Trending

#Sgr

Watch 477K Reels videos about Sgr from people all over the world.

Watch anonymously without logging in.

477K posts
NewTrendingViral

Trending Reels

(12)
#Sgr Reel by @tzrailways (verified account) - Wanaikubali #SGR anasema ni treni ya kisasa, nzuri kuliko hata baadhi ya treni za nchi za Ulaya.
#reliyetumaendeleoyetutaifaletu
8.3K
TZ
@tzrailways
Wanaikubali #SGR anasema ni treni ya kisasa, nzuri kuliko hata baadhi ya treni za nchi za Ulaya. #reliyetumaendeleoyetutaifaletu
#Sgr Reel by @jamiiforums (verified account) - SINGIDA: WAFANYAKAZI WA SGR - ITIGI WAGOMA NA KUANDAMANA WAKISHINIKIZA KULIPWA STAHIKI ZAO
-
Wafanyakazi ambao wapo katika orodha ya kupunguzwa kazi k
93.5K
JA
@jamiiforums
SINGIDA: WAFANYAKAZI WA SGR – ITIGI WAGOMA NA KUANDAMANA WAKISHINIKIZA KULIPWA STAHIKI ZAO - Wafanyakazi ambao wapo katika orodha ya kupunguzwa kazi katika Mradi wa Reli ya #SGR, Kambi ya #Itigi wamefanya mgomo na kuandamana hadi kwa Meneja Rasilimali Watu wa Mkandarasi Mkuu wa Mradi, #YapiMerkezi wakitaka kujua hatima ya stahiki zao ikiwemo Mafao ya Mfuko wa Hifadhi ya Jamii (#NSSF) ambayo inadaiwa hayajaingiziwa kwa zaidi ya Miezi 10 - Mdau aliyejitambulisha kama mmoja wa wanaochishwa kazi Awamu ya Tatu (Lot 3) amedai hoja yao ni kutaka walipwe kabla ya Yapi kukabidhi kazi kwa Mkandarasi mwingine kama ambavyo wamekuwa wakisikia tetesi - #JFMatukio #JFUwajibikaji #JFHuduma #JamiiForums
#Sgr Reel by @roy.kanyi (verified account) - Should you pay Sh12,000 for a train ride? 

What's the Tech inside?

#roykanyi #sgr #premiumsgr #mombasa #nairobi
45.7K
RO
@roy.kanyi
Should you pay Sh12,000 for a train ride? What’s the Tech inside? #roykanyi #sgr #premiumsgr #mombasa #nairobi
#Sgr Reel by @doablesafaris - SGR MIKUMI ADVENTURE DAY TRIP
 

