#Mbwa

Watch 14K Reels videos about Mbwa from people all over the world.

Watch anonymously without logging in.

14K posts
NewTrendingViral

Trending Reels

(12)
#Mbwa Reel by @mifugokilimo - TUNAUZA MBWA WA KISASA WA ULINZI | GERMANY SHEPHERD DOG | BOERBOEL | BELGIUM MALINOIS | ROTTWEILER | PITBULL | ECT

Call/Text/WhatsApp: +255 712 253 1
1.9K
MI
@mifugokilimo
TUNAUZA MBWA WA KISASA WA ULINZI | GERMANY SHEPHERD DOG | BOERBOEL | BELGIUM MALINOIS | ROTTWEILER | PITBULL | ECT Call/Text/WhatsApp: +255 712 253 102 @joackcompany @kilimo_tz @mifugo_tz @joackagrovet @joackanimalclinic @joackbagamoyo Muda wetu wa kazi ni saa 1 Asubuhi hadi saa 5 Usiku Ofisi zetu zipo Tegeta Wazohill-Dar es salaam na Bagamoyo Mara nyingi mbwa hufugwa kwa malengo nne ambayo ni:- 1. Kunusa (Detection dogs or Sniffer dogs) 2. Kulinda/usalama (Guard dogs) 3. Kuongoza (Guide dogs) 4. Mbwa kipenzi (pets) Kwa kazi ya ulinzi, mbwa ni kati ya walinzi wazuri na waaminifu, ni mlinzi asiyepokea rushwa wala kula dili na wezi, akiamua kukulinda basi ataulinda kweli. Mbwa ni kati ya wanyama wenye tabia tofauti tofauti kulingana na asili yao, hivyo ni muhimu kupata taarifa sahihi za mbwa husika ili uweze kujua namna ya kumtunza. Licha ya kufahamu tu tabia za mbwa, ni muhimu pia kujua taratibu za chanjo na matibabu za mbwa, lengo ni kuhakikisha mbwa wako anakuwa salama dhidi ya magonjwa na hatari nyingine. Pia kuna swala la mafunzo, mbwa ni kati ya wanyama wenye uelewa hivyo anaweza kufundishika.. Unaweza mfundisha mbwa wako tabia unazo zitaka, mfano unaweza mafundisha ukali, utii, kunusa, sehemu za kujisaidia, nk Ukiamua kufuga mbwa kwa lengo lolote ni muhimu kuwasiliana na wataalamu ili uweze kupata ushauri sahihi. Hayo ni machache tu kuhusu mbwa, lakini kama unahitaji mbwa kwa lengo lolote karibu sana JOACK. #gsd #securitydog #germanyshephered #mbwa #matibabuyambwa dogsforsale mbwa tunauzambwa mbwawanauzwa wauzajiwambwa mbwawakisasa mbwawakizungu mbwawaulinzi Office zetu zipo @tegetawazohill - Barabara ya kwenda kiwanda cha twigacement, opposite na kota za kiwanda - Dar es salaam, Kwa wanaohitaji bidhaa zetu au huduma yoyote fika ofisini au wasilina nasi kwa Simu: +255 712 253 102(WhatsApp) +255 692 43 02 63 Email: info@joack.co.tz joackcompany kilimo mifugo daresalaam tanzania daktariwamifugo hospitalyamifugo hospitalyawanyama animalhospital daktariwambwa matibabuyamifugo matibabuyawanyama dodoma animalhospital tanzania🇹🇿 mikocheni masaki JOACK Company LTD | DSM NA BAGAMOYO
#Mbwa Reel by @joackbagamoyo - HAKUNA KUWEKA ODA, LIPA NA KUCHUKUA MABANDA YA MBWA | DOG HOUSES ( DOG CAGE) - DSM

