#Fursa

Schauen Sie sich 51K Reels-Videos über Fursa von Menschen aus aller Welt an.

Anonym ansehen ohne Anmeldung.

51K posts
NewTrendingViral

Trending Reels

(12)
#Fursa Reel by @kelvinkibenje (verified account) - Ukiangalia hii mashine na ukafikiria hardware zilizopo mjini na ujenzi wa kila siku unaona fursa kubwa....

Lakini ukweli Biashara sio kumiliki mashin
268.6K
KE
@kelvinkibenje
Ukiangalia hii mashine na ukafikiria hardware zilizopo mjini na ujenzi wa kila siku unaona fursa kubwa.... Lakini ukweli Biashara sio kumiliki mashine na kuzalisha... Biashara ni kujua Namna ya kuliteka soko, kulitawala na kukaa sokoni kwa muda mrefu. China hii 40M unapata.. Bongo pia used zipo
#Fursa Reel by @kipaza_afrika_mashariki - Justin Bahati, kijana mbunifu wa Kitanzania ameona fursa ambayo haikuonwa na wengi.

Kupitia kampuni ya Dry Food Product, inayochakata nyanya na kuzig
56.7K
KI
@kipaza_afrika_mashariki
Justin Bahati, kijana mbunifu wa Kitanzania ameona fursa ambayo haikuonwa na wengi. Kupitia kampuni ya Dry Food Product, inayochakata nyanya na kuzigeuza kuwa unga amewapa wakulima wa nyanya ujasiri kutokana na uhakika wa soko unaotokana na kupanda kwa thamani ya zao hilo.
#Fursa Reel by @queenie_masanja (verified account) - Naomba kuchukua Fursa hii kuwakaribisha Wazazi wa boys Kwenye duka la nguo lililopo Ubungo stand ya mkoa zamani duka no E2-27  @poapoa25_fashion @poap
351.1K
QU
@queenie_masanja
Naomba kuchukua Fursa hii kuwakaribisha Wazazi wa boys Kwenye duka la nguo lililopo Ubungo stand ya mkoa zamani duka no E2-27 @poapoa25_fashion @poapoa25_fashion JUMLA NA REJAREJA 0699 829 323 au 0795 884 885
#Fursa Reel by @mamasubmeter_tz - Submeter sio kifaa cha ziada ❌
Ni suluhisho la migogoro ya umeme, hasara na malalamiko ya kila mwezi ⚡
Kama unauza au unafunga vifaa vya umeme, hii ni
165.2K
MA
@mamasubmeter_tz
Submeter sio kifaa cha ziada ❌ Ni suluhisho la migogoro ya umeme, hasara na malalamiko ya kila mwezi ⚡ Kama unauza au unafunga vifaa vya umeme, hii ni fursa 💡 Elimu sahihi = wateja wa kudumu. 📩 DM kwa ushauri na huduma. #SubmeterTanzania #UmemeTz #VifaaVyaUmeme #ElectricalSupplies #HardwareTz
#Fursa Reel by @eastafricaradio - #TwenzetuSokoni: Mkufunzi wa masuala ya kibishara, Coach Ahmed Mohammed Ahmed, anawasanua vijana kuhusu mambo ya muhimu ambayo wakiyafanya basi wanawe
610.8K
EA
@eastafricaradio
#TwenzetuSokoni: Mkufunzi wa masuala ya kibishara, Coach Ahmed Mohammed Ahmed, anawasanua vijana kuhusu mambo ya muhimu ambayo wakiyafanya basi wanaweza kutoboa ndani ya wmaka mmoja tu. 🕒 Usikose #TwenzetuSokoni kila Jumatatu hadi Ijumaa | Saa 3:00 - 4:00 Asubuhi kupitia East Africa Radio! 📻 Maarifa, fursa na mbinu za kibiashara zinazobadili maisha! #EastAfricaRadio #HainaKuchoka #FursaZaBiashara #TwenzetuSokoni
#Fursa Reel by @jambo_online_tv - VIDEO:

