#Utulie

Watch Reels videos about Utulie from people all over the world.

Watch anonymously without logging in.

Trending Reels

(12)
#Utulie Reel by @radioonetanzania - #KUMEPAMBAZUKA: "...Ni siku ambayo tunaadhimisha umuhimu wa uwepo wanyama pori au rasimali wanyama pori na misitu Duniani, sisi Tawa kwa maana ya maml
3.8K
RA
@radioonetanzania
#KUMEPAMBAZUKA: "...Ni siku ambayo tunaadhimisha umuhimu wa uwepo wanyama pori au rasimali wanyama pori na misitu Duniani, sisi Tawa kwa maana ya mamlaka husika tunahakikisha tunakua ni namba moja kuisapoti hii siku kwa kuisheherekea, siku ya leo inasheherekewa kitaifa jijini Arusha shamrashamra ni nyingi maonesho ya wanyama yapo Arusha..."-Sanjo Mafuru -Afisa Mhifadhi Mwandamizi, Afisa Ujirani Mwema Kanda Maalum ya Dar es Salaam (TAWA). TUSIKILIZE RADIO ONE: ARUSHA MHz 95.3, MOROGORO MHz 103.2, BUKOBA MHz 92.1, MOSHI MHz 94.3, DODOMA MHz 100.8, MTWARA MHz 102.1, DAR ES SALAAM MHz 89.7, MUSOMA MHz 104.0, IRINGA MHz 97.4, MWANZA MHz 102.9, KIGOMA MHz 101.5, SHINYANGA MHz 101.3, MBEYA MHz 93.2, SINGIDA MHz 97.9, TABORA MHz 98.1, SONGEA MHz 95.4 na TANGA MHz 106.3
#Utulie Reel by @radioonetanzania - #KUMEPAMBAZUKA: "...unapokua unaongelea fact kama hii ni lazima uwe na data kama hauna data hauna haki ya kuongea umoja wa Kimataifa wa kulinda na kuh
5.8K
RA
@radioonetanzania
#KUMEPAMBAZUKA: "...unapokua unaongelea fact kama hii ni lazima uwe na data kama hauna data hauna haki ya kuongea umoja wa Kimataifa wa kulinda na kuhifadhi uhasilia Duniani kutokana na tafiti za mwaka 2023 zilizofanyika IUSN zimeiweka Tanzania kuwa namba moja kwenye vipengele vitano..."-Sanjo Mafuru -Afisa Mhifadhi Mwandamizi, Afisa Ujirani Mwema Kanda Maalum ya Dar es Salaam (TAWA). TUSIKILIZE RADIO ONE: ARUSHA MHz 95.3, MOROGORO MHz 103.2, BUKOBA MHz 92.1, MOSHI MHz 94.3, DODOMA MHz 100.8, MTWARA MHz 102.1, DAR ES SALAAM MHz 89.7, MUSOMA MHz 104.0, IRINGA MHz 97.4, MWANZA MHz 102.9, KIGOMA MHz 101.5, SHINYANGA MHz 101.3, MBEYA MHz 93.2, SINGIDA MHz 97.9, TABORA MHz 98.1, SONGEA MHz 95.4 na TANGA MHz 106.3
#Utulie Reel by @radioonetanzania - #KUMEPAMBUZUKA: "..huu mkutano tumeuandaa unafanyika Arusha Machi 16 mpaka 18, wale Wakurugenzi kwenye hizi kampuni ambazo zina hisa chache pamoja na
731
RA
@radioonetanzania
#KUMEPAMBUZUKA: "..huu mkutano tumeuandaa unafanyika Arusha Machi 16 mpaka 18, wale Wakurugenzi kwenye hizi kampuni ambazo zina hisa chache pamoja na wawakilishi wa serikali kwenye hizi kampuni na pamoja na ofisi ya msajili wa hazina tutakua takribani 150 mkutano ambao unatuleta pamoja na tuchomaanisha kukaa pamoja kukumbusha wajibu..." TUSIKILIZE RADIO ONE: ARUSHA MHz 95.3, MOROGORO MHz 103.2, BUKOBA MHz 92.1, MOSHI MHz 94.3, DODOMA MHz 100.8, MTWARA MHz 102.1, DAR ES SALAAM MHz 89.7, MUSOMA MHz 104.0, IRINGA MHz 97.4, MWANZA MHz 102.9, KIGOMA MHz 101.5, SHINYANGA MHz 101.3, MBEYA MHz 93.2, SINGIDA MHz 97.9, TABORA MHz 98.1, SONGEA MHz 95.4 na TANGA MHz 106.3
#Utulie Reel by @radioonetanzania - "โ€ฆ.walikuwa wanamuhitaji sana Jonathan Sowa  nafikiri wanapaswa kulisolve tatizo lake  mapema sana kama anaendela kuwapo Simba iwekwe wazi lakini kama
1.3K
RA
@radioonetanzania
โ€œโ€ฆ.walikuwa wanamuhitaji sana Jonathan Sowa nafikiri wanapaswa kulisolve tatizo lake mapema sana kama anaendela kuwapo Simba iwekwe wazi lakini kama haendelei kuwepo Simba iwekww wazi pia Wana-Simba wajue, kipi kinachomsibu,โ€ Mchambuzi- Khamis Kabwe. TUSIKILIZE RADIO ONE: ARUSHA MHz 95.3, MOROGORO MHz 103.2, BUKOBA MHz 92.1, MOSHI MHz 94.3, DODOMA MHz 100.8, MTWARA MHz 102.1, DAR ES SALAAM MHz 89.7, MUSOMA MHz 104.0, IRINGA MHz 97.4, MWANZA MHz 102.9, KIGOMA MHz 101.5, SHINYANGA MHz 101.3, MBEYA MHz 93.2, SINGIDA MHz 97.9, TABORA MHz 98.1, SONGEA MHz 95.4 na TANGA MHz 106.3
#Utulie Reel by @radioonetanzania - #KUMEPAMBAZUKA: "...utaratibu wa kwenda Uingereza kwa njia ya maji hapa kwetu hakuna, ila kuna utaratibu wa huko kwao kuna meli kubwa sana kama umesha
1.2K
RA
@radioonetanzania
#KUMEPAMBAZUKA: "...utaratibu wa kwenda Uingereza kwa njia ya maji hapa kwetu hakuna, ila kuna utaratibu wa huko kwao kuna meli kubwa sana kama umeshasikia meli za utalii kwa hiyo inazunguka tu, inaweza ikafika dunia nzima miezi mitatu, minne..." Captain Hamisi Urembo -Naibu Katibu Mkuu Chama cha Mabaharia Tanzania. TUSIKILIZE RADIO ONE: ARUSHA MHz 95.3, MOROGORO MHz 103.2, BUKOBA MHz 92.1, MOSHI MHz 94.3, DODOMA MHz 100.8, MTWARA MHz 102.1, DAR ES SALAAM MHz 89.7, MUSOMA MHz 104.0, IRINGA MHz 97.4, MWANZA MHz 102.9, KIGOMA MHz 101.5, SHINYANGA MHz 101.3, MBEYA MHz 93.2, SINGIDA MHz 97.9, TABORA MHz 98.1, SONGEA MHz 95.4 na TANGA MHz 106.3