Call/Text/WhatsApp: +255 712 25 31 02

@joackcompany @mifugo_tz @k
1.1K
JO
@joackbagamoyo
HAKUNA KUWEKA ODA, LIPA NA KUCHUKUA MABANDA YA MBWA | DOG HOUSES ( DOG CAGE) - DSM Call/Text/WhatsApp: +255 712 25 31 02 @joackcompany @mifugo_tz @kilimo_tz @afyakiganjani @joackagrovet @joackanimalclinic @joackbagamoyo Muda wetu wa kazi ni saa 1 Asubuhi hadi saa 5 Usiku (7:00am - 11:00pm) Ofisi zetu zipo Tegeta-Wazohill Dar es salaam na Bagamoyo Dog kennel mabanda ya mbwa Dog Cage Haya ni mabanda ya kisasa ya kufugia mbwa, uzuri wa mabanda haya ni kwamba yanaweza kuhamishika kirahisi. Faida nyingine ya hizi dog cage ni kwamba zinamuonekano mzuri hivyo huwa kama sehemu ya urembo kwenye nyumba yako. Cage zinauimara wa kutosha mana zimetengenezwa kwa chuma. Cage hizi zina ventilation ya kutosha hivyo hupunguza chance ya magonjwa ya mlipuko ambayo husambaa kwa njia ya hewa. Lakini pia cage hizi nirahisi kusafishika. @joackcompany inatoa huduma ya utengenezaji wa cage za mbwa kwa gharama na fuu sana, bei ya cage inategemea ukubwa na aina ya cage/banda. #mabandayambwa #kejizambwa #bandalambwa #mbwa #banda mbwawaulinzi dogcage dogkennels doghouse nyumbayambwa ufugajiwambwa Office zetu zipo @TegetaWazohill -Barabara ya kwenda kiwanda cha twigacement, opposite na kota za kiwanda - Dar es salaam, Kwa wanaohitaji bidhaa zetu au huduma yoyote fika ofisini au wasilina nasi kwa Simu: +255 712 253 102(WhatsApp) +255 692 430 263 Email: info@joack.co.tz YouTube: https://youtu.be/Yd1kfmho0ac Website link: https://joack.co.tz Google location: https://maps.app.goo.gl/C2XiH7ppmYe6pq7Q9 joackcompay mifugo mifugotz kilimotz kilimo ufugaji tanzania dodoma tanzaniaweddings morogoro kilimoufugaji mwanza arusha mbeya kilimanjaro sungura vifaranga daktariwamifugo tanzania🇹🇿 JOACK Workshop | JOACK Company LTD
#Mbwa Reel by @mpareusa - Ama kweli akufukuzae nchini kwake hakuambii toka 🤦🏿 #swahilireels #mbwa #ndege #mpareusa #tanzania #eastafrica #africa
13.2K
MP
@mpareusa
Ama kweli akufukuzae nchini kwake hakuambii toka 🤦🏿 #swahilireels #mbwa #ndege #mpareusa #tanzania #eastafrica #africa
#Mbwa Reel by @azamtvtz (verified account) - Wakati utandawazi ukiendelea kuitawala dunia yapo maeneo watu wake wanaendelea kuziishi mila na tamaduni za wahenga,wakiamini ni chanzo cha mafanikio
140.0K
AZ
@azamtvtz
Wakati utandawazi ukiendelea kuitawala dunia yapo maeneo watu wake wanaendelea kuziishi mila na tamaduni za wahenga,wakiamini ni chanzo cha mafanikio yao. Miongoni mwa maeneo hayo ni Kisiwa cha Goziba kilichopo katika ziwa Victoria upande wa Wilaya ya Muleba mkoani Kagera kisiwa ambacho hakiruhusiwi kuingizwa baadhi ya wanyama wakiwemo mbwa kwa madai kuwa ni miiko iliyowekwa na mababu zao. #milanadesturi #kisiwachagoziba #mbwa #miiko #ziwaVictoria ✍Innocent Aloyce Mhariri| @official_jennifersumi
#Mbwa Reel by @joackagrovet - TUNAUZA MBWA WA KISASA WA ULINZI | GERMANY SHEPHERD DOG | BOERBOEL | BELGIUM MALINOIS | ROTTWEILER | PITBULL | ECT

