#Uttamis

Schauen Sie sich 1.3K Reels-Videos über Uttamis von Menschen aus aller Welt an.

Anonym ansehen ohne Anmeldung.

1.3K posts
NewTrendingViral

Trending Reels

(12)
#Uttamis Reel by @utt.amis - Je, Unafahamu jinsi ya kufungua akaunti wenye UTT AMIS APP ? 👆

Karibu Ujiunge kwenye Safari ya Uwekezaji na UTT AMIS.

#investorportal
#uttamis
#uwe
39.6K
UT
@utt.amis
Je, Unafahamu jinsi ya kufungua akaunti wenye UTT AMIS APP ? 👆 Karibu Ujiunge kwenye Safari ya Uwekezaji na UTT AMIS. #investorportal #uttamis #uwekezaji
#Uttamis Reel by @hubofwisdom.inc (verified account) - 📈💡Unasikia kuhusu UTT-Amis lakini hujui inafanya kazi vipi? Hii video ya lisaa limoja kwa ajili yako!
Mwalimu Emilian Busara (C.P.A) anakufafanulia
17.8K
HU
@hubofwisdom.inc
📈💡Unasikia kuhusu UTT-Amis lakini hujui inafanya kazi vipi? Hii video ya lisaa limoja kwa ajili yako! Mwalimu Emilian Busara (C.P.A) anakufafanulia kwa urahisi A–Z kuhusu UTT-Amis, jinsi watu wanavyowekeza kupitia vipande (units) na kupata faida halali bila stress na bila risk. 📈 Angalia kwa njia ya YouTube, search: Hub of Wisdom. 📘 Utajifunza: - UTT-Amis ni nini na inafanya kazi vipi Aina za mifuko ya uwekezaji (unit trusts) - Jinsi ya kuanza kuwekeza kwa kiasi kidogo - Namna ya kupata faida na kurudia uwekezaji wako - Faida za kuwekeza kupitia taasisi rasmi kama UTT-Amis 💰 Huu ndio uwekezaji salama, rahisi na wa uhakika kwa kila Mtanzania anayetaka kukua kifedha sasa usipitwe kuangalia na kujifunza! #UTTAmis #Uwekezaji #EmilianBusara #Fedha #ElimuYaFedha #Vipande #Investment #MaishaBora #NidhamuYaFedha #FinancialGrowthKuona#Biashara #Kazi #Uchumi #fedha #mapato #Mafanikio #Kipato #FedhaSmart #Uwekezaji #BiasharaNdogo #UhuruWaKifedha Welcome to the home of positive vibes!
#Uttamis Reel by @ekmunyagi (verified account) - BOND vs. HISA 

Kila uwekezaji una nafasi yake kwenye portfolio ya muwekezaji. Tofauti kubwa ipo kwenye malengo na uwezo wa kumudu hatari.

