High Volume

#Habari

Watch 1.3M Reels videos about Habari from people all over the world.

Watch anonymously without logging in.

1.3M posts
NewTrendingViral

Trending Reels

(12)
#Habari Reel by @eastafricatv (verified account) - #Habari | Meja Jenerali Marco Elisha Gaguti, baada ya kula kiapo cha Ubalozi na kusubiri kupangiwa kituo cha kazi, amepokea maelekezo kutoka kwa Rais
1.2M
EA
@eastafricatv
#Habari | Meja Jenerali Marco Elisha Gaguti, baada ya kula kiapo cha Ubalozi na kusubiri kupangiwa kituo cha kazi, amepokea maelekezo kutoka kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kabla ya kuanza kuitumikia nafasi yake mpya. Kwa urefu zaidi, tembelea YouTube channel yetu ya EastAfricaTv #EastAfricaTv | #Habari
#Habari Reel by @eastafricatv (verified account) - #HABARI Jinsi Mama mzazi wa James Temba, alivyoangua Kilio kwenye jeneza la mwanae mara baada ya kuwasili ndani ya Kanisa la Kilutheri la Kiinjili Tan
161.2K
EA
@eastafricatv
#HABARI Jinsi Mama mzazi wa James Temba, alivyoangua Kilio kwenye jeneza la mwanae mara baada ya kuwasili ndani ya Kanisa la Kilutheri la Kiinjili Tanzania Dayosisi ya Mashariki ya Pwani usharika wa Tabata tayari kwa ibada. #EastAfricaTV
#Habari Reel by @taimediatv - #HABARI Muigizaji maarufu nchini Tanzania @nicolejoyberry amewatoa hofu mashabiki zake kuwa yupo salama baada ya kupunguza nyama za chini ya kidevu.
88.5K
TA
@taimediatv
#HABARI Muigizaji maarufu nchini Tanzania @nicolejoyberry amewatoa hofu mashabiki zake kuwa yupo salama baada ya kupunguza nyama za chini ya kidevu. Unaongeleaje muonekano wake kwa sasa? ✍🏿 @mariamshabanitz #taimweusi🦅 #taimediatz #taimediatv #tanzania
#Habari Reel by @young.zeal_tv - #HABARI Habari zimeibuka na kuthibitishwa kwamba Shirikisho la Soka Duniani (FIFA) limepokea rasmi shitaka lililowasilishwa na Klabu ya Simba Sports C
125.7K
YO
@young.zeal_tv
#HABARI Habari zimeibuka na kuthibitishwa kwamba Shirikisho la Soka Duniani (FIFA) limepokea rasmi shitaka lililowasilishwa na Klabu ya Simba Sports Club kuhusu uhalali wa mchezaji wao wa zamani au mpinzani Mohammed Damaro Camara kucheza kama raia wa Tanzania. Kesi hiyo, ambayo ilifunguliwa na Simba yenyewe, inahusu madai kwamba Damaro Camara alitumika kinyume na taratibu za FIFA za ubadilishaji wa uraia (Switching of Nationality). Taarifa iliyotolewa na mwanahabari Brayan Stephano na vyanzo vingine vya kipekee inathibitisha kuwa kesi hiyo itasikilizwa kesho na Kamati ya Sheria na Hadhi za Wachezaji ya FIFA. Tetesi zinazozunguka sokoni sasa zinasema kwamba iwapo Simba watashinda kesi hii, Yanga Sports Club (ambayo inaaminika kumtumia Damaro Camara kama mchezaji raia/mzawa) inaweza kukabiliwa na adhabu kali. Tetemeko kubwa linalotajwa ni: Kunyang’anywa pointi katika mechi zote alizocheza Damaro Camara kama raia wa Tanzania. Hii inaweza kuathiri sana msimamo wa Yanga katika Ligi Kuu ya NBC Premier League msimu huu wa 2025/2026. Kuna uwezekano wa adhabu nyingine kama faini au hata kurekebishwa kwa matokeo ya mechi maalum. Simba SC wanadai kwamba taratibu za FIFA zilikiukwa wakati Damaro (raia wa asili wa Guinea, ambaye aliwahi kucheza Guinea U17) alipopewa uraia wa Tanzania na kutumiwa kama mchezaji wa ndani. Klabu ya Simba inasisitiza kuwa TFF au Bodi ya Ligi haikuwa na mamlaka ya kufanya mabadiliko hayo bila kufuata kanuni kamili za FIFA, hivyo kanuni za kimataifa ndizo zinazopaswa kutumika. Mohammed Damaro Camara ni kiungo mwenye uzoefu ambaye amekuwa na mchango mkubwa katika timu aliyochezea. Simba waliomba barua rasmi kwa TFF na Idara ya Uhamiaji mwaka jana ili kuwawezesha wachezaji kadhaa kubadili uraia, lakini katika kesi ya Damaro, inaonekana kuna tofauti kubwa ya maoni. Simba wanahoji:Suala la passport na taratibu za kutoa uraia.kwamba mabadiliko hayakufuata hatua za FIFA za “one-time switch” au mahitaji ya uhusiano wa kutosha na nchi mpya Na kwamba hii inaweza kuwa kukiuka sheria za usajili wa wachezaji wa kigeni katika ligi ya ndani. @young.zeal_tv
#Habari Reel by @nasseraltaie.media - - Mvutano wa chuki dhidi ya wageni nchini Afrika Kusini unachukua sura mpya na ya kuhuzunisha.