Call/Text/WhatsApp: +255 712 253 1
232
JO
@joackagrovet
TUNAUZA MBWA WA KISASA WA ULINZI | GERMANY SHEPHERD DOG | BOERBOEL | BELGIUM MALINOIS | ROTTWEILER | PITBULL | ECT Call/Text/WhatsApp: +255 712 253 102 @joackcompany @kilimo_tz @mifugo_tz @joackagrovet @joackanimalclinic @joackbagamoyo Muda wetu wa kazi ni saa 1 Asubuhi hadi saa 5 Usiku Ofisi zetu zipo Tegeta Wazohill-Dar es salaam na Bagamoyo Mara nyingi mbwa hufugwa kwa malengo nne ambayo ni:- 1. Kunusa (Detection dogs or Sniffer dogs) 2. Kulinda/usalama (Guard dogs) 3. Kuongoza (Guide dogs) 4. Mbwa kipenzi (pets) Kwa kazi ya ulinzi, mbwa ni kati ya walinzi wazuri na waaminifu, ni mlinzi asiyepokea rushwa wala kula dili na wezi, akiamua kukulinda basi ataulinda kweli. Mbwa ni kati ya wanyama wenye tabia tofauti tofauti kulingana na asili yao, hivyo ni muhimu kupata taarifa sahihi za mbwa husika ili uweze kujua namna ya kumtunza. Licha ya kufahamu tu tabia za mbwa, ni muhimu pia kujua taratibu za chanjo na matibabu za mbwa, lengo ni kuhakikisha mbwa wako anakuwa salama dhidi ya magonjwa na hatari nyingine. Pia kuna swala la mafunzo, mbwa ni kati ya wanyama wenye uelewa hivyo anaweza kufundishika.. Unaweza mfundisha mbwa wako tabia unazo zitaka, mfano unaweza mafundisha ukali, utii, kunusa, sehemu za kujisaidia, nk Ukiamua kufuga mbwa kwa lengo lolote ni muhimu kuwasiliana na wataalamu ili uweze kupata ushauri sahihi. Hayo ni machache tu kuhusu mbwa, lakini kama unahitaji mbwa kwa lengo lolote karibu sana JOACK. #gsd #securitydog #germanyshephered #mbwa #matibabuyambwa dogsforsale mbwa tunauzambwa mbwawanauzwa wauzajiwambwa mbwawakisasa mbwawakizungu mbwawaulinzi Office zetu zipo @tegetawazohill - Barabara ya kwenda kiwanda cha twigacement, opposite na kota za kiwanda - Dar es salaam, Kwa wanaohitaji bidhaa zetu au huduma yoyote fika ofisini au wasilina nasi kwa Simu: +255 712 253 102(WhatsApp) +255 692 43 02 63 Email: info@joack.co.tz joackcompany kilimo mifugo daresalaam tanzania daktariwamifugo hospitalyamifugo hospitalyawanyama animalhospital daktariwambwa matibabuyamifugo matibabuyawanyama dodoma animalhospital tanzania🇹🇿 mikocheni masaki JOACK Company LTD | DSM NA BAGAMOYO
#Mbwa Reel by @bbcswahili (verified account) - Migahawa ya mbwa imeanza kushamiri nchini Uingereza. 
-
Migahawa hii inaruhusu mbwa na hata wamiliki wao kukaa meza moja na kula chakula pamoja.
-
Mwa
53.0K
BB
@bbcswahili
Migahawa ya mbwa imeanza kushamiri nchini Uingereza. - Migahawa hii inaruhusu mbwa na hata wamiliki wao kukaa meza moja na kula chakula pamoja. - Mwandishi wa BBC amefika katika mojawapo ya migahawa hii kujionea kinachoandaliwa. - - - #bbcswahili #uingereza #mbwa #wanyama #vyakula
#Mbwa Reel by @ufugajibora_tz - Puppies🐶🐶 wa German Shepherd (GSD) wapo wanapatikana.

📍Umri: Miezi 2.

📍Jinsia: jike na Dume

📍Chanjo: ✅️

📍Mawasiliano: ☎️ 0766 680 587 (sms,
553
UF
@ufugajibora_tz
Puppies🐶🐶 wa German Shepherd (GSD) wapo wanapatikana. 📍Umri: Miezi 2. 📍Jinsia: jike na Dume 📍Chanjo: ✅️ 📍Mawasiliano: ☎️ 0766 680 587 (sms, Call na WhatsApp) #GermanShepherd #GSD #Mbwa #Dog #Ufugaji #Ufugajibora_tz
#Mbwa Reel by @wcb_wasafi (verified account) - Kwa yanayoendelea mjini
Hamna wimbo unaowafaa wahanga kama huu kutoka kwa @itsdvoice #Mbwa
Kikubwa ujumbe ufike 😄

OUT NOW!
118.7K
WC
@wcb_wasafi
Kwa yanayoendelea mjini Hamna wimbo unaowafaa wahanga kama huu kutoka kwa @itsdvoice #Mbwa Kikubwa ujumbe ufike 😄 OUT NOW!
#Mbwa Reel by @kb_phones_and_accessories - HUDUMA BORA, SIMU BORA - karibu uishi kidijitali.

