Trending

#Lishe

Watch 166K Reels videos about Lishe from people all over the world.

Watch anonymously without logging in.

166K posts
NewTrendingViral

Trending Reels

(12)
#Lishe Reel by @drboazmkumbomd (verified account) - Umeshindwa kupata fomula nzuri ya Lishe ya Mwanao? Tazama Video hii kwa Ufupi tu itakusaidia. 
.
NOTE: Ushauri wangu ni kwamba Changanya Mwenyewe utak
361.1K
DR
@drboazmkumbomd
Umeshindwa kupata fomula nzuri ya Lishe ya Mwanao? Tazama Video hii kwa Ufupi tu itakusaidia. . NOTE: Ushauri wangu ni kwamba Changanya Mwenyewe utakuwa na Uhakika wa Vitu vilivyo changanywa kwa kuzingatia kiwango cha asilimia. . Follow Page yetu ya Lishe Bora : @sayansiyamapishi
#Lishe Reel by @baby_food_tz - Ukimpikia Hii Lunch, Mtoto Hataacha Kula 👶🍚🥕🥔
Mama, kama mtoto wako anakataa kula, jaribu hii 👇
🍚 Wali
🥔 Viazi
🥕 Karoti
Mchanganyiko huu una l
86.6K
BA
@baby_food_tz
Ukimpikia Hii Lunch, Mtoto Hataacha Kula 👶🍚🥕🥔 Mama, kama mtoto wako anakataa kula, jaribu hii 👇 🍚 Wali 🥔 Viazi 🥕 Karoti Mchanganyiko huu una ladha laini na tamu kidogo, ndiyo maana watoto wengi wanapenda 🤍 Inafaa kwa watoto kuanzia miezi 6+ ✔️ Rahisi kula ✔️ Mtoto anakubali haraka ✔️ Lishe nzuri Save post hii ujaribu kwa mtoto wako ✨
#Lishe Reel by @m.u_agriconsultancy - Hii package una viungo lishe 11 tofauti tofauti. Kupitia viungo hivi Utaweza kupikia vyakula vya aina mbali mbali, kutengeneza chai na juice pia. Laki
80.9K
M.
@m.u_agriconsultancy
Hii package una viungo lishe 11 tofauti tofauti. Kupitia viungo hivi Utaweza kupikia vyakula vya aina mbali mbali, kutengeneza chai na juice pia. Lakini pia utapata uhakika wa kiafya kwasababu - vinaongeza kinga ya mwili, vinazuia Saratani, vinazuia magonjwa ya moyo, vinazuia unene uliopitiliza, vinaimasisha afya ya figo, vinasaidia kuzuia changamoto ya kupoteza kumbukumbu vina saidia afya ya ubongo kwa ujumla, vinaimarisha afya ya mifupa, vinazuia gaut, sukari na presha na vinasaidia kuimarisha afya ya ngozi Mawasiliano: simu / sms / whatsapp : +255 734336199 #viungolishenatiba #afya #moshiherbs
#Lishe Reel by @bbcswahili (verified account) - Kumekuwa na  habari potofu mbalimbali kuhusu lishe, haswa kutoka kwa watengeneza maudhui kwenye mitandao ya kijamii ambao wanaelimisha kuhusu kupunguz
200.6K
BB
@bbcswahili
Kumekuwa na habari potofu mbalimbali kuhusu lishe, haswa kutoka kwa watengeneza maudhui kwenye mitandao ya kijamii ambao wanaelimisha kuhusu kupunguza uzito - Hapa kuna baadhi ya mitazamo potofu kuhusu lishe. Mariam Mjahid anaelezea - - - #bbcswahili #lishe #Afya #elimuyalishe #dietfood
#Lishe Reel by @uzazi_mwema - Kwa nini uji wa lishe unaongeza unene na kitambi?

Uji mwingi wa lishe umejaa 

👉Wanga mwingi (mahindi, ulezi, mtama, dona, nk)
👉Sukari (wengine huo
180.1K
UZ
@uzazi_mwema
Kwa nini uji wa lishe unaongeza unene na kitambi? Uji mwingi wa lishe umejaa 👉Wanga mwingi (mahindi, ulezi, mtama, dona, nk) 👉Sukari (wengine huongeza au hutumia unga tayari wenye ladha) 👉Kalori nyingi kuliko mwili unavyohitaji kwa wakati huo Hii husababisha: 👉Mwili kupata energy surplus (kalori nyingi kuliko matumizi) 👉Insulin kupanda → mwili unaanza kuhifadhi mafuta 👉Mafuta hayo hujikusanya zaidi tumboni → kitambi Hivyo hata kama unakunywa “uji wa lishe”, ukizidisha au ukanywa mara nyingi bila balance ya protein na mafuta mazuri, unajikuta unaongezeka uzito taratibu bila kujua. Nani anaacha uji leo??? Ongeza protein nyingi upone tumbo dear mama 🩷
#Lishe Reel by @tessychocolate (verified account) - 🍍🥕🍊 Ngozi nzuri huanza kutoka ndani! ✨

Nanasi, karoti, chungwa, limao, tangawizi na manjano - mchanganyiko huu ni lishe halisi ya ngozi.

