#Mbuzi

Watch 80K Reels videos about Mbuzi from people all over the world.

Watch anonymously without logging in.

80K posts
NewTrendingViral

Trending Reels

(12)
#Mbuzi Reel by @ramjaan_meat.tz - Savannah ni moja ya aina bora zaidi za mbuzi wa nyama duniani, asili yake ni Afrika Kusini 🇿🇦. Amefugwa kwa kuchaguliwa kizazi hadi kizazi (selectiv
2.7K
RA
@ramjaan_meat.tz
Savannah ni moja ya aina bora zaidi za mbuzi wa nyama duniani, asili yake ni Afrika Kusini 🇿🇦. Amefugwa kwa kuchaguliwa kizazi hadi kizazi (selective breeding) ili kupata mbuzi mwenye ustahimilivu wa hali ngumu, ukuaji wa haraka na kinga imara dhidi ya magonjwa. Kinachomtofautisha Savannah ni rangi yake nyeupe safi, mwili mkubwa wenye misuli imara, pamoja na uwezo wa kuhimili joto kali na mazingira magumu bila kuathirika kirahisi. Hii inamfanya kuwa chaguo sahihi kwa ufugaji wa kibiashara hasa maeneo ya Afrika. Kwa mfugaji, Savannah ni faida tupu: ✔️ Hukomaa haraka na kutoa nyama nyingi ✔️ Gharama ndogo za matibabu kutokana na kinga yake ✔️ Anafaa kwa mazingira tofauti hata yenye changamoto ✔️ Uzalishaji wake ni wa uhakika na wenye tija Kwa kifupi, Savannah si mbuzi wa kawaida, ni uwekezaji wa uhakika kwenye biashara ya nyama. Agiza Savannah kupitia @ramjaan_meat.tz leo uone tofauti. Ni mabingwa na wataalamu wakujua mifugo kwenye standard zote, ikiwemo utambuzi wa Cross, na ubora wake. . . . . . . . . #savannah #mbuzi #tanzania #ufugajiwakisasa #mifugoadimu
#Mbuzi Reel by @kilimo_tz - TUNAUZA KWARE WAKUBWA KWAJILI YA KUFUGA NA KULA AU KUPATA MAYAI.

Call/Text/ WhatsApp: +255 712 25 31 02

@joackcompany @mifugo_tz @kilimo_tz @afyakig
3.2K
KI
@kilimo_tz
TUNAUZA KWARE WAKUBWA KWAJILI YA KUFUGA NA KULA AU KUPATA MAYAI. Call/Text/ WhatsApp: +255 712 25 31 02 @joackcompany @mifugo_tz @kilimo_tz @afyakiganjani @joackagrovet @joackanimalclinic Muda wetu wa kazi ni saa 1 Asubuhi hadi saa 5 Usiku (7:00am - 11:00pm) Ofisi zetu zipo Tegeta Wazohill-Dar es salaam na Bagamoyo. FAHAMU KWA UCHACHE KUHUSU NDEGE AINA YA KWARE | HAWA TUNAO HAPA - DSM Kware ni ndege mdogo mwenye asili ya toka huko Japan. Wakiwa mwituni kware ni ndege wanaohama hama na kuishi mashambani. Rangi ya kware huyu wa mjapan ni yenye madoadoa ya kahawia meupe na meusi yanayoanzia kichwani mwake na hadi mkiani tumboni akiwa na rangi ya kahawia hafifu. kware pia wanapatikana katika rangi tofauti kama nyeupe tupu, au nyeupe na nyeusi, Kware mkubwa anaweza kuwa na uzito upatao wa gramu 150. #kware #ndege #ndegeainayakware #quial #birds #ufugajiwakware #kwarewanauzwa #wauzajiwakware #mayaiyakware #nyamayakware #ufugajiwakwale #kwale #mayaiyakwale Office zetu zipo @tegetawazohill -Barabara ya kwenda kiwanda cha twigacement, opposite na kota za kiwanda - Dar es salaam, Kwa wanaohitaji bidhaa zetu au huduma yoyote fika ofisini au wasilina nasi kwa Simu: +255 712 25 31 02 (WhatsApp) +255 692 43 02 63 Email: mifugotz@gmail.com YouTube: https://youtu.be/Yd1kfmho0ac Website link: https://joackcompany.business.site/ Google location: https://maps.app.goo.gl/C2XiH7ppmYe6pq7Q9 #joackcompany #joackvetshop #mifugo #kilimo #poultry #kuku #kuroiler #mbuzi #daressalaam #morogoro #bata #kuchi #ufugaji #kilimoufugaji #dodoma #tanzania #tanzania🇹🇿 JOACK COMPANY LTD| DSM & BAGAMOYO
#Mbuzi Reel by @mabandayamifugo - MABANDA YA MIFUGO YA KISASA | KWA MIFUGO AINA ZOTE.