Hivi karibuni, kumeibuka malalamiko kutoka kwa wanawak
45.9K
NA
@nasseraltaie.media
— Mvutano wa chuki dhidi ya wageni nchini Afrika Kusini unachukua sura mpya na ya kuhuzunisha. Hivi karibuni, kumeibuka malalamiko kutoka kwa wanawake wazawa wa Afrika Kusini ambao wameolewa na raia wa Nigeria, wakidai kuwa sasa wanatengwa na kunyanyaswa ndani ya jamii zao wenyewe. Kwa mujibu wa ushuhuda uliotolewa, wanawake hawa wanatakiwa “kuwafuata waume zao Nigeria,” huku uadui ukiongezeka kutokana na hisia kali dhidi ya wahamiaji zinazoendelea kushika kasi katika maeneo mbalimbali ya nchi hiyo. Hali hii inaibua maswali mazito kuhusu haki za kiraia, umoja wa Kiafrika, na usalama wa familia zinazounganisha mataifa mawili makubwa barani Afrika. Nini maoni yako kuhusu hali hii? Tumbukiza neno lako hapa chini. 👇 Usipitwe na habari na video mpya kila siku — Follow page yetu sasa @nasseraltaie.media 📢✨ #Habari #AfrikaKusini #Nigeria #Xenophobia #HabariZaKimataifa
#Habari Reel by @swahilliconnect - #swahiliconnecttv #swahiliconnect #swahiliconnectupdates #habari #tanzania
1.0M
SW
@swahilliconnect
#swahiliconnecttv #swahiliconnect #swahiliconnectupdates #habari #tanzania
#Habari Reel by @sat_media_ (verified account) - Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Hamis Mwinjuma, tarehe 8 Machi 2026 amemtembelea na kumjulia hali Mwanamuziki mkongwe wa muziki w
40.1K
SA
@sat_media_
Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Hamis Mwinjuma, tarehe 8 Machi 2026 amemtembelea na kumjulia hali Mwanamuziki mkongwe wa muziki wa dansi, Zahir Ally Zorro, nyumbani kwake Kigamboni jijini Dar es Salaam. Mhe. Mwinjuma amemkabidhi Mzee Zorro kiasi cha Shilingi milioni 10 taslimu kama salamu za pole na faraja kutoka kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, akimtakia apone haraka. Akizungumza baadaa ya kufika kumjulia hali, Mhe. Mwinjuma amesema Serikali inaendelea kuthamini mchango mkubwa uliotolewa na wasanii wakongwe katika kukuza na kuendeleza sanaa na utamaduni wa Tanzania na kuwa wasanii hao ni hazina muhimu ya taifa, hivyo wanastahili kuenziwa na kupewa faraja wanapokumbwa na changamoto mbalimbali za kiafya au kijamii. Kwa upande wake, Mzee Zorro alitoa shukrani zake kwa Rais Samia pamoja na Serikali kwa upendo na kujali hali yake, akisema msaada huo ni faraja kubwa kwake na kwa familia yake katika kipindi hiki anachopitia. #Habari #SAT MediaUpdates
#Habari Reel by @sajabe_media_group - Kwa mujibu wa @guinessworldrecord Kuku aitwaye Gertie ametajwa kuwa kuku mzee zaidi duniani! 