✨ Husaid
43.2K
TE
@tessychocolate
🍍🥕🍊 Ngozi nzuri huanza kutoka ndani! ✨ Nanasi, karoti, chungwa, limao, tangawizi na manjano — mchanganyiko huu ni lishe halisi ya ngozi. ✨ Husaidia kusafisha mwili (detox) ✨ Kuongeza collagen kwa njia ya asili ✨ Kupunguza uchovu wa ngozi & kufubaa ✨ Kuimarisha kinga ya mwili na kupambana na uchochezi Ngozi inayong’aa si cream tu… ni kile unachokunywa na kula pia 💛 #OrganicSkincareTip #GlowFromWithin #MOMOBeauty #ForTrueSkin✨
#Lishe Reel by @prof_davismela - Biashara zenye mzunguko mkubwa wa pesa hazikupi faida kubwa kwa mauzo ya mara moja,
lakini zinakuingizia hela mara nyingi - kila siku au kila wiki 💸
62.0K
PR
@prof_davismela
Biashara zenye mzunguko mkubwa wa pesa hazikupi faida kubwa kwa mauzo ya mara moja, lakini zinakuingizia hela mara nyingi — kila siku au kila wiki 💸 👉 Hapa ndipo watu wengi hujenga mtaji mkubwa haraka bila makeke. 🥇 1. Biashara ya Chakula (Mama Lishe / Mgahawa Mdogo) 🍛 Watu hula kila siku Mauzo ya kila siku Faida ndogo lakini mzunguko mkubwa 🥈 2. Uuzaji wa Vinywaji (Maji, Soda, Juice) 🥤 Inatembea kila saa Mtaji hurudi haraka sana 🥉 3. Duka la Rejareja (Retail Shop) 🛒 Sukari, unga, mafuta, chumvi Bidhaa za lazima kila siku 💳 4. Agent wa Mobile Money (M-Pesa, Tigo Pesa, Airtel Money) Huduma hutumika kila siku Faida ndogo lakini volume ni kubwa 🍟 5. Chips & Mayai Maarufu sana Tanzania Mtaji mdogo, pesa ya kila siku 🛵 6. Daladala / Bajaji / Bodaboda Usafiri hauna msimu Pesa inaingia kila siku 🍎 7. Uuzaji wa Matunda na Mboga Mahitaji ya kila siku Cash ya haraka 🥩 8. Biashara ya Nyama (Butcher) Wateja wa kila siku Mauzo ya haraka 💇 9. Salon & Kinyozi Huduma hurudiwa mara kwa mara Hakuna bidhaa kuharibika 👕 10. Biashara ya Mitumba Inauzika haraka ukichagua mzigo mzuri Mzunguko mkubwa sokoni 🥚 11. Uuzaji wa Mayai (Retail & Wholesale) Mahitaji makubwa Mzunguko wa kila siku 📱 12. Vifaa vya Simu (Chargers, Covers, Screen Guard) Faida nzuri Bidhaa haziharibiki 🖨️ 13. Printing, Photocopy & Stationery Shule, ofisi, wanafunzi Cash flow ya mara kwa mara 🧊 14. Biashara ya Barafu Inahitajika kila siku Inatembea sana maeneo ya joto 🔥 15. Uuzaji wa Gesi ya Kupikia Bidhaa ya lazima Wateja hurudi mara kwa mara 💊 16. Duka la Dawa (Pharmacy / DLDB) Mahitaji ya kila siku Mzunguko mkubwa sana wa pesa 🌐 17. Internet Café / Printing Wanafunzi & kazi za ofisi Mauzo ya kila siku 🧱 18. Biashara ya Ujenzi (Saruji, Nondo, Mchanga) Inahitaji mtaji Pesa huzunguka haraka 💄 19. Vipodozi & Perfumes Vinanunuliwa mara kwa mara Faida nzuri ukijua soko 🏠 20. Udalali wa Nyumba / Viwanja Huhitaji mtaji mkubwa Dili moja = pesa kubwa ⚠️ KANUNI MUHIMU ZA BIASHARA ZENYE FAST CASH FLOW ⚠️ ✅ Usichanganye pesa ya biashara na matumizi binafsi ✅ Nidhamu ya pesa
#Lishe Reel by @bbcswahili (verified account) - Magonjwa ya moyo ndiyo yanayoongoza kwa kusababisha vifo duniani kote.
-
Je, kuna njia zaidi tunazoweza kutumia ili kuzuia mashambulizi ya moyo kutoke
323.5K
BB
@bbcswahili
Magonjwa ya moyo ndiyo yanayoongoza kwa kusababisha vifo duniani kote. - Je, kuna njia zaidi tunazoweza kutumia ili kuzuia mashambulizi ya moyo kutokea? - @bosha_nyanje anaelezea kwa kina - - - #bbcswahili #afya #magonjwayamoyo #lishe #mazoezi #vyakula
#Lishe Reel by @azamtvtz (verified account) - Mdau wa lishe Nusura Salum amesema kwa mama ambaye anayonyesha anapaswa kuzingatia makundi sita ya vyakula ambayo yatasaidia kuongeza nguvu mwilini il
13.2K
AZ
@azamtvtz
Mdau wa lishe Nusura Salum amesema kwa mama ambaye anayonyesha anapaswa kuzingatia makundi sita ya vyakula ambayo yatasaidia kuongeza nguvu mwilini ili kuweza kuzalisha maziwa ya kutosha, pia makundi hayo ya chakula yatasaidia kulinda afya ya mama na mtoto. Amneongeza kuwa mama anayenyonysha anatakiwa kula milo sita kwa siku hii ni kwasababu nguvu ya nishati lishe mwili imeongezeka. ✍ Halima Abdallah Mhariri @moseskwindi #AzamTVUpdates
#Lishe Reel by @eastafricatv (verified account) - Mtaalamu wa Lishe na Mazoezi @fatema.juma17  anakushauri wewe ambaye unapenda kutumia chakula cha wali kama daku

