#Momba

Watch 49K Reels videos about Momba from people all over the world.

Watch anonymously without logging in.

49K posts
NewTrendingViral

Trending Reels

(12)
#Momba Reel by @copra_tz (verified account) - ‎Wakulima wa zao la ufuta wilaya ya Momba wameridhia kuuza ufuta wao Kwa bei ya Sh2,714.90 katika mnada wa kwanza wa kidigitali uliofanyika leo Mei 9,
3.0K
CO
@copra_tz
‎Wakulima wa zao la ufuta wilaya ya Momba wameridhia kuuza ufuta wao Kwa bei ya Sh2,714.90 katika mnada wa kwanza wa kidigitali uliofanyika leo Mei 9, 2026. ‎ ‎Mwenyekiti wa Chama Kikuu cha Ushirika Mkoa wa Songwe (SORECU LTD), Daniel Shija Msyaliha amesema kuwa wastani wa bei ya juu katika mnada huo ilikuwa Sh2,740 na ya chini ni Sh2,655. ‎ ‎Baada ya kukamilika kwa mnada huo , wakulima walifanya maamuzi kwa aliridhia kuuza ufuta wao kwa bei ya Sh. 2714.90.
#Momba Reel by @habarileo_tz (verified account) - SONGWE: SERIKALI inatarajia kuanza uzalishaji wa gesi adimu duniani ya Helium kwa mara ya kwanza kupitia Kampuni ya Helium One Global katika Bonde la
3.0K
HA
@habarileo_tz
SONGWE: SERIKALI inatarajia kuanza uzalishaji wa gesi adimu duniani ya Helium kwa mara ya kwanza kupitia Kampuni ya Helium One Global katika Bonde la Ziwa Rukwa, eneo la Itumbula lililopo Kata ya Kamsamba na Ivuna wilayani Momba, Mkoa wa Songwe. Ofisa Madini Mkazi Mkoa wa Songwe, Chone Malembo ameeleza hayo wakati wa ziara ya kutembelea eneo la mradi na kusema kuwa kwa sasa kinachosubiriwa ni Serikali kutoa leseni ya uchimbaji kwa kampuni hiyo baada ya kukamilika kwa utafiti ambao umeonesha uwepo wa gesi hiyo katika eneo hilo. Helium ni gesi adimu kupatikana hapa duniani inayotumika katika teknolojia ya kisasa, huduma za afya, utafiti wa anga na sekta ya ulinzi ambayo mpaka sasa nchi zinazoongoza kwa uzalishaji wa gesi hiyo ni Marekani, Urusi, Qatar, Saudi Arabia na Algeria na sasa Tanzania. Kwa upande wake Msimamizi katika maeneo ya utafiti na Uendelezaji wa Mradi huo kutoka Kampuni ya Helium One, Emmanuel Ghachocha amesema awali utafiti uliofanywa na kampuni hiyo katika visima vinne kwenye eneo hilo ulibaini uwepo wa helium kwa viwango tofauti kati ya asilimia 4.4 mpaka 7.9 kulingana na aina ya visima vilivyochimbwa na kwamba kinachosubiriwa kwa sasa ni kusaini mkataba ili uzalishaji uanze rasmi. Imeandaliwa na Fadhili Akida #HabarileoUPDATES
#Momba Reel by @tbc_online (verified account) - Mbunge wa Jimbo la Momba, Condester Sichalwe amesema kuna wakati anakumbana na changamoto za wananchi pindi umeme ukikatika kukiwa na matukio muhimu a
54.6K
TB
@tbc_online
Mbunge wa Jimbo la Momba, Condester Sichalwe amesema kuna wakati anakumbana na changamoto za wananchi pindi umeme ukikatika kukiwa na matukio muhimu akitolea mfano wa mechi za watani wa jadi, Simba na Yanga ambapo amedai hukosa kitu cha kuwajibu wapiga kura wake. Sichalwe amesema hayo Bungeni jijini Dodoma wakati akichangia Bajeti ya Wizara ya Nishati kwa mwaka wa fedha 2024/2025. “Utakuta inajulikana Simba na Yanga inacheza, mtu amenunua kifurushi chake labda ana kibanda-umiza. (Ajabu) utakuta TANESCO siku hiyo hiyo wanakata umeme. Mnashindwa kukata hata jana (yake) na juzi muwaache leo furaha yao iweze kutekelezeka?” Amehoji Sichalwe. ✍🏾 @clementsilla #BungelaBajeti #Bungeni #TBCdigital #TBCupdates
#Momba Reel by @azamtvtz (verified account) - Mafuriko yaliyosababishwa na mvua kubwa usiku wa kuamkia leo yamewalazimu wananchi wa kijiji cha Ntinga, kata ya Msangano wilayani Momba mkoani Songwe
14.9K
AZ
@azamtvtz
Mafuriko yaliyosababishwa na mvua kubwa usiku wa kuamkia leo yamewalazimu wananchi wa kijiji cha Ntinga, kata ya Msangano wilayani Momba mkoani Songwe kuyakimbia makazi yao. Maji yaliyovamia nyumba yameharibu vyakula na kusababisha baadhi ya wakazi kukosa hifadhi ya kulala. Mkuu wa Wilaya ya Momba, Elias Mwandobo, ametembelea eneo hilo na kusema Serikali imeanza kuchukua hatua za dharura na kufanya tathmini ya uharibifu.
#Momba Reel by @millardayo (verified account) - AyoTV imesafiri kutoka DSM mpaka Songwe wilaya ya Momba Halmashari ya Mji wa Tunduma , imemfuata Lawrence John Michael ambaye video yake imesambaa aki
2.3M
MI
@millardayo
AyoTV imesafiri kutoka DSM mpaka Songwe wilaya ya Momba Halmashari ya Mji wa Tunduma , imemfuata Lawrence John Michael ambaye video yake imesambaa akionekana kuwa na roho ya huruma kwa Dereva wa lori aliyejifanyisha ana njaa na hana hela kununua akamuomba amsaidie nae akampa bila kusita Lawrence ameiambia AyoTV kuwa ni MUNGU tu alimuongoza kutoa lile yai maana hajawahi mpa mtu yai bure na hata yeye hajawahi enda lia shida mahali akapewa kitu bure uwa analipa. Ana miaka 12 ameishia Darasa la 4 baada ya Shangazi yake aliyekuwa anamsomesha kuachana na Mumewe ikabidi arudi kwa Wazazi wake na ndipo akamuomba Baba yake kuliko akae nyumbani basi auze mayai ambayo ilikua biashara ya Baba yake. Lawrence anaomba msaada maana wanapoishi wamepanga na Yeye na Dada yake wote hawasomi sababu ya kipato na maisha yao ni magumu namba ya Mama yake Lawrence ni 0697810976 inasoma jina Augustino Hosea #MillardAyoUPDATES
#Momba Reel by @kenanikihongosi (verified account) - JIKO HALIISHIWI KUNI

