#Aidha

Watch 42K Reels videos about Aidha from people all over the world.

Watch anonymously without logging in.

42K posts
NewTrendingViral

Trending Reels

(12)
#Aidha Reel by @aidha.sg (verified account) - ๐—ง๐—ต๐—ฒ ๐—ผ๐—ณ๐—ณ๐—ถ๐—ฐ๐—ฒ ๐—ถ๐˜€ ๐—ฏ๐—ฒ๐˜๐˜๐—ฒ๐—ฟ ๐˜„๐—ถ๐˜๐—ต ๐˜๐—ต๐—ฒ๐—บ โค๏ธ

At Aidha, our Marketing and Partnerships team work together very closely to bring you the
388
AI
@aidha.sg
๐—ง๐—ต๐—ฒ ๐—ผ๐—ณ๐—ณ๐—ถ๐—ฐ๐—ฒ ๐—ถ๐˜€ ๐—ฏ๐—ฒ๐˜๐˜๐—ฒ๐—ฟ ๐˜„๐—ถ๐˜๐—ต ๐˜๐—ต๐—ฒ๐—บ โค๏ธ At Aidha, our Marketing and Partnerships team work together very closely to bring you the content you see here! Hereโ€™s a peek into who we are and what brings us together โœจ #aidha #aidhasg
#Aidha Reel by @aidha.sg (verified account) - ๐—œ๐—ป๐˜๐—ฒ๐—ฟ๐—ป๐—ฎ๐˜๐—ถ๐—ผ๐—ป๐—ฎ๐—น ๐—ช๐—ผ๐—บ๐—ฒ๐—ป'๐˜€ ๐——๐—ฎ๐˜† ๐—บ๐—ถ๐—ด๐—ต๐˜ ๐—ท๐˜‚๐˜€๐˜ ๐—ฏ๐—ฒ ๐—ผ๐—ป๐—ฒ ๐—ฑ๐—ฎ๐˜†โ€ฆ ๐—ฏ๐˜‚๐˜ ๐—ฐ๐—ฒ๐—น๐—ฒ๐—ฏ๐—ฟ๐—ฎ๐˜๐—ถ๐—ป๐—ด ๐˜„๐—ผ๐—บ๐—ฒ๐—ป ๐—ถ๐˜€ ๐—ฒ๐˜ƒ๐—ฒ๐—ฟ๐˜† ๐—ฑ๐—ฎ๏ฟฝ
426
AI
@aidha.sg
๐—œ๐—ป๐˜๐—ฒ๐—ฟ๐—ป๐—ฎ๐˜๐—ถ๐—ผ๐—ป๐—ฎ๐—น ๐—ช๐—ผ๐—บ๐—ฒ๐—ปโ€™๐˜€ ๐——๐—ฎ๐˜† ๐—บ๐—ถ๐—ด๐—ต๐˜ ๐—ท๐˜‚๐˜€๐˜ ๐—ฏ๐—ฒ ๐—ผ๐—ป๐—ฒ ๐—ฑ๐—ฎ๐˜†โ€ฆ ๐—ฏ๐˜‚๐˜ ๐—ฐ๐—ฒ๐—น๐—ฒ๐—ฏ๐—ฟ๐—ฎ๐˜๐—ถ๐—ป๐—ด ๐˜„๐—ผ๐—บ๐—ฒ๐—ป ๐—ถ๐˜€ ๐—ฒ๐˜ƒ๐—ฒ๐—ฟ๐˜† ๐—ฑ๐—ฎ๐˜†! ๐Ÿงก We asked the Aidha community to share some messages to women everywhere, and here's what they have to say!โœจ Let's keep the love coming - leave a message in our comments โค๏ธ #aidha #aidhasg
#Aidha Reel by @mike360tz - Msanii #Diamondplatnumz anasema kuwa yeye hana tatizo kama #alikiba atakuwa teyari kufanya nae kolabo kwani kwa upande wake yeye yuko tayari.