Umemuelewa Dokta au huwezi kubalisha
233.8K
EA
@eastafricatv
Mtaalamu wa Lishe na Mazoezi @fatema.juma17 anakushauri wewe ambaye unapenda kutumia chakula cha wali kama daku Umemuelewa Dokta au huwezi kubalisha kwa uharaka tabia hii? #DADAZ @mwanneothmankamby @zahrasalehe_ #EastAfricaTV #HainaKuchoka
#Lishe Reel by @kilimohalisi - 🟫karibu@@kilimohalisi kwa huduma ya miche 
Tupigie number hizi bure
+255672568516
+255684153567
0772320288

🟫Mfumo huu wa umwagiliaji unapatikana Kw
42.6K
KI
@kilimohalisi
🟫karibu@@kilimohalisi kwa huduma ya miche Tupigie number hizi bure +255672568516 +255684153567 0772320288 🟫Mfumo huu wa umwagiliaji unapatikana Kwa 15000,dumu 3000 usafiri mikoni ni ,10000 tupo bomang'ombe wilaya ya Hai mkoa wa kilimanjaro 🟫Mafunzo ya kilimo,mimea lishe, na. Ushauri wa kilimo tuna group la whatsup 0652553944 Kwa gharama nafuu karibu kwenye familia. 🟫Tunapokea wadau Wanao taka kuja kujifunza apa tulipo Kwa gharama nafuu . 🟫Kilimo ndo asili yetu na kimebeba Siri za mafanikio yetu Kila siku lazima tule vyakula. 🟫Wadau wetu wa Dareslama mtaalamu huyu apa 0685830971 🟫Tunamiche aina nyingi ya mboga, nyanya, hoho, matunda, mimea tiba . 🟫 Tunashukuru Kwa ushirikiano wenu hatutawaangusha number tuna number nyingi za kupiga ili tukuhudumie Kwa wakati. 🟫Tunatamani watu wengi waweze kufanya tunachokifanya ndo maana tunapost. 🟫Kuna changamoto ya ajira lakini tukifanya kilimo tutapata chakula na ajira 🟫Kamwe usianze kufanya kilimo bila mwongozo au ushauri toka Kwa mtu mwenye uzoefu . 🟫Kusoma kilimo inachukua miaka mingi na gharama kubwa lakini Kilimohalisi tumerahisisha utajiunga darasa la kudumu la kilimo bila Kikomo utajifunza kilimo na utaelewa utapewa vitabu vingi Kwa njia ya soft copy bure. 🟫Tuna group 4 za mafunzo whatsup utachagua unapenda ipi kutaka kufahamu zaidi niandikie ujumbe whatsup 0652553944 ✅Faida za kuwa kwenye group 1.🔷utajifunza Kila tunachokifanya. 2.🔷unaruhusiwa kuuliza maswali. 3.🔷ukihitaji mtaalamu au kijana wa kazi atafika site Kwa gharama zako 4.🔷utapata vitabu vingi bure. 5.🔷ukitaka kuongea na mtaalamu ni bure utapugiwa pesa uliyolipa Kuna bando lako. 6.🔷kukiwa na ofa zozote kilimo halisi mtu wa kwanza kufikiriwa ni member wa group. 7.🔷Tunakopesha Miche Kwa members tu. 8.🔷utapata ushauri wa karibu kwenye jambo lako 9.🔷Hakuna ada Kila mwezi Tunatengeneza familia ya kudumu. 10.🔷Tunatamani tufanikiwe pamoja na umoja ni nguvu. 11.🔷tuna uzoefu wa mda mrefu hii itakusaidia wewe kuokoa gharama kwenye jambo jipya. 12.🔷baadae tutaweza kupata connection za masoko. 13.🔷unaruhusiwa kumleta kijana kupata uzoef 🟫Tupo bomang'ombe wilaya ya Hai mkoa wa kilimanjaro lakini huduma zetu zinafika nchi nzima.
#Lishe Reel by @millardayo (verified account) - Kutokana na ongezeko kubwa la  utapiamlo na magonjwa yasiyoambikiza yanayosababishwa na mtindo wa maisha na changamoto za lishe katika Jamii, Kampuni