Serikali imetoa mwito kwa Watanzania wanaomiliki maeneo makubwa ya ardhi kuacha kuyaweka kama akiba ya kijadi na badala yake kuyatumia kama fu
163.4K
JA
@jambo_online_tv
VIDEO: Serikali imetoa mwito kwa Watanzania wanaomiliki maeneo makubwa ya ardhi kuacha kuyaweka kama akiba ya kijadi na badala yake kuyatumia kama fursa kwa kuyaunganisha na wawekezaji wenye mitaji. Akizungumza katika uzinduzi wa Kampeni ya Kuhamasisha Uwekezaji wa Ndani na Mkutano na Wawekezaji wa Kimkakati, leo Januari 16, 2026, jijini Dar es Salaam, Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais- Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Mkumbo, amesema kuwa kumiliki ardhi bila kuiunganisha na mtaji au teknolojia hakumnufaishi mmiliki wala taifa kiuchumi. Amewataka wananchi kuitumia Mamlaka ya Uwekezaji na Maeneo Maalum ya Kiuchumi Tanzania (TISEZA) ili kupata wabia wa kibiashara. Aidha, Prof. Mkumbo amesisitiza kuwa uwekezaji wa ndani lazima uende sambamba na uwekezaji wa kigeni (FDI) kwani nchi bado inahitaji teknolojia na mitaji mikubwa kutoka nje.
#Fursa Reel by @chapchap.china_tz (verified account) - Fursa ya kuosha viatu kama ilivyo watu hupeleka nguo kufuliwa kwenye dry cleaner basi na hii fursa ya viatu usiipuuzie 

Nunua mashine ya kuoshea viat
77.1K
CH
@chapchap.china_tz
Fursa ya kuosha viatu kama ilivyo watu hupeleka nguo kufuliwa kwenye dry cleaner basi na hii fursa ya viatu usiipuuzie Nunua mashine ya kuoshea viatu kwenye ChapChap App kisha nenda kapige kazi 📲Download ChapChap App kulipia ☎️Wasiliana nasi 0657254798
#Fursa Reel by @carrymastorytv2 (verified account) - Kuna mchongo uku wa million 50 ila uje na ushahidi changamkia fursa 😂😂😂😂😂😂😂😂 kama nawaona Wadada wa mjini..ila usije ukajutia maneno yako @nan
510.5K
CA
@carrymastorytv2
Kuna mchongo uku wa million 50 ila uje na ushahidi changamkia fursa 😂😂😂😂😂😂😂😂 kama nawaona Wadada wa mjini..ila usije ukajutia maneno yako @nanasilimited 🤔🤔🤔 @rojamastory @chipu_bongo @chipu_bongo
#Fursa Reel by @tbc_online (verified account) - Serikali imewataka wahitimu wa Kidato cha Nne mwaka 2025 kutumia kikamilifu fursa ya kubadilisha machaguo ya tahasusi na kozi kupitia mfumo wa mtandao
199.1K
TB
@tbc_online
Serikali imewataka wahitimu wa Kidato cha Nne mwaka 2025 kutumia kikamilifu fursa ya kubadilisha machaguo ya tahasusi na kozi kupitia mfumo wa mtandao wa Selform, zoezi linaloanza rasmi Aprili 11 hadi Mei 10, 2026. Akizungumza leo Aprili 11, 2026 jijini Dodoma, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (TAMISEMI), Profesa Riziki Shemdoe, amesema muda uliotolewa unatosha kwa kila mhitimu kufanya marekebisho sahihi ya machaguo yao, huku akisisitiza kuwa kuchelewa au kushindwa kufanya mabadiliko kunaweza kusababisha changamoto baada ya matokeo kutangazwa. Amesema wahitimu wanapaswa kutafuta ushauri wa kitaaluma kabla ya kufanya mabadiliko ya tahasusi au kozi ili kuhakikisha maamuzi yao yanaendana na uwezo wao na matokeo ya mtihani wa taifa. Ameongeza kuwa baada ya dirisha la marekebisho kufungwa hakutakuwa na nafasi ya kushughulikia malalamiko yoyote yatakayohusiana na machaguo, hivyo ni muhimu kwa wahusika kuzingatia muda uliopangwa. Aidha, huduma ya kubadilisha machaguo imetolewa bure, huku wanafunzi wakihimizwa kutumia dawati la huduma kwa wateja endapo watakumbana na changamoto katika mfumo huo.
#Fursa Reel by @eastafricaradio - #TwenzetuSokoni: Mtaalamu wa masuala ya mauzo @amosinyanda ametoa mbinu kali za kukabiliana na vipingamizi vya wateja, kama mteja wako ukimfanyia hivi
64.8K
EA
@eastafricaradio
#TwenzetuSokoni: Mtaalamu wa masuala ya mauzo @amosinyanda ametoa mbinu kali za kukabiliana na vipingamizi vya wateja, kama mteja wako ukimfanyia hivi basi atanunua tu. 🕒 Usikose #TwenzetuSokoni kila Ju#twenzetusokonifamily umaa | Saa 3:00 - 4:00 Asubuhi kupitia East Africa Radio! 📻 Maarifa, fursa na mbinu za kibiashara zinazobadili maisha! #EastAfricaRadio #HainaKuchoka #FursaZaBiashara #TwenzetuSokoni
#Fursa Reel by @miss_navinaj (verified account) - 📍Na leo nimemaliza kupitia mawazo yaliyotumwa kwenye fursa ya shindano la mawazo bora ya kidigitali yatakayofikia hasa makundi yanayosahaulika. 

