#Dhamar

Watch 24K Reels videos about Dhamar from people all over the world.

Watch anonymously without logging in.

24K posts
NewTrendingViral

Trending Reels

(12)
#Dhamar Reel by @mohamed____hhj - ​شاهدو.. جمال قاع ذمار بوشاحه الأخضر، مناظر ترد الروح وتفتح النفس بعد الغيث 🌧️🌿
#ذمار_الآن #أجواء_خرافية #Yemen #Dhamar
1.1K
MO
@mohamed____hhj
​شاهدو.. جمال قاع ذمار بوشاحه الأخضر، مناظر ترد الروح وتفتح النفس بعد الغيث 🌧️🌿 #ذمار_الآن #أجواء_خرافية #Yemen #Dhamar
#Dhamar Reel by @amarujala (verified account) - Padmshri Gundecha Brothers से ध्रुपद-धमार की गायकी सुनिए और समझिए।

#gundechabrothers #dhrupaddhamar #dhrupad
#gundechabrothers #dhrupaddhamar #dhrupa
2.6K
AM
@amarujala
Padmshri Gundecha Brothers से ध्रुपद-धमार की गायकी सुनिए और समझिए। #gundechabrothers #dhrupaddhamar #dhrupad #gundechabrothers #dhrupaddhamar #dhrupad #dhamar #padmshriumakantgundecha #amarujala #exclusiveinteveiw #classicalmusic
#Dhamar Reel by @b1.bihar - धमार का सूर्य देव मंदिर Drone shoot.!
.
.
.
.

