#Jkci

Watch Reels videos about Jkci from people all over the world.

Watch anonymously without logging in.

Trending Reels

(12)
#Jkci Reel by @habarileo_tz (verified account) - DAR ES SALAAM: TAASISI ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) imempokea mtoto, Selina Daudi, anayesumbuliwa na matatizo kwenye tundu la moyo ili kuanza rasm
28.4K
HA
@habarileo_tz
DAR ES SALAAM: TAASISI ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) imempokea mtoto, Selina Daudi, anayesumbuliwa na matatizo kwenye tundu la moyo ili kuanza rasmi matibabu. Hii ni baada ya Rais Samia Suluhu Hassan kulipia gharama zote za matibabu kwa ajili ya Selina, anayeishi na mama yake, Aisha Said, maeneo ya Chanika jijini Dar es Salaam. Akimpokea mtoto huyoi leo Aprili 14 hospitalini hapo, Mkurugenzi wa Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) Peter Kisenge, amesema Rais Samia amemlipia mtoto huyu gharama za matibabu zaidi za milioni nane na yeye Kisenge atamgharamia mtoto huyo ada ya shule yote ambayo atatoa kwenye mshahara wake. Kwa Upande wake Daktari bingwa wa magonjwa ya watoto, Dk Sulende Kubhoja, amesema kwa sasa Dunia imebadilika kutokana na Sayansi na teknolojia watu wanaweitumia kuweza kujua kupitia teknolojia hiyo ukilinganisha na zamani na kusema kuwa kwa siku wanaona watoto takribani wagonjwa 50 na wagonjwa 20 wanahitaji oparesheni Naye, Aisha Said, mama wa Selina, amemshukuru Rais Samia Suluhu Hassan kwa kumsadia binti yake. @taasisiyamoyo_jkci Imeandaliwa na @samwelsway #HabarileoUPDATES
#Jkci Reel by @azamtvtz (verified account) - Hospitali ya rufaa kanda ya Chato mkoani Geita imesema tayari imeshawahudumia zaidi ya wagonjwa 800 wa moyo kwa ngazi ya matibabu ya kibingwa.

Hospit
50.8K
AZ
@azamtvtz
Hospitali ya rufaa kanda ya Chato mkoani Geita imesema tayari imeshawahudumia zaidi ya wagonjwa 800 wa moyo kwa ngazi ya matibabu ya kibingwa. Hospitali hiyo ambayo imepata ugeni wa madaktari bingwa wa moyo kutoka Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) imeongeza kuwa tayari wagonjwa wengine 300 wamehudumiwa kwenye kliniki maalumu inayohusisha madaktari wa JKCI. Imeandaliwa na Ester Sumira || Mhariri @moseskwindi #AzamTVUpdates #MatibabuYaMoyo #JKCI #HospitaliYaRufaaChato #MagonjwaYaMoyo
#Jkci Reel by @almc_hospital - Taasisi ya Emegence Medical Services Academy (EMESA) imeendelea kuchukua hatua madhubuti katika kuboresha sekta ya afya kwa kutoa mafunzo maalum kwa w
1.3K
AL
@almc_hospital
Taasisi ya Emegence Medical Services Academy (EMESA) imeendelea kuchukua hatua madhubuti katika kuboresha sekta ya afya kwa kutoa mafunzo maalum kwa watumishi wa Hospitali ya ALMC, iliyo chini ya menejimenti ya JKCI, ikiwa ni maandalizi ya mashindano makubwa ya AFCON 2027. Akizungumza kuhusu mafunzo hayo, Mkurugenzi wa EMESA, Dkt. Ramadhani Chunga, amesema lengo ni kuongeza ufanisi, weledi na utayari wa huduma za afya ili kukabiliana na mahitaji yatakayoongezeka wakati wa mashindano hayo ya kimataifa. Kwa upande wake, mmoja wa wanufaika wa mafunzo hayo, Anna Faustina, ameishukuru taasisi hiyo kwa kuwajengea uwezo na kuimarisha ujuzi wao katika kutoa huduma bora zaidi kwa wagonjwa. #AFCON2027 #AfyaBora #EMESA #JKCI #MaendeleoYaAfya
#Jkci Reel by @tbc_online (verified account) - Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI), Dkt. Peter Kisenge amesema sekta ya afya kupitia JKCI inaendelea na maandalizi ya kuanzi
2.7K
TB
@tbc_online
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI), Dkt. Peter Kisenge amesema sekta ya afya kupitia JKCI inaendelea na maandalizi ya kuanzisha kitengo maalumu cha “sports cardiology” kitakachohudumia wanamichezo kuelekea AFCON 2027. Amesema kitengo hicho kitakuwa katika jengo maalumu la ghorofa 10 ambalo liko katika hatua za ujenzi, likilenga kutoa huduma mahsusi za tiba ya moyo kwa wanamichezo. Ameongeza kuwa kwa kushirikiana na Hospitali ya Taifa Muhimbili, huduma za afya zitapatikana ndani ya viwanja vyote vitakavyotumika ili kuhakikisha matibabu ya haraka kwa wachezaji na mashabiki. Aidha, amesema mfumo maalumu wa mawasiliano, ikiwemo namba za dharura na majukwaa ya mtandaoni, utaanzishwa kurahisisha upatikanaji wa huduma wakati wa mashindano.
#Jkci Reel by @globalmedicaretz - 🏥 Afya ni mtaji wa maisha
Taasisi ya Moyo ya JKCI kwa kushirikiana na Global Medicare imetoa huduma za uchunguzi wa magonjwa yasiyoambukiza kwa washi
94
GL
@globalmedicaretz
🏥 Afya ni mtaji wa maisha Taasisi ya Moyo ya JKCI kwa kushirikiana na Global Medicare imetoa huduma za uchunguzi wa magonjwa yasiyoambukiza kwa washiriki wa mkutano wa mameneja wa matawi ya Benki ya NMB uliofanyika jijini Mwanza. 🩺 Akizungumza na Informative TV, Daktari Bingwa wa Moyo Dkt. Johnson Kayandabile ametoa wito kwa wananchi kujitokeza kupima afya zao mara kwa mara ili kugundua magonjwa mapema na kupata tiba kwa wakati, hususan magonjwa yasiyoambukiza. 💙 Pima afya yako leo, linda maisha yako kesho. #GlobalMedicare #JKCI #AfyaKwanza #NMBManagersMeeting #NonCommunicableDiseases PimaAfya Mwanza
#Jkci Reel by @radiomaarifatz - #HABARI: Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI), Dkt. Peter Kisenge, amesema kuwa nchi zenye kipato cha chini zinaongoza kwa
206
RA
@radiomaarifatz
#HABARI: Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI), Dkt. Peter Kisenge, amesema kuwa nchi zenye kipato cha chini zinaongoza kwa kuathirika na magonjwa ya moyo kutokana na changamoto mbalimbali ikiwemo uhaba wa vifaa tiba na lishe duni. #radiomaarifa #Update #maarifaupdate#JKCI #Afya #MagonjwaYaMoyo #Lishe #VifaaTiba #Tanzania #HabariZaLeo #AfyaYaJamii #Ustawi #Madaktari
#Jkci Reel by @vanstarmedltd - Karibu Vanstar kwa Mahitaji ya Medical Scrubs,Nursing Gowns, Lab/Clinical Coats ,Vifaa Tiba & Safety Uniforms. 