Call/Text/WhatsApp: +255 712 253 102

@joackcompany @kilimo_tz @mifugo_tz @mabandayamifugo @joack
1.6K
MA
@mabandayamifugo
MABANDA YA MIFUGO YA KISASA | KWA MIFUGO AINA ZOTE. Call/Text/WhatsApp: +255 712 253 102 @joackcompany @kilimo_tz @mifugo_tz @mabandayamifugo @joackagrovet @joackanimalclinic @joackbagamoyo @joackanimalfeeds @mifugokilimo Muda wetu wa kazi ni saa 1 Asubuhi hadi saa 5 Usiku (7:00am - 11:00pm). Kwa viwango bora na vinavyokidhi mahitaji ya mfugaji wa leo! 👉 Tunajenga mabanda imara, yenye hewa ya kutosha na rahisi kusimamia 👉 Tunatumia vifaa bora kwa uimara wa muda mrefu 👉 Tunatoa huduma kuanzia ushauri, usanifu hadi ujenzi kamili Aina za mabanda tunayotengeneza: ✅ Mabanda ya kuku (Layers & Broilers) ✅ Mabanda ya mbuzi na kondoo ✅ Mabanda ya ng’ombe ✅ Mabanda ya sungura ✅ Mabanda ya kware Faida za mabanda yetu: ✔️ Hupunguza magonjwa kwa mifugo ✔️ Huongeza uzalishaji na ukuaji bora ✔️ Rahisi kusafisha na kusimamia ✔️ Huokoa nafasi na gharama Kwa nini uchague JOACK? ✔️ Ubora wa hali ya juu ✔️ Bei nafuu na rafiki ✔️ Uzoefu wa vitendo kwenye sekta ya mifugo ✔️ Ushauri wa kitaalamu bure 📍 Wasiliana nasi leo tukujengee banda bora kwa mafanikio ya ufugaji wako! #MabandaYaMifugo #UfugajiKisasa #Kuku #Ngombe #Mbuzi Kware JoackCompany Agribusiness TanzaniaFarmers Office zetu zipo @TegetaWazohill -Barabara ya kwenda kiwanda cha twigacement, opposite na kota za kiwanda - Dar es salaam, Kwa wanaohitaji bidhaa zetu au huduma yoyote fika ofisini au wasilina nasi kwa Simu: +255 712 25 31 02(WhatsApp) +255 692 43 02 63 Email: info@joack.co.tz YouTube: https://youtu.be/Yd1kfmho0ac Website link: https://joack.co.tz Google location: https://maps.app.goo.gl/C2XiH7ppmYe6pq7Q9 tanzania daktariwamifugo daressalaam matibabuyawanyama tanzania🇹🇿 mbwa pwani kibaha madawa madawayamifugo kituochaafyayamifugo dodoma morogoro JOACK Vet Center JOACK Company Limited
#Mbuzi Reel by @mbuzi_na_kondoo_online (verified account) - Harufu ya nyama ya mbuzi ikichemka taratibu… 🔥🤤
Hapo ndipo ladha ya kweli ya Kitanzania ilipo 🇹🇿
🐐 Nyama ya MBUZI safi, laini na yenye ladha hali
2.2K
MB
@mbuzi_na_kondoo_online
Harufu ya nyama ya mbuzi ikichemka taratibu… 🔥🤤 Hapo ndipo ladha ya kweli ya Kitanzania ilipo 🇹🇿 🐐 Nyama ya MBUZI safi, laini na yenye ladha halisi ✔️ Mafuta kidogo ✔️ Inafaa kiafya ✔️ Inapatikana leo 📞 Wasiliana nasi sasa: 0767 183 784 📍 Follow: @mbuzi_na_kondoo_online #tanzania #dar #mbuzi #kinondoni #mbuzichoma
#Mbuzi Reel by @alhaji_mbuzi (verified account) - TUNAUZA #MBUZI NZURI KWA BEI NAFUU