Bond zinak
386.0K
EK
@ekmunyagi
BOND vs. HISA Kila uwekezaji una nafasi yake kwenye portfolio ya muwekezaji. Tofauti kubwa ipo kwenye malengo na uwezo wa kumudu hatari. Bond zinakupa uhakika wa mapato ya mara kwa mara (income). Hisa zinakupa nafasi ya kukuza utajiri wako kupitia ongezeko la bei na gawio. Siri ni kuwa na mseto sahihi unaoendana na malengo yako, muda wa uwekezaji, na hatari unazoweza kumudu. Wewe ungewekeza zaidi wapi — kwenye Bond au Hisa? #Uwekezaji #Hisa #Bond #Fedha #UelewaWaFedha #LetsTalkFinance #UwekezajiTanzania #FinancialEducation #WealthBuilding #InvestSmart #MwekezajiMwerevu #CRDB #DSE #UttAmis #BondsVsHisa
#Uttamis Reel by @victor_mwambene - 𝐒𝐎𝐌𝐎 𝐉𝐈𝐏𝐘𝐀 📚: 𝐓𝐀𝐁𝐈𝐀 6 𝐙𝐈𝐍𝐀𝐙𝐎𝐋𝐄𝐓𝐀 𝐔𝐌𝐀𝐒𝐊𝐈𝐍𝐈. 
.
Watu wengi hukosa mafanikio ya kifedha si kwa sababu hawana pesa, bali
7.3K
VI
@victor_mwambene
𝐒𝐎𝐌𝐎 𝐉𝐈𝐏𝐘𝐀 📚: 𝐓𝐀𝐁𝐈𝐀 6 𝐙𝐈𝐍𝐀𝐙𝐎𝐋𝐄𝐓𝐀 𝐔𝐌𝐀𝐒𝐊𝐈𝐍𝐈. . Watu wengi hukosa mafanikio ya kifedha si kwa sababu hawana pesa, bali kwa sababu ya tabia zinazoharibu misingi ya mafanikio yao. Katika video hii, tunajadili tabia sita hatari zinazomfanya mtu kubaki maskini. 💰 Kuishi kwa kuonyesha una pesa nyingi. . 🧾 Kutumia fedha bila mpangilio mzuri. . 🎉 Kupenda starehe kupita kiasi . 😴 Uvivu na kutokujituma . 💸 Kutumia kipato chote bila kuweka akiba . 🧠 Kukosa nidhamu na elimu ya kifedha . Nenda sasa kwenye YouTube Channel yangu ya Victor Mwambene Kupata somo hili lote lenye zaidi ya Dk 25, Pia Usisahau Ku - Subscribe. . Unaweza Kujifunza Mambo mengi kuhusu Kujenga Utajiri wa Kudumu Kupitia Kitabu changu cha AKILI YA FEDHA ambacho ni Tsh 25,000 tu. Pia tembelea YouTube Channel yangu ya Victor Mwambene Kuna masoko marefu kuhusu Biashara na Fedha. ⸻ Kwa Mafunzo au Kupata Vitabu vyangu vya Fedha na Biashara Tafadhali wasiliana nasi. . KUPATA VITABU PIGA 0744126640 au 0766836764. 1. AKILI YA FEDHA. . 2. KANUNI 20 ZA FEDHA. . 3. JINSI YA KUANZISHA NA KUKUZA BIASHARA. . 4. NGUVU YA KUJUA. . Follow Pages yetu hii Mpya kama una Biashara au una Malengo ya kuanzisha Biashara @biasharasoft . #Uwekezaji #FedhaBinafsi #UTTAMIS #HisaZaDSE #victormwambene
#Uttamis Reel by @maombiabdiel.tz - Leo siko hapa kama mtoa elimu ya fedha pekee.
Nipo hapa kama mwekezaji. AGM ya UTT AMIS imenikumbusha kuwa uwekezaji wa kweli una uwazi, uwajibikaji n
344
MA
@maombiabdiel.tz
Leo siko hapa kama mtoa elimu ya fedha pekee. Nipo hapa kama mwekezaji. AGM ya UTT AMIS imenikumbusha kuwa uwekezaji wa kweli una uwazi, uwajibikaji na ushiriki wa wanahisa. Elimu ni muhimu, lakini ushiriki kwenye mfumo ndio uthibitisho halisi. #Mwekezaji #UTTAMIS #AGM #MfukoWaUkwasi #UwekezajiWaKweli NtorontoLegacyServices
#Uttamis Reel by @_yas.eer - UTT AMIS Annual General Meeting ✍️
#agm2025  #uttamis #trending #viral
6.6K
_Y
@_yas.eer
UTT AMIS Annual General Meeting ✍️ #agm2025 #uttamis #trending #viral
#Uttamis Reel by @azamtvtz (verified account) - Mfuko wa Uwekezaji UTT-AMIS umewashauri wananchi kujitokeza kuwekeza katika mifuko yake ili iwe msaada kwao na familia zao katika masuala  mbalimbali
14.4K
AZ
@azamtvtz
Mfuko wa Uwekezaji UTT-AMIS umewashauri wananchi kujitokeza kuwekeza katika mifuko yake ili iwe msaada kwao na familia zao katika masuala mbalimbali ikiwemo mahitaji ya watoto, ukuzaji wa mitaji ya biashara na maandalizi ya kustaafu kupitia mafao. Kwa mujibu wa Afisa Masoko mwandamizi wa UTT-AMIS, Rahim Mwanga amesema, UTT-AMIS imeona ni wakati muafaka kwa jumuiya ya Watanzania kuanza kuelewa elimu umuhimu wa uwekezaji kupitia mifuko hiyo ili kukuza uchumi wao na taifa kwa ujumla akitolea mfano mataifa kama India, Thailand na mingineyo na kwa sasa zina uchumi mkubwa kupitia uwekezaji wa aina hiyo. Afisa mwandamizi huyo wa masoko akitolea ufafanuzi kuhusu uwekezaji huo kwa kutumia Hisa ama dhamana za serikali katika semina kwa wahariri na waandishi wa vyombo vya habari ameainisha pia uwepo wa mifuko tofauti ya uwekezaji ambayo inatoa faida shindani za kati ya asilimia 12 hadi 14 na kuwahimiza waandishi na wahariri hao kuanza kujiwekeza ili waje waishi maisha mazuri baada ya kustaafu. Imeandikwa na Ahimidiwe Olotu na kuhaririwa na @official_jennifersumi ) #uwekezaji #mifuko #hisa #dhamana #kustaafu #uttamis
#Uttamis Reel by @tamarinacakes - Day 1 of 75 hard challenge.

