#Fursa

Watch 51K Reels videos about Fursa from people all over the world.

Watch anonymously without logging in.

51K posts
NewTrendingViral

Trending Reels

(12)
#Fursa Reel by @mawo_buy (verified account) - πŸ§ΌπŸ’° PIGA PESA SASA - CARPET WASHING! πŸ’°πŸ§Ό

Mazulia yanaingia vumbi kila siku…
πŸ‘‰ Watu wanahitaji kusafishwa mara kwa mara - hii ni fursa yako!

βΈ»

πŸ”₯
77.4K
MA
@mawo_buy
πŸ§ΌπŸ’° PIGA PESA SASA – CARPET WASHING! πŸ’°πŸ§Ό Mazulia yanaingia vumbi kila siku… πŸ‘‰ Watu wanahitaji kusafishwa mara kwa mara β€” hii ni fursa yako! βΈ» πŸ”₯ Unafanya nini? βœ” Kusafisha mazulia nyumbani βœ” Huduma ya home service βœ” Kusafisha carpet za ofisi & biashara βΈ» πŸ’ͺ Faida zake: βœ” Mahitaji ya kila siku βœ” Unaweza kuanza na mtaji mdogo βœ” Mapato ya haraka kila wiki βœ” Wateja wanarudi mara kwa mara βΈ» πŸš€ Siri ya mafanikio: πŸ‘‰ Tumia carpet washing machine / vacuum ya kisasa πŸ‘‰ Toa huduma ya haraka na safi πŸ‘‰ Jitangaze mitandaoni & mtaani βΈ» πŸ’‘ Usafi ni lazima β€” wewe kuwa suluhisho. πŸ“ MAWO BUY – Mwananyamala Ujiji πŸ“ž 0750401818 πŸ“ž 0757471618 #CarpetCleaning #BiasharaYaUsafi #MAWOBUY #Jiajiri #PigaPesa
#Fursa Reel by @carrymastorytv2 (verified account) - Kuna mchongo uku wa million 50 ila uje na ushahidi changamkia fursa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ kama nawaona Wadada wa mjini..ila usije ukajutia maneno yako @nan
536.6K
CA
@carrymastorytv2
Kuna mchongo uku wa million 50 ila uje na ushahidi changamkia fursa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ kama nawaona Wadada wa mjini..ila usije ukajutia maneno yako @nanasilimited πŸ€”πŸ€”πŸ€” @rojamastory @chipu_bongo @chipu_bongo
#Fursa Reel by @mamasubmeter_tz - Submeter sio kifaa cha ziada ❌
Ni suluhisho la migogoro ya umeme, hasara na malalamiko ya kila mwezi ⚑
Kama unauza au unafunga vifaa vya umeme, hii ni
165.8K
MA
@mamasubmeter_tz
Submeter sio kifaa cha ziada ❌ Ni suluhisho la migogoro ya umeme, hasara na malalamiko ya kila mwezi ⚑ Kama unauza au unafunga vifaa vya umeme, hii ni fursa πŸ’‘ Elimu sahihi = wateja wa kudumu. πŸ“© DM kwa ushauri na huduma. #SubmeterTanzania #UmemeTz #VifaaVyaUmeme #ElectricalSupplies #HardwareTz
#Fursa Reel by @rammygalisofficial (verified account) - FURSA HII ‼️

WEWE  UNAYELIPA  MKOPO  WA SIMU πŸ˜” , WEWE UNAYE CHEZA  MCHEZO WA UPATU , WEWE MWENYE MIL 1 / 2 . 

NJO  sasa  uwekeze  kidogo  kidogo  n
11.5K
RA
@rammygalisofficial
FURSA HII ‼️ WEWE UNAYELIPA MKOPO WA SIMU πŸ˜” , WEWE UNAYE CHEZA MCHEZO WA UPATU , WEWE MWENYE MIL 1 / 2 . NJO sasa uwekeze kidogo kidogo na sisi . UTANISHKRU BAADAYE 🫢. TUPIGIE SASA -: 0760 908 639 TUCHEK SASA - @aicon_tanzania @kipata_office_suppliers @aicon_tanzania na @kipata_office_suppliers #TupoKwajiliYenuSasa #Wajasiramali #wa #Kesho πŸ™
#Fursa Reel by @chapchap.china_tz (verified account) - Fursa ya kuosha viatu kama ilivyo watu hupeleka nguo kufuliwa kwenye dry cleaner basi na hii fursa ya viatu usiipuuzie 

Nunua mashine ya kuoshea viat
95.1K
CH
@chapchap.china_tz
Fursa ya kuosha viatu kama ilivyo watu hupeleka nguo kufuliwa kwenye dry cleaner basi na hii fursa ya viatu usiipuuzie Nunua mashine ya kuoshea viatu kwenye ChapChap App kisha nenda kapige kazi πŸ“²Download ChapChap App kulipia ☎️Wasiliana nasi 0657254798
#Fursa Reel by @kipaza_afrika_mashariki - Justin Bahati, kijana mbunifu wa Kitanzania ameona fursa ambayo haikuonwa na wengi.