Medical Scrubs zilizopo[Grey,Maroon,M
40.4K
VA
@vanstarmedltd
Karibu Vanstar kwa Mahitaji ya Medical Scrubs,Nursing Gowns, Lab/Clinical Coats ,Vifaa Tiba & Safety Uniforms. Medical Scrubs zilizopo[Grey,Maroon,Medical Attendant color,Dark blue,Royal blue,Navy Green,Army Green,TNMC white Scrub, V white scrub,Black, Light blue,Top white/Dark blue Trouser,Top Lightblue/Dark blue Trouser] Tunapatikana Majengo-Dodoma Call/Whatsaap +255717843372 Website: www.vanstarmed.co.tz #kcmc #muhimbilitaifa #benjaminmkapahospital #dodomahospital #bmhdodoma #uhuruhospital #sekoutourerrh #mawenzirrh #muhimbiliuniversity #kcmc1971 #deccapolyclinicpharmacy #mawenirrh #geitahospital #bugandohospital #mbeyazonalreferralhospital #singidarrh #mountmeruhospital #dodomauniversity #kmchospital #kamangahospitalnyegezi #dcmchospital #iringahospital #morogorohospital #ugandahospital #mbeyahospital #kenyahospital #mwanzauniversity #tanzaniahospitals #jkci
#Jkci Reel by @tbcarusha - Jumla ya wagonjwa 500 wamepatiwa huduma katika kambi ya matibabu ya vipimo bure inayoendelea iliyowekwa na taasisi ya moyo ya JKCI ya  Dar es salaam k
318
TB
@tbcarusha
Jumla ya wagonjwa 500 wamepatiwa huduma katika kambi ya matibabu ya vipimo bure inayoendelea iliyowekwa na taasisi ya moyo ya JKCI ya  Dar es salaam katika hospitali ya Arusha Lutheran Medical  Center (ALMC)liyopo jijini Arusba waliyoingia nayo ubia ikiwa ni hatua za mwanzo kuelekea kuanzisha huduma zkiwemo za kibngwa zitakazokuwa zinasimamiwa na JKCI  kuanzia  january 1 2026 kwa kipindi cha  miaka 20. Mkurugenzi mtendaji wa taasisi ya JKCI Dkt. Peter Kisenge amesema   taasisi hiyo imejioanga kuifanya hospitali hiyo kuwa kitovu matibabu ya magonjwa ya moyo na mengine ambayo itakuwa ni kuvutio cha utalii tiba pamoja na kuimarisha vifaa tiba vya kisasa  pamoja na miundo mbinu ili kuwa na huduma bora. #jkci #arusha #arushalutheranmedicalcentre #viralreels #wagonjwawamoyo #moyo
#Jkci Reel by @elvee_mediwears_co.ltd - #kaziiendelee🔥🔥🇹🇿🇹🇿🇹🇿💪🏿💪🏿💪🏿💪🏿