Let's gooo

#75hard #75hardchallenge💪 #uttamis #bake #invest #OMAD
798
TA
@tamarinacakes
Day 1 of 75 hard challenge. Let's gooo #75hard #75hardchallenge💪 #uttamis #bake #invest #OMAD
#Uttamis Reel by @utt.amis - Je, Unafahamu jinsi ya kujisajili kama Mwekezaji Mpya kwenye UTT AMIS Investor Portal? 👆

Karibu Ujiunge kwenye Safari ya Uwekezaji na UTT AMIS.

#in
248.7K
UT
@utt.amis
Je, Unafahamu jinsi ya kujisajili kama Mwekezaji Mpya kwenye UTT AMIS Investor Portal? 👆 Karibu Ujiunge kwenye Safari ya Uwekezaji na UTT AMIS. #investorportal #uttamis #uwekezaji
#Uttamis Reel by @victor_mwambene - Kwa Mafunzo au Kupata Vitabu vyangu vya Fedha na Biashara Tafadhali wasiliana nasi. 
.
KUPATA VITABU PIGA 0744126640 au 0766836764.
.
1. AKILI YA FEDH
1.2K
VI
@victor_mwambene
Kwa Mafunzo au Kupata Vitabu vyangu vya Fedha na Biashara Tafadhali wasiliana nasi. . KUPATA VITABU PIGA 0744126640 au 0766836764. . 1. AKILI YA FEDHA. . 2. KANUNI 20 ZA FEDHA. . 3. JINSI YA KUANZISHA NA KUKUZA BIASHARA. . 4. NGUVU YA KUJUA. . Follow page yetu hii kwa elimu zaidi kuhusu Biashara @biasharasoft . #Uwekezaji #FedhaBinafsi #UTTAMIS #HisaZaDSE #victormwambene
#Uttamis Reel by @utt.amis - Anza mwaka 2025 kwa kuwekeza na UTT AMIS!

Unaweza kutazama video zilizopo katika channel yetu ya youtube kupata maelezo ya mifuko inayosimamiwa na UT
114.6K
UT
@utt.amis
Anza mwaka 2025 kwa kuwekeza na UTT AMIS! Unaweza kutazama video zilizopo katika channel yetu ya youtube kupata maelezo ya mifuko inayosimamiwa na UTT AMIS. Halafu fuata maelekezo yaliyo katika video hii ili uanze kuwekeza nasi. UTT AMIS ni Mshirika hakika katika uwekezaji wako!! #UkuajiWaPamoja #UTTAMIS #UTTAMIS #Uwekezaji #MutualFunds #Fedha #JifunzeUwekezaji #UkuajiWaPamoja #UTTAMIS #retirement #personalfinance #investing #retirementplanning #retirementgoals #UTTAMIS #mifukoyetu #vipande #wekeza #akiba #akibahaiozi #saving #investement #save #children #investinginchildren #childrenandfinance #financeforkids #future #teachthemyoung #teachchildren
#Uttamis Reel by @victor_mwambene - KANUNI ZA KUJENGA UTAJIRI AMBAZO 90% YA WATU HAWAZIJUI KABISA.
.
1️⃣ The Law of Uncommon Path - Kanuni ya Njia Isiyo ya Kawaida