Kupitia kampuni ya Dry Food Product, inayochakata nyanya na kuzig
74.5K
KI
@kipaza_afrika_mashariki
Justin Bahati, kijana mbunifu wa Kitanzania ameona fursa ambayo haikuonwa na wengi. Kupitia kampuni ya Dry Food Product, inayochakata nyanya na kuzigeuza kuwa unga amewapa wakulima wa nyanya ujasiri kutokana na uhakika wa soko unaotokana na kupanda kwa thamani ya zao hilo.
#Fursa Reel by @azamtvtz (verified account) - Unajua kuwa matope yanaweza kuwa fursa hususani kwenye eneo la biashara?

Kama hujui hilo muulize mjasiriamali, mbunifu Agnes Uwapo aliyegeuka kero ya
189.7K
AZ
@azamtvtz
Unajua kuwa matope yanaweza kuwa fursa hususani kwenye eneo la biashara? Kama hujui hilo muulize mjasiriamali, mbunifu Agnes Uwapo aliyegeuka kero ya matope ya Soko la Mabibo kuwa fursa ya kifedha. Tazama biashara yake. Mhariri @moseskwindi
#Fursa Reel by @habarileo_tz (verified account) - DODOMA:MBUNGE wa Viti Maalumu, Jesca Magufuli, ametembelea maonesho ya Wiki ya Nishati yanayoendelea katika viwanja vya Bunge.

Maonesho hayo yaliyoan
69.6K
HA
@habarileo_tz
DODOMA:MBUNGE wa Viti Maalumu, Jesca Magufuli, ametembelea maonesho ya Wiki ya Nishati yanayoendelea katika viwanja vya Bunge. Maonesho hayo yaliyoanza jana Aprili 20, 2026, yanakutanisha taasisi mbalimbali za sekta ya nishati kuonesha mafanikio na utekelezaji wa miradi ya kimkakati. Pia yanatoa fursa kwa wabunge na wageni waliopo bungeni kujifunza zaidi kuhusu maendeleo ya sekta ya nishati na fursa zilizopo kwa maendeleo ya taifa. ✍️ @alfredy_kavishe πŸŽ₯ @zackchaa ##habariLeoupdates #WikiYaNishati #EnergyWeekTz #NishatiTanzania #Bajeti2026
#Fursa Reel by @queenie_masanja (verified account) - Naomba kuchukua Fursa hii kuwakaribisha Wazazi wa boys Kwenye duka la nguo lililopo Ubungo stand ya mkoa zamani duka no E2-27  @poapoa25_fashion @poap
361.0K
QU
@queenie_masanja
Naomba kuchukua Fursa hii kuwakaribisha Wazazi wa boys Kwenye duka la nguo lililopo Ubungo stand ya mkoa zamani duka no E2-27 @poapoa25_fashion @poapoa25_fashion JUMLA NA REJAREJA 0699 829 323 au 0795 884 885
#Fursa Reel by @globaleducationlinktz - Beatrice ni mmoja wa vijana wa Kitanzania waliopata fursa ya kutimiza ndoto zao za kusoma nje ya nchi kupitia Global Education Link. Baada ya kuhitimu
89.9K
GL
@globaleducationlinktz
Beatrice ni mmoja wa vijana wa Kitanzania waliopata fursa ya kutimiza ndoto zao za kusoma nje ya nchi kupitia Global Education Link. Baada ya kuhitimu Marian Girls High School, kwa sasa anaendelea na masomo yake nchini China katika Chuo Kikuu cha Dalian Neusoft University of Information and Technology, akisomea Computer Science and Artificial Intelligence. Chuo hiki kinajulikana kwa kutoa fursa za kipekee kwa wanafunzi wake wanaofabya vizuri zaidi, ikiwa ni pamoja na kuajiriwa katika makampuni makubwa ya teknolojia duniani kama Huawei, IBM na mengineyo. Aidha ndicho chuo pekee mwanafunzi hupata fursa ya kulipiwa gharama zake zote za ada katika mwaka wa nne wa masomo. Kupitia msaada wa Global Education Link, Beatrice amepata nafasi ya kusoma katika mazingira bora ya kielimu ndani ya chuo kinachotambulika kitaifa na kimataifa. Akiwa huko, anaendelea kujifunza teknolojia za kisasa zitakazomwezesha kuchangia maendeleo ya Tanzania katika nyanja za ubunifu, sayansi na teknolojia. Wasiliana Nasi Sasa +255 656 200 200 +255 677 600 100 www.globaleducationlink.com Tembelea Ofisi Zetu Dar es Salaam: +255 656 200 200 Arusha: +255 677 200 100 Dodoma: +255 677 300 700 Mwanza: +255 677 400 500 Zanzibar: +255 772 158 158
#Fursa Reel by @wasafifm (verified account) - RESTY AZINDUA BIDHAA 2 MPYA ZA UREMBO!
Mfanyabiashara @restybura_ ametambulisha bidhaa zake moya za ngozi, Vitamin C Hyaluronic Acid na Salicylic Acid
196.3K
WA
@wasafifm
RESTY AZINDUA BIDHAA 2 MPYA ZA UREMBO! Mfanyabiashara @restybura_ ametambulisha bidhaa zake moya za ngozi, Vitamin C Hyaluronic Acid na Salicylic Acid. Bidhaa hizo zitakuwa zikipatikana katika Duka lake linalopatikana Sinza Kwa Remmy, Dar es salaam huku akitoa fursa za Ajira kwa mawakala mikoa yote ya Tanzania. #LavistaProducts #MchezoUmebadilika
#Fursa Reel by @mnyalutv_ - Mwaka 2001, kampuni ya Coca-Cola ilitangaza kuwa ilikuwa ikiuza mara nne zaidi ya mpinzani wake mkubwa, Pepsi. Badala ya kujibu kwa takwimu au malalam
812.0K
MN
@mnyalutv_
Mwaka 2001, kampuni ya Coca-Cola ilitangaza kuwa ilikuwa ikiuza mara nne zaidi ya mpinzani wake mkubwa, Pepsi. Badala ya kujibu kwa takwimu au malalamiko, Pepsi ilichagua njia ya kipekee kwa kutoa tangazo la kibiashara lililojaa ubunifu na kejeli. Tangazo hilo liligeuza kauli ya Coca-Cola kuwa fursa ya kujitangaza, likionyesha kuwa ushindani wa kibiashara haupimwi kwa namba pekee bali pia kwa ubunifu, ujasiri na namna chapa inavyoungana na watu. Jibu hilo la Pepsi lilibaki kuwa moja ya majibu ya kihistoria kabisa kwenye vita vya muda mrefu kati ya Coca-Cola na Pepsi. #mnyalutv #mnyalutvupdates #mnyalutvtz

