#Crdb

Schauen Sie sich 68K Reels-Videos über Crdb von Menschen aus aller Welt an.

Anonym ansehen ohne Anmeldung.

68K posts
NewTrendingViral

Trending Reels

(12)
#Crdb Reel by @bro.babuu - Huu wakati ungerudi? #babuuhisa #hisa #wekeza #crdb
35.1K
BR
@bro.babuu
Huu wakati ungerudi? #babuuhisa #hisa #wekeza #crdb
#Crdb Reel by @miss_wanda_gordon (verified account) - Kwa ambao hamjaelewa, Hisa za CRDB zimepata ongezeko la bei ya kipande ya Tshs 160 kutoka Tshs 1,160 tarehe 5 Dec hadi Tshs 1,320 tarehe 12 Dec.

Kwah
26.4K
MI
@miss_wanda_gordon
Kwa ambao hamjaelewa, Hisa za CRDB zimepata ongezeko la bei ya kipande ya Tshs 160 kutoka Tshs 1,160 tarehe 5 Dec hadi Tshs 1,320 tarehe 12 Dec. Kwahiyo kwa mtu anayemiliki hisa 100,000 za CRDB ametengeneza Faida ya Tshs 16 M ndani ya wiki moja tu! Hiyo sasa ndio inaitwa Capital Gain. 😎 #viral #trending #explore #fyp #explorepage #trendingreels #trendingreels #instagramreels #explorepage✨
#Crdb Reel by @prisca__lyimo (verified account) - CRDB Bank is back, bigger and better!
Tumeboresha mfumo wetu kutoka wa zamani hadi mpya, wa kisasa na wa kuaminika zaidi.

Sasa unaweza kufurahia hudu
63.9K
PR
@prisca__lyimo
CRDB Bank is back, bigger and better! Tumeboresha mfumo wetu kutoka wa zamani hadi mpya, wa kisasa na wa kuaminika zaidi. Sasa unaweza kufurahia huduma kikamilifu kupitia matawi yetu yote, SimBanking na ATM, popote ulipo. 🙌 Huduma bora, sasa safi zaidi kuliko wakati wowote! CRDB, Benki inauomsikiliza mteja
#Crdb Reel by @crdbbankplc (verified account) - First Eleven ya Namanga imetoka 😊 

Kikosi kazi cha tawi letu jipya la Namanga kipo fiti kukupa huduma zenye mtelezo utakaokupunguzia gharama, kukuje
158.0K
CR
@crdbbankplc
First Eleven ya Namanga imetoka 😊 Kikosi kazi cha tawi letu jipya la Namanga kipo fiti kukupa huduma zenye mtelezo utakaokupunguzia gharama, kukujengea rekodi nzuri ya kukopesheka na ofa kibao. Kapteni wa timu hii ni mshambuliaji hodari kwenye masuala ya huduma bora, Meneja wa tawi la CRDB Namanga Bi Neema Leizer. Karibuni sana tawini kwa huduma za Kibenki 🙏🏼 #swahibanaweweumo #crdbbank #tunakusikiliza
#Crdb Reel by @ekmunyagi (verified account) - Rafiki wa nne aliamua kununua hisa za Benki ya CRDB badala ya kukimbilia kujenga mara moja, kwa sababu CRDB ni kampuni kubwa na yenye historia nzuri y
35.0K
EK
@ekmunyagi
Rafiki wa nne aliamua kununua hisa za Benki ya CRDB badala ya kukimbilia kujenga mara moja, kwa sababu CRDB ni kampuni kubwa na yenye historia nzuri ya kutoa gawio kila mwaka. Kwa kuendelea kuwekeza tena (reinvest) gawio alilokuwa analipwa kila mwaka, hivi sasa angekuwa na zaidi ya hisa 100,000 ambazo thamani yake leo ni zaidi ya Tsh 100,000,000! Hii ingempa uwezo wa kutumia sehemu ya mtaji huo kujenga nyumba, huku akibakisha sehemu nyingine ikiendelea kuongezeka thamani. Faida ya njia hii ni kujenga utajiri mkubwa kupitia ukuaji wa mtaji na gawio. Changamoto ni kwamba soko la hisa lina mabadiliko, hivyo thamani inaweza kupanda au kushuka kulingana na mwenendo wa biashara na uchumi. Je, wewe ungeweza kusubiri miaka kadhaa ili kujenga nyumba yako huku ukijenga pia utajiri wako, au ungetaka kujenga nyumba mara moja kwa njia nyingine? Share nasi mawazo yako. #LetsTalkFinance #Fedha #Uwekezaji #Ujenzi #KujengaNyumba #Mikopo #ElimuYaFedha #SafariYaUwekezaji #NdotoZaMakazi #SokoLaHisa #Hisa #MarafikiWanne
#Crdb Reel by @cloudsfmtz (verified account) - CRDB  BANK YAMFUNGULIA JANUARY BABA CHILAKA.