Aidha D
196.9K
MI
@mike360tz
Msanii #Diamondplatnumz anasema kuwa yeye hana tatizo kama #alikiba atakuwa teyari kufanya nae kolabo kwani kwa upande wake yeye yuko tayari. Aidha Diamond Platnumz anasema kuna kipindi amewahi kumuomba kolabo Alikiba. #Mike360Updates
#Aidha Reel by @cawabemedia - Mwanadada huyu ameibua mjadala mzito baada ya kuchapisha video akizungumzia sababu zinazochangia wanaume wengi kufariki mapema.

Katika video hiyo, Sh
331.4K
CA
@cawabemedia
Mwanadada huyu ameibua mjadala mzito baada ya kuchapisha video akizungumzia sababu zinazochangia wanaume wengi kufariki mapema. Katika video hiyo, Shuuh alitaja mambo mbalimbali anayodai huchangia hali hiyo. Aidha, alionekana kuwatupia lawama baadhi ya wanawake, akisisitiza kuwa wanawake wanahusika kwa kiwango kikubwa katika changamoto zinazowakumba wanaume. Kauli hiyo imezua maoni tofauti kutoka kwa watumiaji wa mitandao ya kijamii, ambapo baadhi wamekubaliana naye huku wengine wakipinga vikali mtazamo wake. Tazama video hiyo kisha nawe toa maoni yako.
#Aidha Reel by @one_vision_tv - Mwanadada anaetumia jina la official_shuuh uko Instagram na TikTok amechapisha Video akitaja Baadhi ya sababu zinazopelekea wanaume wengi kufa mapema.
221.4K
ON
@one_vision_tv
Mwanadada anaetumia jina la official_shuuh uko Instagram na TikTok amechapisha Video akitaja Baadhi ya sababu zinazopelekea wanaume wengi kufa mapema. Aidha Shuuh ameoneoana kuwatupia Lawama wanawake wenzake akidai kwamba wanawake wanausika kwa asilimia kubwa kusababisha kupotea kwa wanaume wengi. Tazama video ya shuuh kisha nawe utoe maoni yako ndugu msomaji๐Ÿ˜ท
#Aidha Reel by @aidha.sg (verified account) - ๐—Ÿ๐—ฒ๐—ฎ๐—ฟ๐—ป๐—ถ๐—ป๐—ด ๐—™๐—ฒ๐˜€๐˜ ๐Ÿฎ๐Ÿฌ๐Ÿฎ๐Ÿฒ ๐—ต๐—ถ๐—ด๐—ต๐—น๐—ถ๐—ด๐—ต๐˜๐˜€ ๐—ท๐˜‚๐˜€๐˜ ๐—ฑ๐—ฟ๐—ผ๐—ฝ๐—ฝ๐—ฒ๐—ฑ ๐ŸŽ‰โœจ 

