Trending

#Hisa

Watch 166K Reels videos about Hisa from people all over the world.

Watch anonymously without logging in.

166K posts
NewTrendingViral

Trending Reels

(12)
#Hisa Reel by @ekmunyagi (verified account) - Usikatishwe tamaa na gawio dogo, hilo hilo gawio dogo Lina nguvu ya kukusaidia kupata nguvu ya kufanya uwekezaji zaidi na baadaye gawio linaweza kujua
48.9K
EK
@ekmunyagi
Usikatishwe tamaa na gawio dogo, hilo hilo gawio dogo Lina nguvu ya kukusaidia kupata nguvu ya kufanya uwekezaji zaidi na baadaye gawio linaweza kujua kuwa na uwezo wa kuendesha maisha yao. Anza kidogo, endelea kwa nidhamu, matokeo yatakuja. #Wekeza #Gawio #UhuruWaKifedha #Hisa
#Hisa Reel by @victor_mwambene - 💰 HISA vs HATIFUNGANI, UPI NI UWEKEZAJI BORA ZAIDI?.

📈 Hisa: Hizi ni umiliki wa kampuni. Zinakupa nafasi ya kukuza pesa kwa kasi na kupata gawio, l
2.6K
VI
@victor_mwambene
💰 HISA vs HATIFUNGANI, UPI NI UWEKEZAJI BORA ZAIDI?. 📈 Hisa: Hizi ni umiliki wa kampuni. Zinakupa nafasi ya kukuza pesa kwa kasi na kupata gawio, lakini pia zina mabadiliko ya bei (risk) kwa muda mfupi. 📊 Hatifungani: Hizi ni kama kuikopesha serikali au kampuni. Unapata riba ya uhakika na zina usalama zaidi, lakini ukuaji wake ni wa polepole. 🧠 Sasa uchague nini? 👉 Kama unatafuta ukuaji mkubwa wa utajiri kwa muda mrefu → Hisa 👉 Kama unataka usalama na kipato cha uhakika → Hatifungani 👉 Kama unataka kuwa smart zaidi → Changanya vyote (balance risk & return) 🔥 Kumbuka: Matajiri wengi hawachagui upande mmoja — wanajenga mchanganyiko wa uwekezaji. #Uwekezaji #Hisa #Hatifungani #ElimuYaFedha
#Hisa Reel by @bro.babuu - Baada ya kuona matokeo ya robo ya kwanza kwa bank zetu kubwa mbili haya ni machache ambayo wengi hawajayazingatia.. #crdb #nmb #hisa #babuuhisa
13.9K
BR
@bro.babuu
Baada ya kuona matokeo ya robo ya kwanza kwa bank zetu kubwa mbili haya ni machache ambayo wengi hawajayazingatia.. #crdb #nmb #hisa #babuuhisa
#Hisa Reel by @sokonifix - CFE @victor_mwambene  anaeleza kuwa hata kama bei ya hisa inashuka sokoni, haupati hasara mpaka uamue kuuza kwa bei ya chini. 

Wewe ukiwa mwekezaji,
13.7K
SO
@sokonifix
CFE @victor_mwambene anaeleza kuwa hata kama bei ya hisa inashuka sokoni, haupati hasara mpaka uamue kuuza kwa bei ya chini. Wewe ukiwa mwekezaji, ungeuza hisa zikishuka au ungeendelea kusubiri? #Uwekezaji #Hisa #FinancialLiteracy #TanzaniaBusiness #SokoniFix
#Hisa Reel by @headway.isa (verified account) - Not everyone waits for a fully funded seat. Some people choose to show up anyway.