.
#b1bihar #ara #dhamar #mandir #explorer
4.5K
B1
@b1.bihar
धमार का सूर्य देव मंदिर Drone shoot.! . . . . . #b1bihar #ara #dhamar #mandir #explorer
#Dhamar Reel by @unicef_yemen (verified account) - Discover the inspiring journey of Mohammed Hasan, the engineer behind UNICEF's largest solar power #water project in #Dhamar. Hear his personal story
489
UN
@unicef_yemen
Discover the inspiring journey of Mohammed Hasan, the engineer behind UNICEF's largest solar power #water project in #Dhamar. Hear his personal story contributing to Yemen's sustainable future. Together, we're building resilience and empowering local communities #ForEveryChild.
#Dhamar Reel by @gulftoday (verified account) - US launches air attacks on Houthi rebels in 3 Yemeni cities.
.
Read the full article ➡️LINK IN BIO⁠ ⁠ ⁠ ⁠ ⁠
.
.
.
.
#usa #britain #airstrike #yemen #h
5.6K
GU
@gulftoday
US launches air attacks on Houthi rebels in 3 Yemeni cities. . Read the full article ➡️LINK IN BIO⁠ ⁠ ⁠ ⁠ ⁠ . . . . #usa #britain #airstrike #yemen #houthi #news #attack #sanaa #hodeidah #dhamar #raid #bombing #breakingnews #israel #iran #gulf #aden #gulfnews #gulftoday
#Dhamar Reel by @unicef_yemen (verified account) - To prevent waterborne diseases and promote #hygiene and #health, UNICEF supported the provision of latrines and waste disposal solutions in Rasab Al-S
462
UN
@unicef_yemen
To prevent waterborne diseases and promote #hygiene and #health, UNICEF supported the provision of latrines and waste disposal solutions in Rasab Al-Safil village, #Dhamar Governorate. Learn more about this life-saving intervention through this video. Thanks to funding from the @foreignanddevelopmentoffice. #ForEveryChild, health and hygiene
#Dhamar Reel by @voaswahili (verified account) - Kanda ya video iliyopokelewa na Reuters na kuisambaza Alhamisi (Januari 18) ilionyesha mlipuko katika mji wa Dhamar, Yemen wakati wa usiku. Reuters ha
14.1K
VO
@voaswahili
Kanda ya video iliyopokelewa na Reuters na kuisambaza Alhamisi (Januari 18) ilionyesha mlipuko katika mji wa Dhamar, Yemen wakati wa usiku. Reuters haijaweza kuthibitisha muda ambao video hiyo ilichukuliwa.⁣ Shirika la habari linalodhibitiwa na kikundi cha Wahouthi lilisema Alhamisi kuwa ndege za Marekani na Uingereza zilishambulia maeneo kadhaa ya Yemen, ikiwa ni mikoa ya Hodeidah, Taiz, Dhamar, al Bayda and Saada.⁣ Marekani iliendesha mashambulizi mengine kadhaa dhidi ya malengo ya Wahouthi huko Yemen Jumatano (Januari 17) maafisa wa Marekani waliiambia Reuters.⁣ #Haifa ⁣⁣⁣⁣⁣#waelaldahdouh #hamzaaldahdouh #shirikalamwezimwekundu⁣⁣⁣⁣ #Rafah #Netanyahu #Misri #Hamas #Gaza #Palestina #IDF #GalMeirEizenkot #mauaji #jeshi #israel #voa #voaswahili #mwandishi #aljazeera #maghazi #wahouthi #marekani #uingereza #shambulizi #dhamar #yemen
#Dhamar Reel by @voaswahili (verified account) - Iran imesema Jumatano itajibu vitisho vyovyote vinavyo tolewa na Marekani, Kamanda Mkuu wa jeshi la Walinzi wa Mapinduzi wa Jamhuri ya Kiislam maarufu
12.8K
VO
@voaswahili
Iran imesema Jumatano itajibu vitisho vyovyote vinavyo tolewa na Marekani, Kamanda Mkuu wa jeshi la Walinzi wa Mapinduzi wa Jamhuri ya Kiislam maarufu Republikan Guard, Jenerali Hossein Salami alisema Jumatano (Januari 31), wakati Washington ikijiandaa kujibu kisasi cha mauaji ya wanajeshi wa Marekani ikidaiwa yamefanywa na wanamgambo wenye mafungamano na Tehran. ⁣ ⁣ Wakati wa hafla rasmi, Salami alisema Tehran inasikia “vitisho vingi kutoka kwa maafisa wa Marekani,” akiongeza kuwa “hakuna vitisho vitaachwa bila ya kujibiwa” Salami pia alisema nchi hiyo haitafuti kuanzisha vita, lakini alidai kuwa wao hawaiogopi.⁣ ⁣ Kauli hiyo imekuja wakati Marekani inajitayarisha “kuchukua hatua kadhaa” kujibu shambulizi la droni ya wanamgambo wanaoungwa mkono na Iran iliyouwa wanajeshi wa Marekani, Kataib Hezbollah, moja ya washirika wakuu wa Iran walio na nguvu zaidi wenye makao yao Iraq, wametangaza wanasitisha operesheni zote za kijeshi dhidi ya vikosi vya Marekani katika eneo hilo. ⁣ ⁣ Akizungumza na waandishi wa habari, Rais Joe Biden Jumanne alisema ameamua kuchukua hatua za kijeshi kujibu shambulizi lililofanywa katika kambi ya jeshi ya Marekani nchini Jordan karibu na mpaka wa Iraq na Syria lililouwa wanajeshi watatu wa Marekani na kujeruhi wengine zaidi ya 40.⁣ ⁣ Mashambulizi ya Jumapili katika kambi ya kijeshi ya Marekani huko Jordan yaliuwa wanajeshi wetu kwa mara ya kwanza katika Mashariki ya Kati tangu vita vya Israeli na Hamas kuzuka huko Gaza Oktoba 7.⁣ – VOA, AP and Reuters⁣ ⁣ #Haifa ⁣⁣⁣⁣⁣#waelaldahdouh #hamzaaldahdouh #shirikalamwezimwekundu⁣⁣⁣⁣⁣⁣ #Rafah #Netanyahu #Misri #Hamas #Gaza #Palestina #IDF #GalMeirEizenkot #mauaji #jeshi #israel #voa #voaswahili #mwandishi #aljazeera #maghazi #wahouthi #marekani #uingereza #shambulizi #dhamar #yemen #iran #republikanguard