Thank you to everyone who came through for the workshops & activ
310
AI
@aidha.sg
๐—Ÿ๐—ฒ๐—ฎ๐—ฟ๐—ป๐—ถ๐—ป๐—ด ๐—™๐—ฒ๐˜€๐˜ ๐Ÿฎ๐Ÿฌ๐Ÿฎ๐Ÿฒ ๐—ต๐—ถ๐—ด๐—ต๐—น๐—ถ๐—ด๐—ต๐˜๐˜€ ๐—ท๐˜‚๐˜€๐˜ ๐—ฑ๐—ฟ๐—ผ๐—ฝ๐—ฝ๐—ฒ๐—ฑ ๐ŸŽ‰โœจ Thank you to everyone who came through for the workshops & activities - we loved every moment! ๐Ÿซถ See you back at Aidha real soon ๐Ÿงก #aidha #aidhasg
#Aidha Reel by @wasafifm (verified account) - Shehena ya madawati yaliyoahidiwa na Mbunge wa Jimbo la Kigoma Mjini, @officialbabalevo, imeanza kuwasili rasmi katika jimbo hilo, huku awamu ya kwanz
157.9K
WA
@wasafifm
Shehena ya madawati yaliyoahidiwa na Mbunge wa Jimbo la Kigoma Mjini, @officialbabalevo, imeanza kuwasili rasmi katika jimbo hilo, huku awamu ya kwanza ikipokelewa leo kutoka @azaniagroup. Kupitia ujumbe wake, Baba Levo amesisitiza dhamira yake ya dhati katika maendeleo ya elimu kwa kusema: โ€œHATUNA UTANI KWENYE MAENDELEO YA KIGOMA MJINI.โ€ Aidha, amebainisha kuwa huu ni mwanzo tu, kwani madawati mengine yataendelea kuwasili huku sehemu nyingine ya uzalishaji itafanyika hapohapo Kigoma ili kuharakisha upatikanaji wake. Baba Levo ameomba ushirikiano kutoka kwa wananchi na wadau wote ili kuhakikisha tatizo la upungufu wa madawati linaondoka kabisa, akisisitiza kuwa โ€œNi aibu kwa wanafunzi kukaa chini wakati wanapaswa kusoma katika mazingira bora.โ€ #WNews
#Aidha Reel by @polisi.tanzania (verified account) - Mkaguzi Msaidizi wa Polisi (A/INSP) Matrida Matowo, kutoka kitengo cha elimu ya usalama barabarani, akiwa katika radio MUM FM, amewahimiza waendesha b
1.5K
PO
@polisi.tanzania
Mkaguzi Msaidizi wa Polisi (A/INSP) Matrida Matowo, kutoka kitengo cha elimu ya usalama barabarani, akiwa katika radio MUM FM, amewahimiza waendesha bodaboda kuzingatia sheria za barabarani ili kupunguza ajali na kulinda maisha yao pamoja na ya abiria. Aidha, amewataka watembea kwa miguu kuacha kuvuka barabara kiholela na badala yake kutumia vivuko maalumu (zebra crossing) ili kuongeza usalama na kupunguza hatari ya ajali.
#Aidha Reel by @eva_stesheni_simbajike - MWEZI WA RAMADHANI NA KWARESIMA.

Naungana na waumini wa dini zote mbili kutubu dhambi zetu kwa kufunga na kuomba.

Mungu atusamehe dhambi zetu tumemk
157.2K
EV
@eva_stesheni_simbajike
MWEZI WA RAMADHANI NA KWARESIMA. Naungana na waumini wa dini zote mbili kutubu dhambi zetu kwa kufunga na kuomba. Mungu atusamehe dhambi zetu tumemkosea kwa mawazo, kwa maneno, kwa matendo na kwa kutotimiza wajibu. Chukua dakika moja omba dua na sala. #babyconstablehouseofnueintrients Aidha unga wetu wa Coconut Lishe unapatikana kwa Mawakala. Unafaa kwa uji kwa watoto na watu wazima. Carton Tshs 72,000 tu Kg 1 7000/= Piga 0677084093, 0677084092 Tupo Dar es Salaam Pwani Morogoro Dodoma Kilimanjaro Arusha Kahama.
#Aidha Reel by @millardayo (verified account) - Mbunge wa Singida Magharibi, Elibariki Kingu, (@ellykinngu ) amesema kuwa wananchi wa Kenya hawakufanya makosa kumchagua William Ruto kuwa Rais wao.
120.3K
MI
@millardayo
Mbunge wa Singida Magharibi, Elibariki Kingu, (@ellykinngu ) amesema kuwa wananchi wa Kenya hawakufanya makosa kumchagua William Ruto kuwa Rais wao. Kingu ametoa kauli hiyo leo Mei 5, 2026, alipokuwa akichangia mjadala Bungeni jijini Dodoma, ambapo amesisitiza kuwa Uongozi wa Rais Ruto unaakisi matumaini ya Wananchi wa Kenya. Aidha Kingu ameeleza kuwa ndoto za Viongozi Waasisi wa Mataifa hayo mawili, Julius Nyerere na Jomo Kenyatta, bado zinaendelea kuishi kupitia ushirikiano uliopo kati ya Tanzania na Kenya ambapo amebainisha kuwa Tanzania na Kenya haziwezi kutenganishwa na mipaka ya kijiografia pekee, kutokana na uhusiano wa kihistoria na undugu wa muda mrefu uliopo kati ya wananchi wa mataifa hayo mawili. #MillardAyoUPDATES
#Aidha Reel by @tanzaniaparks (verified account) - Balozi wa Utalii na Uwekezaji wa Jumuiya ya Madola, Bi. Jasmine Kikwete, atoa pongezi za dhati kwa @gabrielgeraldgeay kwa kuibuka mshindi wa kwanza ka
2.5K
TA
@tanzaniaparks
Balozi wa Utalii na Uwekezaji wa Jumuiya ya Madola, Bi. Jasmine Kikwete, atoa pongezi za dhati kwa @gabrielgeraldgeay kwa kuibuka mshindi wa kwanza katika @daegu_marathon 2026 kwa mara ya pili mfululizo. Aidha, Balozi Jasmine amewasihi Watanzania kujitokeza kwa wingi kumpokea Geay tarehe 24/02/2026 katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA), akirejea kutoka Korea Kusini. Vilevile, ametoa shukrani kwa Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) na benki ya NMB kwa ushirikiano wao. #UtaliiWaMichezo #DaeguMarathon2026 #DestinationTanzania #TanzaniaParks
#Aidha Reel by @kitulo_national_park (verified account) - Siku ya wapendao yafana Hifadhi ya Taifa Kitulo kwa Hifadhi kupokea makundi makubwa ya watalii. 