Akiwa na manyoya mazuri ya kahawia na meusi yenye madoa
133.0K
SA
@sajabe_media_group
Kwa mujibu wa @guinessworldrecord Kuku aitwaye Gertie ametajwa kuwa kuku mzee zaidi duniani! Akiwa na manyoya mazuri ya kahawia na meusi yenye madoadoa, Gertie ni kuku wa aina ya Golden Sebright ambaye licha ya umri wake mkubwa bado anaonekana mwenye afya na haiba ya kipekee. Kila asubuhi, mmiliki wake Frank Turek (USA) humtembelea na Gertie humsalimia kwa sauti ndogo kabla ya kuanza kula chakula chake kwa bidii. Ameishi na mmiliki wake tangu mwaka 2010. Inasemekana kuwa Gertie ni kipofu, lakini bado hupenda kupumzika pamoja na rafiki yake mbwa aina ya Great Dane na kutembea ndani ya banda lake. Mnamo Novemba mwaka jana, Gertie aliweka rekodi ya dunia akiwa na umri wa **miaka 15 na siku 100**, akimshinda aliyekuwa mshikiliaji wa rekodi hapo awali kwa zaidi ya miezi sita! Mmiliki wake anasema licha ya kuwa mdogo kuliko kuku wengine, Gertie alikuwa mrembo sana tangu akiwa mdogo na ndiye aliyekuwa “mpiga picha” bora zaidi kila wakati. Leo hii, Gertie anaendelea kuishi kama “malkia” wa banda, akiongoza kuku wengine kwa utulivu na heshima. 📌Hakika, hii ni historia ya kipekee kwa dunia ya wanyama!* #GuinnessWorldRecords #Habari #Kuku #RekodiYaDunia #Gertie
#Habari Reel by @youthgospelmeeting - #gerezani Kuna SHERIA zake, JE unaifahu #jela weweee....📌📌📌🙌