Yamuahidi TemboCard Prepaid ya Laki Tano akifika Makao Makuu CRDB.
1.6M
CL
@cloudsfmtz
CRDB BANK YAMFUNGULIA JANUARY BABA CHILAKA. Yamuahidi TemboCard Prepaid ya Laki Tano akifika Makao Makuu CRDB.
#Crdb Reel by @rbei_classes - The session was an eye-opener! 🌟
Meet Neema Machimu, Risk and Compliance Manager at CRDB Insurance (Tanzania). She recently wrapped up an intensive s
511
RB
@rbei_classes
The session was an eye-opener! 🌟 Meet Neema Machimu, Risk and Compliance Manager at CRDB Insurance (Tanzania). She recently wrapped up an intensive session on Advanced Enterprise Risk Management with Mr. Deepak Goyal, and the impact has been transformative. Neema shares how the training shifted her perspective from viewing risk in silos (credit, operational, market) to understanding Enterprise Risk Management (ERM) as a holistic process. #RiskManagement #CRDB #CareerGrowth #FRM #CFA #EnterpriseRisk #ProfessionalDevelopment #Testimonial
#Crdb Reel by @cloudsfmtz (verified account) - Ile vibe wako nayo @officialcherryna na @prisca__lyimo kwa kuzimaliza KM kwenye CRDB International Marathon 2025 #CRDBMarathon2025
125.4K
CL
@cloudsfmtz
Ile vibe wako nayo @officialcherryna na @prisca__lyimo kwa kuzimaliza KM kwenye CRDB International Marathon 2025 #CRDBMarathon2025
#Crdb Reel by @denzel_trainer - HERE WITH MANAGING DIRECTOR OF CRDB FOUNDATION AND CORPORATE AFFAIRS AT CRDB BANK MADAM TULLY ESTHER MWAMBAPA

Huyu ni Mmoja ya wakina Mama mahili na
69.6K
DE
@denzel_trainer
HERE WITH MANAGING DIRECTOR OF CRDB FOUNDATION AND CORPORATE AFFAIRS AT CRDB BANK MADAM TULLY ESTHER MWAMBAPA Huyu ni Mmoja ya wakina Mama mahili na shupavu sana kuwahi kutokea katika nchi hii, ni mtu mcheshi, mkarimu na kupenda majukumu yake yafanyike kwa wakati, kwa wanao mjua watanielewa. Kikubwa naomba kutoa shukrani zangu kubwa kwako kwa kuweza kuniamini na kuniweka kwenye ubora wa vijana wako wenye uweledi wakuweza kuwa mmoja wa Mabalozi hapo CRDB BANK na kuhusika siku ya jumapili katika mbio za CRDB MARATHON, DENZEL TRAINER nitatumika ipasavyo katika kuhakikisha watu wana ridhika.
#Crdb Reel by @wasafifm (verified account) - CRDB TUNA MIKOPO ISIYOHITAJI
DHAMANA YOYOTE

Jioni Hii Ndani Ya Kipindi Cha @jananaleowasafifmtz Tumekuwa Na Ugeni Mzito Kutoka BENKI Ya CRDB 

crdbba
54.0K
WA
@wasafifm
CRDB TUNA MIKOPO ISIYOHITAJI DHAMANA YOYOTE Jioni Hii Ndani Ya Kipindi Cha @jananaleowasafifmtz Tumekuwa Na Ugeni Mzito Kutoka BENKI Ya CRDB crdbbankplc With: @adellatillya & @officialbabalevo & @edokumwembe & @oscaroscarjr #JanaNaLeo #WasafiFM #HiiNiYetuSote
#Crdb Reel by @sokonifix - Historia fupi ya CEO wa CRDB Abdulmajid Nsekela namna na mwaka ambao alianza kufanya kazi CRDB 

#sokonifix #entrepreneurship
278.7K
SO
@sokonifix
Historia fupi ya CEO wa CRDB Abdulmajid Nsekela namna na mwaka ambao alianza kufanya kazi CRDB #sokonifix #entrepreneurship

✨ #Crdb Entdeckungsleitfaden

Instagram hostet 68K Beiträge unter #Crdb und schafft damit eines der lebendigsten visuellen Ökosysteme der Plattform.

#Crdb ist derzeit einer der beliebtesten Trends auf Instagram. Mit über 68K Beiträgen in dieser Kategorie führen Creator wie @cloudsfmtz, @sokonifix and @crdbbankplc mit ihren viralen Inhalten. Durchsuchen Sie diese beliebten Videos anonym auf Pictame.

Was ist in #Crdb im Trend? Die meistgesehenen Reels-Videos und viralen Inhalte sind oben zu sehen.

Beliebte Kategorien

📹 Video-Trends: Entdecken Sie die neuesten Reels und viralen Videos

📈 Hashtag-Strategie: Erkunden Sie trendige Hashtag-Optionen für Ihren Inhalt

🌟 Beliebte Creators: @cloudsfmtz, @sokonifix, @crdbbankplc und andere führen die Community

Häufige Fragen zu #Crdb

Mit Pictame können Sie alle #Crdb Reels und Videos durchsuchen, ohne sich bei Instagram anzumelden. Kein Konto erforderlich und Ihre Aktivität bleibt privat.

Content Performance Insights

Analyse von 12 Reels

✅ Moderate Konkurrenz

💡 Top-Posts erhalten durchschnittlich 529.0K Aufrufe (2.6x über Durchschnitt)

Regelmäßig 3-5x/Woche zu aktiven Zeiten posten

Content-Erstellung Tipps & Strategie

🔥 #Crdb zeigt hohes Engagement-Potenzial - strategisch zu Spitzenzeiten posten

📹 Hochwertige vertikale Videos (9:16) funktionieren am besten für #Crdb - gute Beleuchtung und klaren Ton verwenden

✍️ Detaillierte Beschreibungen mit Story funktionieren gut - durchschnittliche Länge 334 Zeichen

✨ Viele verifizierte Creator sind aktiv (58%) - studieren Sie deren Content-Stil

Beliebte Suchen zu #Crdb

🎬Für Video-Liebhaber

Crdb ReelsCrdb Videos ansehen

📈Für Strategie-Sucher

Crdb Trend HashtagsBeste Crdb Hashtags

🌟Mehr Entdecken

Crdb Entdecken#crdb wakala#crdb customer care whatsapp number 24 hours#crdb huduma kwa wateja#crdb customer care#bei ya hisa za crdb 2026#crdb whatsapp number 24 hours#hisa za crdb#imbeju crdb