhalte ohne Anmeldung. Die beeindruckendsten Reels unter diesem Tag, besonders von @ufmradiotz, @mjinifm and @radio7tz, erhalten massive Aufmerksamkeit.

Was ist in #Nsimb im Trend? Die meistgesehenen Reels-Videos und viralen Inhalte sind oben zu sehen.

Beliebte Kategorien

📹 Video-Trends: Entdecken Sie die neuesten Reels und viralen Videos

📈 Hashtag-Strategie: Erkunden Sie trendige Hashtag-Optionen für Ihren Inhalt

🌟 Beliebte Creators: @ufmradiotz, @mjinifm, @radio7tz und andere führen die Community

Häufige Fragen zu #Nsimb

Mit Pictame können Sie alle #Nsimb Reels und Videos durchsuchen, ohne sich bei Instagram anzumelden. Kein Konto erforderlich und Ihre Aktivität bleibt privat.

Content Performance Insights

Analyse von 12 Reels

✅ Moderate Konkurrenz

💡 Top-Posts erhalten durchschnittlich 847.75 Aufrufe (1.7x über Durchschnitt)

Regelmäßig 3-5x/Woche zu aktiven Zeiten posten

Content-Erstellung Tipps & Strategie

🔥 #Nsimb zeigt stetiges Wachstum - regelmäßig posten für Präsenz

📹 Hochwertige vertikale Videos (9:16) funktionieren am besten für #Nsimb - gute Beleuchtung und klaren Ton verwenden

✍️ Detaillierte Beschreibungen mit Story funktionieren gut - durchschnittliche Länge 505 Zeichen

Beliebte Suchen zu #Nsimb

🎬Für Video-Liebhaber

Nsimb ReelsNsimb Videos ansehen

📈Für Strategie-Sucher

Nsimb Trend HashtagsBeste Nsimb Hashtags

🌟Mehr Entdecken

Nsimb Entdecken