1 T
95.4K
MI
@miss_navinaj
📍Na leo nimemaliza kupitia mawazo yaliyotumwa kwenye fursa ya shindano la mawazo bora ya kidigitali yatakayofikia hasa makundi yanayosahaulika. 1 Tanzania, 27 Kenyans, 11 Ugandans, 13 Rwanda, over 90% Europe & US, 📍My heart is torn into pieces today🥹🥹🥹 @innocentgrant1 @carie__joe @allenkaiza_ @aphiber @elizabeth_baluze @reginamagoke @ireneiraba__ @faraji_h_emily Mbona hamja-apply?

✨ #Fursa Entdeckungsleitfaden

Instagram hostet 51K Beiträge unter #Fursa und schafft damit eines der lebendigsten visuellen Ökosysteme der Plattform.

#Fursa ist derzeit einer der beliebtesten Trends auf Instagram. Mit über 51K Beiträgen in dieser Kategorie führen Creator wie @eastafricaradio, @carrymastorytv2 and @queenie_masanja mit ihren viralen Inhalten. Durchsuchen Sie diese beliebten Videos anonym auf Pictame.

Was ist in #Fursa im Trend? Die meistgesehenen Reels-Videos und viralen Inhalte sind oben zu sehen.

Beliebte Kategorien

📹 Video-Trends: Entdecken Sie die neuesten Reels und viralen Videos

📈 Hashtag-Strategie: Erkunden Sie trendige Hashtag-Optionen für Ihren Inhalt

🌟 Beliebte Creators: @eastafricaradio, @carrymastorytv2, @queenie_masanja und andere führen die Community

Häufige Fragen zu #Fursa

Mit Pictame können Sie alle #Fursa Reels und Videos durchsuchen, ohne sich bei Instagram anzumelden. Kein Konto erforderlich und Ihre Aktivität bleibt privat.

Content Performance Insights

Analyse von 12 Reels

✅ Moderate Konkurrenz

💡 Top-Posts erhalten durchschnittlich 435.3K Aufrufe (1.9x über Durchschnitt)

Regelmäßig 3-5x/Woche zu aktiven Zeiten posten

Content-Erstellung Tipps & Strategie

💡 Top-Content erhält über 10K Aufrufe - fokussieren Sie auf die ersten 3 Sekunden

📹 Hochwertige vertikale Videos (9:16) funktionieren am besten für #Fursa - gute Beleuchtung und klaren Ton verwenden

✨ Viele verifizierte Creator sind aktiv (50%) - studieren Sie deren Content-Stil

✍️ Detaillierte Beschreibungen mit Story funktionieren gut - durchschnittliche Länge 399 Zeichen

Beliebte Suchen zu #Fursa

🎬Für Video-Liebhaber

Fursa ReelsFursa Videos ansehen

📈Für Strategie-Sucher

Fursa Trend HashtagsBeste Fursa Hashtags

🌟Mehr Entdecken

Fursa Entdecken#ujuzi fursa africa#fursa travel#fursa snake#fursa za kazi#fursa za biashara#fursa za ajira#fursa hub#fursa store