Trending

#Samaki

Schauen Sie sich 193K Reels-Videos über Samaki von Menschen aus aller Welt an.

Anonym ansehen ohne Anmeldung.

193K posts
NewTrendingViral

Trending Reels

(12)
#Samaki Reel by @fellerbiashara (verified account) - " … SAMAKI  DAY …"

Mvuno Wetu wa tatu tokea tumeanza kujifunza ufugaji wetu wa Samaki , matokeo ni mazuri sana tunafurahia kuyaona tumewaacha kwa mie
10.3K
FE
@fellerbiashara
“ … SAMAKI DAY …” Mvuno Wetu wa tatu tokea tumeanza kujifunza ufugaji wetu wa Samaki , matokeo ni mazuri sana tunafurahia kuyaona tumewaacha kwa miezi kumi badala ya miezi 7-8 wanayosema …!!! Samaki wetu alofikisha kilo nyingi ( 670 grams ) na alokuwa na kilo ndogo zaidi kawa na (344grams ) ila wengi wamecheza kwenye( 400 - 500grams ) kwetu ni hatua ..!!! Mtihani nipo nao sasa najifunza ni kwanini mfano unaweka samaki vifaranga 1000 ila kwenye kuvuna wanapungua sana nini kinasababisha na huwa sioni mizoga ….??? #2025moneytraps
#Samaki Reel by @uwesu_ruangwa_boy - Kwamahitaji ya samaki,Pweza,ngisi,Mihogo
Ruangwa Lindi Mbambabey 
Karibunu sana
Cc @mdeda_boy
  MDEDA
0623482941
6.8K
UW
@uwesu_ruangwa_boy
Kwamahitaji ya samaki,Pweza,ngisi,Mihogo Ruangwa Lindi Mbambabey Karibunu sana Cc @mdeda_boy MDEDA 0623482941
#Samaki Reel by @ufugajisamaki_kilimo - UNATAKA SATO KILO 3 KWA MIEZI 6? 🤔

Ngoja nikuambie ukweli…
⚠️ Samaki wa ziwani anafikisha kilo 3 baada ya muda mrefu  miaka 3 hadi 4! Au zaidi.

Lak
9.3K
UF
@ufugajisamaki_kilimo
UNATAKA SATO KILO 3 KWA MIEZI 6? 🤔 Ngoja nikuambie ukweli… ⚠️ Samaki wa ziwani anafikisha kilo 3 baada ya muda mrefu miaka 3 hadi 4! Au zaidi. Lakini wewe unafuga kwa miezi 6 ukitegemea miujiza? Sio kwamba Haiwezekani kufugansamaki na kufikisha kilo 3,inawezekana lakini unahitaji muda mrefu zaidi. 🎯 Ufugaji wa kisasa ni wa biashara – 👉 Samaki wa miezi 6 akiwa na gramu 350–800 yuko vizuri sana! USIDANGANYIKE NA MWONEKANO WA SAMAKI WA ZIWANI! 🐟 Wafugaji wengi hutamani kuvuna samaki wa miezi 6 wenye uzito kama wa samaki wa ziwani — kilo 2 hadi 3. Lakini ukweli ni huu: 🟡 Samaki wa ziwani hukua kwenye mazingira ya asili, hutafuta chakula mwenyewe, na huchukua miaka mingi kufikia kilo hizo. 🔵 Samaki wa kufugwa huhitaji lishe bora, usimamizi sahihi, na hustawi haraka kwa uzito wa biashara — 350g hadi 1kg ndani ya miezi 5–6. ❗ Samaki wa ziwani wa miezi 6 hata hafikii kilo 1! Kwa hiyo kama unafuga na unafuata kanuni, usikate tamaa – uko kwenye njia sahihi. Ndiyo maana tunasisitiza lishe sahihi, usimamizi bora, na malengo yaliyo halisi. 🎓 Elimu ndio daraja la mafanikio! #FishFarmingAfrica #SatoWaBiashara #SamakiWaUfugaji #NdotoZaMfugaji #UfugajiWaKisasa #MirajiAquaculture #wizaramifugouvuvi#Kilimo
#Samaki Reel by @foodlovers.tz (verified account) - #Recipe  Samaki mtamu huyu balaa 😋 unaweza kumuoka kwenye jiko la mkaa na bado atakua mzuri. Mtag rafiki yako mpenda samaki ashibe japo kwa macho 😃�
1.4M
FO
@foodlovers.tz
#Recipe Samaki mtamu huyu balaa 😋 unaweza kumuoka kwenye jiko la mkaa na bado atakua mzuri. Mtag rafiki yako mpenda samaki ashibe japo kwa macho 😃😁 ✔ Viungo vyote unavipata @haraka_spice_shop
#Samaki Reel by @samaki_samaki - Happening now ….THE FRIDAY Jiachie utakavyo🔥
📍Samaki Samaki 