She joined the HISA Youth Fellowship in Oxford as a self-funded del
3.2K
HE
@headway.isa
Not everyone waits for a fully funded seat. Some people choose to show up anyway. She joined the HISA Youth Fellowship in Oxford as a self-funded delegate and this is her story. Real experiences, real learning, real global exposure. Sometimes investing in yourself is the decision that changes everything. #SelfFundedJourney #HISA #YouthLeadership
#Hisa Reel by @fursa.tu - Aina za wawekezaji na malengo yao

#fursatu #hisa #wawekezaji
1.3K
FU
@fursa.tu
Aina za wawekezaji na malengo yao #fursatu #hisa #wawekezaji
#Hisa Reel by @gracingmoney - Webinar: Shariah Compliant Assets Ndio Zipi? | GM11. Watch on YouTube: Gracing Money

@gracingmoney

@gracingmoney

@gracingmoney

Begin. Grow. Sustai
321
GR
@gracingmoney
Webinar: Shariah Compliant Assets Ndio Zipi? | GM11. Watch on YouTube: Gracing Money @gracingmoney @gracingmoney @gracingmoney Begin. Grow. Sustain. Thrive. #elimuyafedha#uwekezaji#ipo#hisa#mutualfunds
#Hisa Reel by @azamtvtz (verified account) - Mfuko wa Uwekezaji UTT-AMIS umewashauri wananchi kujitokeza kuwekeza katika mifuko yake ili iwe msaada kwao na familia zao katika masuala  mbalimbali
14.4K
AZ
@azamtvtz
Mfuko wa Uwekezaji UTT-AMIS umewashauri wananchi kujitokeza kuwekeza katika mifuko yake ili iwe msaada kwao na familia zao katika masuala mbalimbali ikiwemo mahitaji ya watoto, ukuzaji wa mitaji ya biashara na maandalizi ya kustaafu kupitia mafao. Kwa mujibu wa Afisa Masoko mwandamizi wa UTT-AMIS, Rahim Mwanga amesema, UTT-AMIS imeona ni wakati muafaka kwa jumuiya ya Watanzania kuanza kuelewa elimu umuhimu wa uwekezaji kupitia mifuko hiyo ili kukuza uchumi wao na taifa kwa ujumla akitolea mfano mataifa kama India, Thailand na mingineyo na kwa sasa zina uchumi mkubwa kupitia uwekezaji wa aina hiyo. Afisa mwandamizi huyo wa masoko akitolea ufafanuzi kuhusu uwekezaji huo kwa kutumia Hisa ama dhamana za serikali katika semina kwa wahariri na waandishi wa vyombo vya habari ameainisha pia uwepo wa mifuko tofauti ya uwekezaji ambayo inatoa faida shindani za kati ya asilimia 12 hadi 14 na kuwahimiza waandishi na wahariri hao kuanza kujiwekeza ili waje waishi maisha mazuri baada ya kustaafu. Imeandikwa na Ahimidiwe Olotu na kuhaririwa na @official_jennifersumi ) #uwekezaji #mifuko #hisa #dhamana #kustaafu #uttamis
#Hisa Reel by @dw_kiswahili (verified account) - Unaposikia neno hisa, nini hukujia kichwani?

Leo tunaangazia uwekezaji wa hisa na namna ya kuanza kama bado hujawahi kuwekeza kwenye hisa au unataman
8.1K
DW
@dw_kiswahili
Unaposikia neno hisa, nini hukujia kichwani? Leo tunaangazia uwekezaji wa hisa na namna ya kuanza kama bado hujawahi kuwekeza kwenye hisa au unatamani kuwekeza na hujui hisa ni nini na uwekezaji wake unafanya vipi kazi. Tazama ile ujifunze kuhusu uwekezaji wa hisa. #dwkiswahili #dwpesasmart #hisa #uwekezaji #tanzania
#Hisa Reel by @ana.zontar (verified account) - Pa jo imava 🤭☀️ | oglas