176.1K
MI
@millardayo
Kutokana na ongezeko kubwa la utapiamlo na magonjwa yasiyoambikiza yanayosababishwa na mtindo wa maisha na changamoto za lishe katika Jamii, Kampuni ya LF Lishe (Long Life Natural Food) (@lf_lishe_products) iliamua kuja na suluhisho la kutoa ushauri na namna bora ya kuchagua vyakula ili kuondokana na magonjwa. Mbali na kutoka ushauri na vyakula, LF Lishe pia waliamua kutengeneza na kuchakata lishe bora kwa ajili ya Watoto wa kuanzia miezi sita, Wajawazito, Mama anayenyonyesha, Wagonjwa na Wanamichezo ambapo lishe hizo zinazalishwa kwa kufuata miongozo ya Mamlaka za kudhibiti Ubora Nchini Tanzania (TBS) #MillardAyoUPDATES

✨ #Lishe Discovery Guide

Instagram hosts 166K posts under #Lishe, creating one of the platform's most vibrant visual ecosystems. This massive collection represents trending moments, creative expressions, and global conversations happening right now.

#Lishe is one of the most engaging trends on Instagram right now. With over 166K posts in this category, creators like @drboazmkumbomd, @bbcswahili and @eastafricatv are leading the way with their viral content. Browse these popular videos anonymously on Pictame.

What's trending in #Lishe? The most watched Reels videos and viral content are featured above. Explore the gallery to discover creative storytelling, popular moments, and content that's capturing millions of views worldwide.

Popular Categories

📹 Video Trends: Discover the latest Reels and viral videos

📈 Hashtag Strategy: Explore trending hashtag options for your content

🌟 Featured Creators: @drboazmkumbomd, @bbcswahili, @eastafricatv and others leading the community

FAQs About #Lishe

With Pictame, you can browse all #Lishe reels and videos without logging into Instagram. No account required and your activity remains private.

Content Performance Insights

Analysis of 12 reels

✅ Moderate Competition

💡 Top performing posts average 279.8K views (1.9x above average). Moderate competition - consistent posting builds momentum.

Post consistently 3-5 times/week at times when your audience is most active

Content Creation Tips & Strategy

🔥 #Lishe shows steady growth - post consistently to build presence

✨ Many verified creators are active (58%) - study their content style for inspiration

✍️ Detailed captions with story work well - average caption length is 711 characters

📹 High-quality vertical videos (9:16) perform best for #Lishe - use good lighting and clear audio

Popular Searches Related to #Lishe

🎬For Video Lovers

Lishe ReelsWatch Lishe Videos

📈For Strategy Seekers

Lishe Trending HashtagsBest Lishe Hashtags

🌟Explore More

Explore Lishe#label unga wa lishe#unga wa lishe#er xotin birga bo lish usullari#freddie lish nationality#d lish at the beach menu#maboga lishe#unga wa lishe kwa mtoto#lishe crema