#SamakiSamaki #LetsGo #GoodTimesOnly #SamakiExperience #SamakiMoments WeekendFeels Jua
26.9K
SA
@samaki_samaki
Happening now ….THE FRIDAY Jiachie utakavyo🔥 📍Samaki Samaki #SamakiSamaki #LetsGo #GoodTimesOnly #SamakiExperience #SamakiMoments WeekendFeels JuaLileee ChillAndUnwind SamakiCulture EndYourWeekRight
#Samaki Reel by @annie_finest_fish_mwanza - Morning mteja wetu  kipenzi

Hawa n samaki Aina ya sato na sangara 
Samaki mmoja 13000
Oda ya samaki n kuanzia samaki 10...130,000 
Box kama hili n 13
2.6K
AN
@annie_finest_fish_mwanza
Morning mteja wetu kipenzi Hawa n samaki Aina ya sato na sangara Samaki mmoja 13000 Oda ya samaki n kuanzia samaki 10...130,000 Box kama hili n 130,000 Unachagua wewe tukupe wazima au tukate vipande Oder 0625810890 Delivery tunafanya popote pale Karibuni sana 😍
#Samaki Reel by @hpm_brand - Kama hauli huyu samaki nisamehe bure🤣🤣🤣🤣

Ila nyie samaki mtamu huyu balaaaa

Kama unabisha muulize @ollykeke  atakusimulia🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Package
227.4K
HP
@hpm_brand
Kama hauli huyu samaki nisamehe bure🤣🤣🤣🤣 Ila nyie samaki mtamu huyu balaaaa Kama unabisha muulize @ollykeke atakusimulia🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Package yake ni 75000 tu... 📞 0759234762...
#Samaki Reel by @mchongo.tv - Ufugaji wa samaki kwa kutumia teknolojia ya biofloc ni mapinduzi ya kilimo cha samaki. Mbinu hii bunifu inahusisha kukuza bakteria yenye manufaa katik
3.3K
MC
@mchongo.tv
Ufugaji wa samaki kwa kutumia teknolojia ya biofloc ni mapinduzi ya kilimo cha samaki. Mbinu hii bunifu inahusisha kukuza bakteria yenye manufaa katika mazingira yanayodhibitiwa, kuruhusu wakulima kuzalisha samaki wenye afya bora kwa njia endelevu. Kwa kutumia mapipa kwa mchakato huu, tunaweza kuongeza nafasi na rasilimali huku tukipunguza matumizi ya maji Mfumo wa biofloc huongeza ubora wa maji na hutoa vyanzo vya asili vya chakula kwa samaki, na kusababisha viwango vya ukuaji wa haraka na hifadhi bora zaidi. Kwa njia yake ya urafiki wa mazingira na uwezekano wa mavuno mengi, kilimo cha biofloc kinawakilisha siku zijazo za ufugaji wa samaki unaowajibika ambao unanufaisha wazalishaji na watumiaji sawa na sio mpaka uwe na mabwawa makubwa kuweza kufuga samaki Mbinu hii sio tu inasaidia usalama wa chakula lakini pia inakuza uendelevu wa mazingira kupitia udhibiti bora wa taka na kupunguza utegemezi kwenye vyanzo vya malisho ya nje Wakulima wengi wanapotumia teknolojia hii, tunaweza kutarajia mbinu ya kijani kibichi kwa ufugaji wa samaki ambayo inakidhi mahitaji ya kimataifa huku tukihifadhi mifumo ikolojia ya majini. Kutumia mbinu kama hizi kutasaidia kuhakikisha uwezekano wa mazoea yetu ya uvuvi kwa vizazi vijavyo @wizarayamifugonauvuvi Kwa makala za kuelimisha, fursa na tips za Michongo zilizopo kwenye Sekta ya Kilimo 🚜 Mifugo 🐄 na Uvuvi 🎣 itazame Mchongo TV 📺 saa 24 siku zote kupitia kisumbuzi cha @startimestz CH 134 Azam TV (other channel) CH 019 pamoja na Channel yetu ya Mchongo Television Youtube #MchongoTV #Kilimonimchongo #Kilimokisasa
#Samaki Reel by @wedyansfarm_market - موقعنا بجانب مخبز صحارى جنوب دوار صحارى ب ٤٠ متر  #شيبس_سمكي #samaki
Wedyan's farm market
4.9K
WE
@wedyansfarm_market
موقعنا بجانب مخبز صحارى جنوب دوار صحارى ب ٤٠ متر #شيبس_سمكي #samaki Wedyan's farm market
#Samaki Reel by @foodlovers.tz (verified account) - Wapenzi, hii hapa recipe ya samaki wabichi ya uhakika 👌🏽  #utamu #guaranteed.  