Jiunge nasi Mikumi Day trip 1 /5/2026  sikukuu ya Wafanyakazi

Package includes
SGR tickes go and return
Transport to
22.9K
DO
@doablesafaris
SGR MIKUMI ADVENTURE DAY TRIP Jiunge nasi Mikumi Day trip 1 /5/2026 sikukuu ya Wafanyakazi Package includes SGR tickes go and return Transport to mikumi and back Lunch and breakfast Drinking water Game drive (Landcruiser) Park fee Guide Photoshoot WhatsApp/Call +255 785 670 209 Email doablesafaris@gmail.com #mikumi_national_park #sgr #wildlife_seekers #nationalpark #tanzania
#Sgr Reel by @azamtvtz (verified account) - Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Uwekezaji Mitaji ya Umma (PIC) imeyaagiza mashirika ya umeme (Tanseco) na reli (TRC) kuilinda miundombinu ya reli ya kisa
25.9K
AZ
@azamtvtz
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Uwekezaji Mitaji ya Umma (PIC) imeyaagiza mashirika ya umeme (Tanseco) na reli (TRC) kuilinda miundombinu ya reli ya kisasa (SGR) ili itumike kwa muda mrefu pale mradi huo utakapoanza kufanya kazi mwakani kama ilivyopangwa. Imeandaliwa na @moseskwindi #AzamTVUpdates #SGR #ReliYaKisasa #Umeme #UmemeSGR #KamatiYaPIC
#Sgr Reel by @the_dave_mani (verified account) - We took the SGR for the first time, from Nairobi to Voi and here is my review. 🇰🇪🚂
.
.
.
#sgr #standardgaugerailway #nairobi #nairobikenya #transpo
801.0K
TH
@the_dave_mani
We took the SGR for the first time, from Nairobi to Voi and here is my review. 🇰🇪🚂 . . . #sgr #standardgaugerailway #nairobi #nairobikenya #transportation #train #trainstagram #trainreview #kenya #railway #railwaystation #railwayfans #trainfan #passengertrain #passenger #nairobian #iamnairobi #iamnairobiantoday #iamnairobia #🚂 #🇰🇪 #voi #trainstation #trainstations #choochoo
#Sgr Reel by @tzrailways (verified account) - Vibe la wahitimu wa Chuo cha Teknolojia ya Reli Tanzania, wakijimwaga mbele ya Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Reli Tanzania (TRC) Bw. Masanja Kadogosa,
16.2K
TZ
@tzrailways
Vibe la wahitimu wa Chuo cha Teknolojia ya Reli Tanzania, wakijimwaga mbele ya Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Reli Tanzania (TRC) Bw. Masanja Kadogosa, ambaye atawatunuku vyeti wahitimu 236 katika ngazi ya Astashahada ya awali (Basic Technician Certificate) na stashahada ya kawaida (Ordinary Diploma) katika kozi mbalimbali za Teknolojia ya Reli. Vijana wa kike 91 na wenzao wa kiume 245, wanatarajiwa kutunukiwa vyeti katika mahafali hayo ya Chuo cha Teknolojia ya Reli Tanzania. Haya ni mahafali ya nne (4) ya chuo hiki kikongwe chenye umri wa miaka 77 kilichoanzishwa mwaka 1947 na wakoloni walipokuwa wakijenga Reli ya kati kikifahamika kama Railway Training College (RATCO). Hongera wataalamu wetu katika miundombinu ya #MGR na #SGR.
#Sgr Reel by @bbcswahili (verified account) - Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Reli Tanzania, Masanja Kadogosa amefanya mahojiano maalum na BBC na kueleza mipango ya shirika hilo ya kuleta vichwa vip
36.9K
BB
@bbcswahili
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Reli Tanzania, Masanja Kadogosa amefanya mahojiano maalum na BBC na kueleza mipango ya shirika hilo ya kuleta vichwa vipya chotara (hybrid) ambavyo zaidi ya nishati ya umeme, vitaweza kuendeshwa kwa mafuta ya dizeli endapo kutatokea hitilafu ya umeme. - - - #bbcswahili #tanzania #sgr #treniyaumeme #usafirishaji #miundombinu
#Sgr Reel by @thevoicetz - Safari mpya, kasi mpya! 🚄⚡
#TheVoiceTZ tumefurahi kuwa sehemu ya kampeni ya SGR Treni ya Umeme yenye kauli mbiu "Nusu Muda Kotekote".
Hakika ni hatua
4.7K
TH
@thevoicetz
Safari mpya, kasi mpya! 🚄⚡ #TheVoiceTZ tumefurahi kuwa sehemu ya kampeni ya SGR Treni ya Umeme yenye kauli mbiu “Nusu Muda Kotekote”. Hakika ni hatua kubwa ya maendeleo na matokeo ya uongozi wenye maono chini ya Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan 🇹🇿 #SGR #NusuMudaKotekote #MamaSamia #TheVoiceTZ @sgrtanzania @tzrailways @gersonmsigwa @ikulu_mawasiliano @samia_suluhu_hassan
#Sgr Reel by @jamiiforums (verified account) - RAIA WA UTURUKI WANAOJENGA RELI YA SGR WAENDELEZA MGOMO, WAOMBA MSAADA KWA RAIS SAMIA
-
Baadhi ya Wafanyakazi katika Mradi wa Ujenzi wa Reli ya Kisasa
331.5K
JA
@jamiiforums
RAIA WA UTURUKI WANAOJENGA RELI YA SGR WAENDELEZA MGOMO, WAOMBA MSAADA KWA RAIS SAMIA - Baadhi ya Wafanyakazi katika Mradi wa Ujenzi wa Reli ya Kisasa (#SGR) wamemuomba Rais Samia Suluhu kuingilia kati ili walipwe Mishahara yao ya Miezi saba ambayo hawajalipwa tangu Februari 2023 - Wakitoa neno katika Kambi ya Kilosa Mkoani #Morogoro wamesema “Tunaendelea na mgomo ambao umekuwepo kwa Siku 14, hatujapata mwitikio wowote kutoka kwa Uongozi wa #YapiMerkezi. Tunamuomba msaada Rais na Uongozi wa #TRC kusikiliza sauti zetu, tunapata wakati mgumu sisi na Familia zetu.” - #Governance #Diplomacy #JamiiForums #JFHuduma #ServiceDelivery
#Sgr Reel by @gandul.ro (verified account) - Deputatul Adrian Giurgiu, la conferința Gândul Recycle Now: "Sistemul Garanție-Returnare, exemplu de succes. România poate recicla mult mai mult"

#ad
772
GA
@gandul.ro
Deputatul Adrian Giurgiu, la conferința Gândul Recycle Now: „Sistemul Garanție-Returnare, exemplu de succes. România poate recicla mult mai mult” #adriangiurgiu #recyclenow #romania #sgr #gandul

✨ #Sgr Discovery Guide

Instagram hosts 477K posts under #Sgr, creating one of the platform's most vibrant visual ecosystems. This massive collection represents trending moments, creative expressions, and global conversations happening right now.

Discover the latest #Sgr content without logging in. The most impressive reels under this tag, especially from @the_dave_mani, @jamiiforums and @roy.kanyi, are gaining massive attention. View them in HD quality and download to your device.

What's trending in #Sgr? The most watched Reels videos and viral content are featured above. Explore the gallery to discover creative storytelling, popular moments, and content that's capturing millions of views worldwide.

Popular Categories

📹 Video Trends: Discover the latest Reels and viral videos

📈 Hashtag Strategy: Explore trending hashtag options for your content

🌟 Featured Creators: @the_dave_mani, @jamiiforums, @roy.kanyi and others leading the community

FAQs About #Sgr

With Pictame, you can browse all #Sgr reels and videos without logging into Instagram. No account required and your activity remains private.

Content Performance Insights

Analysis of 12 reels

✅ Moderate Competition

💡 Top performing posts average 317.9K views (2.7x above average). Moderate competition - consistent posting builds momentum.

Post consistently 3-5 times/week at times when your audience is most active

Content Creation Tips & Strategy

🔥 #Sgr shows high engagement potential - post strategically at peak times

✍️ Detailed captions with story work well - average caption length is 367 characters

📹 High-quality vertical videos (9:16) perform best for #Sgr - use good lighting and clear audio

✨ Many verified creators are active (83%) - study their content style for inspiration

Popular Searches Related to #Sgr

🎬For Video Lovers

Sgr ReelsWatch Sgr Videos

📈For Strategy Seekers

Sgr Trending HashtagsBest Sgr Hashtags

🌟Explore More

Explore Sgr#sgr tickets#nauli za sgr dar to dodoma#ratiba ya treni ya sgr#sgr kaufland#sgr ticket online booking login#sgr online tickets#pala sgr#sgr ticket tanzania