✨ #Fursa Discovery Guide

Instagram hosts 51K posts under #Fursa, creating one of the platform's most vibrant visual ecosystems. This massive collection represents trending moments, creative expressions, and global conversations happening right now.

The massive #Fursa collection on Instagram features today's most engaging videos. Content from @mnyalutv_, @carrymastorytv2 and @queenie_masanja and other creative producers has reached 51K posts globally. Filter and watch the freshest #Fursa reels instantly.

What's trending in #Fursa? The most watched Reels videos and viral content are featured above. Explore the gallery to discover creative storytelling, popular moments, and content that's capturing millions of views worldwide.

Popular Categories

πŸ“Ή Video Trends: Discover the latest Reels and viral videos

πŸ“ˆ Hashtag Strategy: Explore trending hashtag options for your content

🌟 Featured Creators: @mnyalutv_, @carrymastorytv2, @queenie_masanja and others leading the community

FAQs About #Fursa

With Pictame, you can browse all #Fursa reels and videos without logging into Instagram. No account required and your activity remains private.

Content Performance Insights

Analysis of 12 reels

βœ… Moderate Competition

πŸ’‘ Top performing posts average 476.4K views (2.1x above average). Moderate competition - consistent posting builds momentum.

Post consistently 3-5 times/week at times when your audience is most active

Content Creation Tips & Strategy

πŸ”₯ #Fursa shows high engagement potential - post strategically at peak times

πŸ“Ή High-quality vertical videos (9:16) perform best for #Fursa - use good lighting and clear audio

✨ Many verified creators are active (67%) - study their content style for inspiration

✍️ Detailed captions with story work well - average caption length is 443 characters

Popular Searches Related to #Fursa

🎬For Video Lovers

Fursa ReelsWatch Fursa Videos

πŸ“ˆFor Strategy Seekers

Fursa Trending HashtagsBest Fursa Hashtags

🌟Explore More

Explore Fursa#fursa opportunities#fursa za biashara#fursa za ajira#fursa travel#fursa hub#duka la fursa#fursa za kazi nje ya nchi#mikondo ya fursa za ajira