#Dhamar Reel by @voaswahili (verified account) - Shirika la AFP limeripoti Jumatano kuwa Jeshi la Marekani limeonyesha kile inachosema ni operesheni zilizofanyika katika Bahari ya Sham Januari 22 kuk
7.9K
VO
@voaswahili
Shirika la AFP limeripoti Jumatano kuwa Jeshi la Marekani limeonyesha kile inachosema ni operesheni zilizofanyika katika Bahari ya Sham Januari 22 kukabiliana na mashambulizi yanayojirejea dhidi ya meli za kibiashara katika eneo hilo yanayofanywa na Wahouthi wanaoungwa mkono na Iran. ⁣ ⁣ Hivi karibuni Shirika la habari linalodhibitiwa na kikundi cha Wahouthi lilisema kuwa ndege za Marekani na Uingereza zilishambulia maeneo kadhaa ya Yemen, ikiwa ni mikoa ya Hodeidah, Taiz, Dhamar, al Bayda and Saada.⁣ ⁣⁣ Marekani iliendesha mashambulizi mengine kadhaa dhidi ya malengo ya Wahouthi huko Yemen Jumatano (Januari 17) maafisa wa Marekani waliiambia Reuters.⁣ ⁣ kikundi cha waasi hao Wakihouthi kimeorodheshwa na serikali ya Marekani ni jumuiya ya kigaidi.⁣ #Haifa ⁣⁣⁣⁣⁣#waelaldahdouh #hamzaaldahdouh #shirikalamwezimwekundu⁣⁣⁣⁣⁣ #Rafah #Netanyahu #Misri #Hamas #Gaza #Palestina #IDF #GalMeirEizenkot #mauaji #jeshi #israel #voa #voaswahili #mwandishi #aljazeera #maghazi #wahouthi #marekani #uingereza #shambulizi #dhamar #yemen⁣
#Dhamar Reel by @voaswahili (verified account) - Hofu ya janga la kibinadamu yaongezeka Gaza⁣
⁣
Umoja wa mataifa Jumanne ulionya dhidi ya mashambulizi ya ardhini huko Rafah katika Ukanda wa Gaza, uki
5.7K
VO
@voaswahili
Hofu ya janga la kibinadamu yaongezeka Gaza⁣ ⁣ Umoja wa mataifa Jumanne ulionya dhidi ya mashambulizi ya ardhini huko Rafah katika Ukanda wa Gaza, ukisema mashambulizi hayo yanaweza kusababisha mauaji makubwa katika eneo hilo la kusini mwa Palestina ambako zaidi ya watu milioni 1 wanaishi.⁣ ⁣ Israel imesema inataka kuwaondoa wanamgambo wa Hamas kwenye maficho yao huko Rafah na kuokoa mateka wa Israel wanaoshikiliwa na Hamas, na inaandaa mipango ya kuwaondoa raia wa Palestina waliokwama huko.⁣ ⁣ “Operesheni za kijeshi huko Rafah zinaweza kusababisha mauaji makubwa huko Gaza. Zinaweza pia kukwamisha shughuli za kutoa misaada ya kibinadamu ambazo tayari zilikuwa zimedhoofika,” alisema mkuu wa misaada ya kibinadamu kwenye Umoja wa mataifa Martin Griffiths.⁣ ⁣ Alisema katika taarifa kwamba “Jumuia ya kimataifa imekuwa ikionya dhidi ya athari mbaya za mashambulizi ya ardhini huko Rafah, na serikali ya Israel haiwezi kuendelea kupuuza wito wa Jumuiya ya Kimataifa.⁣ ⁣ Mazungumzo yanayojumuisha Marekani, Misri, Israel na Qatar kuhusu sitisho la mapigano Gaza yalimalizika Jumanne bila kupiga hatua yoyote huku shinikizo likiongezeka kwa Israel kuachana na mpango wake wa kuishambulia Rafah. ⁣ ⁣ Wakati huo huo Al-Tikeye taasisi ya hisani yenye makao yake Rafah inaendelea kuwalisha Wapalestina wengi wao watoto na wanawake wanaokabiliwa na njaa waliokoseshwa makazi katika mji ulioko upande wa kusini wa Ukanda wa Gaza.⁣ ⁣ Kwa mujibu wa wizara ya afya Gaza inayoendeshwa na Hamas mashambulizi ya angani na ardhini yanayofanywa na Israel yameuwa watu zaidi ya 28,000 na kujeruhi zaidi ya wengine 65,000 katika eneo finyu la Gaza. ⁣⁣⁣ ⁣⁣⁣ Mashambulizi haya yalianza Oktoba 7 kufuatia mauaji ya Oktoba 7 huko kusini mwa Israel, yaliofanywa na wanamgambo kutoka Gaza waliouwa takriban watu 1,200 na kuwateka watu 250. - AP⁣⁣ ⁣⁣ ⁣⁣ #Haifa ⁣⁣⁣⁣⁣#waelaldahdouh #hamzaaldahdouh #shirikalamwezimwekundu⁣⁣⁣⁣⁣⁣⁣⁣⁣ #Rafah #Netanyahu #Misri #Hamas #Gaza #Palestina #IDF #GalMeirEizenkot #mauaji #jeshi #israel #voa #voaswahili #mwandishi #aljazeera #maghazi #wahouthi #marekani #uingereza #shambulizi #dhamar #yemen #iran⁣
#Dhamar Reel by @voaswahili (verified account) - Moshi wa mlipuko ukitanda eneo la Khan Younis, Gaza⁣
⁣
Moshi unaotokana na mlipuko ukitanda eneo lote la Khan Younis karibu na mpaka wa Israel na Gaza
6.4K
VO
@voaswahili
Moshi wa mlipuko ukitanda eneo la Khan Younis, Gaza⁣ ⁣ Moshi unaotokana na mlipuko ukitanda eneo lote la Khan Younis karibu na mpaka wa Israel na Gaza Ijumaa (Februari 16), kama unavyoshuhudiwa kutoka upande wa kusini mwa Israel.⁣ ⁣ Israel imeendelea kushambulia kwa mabomu Ukanda wa Gaza kwa zaidi ya miezi minne baada ya wanamgambo wa kikundi cha Hamas waliposhambulia miji kadhaa ndani ya Israel.⁣ ⁣ Mashambulizi yanayofanywa na Israel huko Gaza yameuwa zaidi ya Wapalestina 28,700, kulingana na mamlaka za afya za Palestina, imeharibu eneo kubwa la ukanda huo na kusababisha karibia watu milioni 2.3 kukoseshwa makazi.⁣ ⁣ - Reuters⁣ ⁣⁣ #Haifa ⁣⁣⁣⁣⁣#waelaldahdouh #hamzaaldahdouh #shirikalamwezimwekundu⁣⁣⁣⁣⁣⁣⁣⁣⁣⁣⁣⁣ #Rafah #Netanyahu #Misri #Hamas #Gaza #Palestina #IDF #GalMeirEizenkot #mauaji #jeshi #israel #voa #voaswahili #mwandishi #aljazeera #maghazi #wahouthi #marekani #uingereza #shambulizi #dhamar #yemen #iran⁣⁣ ⁣