#Utulie Reel by @radioonetanzania - #HABARI: Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA) imefanikiwa kuwanasa simba watano kwa kutumia teknolojia maalumu baada ya wanyama hao kuv
4.2K
RA
@radioonetanzania
#HABARI: Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA) imefanikiwa kuwanasa simba watano kwa kutumia teknolojia maalumu baada ya wanyama hao kuvamia makazi ya watu na kuwa tishio kwa maisha ya binadamu na mifugo mkoani Mara. Simba hao walikuwa wakizua hofu katika vijiji vya Natta-Mbiso, Makundusi, Motukeli, na Nyichoka vinavyopakana na Mapori ya Akiba ya Ikorongo na Grumet, wilayani Serengeti, ambapo wananchi wameelezea kufurahishwa na hatua hiyo baada ya kupoteza mifugo yao mara kadhaa. Mkuu wa Wilaya ya Serengeti, Bi. Angelina Marco, amewahakikishia wananchi kuwa operesheni hiyo itakuwa endelevu ili kudhibiti wanyama wakali na waharibifu wanaoingia kwenye makazi. Kwa upande wao, maafisa wa TAWA, akiwemo Kaimu Kamanda Edwin Njimbi na Ofisa Uhamasishaji Lusato Masinde, wamesisitiza kuwa mamlaka hiyo inaendelea kuimarisha mikakati ya kitalamu na kutoa elimu kwa jamii ili kupunguza migongano kati ya binadamu na wanyamapori katika kanda hiyo. Powered by #MCHEZOSUPA JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA: - ๐Ÿ“ฑTuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M - Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 ๐Ÿ“ฑkumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV. #ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania Follow @itvtz @radioonetanzania @capitaldigitaltanzania
#Utulie Reel by @yonnamgayah - UKIKUTANA NA ๐Ÿ†CHUI๐Ÿ… HUTAKIWI KUMKIMBIA SIMAMAIMARA HUKU UKIMKAZIA MACHO - "Wewe Kuweza."
6.4K
YO
@yonnamgayah
UKIKUTANA NA ๐Ÿ†CHUI๐Ÿ… HUTAKIWI KUMKIMBIA SIMAMAIMARA HUKU UKIMKAZIA MACHO - "Wewe Kuweza."
#Utulie Reel by @radioonetanzania - #KUMEPAMBAZUKA: "... 90% ya wahanga ambao sisi tunadili nao ni wale ambao wanakua wamekwenda kutoka hapa nchi kimkakati akiwa ametoka hapa kwa kufuata
837
RA
@radioonetanzania
#KUMEPAMBAZUKA: "... 90% ya wahanga ambao sisi tunadili nao ni wale ambao wanakua wamekwenda kutoka hapa nchi kimkakati akiwa ametoka hapa kwa kufuata taratibu ambazo zimekwenda na Serikali hali haiwi hivi sababu wale wanakuwa na mikataba, mawakala wanafahamika kisheria Serikali inawatambua..."- ASP Rahim Mdemu. TUSIKILIZE RADIO ONE: ARUSHA MHz 95.3, MOROGORO MHz 103.2, BUKOBA MHz 92.1, MOSHI MHz 94.3, DODOMA MHz 100.8, MTWARA MHz 102.1, DAR ES SALAAM MHz 89.7, MUSOMA MHz 104.0, IRINGA MHz 97.4, MWANZA MHz 102.9, KIGOMA MHz 101.5, SHINYANGA MHz 101.3, MBEYA MHz 93.2, SINGIDA MHz 97.9, TABORA MHz 98.1, SONGEA MHz 95.4 na TANGA MHz 106.3
#Utulie Reel by @zuberi_mkalaboko - Huu ndiyo wakati wakuonesha nini ambacho hakikufanyika mbakifanya bila kuchanganya na siasa za uchaguzi mwakani kulinda masilahi ya wanachama
4.5K
ZU
@zuberi_mkalaboko
Huu ndiyo wakati wakuonesha nini ambacho hakikufanyika mbakifanya bila kuchanganya na siasa za uchaguzi mwakani kulinda masilahi ya wanachama
#Utulie Reel by @radioonetanzania - #KUMEPAMBAZUKA:"Mafuta sio rafiki kwa lami, tunatoa sasa hivi taarifa watu wasimwage mafuta barabarani, yale mafuta tukimwaga hapa inayeyusha lami, kw
1.2K
RA
@radioonetanzania
#KUMEPAMBAZUKA:"Mafuta sio rafiki kwa lami, tunatoa sasa hivi taarifa watu wasimwage mafuta barabarani, yale mafuta tukimwaga hapa inayeyusha lami, kwa hiyo pale inaanza kutengeneza tobo.."- Mhandisi Japhet Mkinga-Meneja wa TARURA mkoa wa Dar es Salaam. TUSIKILIZE RADIO ONE: ARUSHA MHz 95.3, MOROGORO MHz 103.2, BUKOBA MHz 92.1, MOSHI MHz 94.3, DODOMA MHz 100.8, MTWARA MHz 102.1, DAR ES SALAAM MHz 89.7, MUSOMA MHz 104.0, IRINGA MHz 97.4, MWANZA MHz 102.9, KIGOMA MHz 101.5, SHINYANGA MHz 101.3, MBEYA MHz 93.2, SINGIDA MHz 97.9, TABORA MHz 98.1, SONGEA MHz 95.4 na TANGA MHz 106.
#Utulie Reel by @kissfmtanzania - #nyundoyakissripoti  Kaimu Kamanda wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Mkoa wa Kizimamoto Kinondoni ASF. Jacob Chacha wakati akizungumza kwenye kipindi ch
894
KI
@kissfmtanzania
#nyundoyakissripoti Kaimu Kamanda wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Mkoa wa Kizimamoto Kinondoni ASF. Jacob Chacha wakati akizungumza kwenye kipindi cha #kissripoti ameeleza kuwa baadhi ya wananchi wanakaidi pindi wanapokwenda kufanya uokozi kwa kuonyesha ujuaji katika wakati huo #kissfmtaarifa #kissfmtanzania๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ #kissfm2026kuwaleokablayakesho