☑️Kama unataka #Mbuzi chap 📞@0654914148 au Click bio uje Whatsapp
☑️Hauitaji kuzurula tuna kuletea @Mbuzi mpaka k
626
AL
@alhaji_mbuzi
TUNAUZA #MBUZI NZURI KWA BEI NAFUU ☑️Kama unataka #Mbuzi chap 📞@0654914148 au Click bio uje Whatsapp ☑️Hauitaji kuzurula tuna kuletea @Mbuzi mpaka kwako, awe mzima au kasha chinjwa ☑️ Follow page yetu, save post hii Kwa matumizi ya badae, na share, Kwa wadau bila kusahau LIKE ♥️ 🕹️OFFICE K/KOO JANGWANI DAR-ES-SAALM 🛵 DELIVERY TUNAFANYA KWA GHARAMA ZA MTEJA 📞#0654914148 WHAT'S APP KALIBU KWETU UPATE KILICHO BORA
#Mbuzi Reel by @mifugokilimo - MBUZI WA NYAMA WA AINA YA BOER GOAT NA AINA NYINGINE ZA MBUZI ZINAPATIKANA KWETU JOACK.

Tunao Pure 100% Boer, Chotara wa 50% Boer goats na aina nying
3.1K
MI
@mifugokilimo
MBUZI WA NYAMA WA AINA YA BOER GOAT NA AINA NYINGINE ZA MBUZI ZINAPATIKANA KWETU JOACK. Tunao Pure 100% Boer, Chotara wa 50% Boer goats na aina nyingine za mbuzi wa nyama na maziwa. Call/Text/WhatsApp: +255 712 253 102 @joackcompany @kilimo_tz @mifugo_tz @afyakiganjani @joackagrovet @joackbagamoyo @joackanimalclinic @joackmachinery Muda wetu wa kazi ni saa 1 Asubuhi hadi saa 5 Usiku (7:00am - 11:00pm) Ofisi zetu zipo Tegeta Wazohill- DSMna Bagamoyo Fahamu kuhusu Boer Goats (Mbuzi wa nyama) Mbuzi Wanaozaa Mapacha ASILI Kiasili ni #mbuzi wa Afrika ya kusini ingawa ndani yake kuna damu toka bara Ulaya na India Hii ndio mbegu kubwa Zaidi ya mbuzi wa nyama ukilinganisha na wengine. Pia wanazalisha kiwango kikubwa cha maziwa ingawa wanafaa zaidi kwa nyama. RANGI Wana mwili wenye rangi nyeupa na kichwani wana rangi nyekundu au hudhurungi (brown) ingawa wapo weupe kabisa au wekundu/hudhurungi kabisa na hii hutokea kwa 0.001% UMBO Wana umbo kubwa kufikia kilo 110-135 kwa madume Kilo 90-100 kwa majike Wana masikio yaliyolala kama #mbuzi wa kinubi (Nubians) UZAZI Huwa wanazaa mapacha na huweza kuzaa mara 2 kwa mwaka Majike ni wazazi na walezi wazuri wa watoto sababu wana maziwa ya kutosha. Watoto hukua haraka sana, na nia aina ya mbuzi ambao sio wakorofi (docile) Kwenye baridi kali au joto kali huwa inawaathiri kwenye kubeba mimba. #mbuzi #mbuziwanyama #nyama boer boergoats mbuziainayaboergoat beefgoat boaergoat Mbuzi hawa wanasifa nyingi ila hizo ni chache tu, kama unahitaji aina hii ya mbuzi wasiliana nasi kupitia Office zetu zipo @TegetaWazohill -Barabara ya kwenda kiwanda cha twigacement, opposite na kota za kiwanda - Dar es salaam, Kwa wanaohitaji bidhaa zetu au huduma yoyote fika ofisini au wasilina nasi kwa Simu: +255 712 25 31 02(WhatsApp) +255 692 43 02 63 Email: info@joack.co.tz YouTube: https://youtu.be/Yd1kfmho0ac Website link: https://joack.co.tz Google location: https://maps.app.goo.gl/C2XiH7ppmYe6pq7Q9 joackcompany mifugo mifugotz kilimotz ufugaji kuku broiler tanzania incubator mbuzi mbwa daressalaam morogoro kilimoufugaji mwanza dodoma ufugajiwambuzi magonjwayambuzi mbuziwakisasa tanzania🇹🇿 JOACK Company LTD
#Mbuzi Reel by @mbuzi_tanzania - KWA MAHITAJI YA MBUZI NA KONDOO WANAPATIKANA HAPA 📞 contact : 0793 504 525 / 0685 506 399