📍TUPO KARIAKOO- NYUMA YA CHINA PLAZA jengo limeandikw agrey plaza ~dar es salaam

Tupigie & wasap
297
KB
@kb_phones_and_accessories
HUDUMA BORA, SIMU BORA – karibu uishi kidijitali. 📍TUPO KARIAKOO- NYUMA YA CHINA PLAZA jengo limeandikw agrey plaza ~dar es salaam Tupigie & wasap 📞 ☎️ ~0623688476 #isaka #wasafimedia #godthefirst #elimikawikiendi #chabolii #trendingréels #trendingsong❤️ #viralreels❤️ #videos #foryoupageviralシ゚ #kariakoo_dar_es_salaam_tanzania #tanzania #iphone12pro #iphone#covers #mbwa#davido #assurance#ıphone13 #motorola #pixel #pixel6a#googlepixel4 #googlepixel6a #samsungnote10plus #samsungnote20ultra5g #topup#samsungs23ultra#i̇phone16promax #redmi15c
#Mbwa Reel by @voaswahili (verified account) - Takriban mbwa 50 wanaojulikana kama pit bull wakabidhiwa kwa shirika la kuwalinda wanyama dhidi ya kudhulumiwa nchini Afrika Kusini baada mmoja wa mbw
10.5K
VO
@voaswahili
Takriban mbwa 50 wanaojulikana kama pit bull wakabidhiwa kwa shirika la kuwalinda wanyama dhidi ya kudhulumiwa nchini Afrika Kusini baada mmoja wa mbwa hao kumuuma mtoto mwenye umri wa miaka minane. Wananchi wamekuwa wakitaka mbwa hao wa pit bull kutofugwa majumbani. Ungana na mwandishi wetu akikuletea hatua ambazo wananchi wanachukua kukabiliana na tatizo hilo... #mbwa #pitbull #shirika #wanyama #afrikakusini #mtoto #shambulia #hofu #majumbani #ufugaji #voa #voaswahili #dunianileo #afrikakusini
#Mbwa Reel by @bbcswahili (verified account) - Tazama familia hii mke na mume ambao wamenunua basi kwa ajili ya biashara yao ya kutembea na mbwa huko Alaska  ambapo  wanaendesha gari kuzunguka mji
42.9K
BB
@bbcswahili
Tazama familia hii mke na mume ambao wamenunua basi kwa ajili ya biashara yao ya kutembea na mbwa huko Alaska ambapo wanaendesha gari kuzunguka mji na kuchukua watoto wa mbwa kwa ajili ya kujivinjari na kutali kila siku. - Mbwa huruka ruka ndani na nje ya basi kama vile basi la shule ambapo wanafurahia mazingira katika maeneo mbalimbali ya Alaska. - - - #bbcswahili #alaska #wanyamawkufugwa #buslambwa #mbwa

✨ #Mbwa Discovery Guide

Instagram hosts 14K posts under #Mbwa, creating one of the platform's most vibrant visual ecosystems. This massive collection represents trending moments, creative expressions, and global conversations happening right now.

Discover the latest #Mbwa content without logging in. The most impressive reels under this tag, especially from @azamtvtz, @wcb_wasafi and @bbcswahili, are gaining massive attention. View them in HD quality and download to your device.

What's trending in #Mbwa? The most watched Reels videos and viral content are featured above. Explore the gallery to discover creative storytelling, popular moments, and content that's capturing millions of views worldwide.

Popular Categories

📹 Video Trends: Discover the latest Reels and viral videos

📈 Hashtag Strategy: Explore trending hashtag options for your content

🌟 Featured Creators: @azamtvtz, @wcb_wasafi, @bbcswahili and others leading the community

FAQs About #Mbwa

With Pictame, you can browse all #Mbwa reels and videos without logging into Instagram. No account required and your activity remains private.

Content Performance Insights

Analysis of 12 reels

✅ Moderate Competition

💡 Top performing posts average 88.7K views (2.7x above average). Moderate competition - consistent posting builds momentum.

Post consistently 3-5 times/week at times when your audience is most active

Content Creation Tips & Strategy

💡 Top performing content gets over 10K views - focus on engaging first 3 seconds

✍️ Detailed captions with story work well - average caption length is 735 characters

📹 High-quality vertical videos (9:16) perform best for #Mbwa - use good lighting and clear audio

✨ Many verified creators are active (50%) - study their content style for inspiration

Popular Searches Related to #Mbwa

🎬For Video Lovers

Mbwa ReelsWatch Mbwa Videos

📈For Strategy Seekers

Mbwa Trending HashtagsBest Mbwa Hashtags

🌟Explore More

Explore Mbwa#aina za mbwa wa ulinzi#banda la mbwa#mabanda ya mbwa#mbwa wa kisasa#mbwa wa africa#mbwa mwitu#chakula cha mbwa#mbwa leszno