โœจ #Utulie Discovery Guide

Instagram hosts thousands of posts under #Utulie, creating one of the platform's most vibrant visual ecosystems. This massive collection represents trending moments, creative expressions, and global conversations happening right now.

The massive #Utulie collection on Instagram features today's most engaging videos. Content from @yonnamgayah, @radioonetanzania and @dominicksalamba_ and other creative producers has reached thousands of posts globally. Filter and watch the freshest #Utulie reels instantly.

What's trending in #Utulie? The most watched Reels videos and viral content are featured above. Explore the gallery to discover creative storytelling, popular moments, and content that's capturing millions of views worldwide.

Popular Categories

๐Ÿ“น Video Trends: Discover the latest Reels and viral videos

๐Ÿ“ˆ Hashtag Strategy: Explore trending hashtag options for your content

๐ŸŒŸ Featured Creators: @yonnamgayah, @radioonetanzania, @dominicksalamba_ and others leading the community

FAQs About #Utulie

With Pictame, you can browse all #Utulie reels and videos without logging into Instagram. No account required and your activity remains private.

Content Performance Insights

Analysis of 12 reels

โœ… Moderate Competition

๐Ÿ’ก Top performing posts average 5.5K views (1.8x above average). Moderate competition - consistent posting builds momentum.

Post consistently 3-5 times/week at times when your audience is most active

Content Creation Tips & Strategy

๐Ÿ”ฅ #Utulie shows steady growth - post consistently to build presence

๐Ÿ“น High-quality vertical videos (9:16) perform best for #Utulie - use good lighting and clear audio

โœ๏ธ Detailed captions with story work well - average caption length is 542 characters

Popular Searches Related to #Utulie

๐ŸŽฌFor Video Lovers

Utulie ReelsWatch Utulie Videos

๐Ÿ“ˆFor Strategy Seekers

Utulie Trending HashtagsBest Utulie Hashtags

๐ŸŒŸExplore More

Explore Utulie