📍tupo dar es salaam , jangwani
#deliver tunafanya 

#mbuz
1.0K
MB
@mbuzi_tanzania
KWA MAHITAJI YA MBUZI NA KONDOO WANAPATIKANA HAPA 📞 contact : 0793 504 525 / 0685 506 399 📍tupo dar es salaam , jangwani #deliver tunafanya #mbuzitanzania #mbuzi
#Mbuzi Reel by @mbuzi_point_dar - ✨ EID YA MWAKA HUU IFANYE YA TOFAUTI NA MBUZI POINT DAR ✨🐑

Tunawaletea mbuzi na kondoo wa kisasa, wenye afya nzuri, nyama safi na quality ya uhakika
1.6K
MB
@mbuzi_point_dar
✨ EID YA MWAKA HUU IFANYE YA TOFAUTI NA MBUZI POINT DAR ✨🐑 Tunawaletea mbuzi na kondoo wa kisasa, wenye afya nzuri, nyama safi na quality ya uhakika kwa ajili ya Eid al-Adha 📍Tupo jangwani kariakoo (Dar es salaam) ✅Tunapokea order za aina zote ✅tuna toa huduma ya kuchinja na kuchuniwa kwa bei nafuu ✅ delivery inapatikana kwa bei nafuu karibu sana tufanye ibada yako iwe nyepes na yenye baraka 📞0718020925 #mbuzi #wauzambuzi #goats #sheep
#Mbuzi Reel by @buza_media (verified account) - younglunya YL mbuzi #trendingvideo #tiktoktanzania🇹🇿 #mbuzi
220
BU
@buza_media
younglunya YL mbuzi #trendingvideo #tiktoktanzania🇹🇿 #mbuzi
#Mbuzi Reel by @younglunya (verified account) - #MBUZI 2024 

Happy New Year My good people 🫡
111.7K
YO
@younglunya
#MBUZI 2024 Happy New Year My good people 🫡
#Mbuzi Reel by @wcb_wasafi (verified account) - @itsdvoice's Verse on @younglunya New Album #Mbuzi

Track No. 10 #Maua Let's Goooooo!!!

#mbuzialbum
12.3K
WC
@wcb_wasafi
@itsdvoice's Verse on @younglunya New Album #Mbuzi Track No. 10 #Maua Let’s Goooooo!!! #mbuzialbum

✨ #Mbuzi Discovery Guide

Instagram hosts 80K posts under #Mbuzi, creating one of the platform's most vibrant visual ecosystems. This massive collection represents trending moments, creative expressions, and global conversations happening right now.

#Mbuzi is one of the most engaging trends on Instagram right now. With over 80K posts in this category, creators like @younglunya, @wcb_wasafi and @yobo_rain_farm are leading the way with their viral content. Browse these popular videos anonymously on Pictame.

What's trending in #Mbuzi? The most watched Reels videos and viral content are featured above. Explore the gallery to discover creative storytelling, popular moments, and content that's capturing millions of views worldwide.

Popular Categories

📹 Video Trends: Discover the latest Reels and viral videos

📈 Hashtag Strategy: Explore trending hashtag options for your content

🌟 Featured Creators: @younglunya, @wcb_wasafi, @yobo_rain_farm and others leading the community

FAQs About #Mbuzi

With Pictame, you can browse all #Mbuzi reels and videos without logging into Instagram. No account required and your activity remains private.

Content Performance Insights

Analysis of 12 reels

✅ Moderate Competition

💡 Top performing posts average 34.7K views (2.7x above average). Moderate competition - consistent posting builds momentum.

Post consistently 3-5 times/week at times when your audience is most active

Content Creation Tips & Strategy

💡 Top performing content gets over 10K views - focus on engaging first 3 seconds

✍️ Detailed captions with story work well - average caption length is 692 characters

✨ Many verified creators are active (42%) - study their content style for inspiration

📹 High-quality vertical videos (9:16) perform best for #Mbuzi - use good lighting and clear audio

Popular Searches Related to #Mbuzi

🎬For Video Lovers

Mbuzi ReelsWatch Mbuzi Videos

📈For Strategy Seekers

Mbuzi Trending HashtagsBest Mbuzi Hashtags

🌟Explore More

Explore Mbuzi#mabanda ya mbuzi ya kisasa#banda la mbuzi#mbuzi online goba#muzi the mbuzi#mbuzi wet fry#nyama ya mbuzi#kibao cha mbuzi#mbuzi level