Aidha,  Wataliii walifurahishwa na mapokezi pamoja n
2.5K
KI
@kitulo_national_park
Siku ya wapendao yafana Hifadhi ya Taifa Kitulo kwa Hifadhi kupokea makundi makubwa ya watalii. Aidha, Wataliii walifurahishwa na mapokezi pamoja na shughuli za utalii zikiwa ni pamoja na uendeshaji wa baiskeli, kucheza kwenye bembea, kula keki, kufungua shampeni na upigaji picha. #UpendoPorini #ValentineNaTANAPA #Tanzaniaparks #DestinationTanzania #SerengetiSerenaLodgesTanzania AdventureAloft

โœจ #Aidha Discovery Guide

Instagram hosts 42K posts under #Aidha, creating one of the platform's most vibrant visual ecosystems. This massive collection represents trending moments, creative expressions, and global conversations happening right now.

The massive #Aidha collection on Instagram features today's most engaging videos. Content from @cawabemedia, @one_vision_tv and @mike360tz and other creative producers has reached 42K posts globally. Filter and watch the freshest #Aidha reels instantly.

What's trending in #Aidha? The most watched Reels videos and viral content are featured above. Explore the gallery to discover creative storytelling, popular moments, and content that's capturing millions of views worldwide.

Popular Categories

๐Ÿ“น Video Trends: Discover the latest Reels and viral videos

๐Ÿ“ˆ Hashtag Strategy: Explore trending hashtag options for your content

๐ŸŒŸ Featured Creators: @cawabemedia, @one_vision_tv, @mike360tz and others leading the community

FAQs About #Aidha

With Pictame, you can browse all #Aidha reels and videos without logging into Instagram. No account required and your activity remains private.

Content Performance Insights

Analysis of 12 reels

โœ… Moderate Competition

๐Ÿ’ก Top performing posts average 226.9K views (2.3x above average). Moderate competition - consistent posting builds momentum.

Post consistently 3-5 times/week at times when your audience is most active

Content Creation Tips & Strategy

๐Ÿ”ฅ #Aidha shows high engagement potential - post strategically at peak times

๐Ÿ“น High-quality vertical videos (9:16) perform best for #Aidha - use good lighting and clear audio

โœจ Many verified creators are active (67%) - study their content style for inspiration

โœ๏ธ Detailed captions with story work well - average caption length is 452 characters

Popular Searches Related to #Aidha

๐ŸŽฌFor Video Lovers

Aidha ReelsWatch Aidha Videos

๐Ÿ“ˆFor Strategy Seekers

Aidha Trending HashtagsBest Aidha Hashtags

๐ŸŒŸExplore More

Explore Aidha#aidha badr#aidha tyler#aidha rae#aidha sheikh#aidha courses