#mrticha #habari
263.8K
YO
@youthgospelmeeting
#gerezani Kuna SHERIA zake, JE unaifahu #jela weweee....📌📌📌🙌 #mrticha #habari
#Habari Reel by @chawamata_tv - VIDEO: Arsenal imekuwa gumzo kubwa msimu huu baada ya kuonyesha kiwango cha juu katika michuano ya UEFA Champions League. Timu hiyo kutoka London imef
47.1K
CH
@chawamata_tv
VIDEO: Arsenal imekuwa gumzo kubwa msimu huu baada ya kuonyesha kiwango cha juu katika michuano ya UEFA Champions League. Timu hiyo kutoka London imefanikiwa kufika hatua ya fainali, jambo ambalo limewapa mashabiki wake matumaini makubwa ya kutwaa ubingwa. Kwa mujibu wa wachambuzi wa soka, Arsenal ina nafasi ya asilimia 85 ya kushinda kutokana na rekodi nzuri ya mechi zilizopita na uimara wa kikosi chao. Safari ya Arsenal kuelekea fainali haikuwa rahisi. Walikabiliana na timu kubwa barani Ulaya na kuonyesha nidhamu ya hali ya juu, mbinu bora za kiufundi, na mshikamano wa wachezaji. Ushindi wao dhidi ya wapinzani wakubwa ulionyesha kuwa kikosi hiki kimekomaa na kina uwezo wa kushindana na timu yoyote. Mtangazaji na mchambuzi wa michezo wa Uyui Fm Kimwaga Shaban @kimsports_ alitabiri mapema kuwa Arsenal ingeweza kufika fainali, na sasa utabiri huo umeonekana kuwa sahihi. Mashabiki wengi wamekuwa wakimpongeza kwa kuona mbali na kuamini katika uwezo wa kikosi cha kocha Mikel Arteta. Hii imeongeza hamasa na mjadala mkubwa miongoni mwa wapenzi wa soka. Hata hivyo, licha ya nafasi kubwa ya kushinda, bado kuna mashaka kidogo. Baadhi ya wachambuzi wanaamini kuwa presha ya fainali na uzoefu wa wapinzani inaweza kuwa changamoto kwa Arsenal. Timu pinzani mara nyingi hujipanga kwa ustadi mkubwa katika hatua ya mwisho, na makosa madogo yanaweza kugharimu ubingwa. Mashabiki wa Arsenal duniani kote wanasubiri kwa hamu siku ya fainali. Wengi wanaamini huu ndio msimu wa historia kwa klabu hiyo, kwani mara ya mwisho walifika fainali ya Champions League ilikuwa mwaka 2006, lakini walishindwa kutwaa taji. Safari ya sasa imewapa matumaini mapya ya kuandika ukurasa mpya wa mafanikio. Kwa ujumla, Arsenal imeonyesha kuwa ni timu yenye uwezo mkubwa na ari ya ushindi. Ikiwa wataendelea na nidhamu na umakini waliouonyesha katika hatua zilizopita, nafasi ya kutwaa ubingwa ni kubwa. Fainali hii itakuwa kipimo cha kweli cha nguvu zao na inaweza kubadilisha historia ya klabu hiyo kwa miaka mingi ijayo. @kimsports_ #ChawamataTV #10KFollowers #Asanteni #DarEsSalaam #Tanzania #Bongo #Habari #HabariLeo #BreakingNewsTZ #TanzaniaNews #BongoUpdates #TzUpdates #TzNews #BongoMedia #Media

✨ #Habari Discovery Guide

Instagram hosts 1.3 million posts under #Habari, creating one of the platform's most vibrant visual ecosystems. This massive collection represents trending moments, creative expressions, and global conversations happening right now.

The massive #Habari collection on Instagram features today's most engaging videos. Content from @eastafricatv, @swahilliconnect and @treetvtz and other creative producers has reached 1.3 million posts globally. Filter and watch the freshest #Habari reels instantly.

What's trending in #Habari? The most watched Reels videos and viral content are featured above. Explore the gallery to discover creative storytelling, popular moments, and content that's capturing millions of views worldwide.

Popular Categories

📹 Video Trends: Discover the latest Reels and viral videos

📈 Hashtag Strategy: Explore trending hashtag options for your content

🌟 Featured Creators: @eastafricatv, @swahilliconnect, @treetvtz and others leading the community

FAQs About #Habari

With Pictame, you can browse all #Habari reels and videos without logging into Instagram. No account required and your activity remains private.

Content Performance Insights

Analysis of 12 reels

✅ Moderate Competition

💡 Top performing posts average 702.9K views (2.3x above average). Moderate competition - consistent posting builds momentum.

Post consistently 3-5 times/week at times when your audience is most active

Content Creation Tips & Strategy

🔥 #Habari shows high engagement potential - post strategically at peak times

✍️ Detailed captions with story work well - average caption length is 699 characters

✨ Many verified creators are active (25%) - study their content style for inspiration

📹 High-quality vertical videos (9:16) perform best for #Habari - use good lighting and clear audio

Popular Searches Related to #Habari

🎬For Video Lovers

Habari ReelsWatch Habari Videos

📈For Strategy Seekers

Habari Trending HashtagsBest Habari Hashtags

🌟Explore More

Explore Habari#habari za michezo leo#habari kubwa mwananchi#habari za simba leo#habari za simba leo magazetini#itv habari za leo live#habari za hivi punde leo#habari za yanga za leo asubuhi#habari za azam fc leo