Watu wengi hufuata nj
1.2K
VI
@victor_mwambene
KANUNI ZA KUJENGA UTAJIRI AMBAZO 90% YA WATU HAWAZIJUI KABISA. . 1️⃣ The Law of Uncommon Path – Kanuni ya Njia Isiyo ya Kawaida Watu wengi hufuata njia ile ile ambayo kila mtu anafuata. Lakini mara nyingi utajiri hupatikana kwa watu wanaochagua njia tofauti na watu wengi. To build wealth, sometimes you must take a path that most people are not willing to take. 2️⃣ The Law of Personal Identity – Kanuni ya Utambulisho wa Nafsi Maisha yako ya kifedha mara nyingi huendana na jinsi unavyojiona wewe mwenyewe. Kama unajiona mtu wa kawaida, utaishi maisha ya kawaida. Lakini kama unajiona kama mtu mwenye uwezo mkubwa, utaanza kufanya maamuzi makubwa zaidi. Your financial life will always reflect the identity you believe about yourself. 3️⃣ The Law of Spiritual Capital – Kanuni ya Mtaji wa Kiroho Mbali na mtaji wa fedha, kuna kitu kinachoitwa spiritual capital. Huu ni mtaji unaotokana na maadili, uadilifu, imani na tabia nzuri ambazo hujenga uaminifu na fursa katika maisha. Sometimes the greatest opportunities in life come from character, integrity and faith. 4️⃣ The Law of Problem Solving – Kanuni ya Kutatua Matatizo Utajiri mkubwa duniani unatokana na uwezo wa kutatua matatizo ya watu. Kadiri tatizo unaloweza kutatua linavyokuwa kubwa, ndivyo thamani yako na kipato chako vinavyoongezeka. Wealth is created by solving problems that many people face. 🎥 Tazama video hii YouTube mpaka mwisho ujifunze jinsi kanuni hizi nne zinavyoweza kubadilisha maisha yako ya kifedha. . Kwa Mafunzo au Kupata Vitabu vyangu vya Fedha na Biashara Tafadhali wasiliana nasi. . KUPATA VITABU PIGA 0744126640 au 0766836764. . 1. AKILI YA FEDHA. . 2. KANUNI 20 ZA FEDHA. . 3. JINSI YA KUANZISHA NA KUKUZA BIASHARA. . 4. NGUVU YA KUJUA. . Follow page yetu hii kwa elimu zaidi kuhusu Biashara @biasharasoft . #Uwekezaji #FedhaBinafsi #UTTAMIS hisazadse

✨ #Uttamis Entdeckungsleitfaden

Instagram hostet 1K Beiträge unter #Uttamis und schafft damit eines der lebendigsten visuellen Ökosysteme der Plattform.

Entdecken Sie die neuesten #Uttamis Inhalte ohne Anmeldung. Die beeindruckendsten Reels unter diesem Tag, besonders von @ekmunyagi, @utt.amis and @hubofwisdom.inc, erhalten massive Aufmerksamkeit.

Was ist in #Uttamis im Trend? Die meistgesehenen Reels-Videos und viralen Inhalte sind oben zu sehen.

Beliebte Kategorien

📹 Video-Trends: Entdecken Sie die neuesten Reels und viralen Videos

📈 Hashtag-Strategie: Erkunden Sie trendige Hashtag-Optionen für Ihren Inhalt

🌟 Beliebte Creators: @ekmunyagi, @utt.amis, @hubofwisdom.inc und andere führen die Community

Häufige Fragen zu #Uttamis

Mit Pictame können Sie alle #Uttamis Reels und Videos durchsuchen, ohne sich bei Instagram anzumelden. Kein Konto erforderlich und Ihre Aktivität bleibt privat.

Content Performance Insights

Analyse von 12 Reels

✅ Moderate Konkurrenz

💡 Top-Posts erhalten durchschnittlich 197.2K Aufrufe (2.8x über Durchschnitt)

Regelmäßig 3-5x/Woche zu aktiven Zeiten posten

Content-Erstellung Tipps & Strategie

🔥 #Uttamis zeigt hohes Engagement-Potenzial - strategisch zu Spitzenzeiten posten

✨ Viele verifizierte Creator sind aktiv (25%) - studieren Sie deren Content-Stil

✍️ Detaillierte Beschreibungen mit Story funktionieren gut - durchschnittliche Länge 645 Zeichen

📹 Hochwertige vertikale Videos (9:16) funktionieren am besten für #Uttamis - gute Beleuchtung und klaren Ton verwenden

Beliebte Suchen zu #Uttamis

🎬Für Video-Liebhaber

Uttamis ReelsUttamis Videos ansehen

📈Für Strategie-Sucher

Uttamis Trend HashtagsBeste Uttamis Hashtags

🌟Mehr Entdecken

Uttamis Entdecken#utt amis (utt.amis) latest#uwekezaji@uttamis.co.tz#agm uttamis co tz#uwekezaji@uttamis#utt (utt.amis) latest#uttamis portal