Kako neverjeten občutek je, ko je celoten proces za postavitev sončne elektrarne za nama. ☺️ Tako sva bila navajena, da pazi
65.7K
AN
@ana.zontar
Pa jo imava 🤭☀️ | oglas Kako neverjeten občutek je, ko je celoten proces za postavitev sončne elektrarne za nama. ☺️ Tako sva bila navajena, da paziva pri veliko opravilih, da bo zdaj to kar sprememba, ko se na določene ure in dneve pri pranju, pomivanju … ni več treba toliko ozirati, ob enem pa je res dober občutek, ko lahko nastopava bolj trajnostno. 🍃 Res zelo dobrodošla sprememba, ki sva si jo že dolgo želela. 🤗 Vsi, ki imate sončno elektrarno 👉 katera sprememba vam je bila najljubša? 😉 #firbcam Pri meni je zagotovo to, da zdaj perem perilo kadar se mi zlušta. 🤭🔝 • • Naročnik: Petrol d.d.
#Hisa Reel by @zaac_ (verified account) - Using Interest to pay for the honeymoon with Neo Financial. Regular banks pay an average of 1% interest but Neo is offering up to 3% as a non promotio
2.3K
ZA
@zaac_
Using Interest to pay for the honeymoon with Neo Financial. Regular banks pay an average of 1% interest but Neo is offering up to 3% as a non promotional rate and a chance to win $10,000 when you sign up through the link in my bio #ad #neo #hisa #canada
#Hisa Reel by @deleoncharmaine (verified account) - High yield savings accounts or High interest savings accounts is a type of bank product that earns an interest higher then a basic savings account. Th
13.0K
DE
@deleoncharmaine
High yield savings accounts or High interest savings accounts is a type of bank product that earns an interest higher then a basic savings account. This is typical in Digital banks (more than traditional banks), which has interest rates between 2.5%-6%p.a. with promotional interests of up to 15%p.a. Potential Returns: Low to Medium Involvement: Low Expected Income: (typically) Fixed Fees: None-Low (20% WHT) Capital Guaranteed?: Yes (PDIC up to 500k) Minimum: ₱0-5,000 #hysa #hisa #digitalbanksph #ALLinvestments #phinvestment #investingforbeginners

✨ #Hisa Discovery Guide

Instagram hosts 166K posts under #Hisa, creating one of the platform's most vibrant visual ecosystems. This massive collection represents trending moments, creative expressions, and global conversations happening right now.

#Hisa is one of the most engaging trends on Instagram right now. With over 166K posts in this category, creators like @ana.zontar, @ekmunyagi and @azamtvtz are leading the way with their viral content. Browse these popular videos anonymously on Pictame.

What's trending in #Hisa? The most watched Reels videos and viral content are featured above. Explore the gallery to discover creative storytelling, popular moments, and content that's capturing millions of views worldwide.

Popular Categories

📹 Video Trends: Discover the latest Reels and viral videos

📈 Hashtag Strategy: Explore trending hashtag options for your content

🌟 Featured Creators: @ana.zontar, @ekmunyagi, @azamtvtz and others leading the community

FAQs About #Hisa

With Pictame, you can browse all #Hisa reels and videos without logging into Instagram. No account required and your activity remains private.

Content Performance Insights

Analysis of 12 reels

✅ Moderate Competition

💡 Top performing posts average 35.7K views (2.3x above average). Moderate competition - consistent posting builds momentum.

Post consistently 3-5 times/week at times when your audience is most active

Content Creation Tips & Strategy

💡 Top performing content gets over 10K views - focus on engaging first 3 seconds

📹 High-quality vertical videos (9:16) perform best for #Hisa - use good lighting and clear audio

✍️ Detailed captions with story work well - average caption length is 407 characters

✨ Many verified creators are active (58%) - study their content style for inspiration

Popular Searches Related to #Hisa

🎬For Video Lovers

Hisa ReelsWatch Hisa Videos

📈For Strategy Seekers

Hisa Trending HashtagsBest Hisa Hashtags

🌟Explore More

Explore Hisa#soko la hisa tanzania#hiša pod gradom#hisa youth dialogue 2026#hisa leiloes#hisa franko#hiša denk#tropska hiša#taka hisa