Pia wamependeza sana ndugu Mheshimiwa DC @petromagoti @petromagoti @petromagoti #petromagoti #kisarawem
11.4K
EL
@elvee_mediwears_co.ltd
#kaziiendelee🔥🔥🇹🇿🇹🇿🇹🇿💪🏿💪🏿💪🏿💪🏿 Pia wamependeza sana ndugu Mheshimiwa DC @petromagoti @petromagoti @petromagoti #petromagoti #kisarawempya #kaziiendelee #kaziiendelee🔥🔥🇹🇿🇹🇿🇹🇿💪🏿💪🏿💪🏿💪🏿 #jamhuriyamuunganowatanzania #wizarayaafya #tamisemi #tanzaniahospitals #tnmc #mnh #jkci #nandyfestival #wasafifestival #ololufemi
#Jkci Reel by @gsmfoundationtz - Taasisi ya GSM Foundation kwa kushirikiana na Young Africans (Yanga) wamekabidhi hundi ya Fedha tasilimu Milioni 50 kuchangia ya matibabu ya watoto ka
1.1K
GS
@gsmfoundationtz
Taasisi ya GSM Foundation kwa kushirikiana na Young Africans (Yanga) wamekabidhi hundi ya Fedha tasilimu Milioni 50 kuchangia ya matibabu ya watoto katika taaisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete. Hii ni katika kutimiza ahadi iliyotolewa kwenye harambee maalumu iliyoandaliwa na JKCI kwa dhumuni la kusaidia watoto 1500 wanaotibiwa katika taasisi hiyo. GSM Foundation inaendelea kuunga mkono jitihada za Serikali katika kuboresha Sekta za afya na kupongeza Uwekezaji mkubwa uliofanywa na Serikali ya Tanzania katika Taasisi ya JKCI ili kutoa huduma za afya, hususan matibabu ya magonjwa ya moyo. #gsmfoundation #jkci #gsmgroupofcompanies #yangasc
#Jkci Reel by @inspire_decorbydaisy - Ninapenda kutoa shukrani zangu za dhati kwa hospitali ya moyo JKCI kwa kuniamini na kunipa nafasi ya kushirikiana nanyi katika kuleta muonekano tofaut
22.9K
IN
@inspire_decorbydaisy
Ninapenda kutoa shukrani zangu za dhati kwa hospitali ya moyo JKCI kwa kuniamini na kunipa nafasi ya kushirikiana nanyi katika kuleta muonekano tofauti kwenye hospitali yenu iliyopo Oysterbay/Masaki. Ilikuwa furaha na heshima kubwa kuwa sehemu ya mabadiliko haya. Stay tuned kwa picha za ‘before and after’ zitakazokuja hivi karibuni! 💖 #InteriorDesignJourney #JKCI #tunzamoyowako#hosipital #clinicyamoyo#TransformingSpaces #GratefulHeart

✨ #Jkci Discovery Guide

Instagram hosts thousands of posts under #Jkci, creating one of the platform's most vibrant visual ecosystems. This massive collection represents trending moments, creative expressions, and global conversations happening right now.

Discover the latest #Jkci content without logging in. The most impressive reels under this tag, especially from @azamtvtz, @vanstarmedltd and @habarileo_tz, are gaining massive attention. View them in HD quality and download to your device.

What's trending in #Jkci? The most watched Reels videos and viral content are featured above. Explore the gallery to discover creative storytelling, popular moments, and content that's capturing millions of views worldwide.

Popular Categories

📹 Video Trends: Discover the latest Reels and viral videos

📈 Hashtag Strategy: Explore trending hashtag options for your content

🌟 Featured Creators: @azamtvtz, @vanstarmedltd, @habarileo_tz and others leading the community

FAQs About #Jkci

With Pictame, you can browse all #Jkci reels and videos without logging into Instagram. No account required and your activity remains private.

Content Performance Insights

Analysis of 12 reels

🔥 Highly Competitive

💡 Top performing posts average 35.6K views (2.6x above average). High competition - quality and timing are critical.

Focus on peak engagement hours (typically 11 AM-1 PM, 7-9 PM) and trending formats

Content Creation Tips & Strategy

💡 Top performing content gets over 10K views - focus on engaging first 3 seconds

✍️ Detailed captions with story work well - average caption length is 606 characters

✨ Many verified creators are active (25%) - study their content style for inspiration

📹 High-quality vertical videos (9:16) perform best for #Jkci - use good lighting and clear audio

Popular Searches Related to #Jkci

🎬For Video Lovers

Jkci ReelsWatch Jkci Videos

📈For Strategy Seekers

Jkci Trending HashtagsBest Jkci Hashtags

🌟Explore More

Explore Jkci#jkci hospital#jkci masaki#jkci kawe#jkci oyster bay#jkci dar group hospital