💞 Bila kusahau Follow @mamasitas.tz kuweza kuona recipes nyingine
132.8K
FO
@foodlovers.tz
Wapenzi, hii hapa recipe ya samaki wabichi ya uhakika 👌🏽  #utamu #guaranteed.  💞 Bila kusahau Follow @mamasitas.tz kuweza kuona recipes nyingine na namna ya kutumia  oyster sauce katika mapishi. Mamasita Oyser Sauce @mamasitas.tz zinapatikana supermarkets karibia nchi zima. 🥘  Sufuria nliyopikia na nyingine nyingi mnazipata @agiza_china_store, kwa bei sawa na china, anakutumia popote ulipo. Kupata Mamasita Oyster sauce, 📌 Kwa Dar nenda Shoppers kwa uhakika lakini supermarkets nyingine pia zipo, masoko makubwa yote unazipata kwa wauzaji wa vibanda. 📌Kwa Mwanza nenda Nono supermarkets ipo, U-turn grocery, Protas ( samaki round about & rufiji street ), soko kuu zinauzwa kwenye vibanda vingi tu. 📌 Kwa Moshi & Arusha nenda Panone Supermarkets utazipa, shoppers pia ipo. 📌 Kwa dodoma, shoppers supermarket unazipata. 📌 Kwa morogoro zinauzwa sokoni. 💞 Bila kusahau Follow @mamasitas.tz kuweza kuona recipes nyingine na namna ya kutumia  oyster sauce katika mapishi. Mamasita Oyser Sauce @mamasitas.tz zinapatikana supermarkets karibia nchi zima. Usisahau kumtag rafiki yako mpenda samaki achukue recipe mpya ajilambe

✨ #Samaki Entdeckungsleitfaden

Instagram hostet 193K Beiträge unter #Samaki und schafft damit eines der lebendigsten visuellen Ökosysteme der Plattform.

#Samaki ist derzeit einer der beliebtesten Trends auf Instagram. Mit über 193K Beiträgen in dieser Kategorie führen Creator wie @foodlovers.tz, @hpm_brand and @cookingwithmirah mit ihren viralen Inhalten. Durchsuchen Sie diese beliebten Videos anonym auf Pictame.

Was ist in #Samaki im Trend? Die meistgesehenen Reels-Videos und viralen Inhalte sind oben zu sehen.

Beliebte Kategorien

📹 Video-Trends: Entdecken Sie die neuesten Reels und viralen Videos

📈 Hashtag-Strategie: Erkunden Sie trendige Hashtag-Optionen für Ihren Inhalt

🌟 Beliebte Creators: @foodlovers.tz, @hpm_brand, @cookingwithmirah und andere führen die Community

Häufige Fragen zu #Samaki

Mit Pictame können Sie alle #Samaki Reels und Videos durchsuchen, ohne sich bei Instagram anzumelden. Kein Konto erforderlich und Ihre Aktivität bleibt privat.

Content Performance Insights

Analyse von 12 Reels

✅ Moderate Konkurrenz

💡 Top-Posts erhalten durchschnittlich 445.8K Aufrufe (2.9x über Durchschnitt)

Regelmäßig 3-5x/Woche zu aktiven Zeiten posten

Content-Erstellung Tipps & Strategie

🔥 #Samaki zeigt hohes Engagement-Potenzial - strategisch zu Spitzenzeiten posten

📹 Hochwertige vertikale Videos (9:16) funktionieren am besten für #Samaki - gute Beleuchtung und klaren Ton verwenden

✍️ Detaillierte Beschreibungen mit Story funktionieren gut - durchschnittliche Länge 469 Zeichen

✨ Viele verifizierte Creator sind aktiv (25%) - studieren Sie deren Content-Stil

Beliebte Suchen zu #Samaki

🎬Für Video-Liebhaber

Samaki ReelsSamaki Videos ansehen

📈Für Strategie-Sucher

Samaki Trend HashtagsBeste Samaki Hashtags

🌟Mehr Entdecken

Samaki Entdecken#nguru samaki#ngisi samaki#bwawa la samaki#samaki samaki dar es salaam#samaki mtu#samaki kambale#kolekole samaki#kambale samaki