✨ #Dhamar Discovery Guide

Instagram hosts 24K posts under #Dhamar, creating one of the platform's most vibrant visual ecosystems. This massive collection represents trending moments, creative expressions, and global conversations happening right now.

Discover the latest #Dhamar content without logging in. The most impressive reels under this tag, especially from @voaswahili, @gulftoday and @b1.bihar, are gaining massive attention. View them in HD quality and download to your device.

What's trending in #Dhamar? The most watched Reels videos and viral content are featured above. Explore the gallery to discover creative storytelling, popular moments, and content that's capturing millions of views worldwide.

Popular Categories

📹 Video Trends: Discover the latest Reels and viral videos

📈 Hashtag Strategy: Explore trending hashtag options for your content

🌟 Featured Creators: @voaswahili, @gulftoday, @b1.bihar and others leading the community

FAQs About #Dhamar

With Pictame, you can browse all #Dhamar reels and videos without logging into Instagram. No account required and your activity remains private.

Content Performance Insights

Analysis of 12 reels

✅ Moderate Competition

💡 Top performing posts average 10.3K views (2.0x above average). Moderate competition - consistent posting builds momentum.

Post consistently 3-5 times/week at times when your audience is most active

Content Creation Tips & Strategy

🔥 #Dhamar shows steady growth - post consistently to build presence

✨ Many verified creators are active (75%) - study their content style for inspiration

✍️ Detailed captions with story work well - average caption length is 674 characters

📹 High-quality vertical videos (9:16) perform best for #Dhamar - use good lighting and clear audio

Popular Searches Related to #Dhamar

🎬For Video Lovers

Dhamar ReelsWatch Dhamar Videos

📈For Strategy Seekers

Dhamar Trending HashtagsBest Dhamar Hashtags

🌟Explore More

Explore Dhamar#dhamar taal#dhamar style#dhamar roso#dhamarer#menu new dhamar roso restaurant meeting room#new dhamar roso restaurant meeting room foto#dhamar volcano yemen#dhamar volcano