Usiku mwingi lakini Mahaba na Upendo wa wananchi ni mkubwa sana, Nimetumwa kazi nami nitaifanya kazi kwa uaminifu mkubwa sana ku
15.2K
KE
@kenanikihongosi
JIKO HALIISHIWI KUNI Usiku mwingi lakini Mahaba na Upendo wa wananchi ni mkubwa sana, Nimetumwa kazi nami nitaifanya kazi kwa uaminifu mkubwa sana kulinda dhamana na utumishi niliopewa wa kuwatumikia wananchi wetu wa Wilaya ya Momba(Tunduma). Ziara ya mtaa kwa mtaa Momba Tunduma tumetimiza mitaa 63 mpaka sasa Leo Mumgu akitupa uzima tunahitimisha mitaa yote katika Halmashauri ya Mji Tunduma. #mtumishiwawote
#Momba Reel by @wasafifm (verified account) - WILAYA YA MOMBA HALI YA WANAFUNZI KURIPOTI SHULENI IKO CHINI YA 50%

Hali ya kuripoti wanafunzi wa awali,darasa la kwanza na kidato cha kwanza katika
22.1K
WA
@wasafifm
WILAYA YA MOMBA HALI YA WANAFUNZI KURIPOTI SHULENI IKO CHINI YA 50% Hali ya kuripoti wanafunzi wa awali,darasa la kwanza na kidato cha kwanza katika Halmashauri ya Wilaya ya Momba Mkoani Songwe hairidhishi kwani Halmashauri ilikuwa na makisio ya kuandikisha wanafunzi 7489 na walioandikishwa kwa wanafunzi wa shule ya msingi darasa la kwanza ni 4172 sawa na 55.8% huku upande wa sekondari kidato cha kwanza watoto waliopangiwa kujiunga ni 2489 ila walioripoti shuleni ni 1591 sawa na asilimia 36% hali ambayo inafanya kiwango kuwa chini. Kufuatia hali hiyo Mkuu wa Mkoa wa Songwe Daniel Chongolo ameagiza uongozi Wilaya ya Momba kuhakikisha wanawatafuta wanafunzi hao na kuwarejesha shuleni ili kuendelea na masomo na kuahidi kurudi tena baada ya wiki mbili ili kuona utekelezaji wa agizo hilo. Awali akitoa taarifa za takwimu hizo Mkuu wa Wilaya ya Momba Elias Mwandobo amesema serikali wilayani humo imetoa maelekezzo kwa viongozi wa vijiji kuhakikisha wanawatafuta wanafunzi wote waliotakiwa kuwa shuleni na kuanza masomo mara moja. @aimhaika1 #WasafiDigital
#Momba Reel by @wizara_ya_madini_tanzania (verified account) - repost from @habarileo_tz SONGWE: SERIKALI inatarajia kuanza uzalishaji wa gesi adimu duniani ya Helium kwa mara ya kwanza kupitia Kampuni ya Helium O
2.2K
WI
@wizara_ya_madini_tanzania
repost from @habarileo_tz SONGWE: SERIKALI inatarajia kuanza uzalishaji wa gesi adimu duniani ya Helium kwa mara ya kwanza kupitia Kampuni ya Helium One Global katika Bonde la Ziwa Rukwa, eneo la Itumbula lililopo Kata ya Kamsamba na Ivuna wilayani Momba, Mkoa wa Songwe. Ofisa Madini Mkazi Mkoa wa Songwe, Chone Malembo ameeleza hayo wakati wa ziara ya kutembelea eneo la mradi na kusema kuwa kwa sasa kinachosubiriwa ni Serikali kutoa leseni ya uchimbaji kwa kampuni hiyo baada ya kukamilika kwa utafiti ambao umeonesha uwepo wa gesi hiyo katika eneo hilo. Helium ni gesi adimu kupatikana hapa duniani inayotumika katika teknolojia ya kisasa, huduma za afya, utafiti wa anga na sekta ya ulinzi ambayo mpaka sasa nchi zinazoongoza kwa uzalishaji wa gesi hiyo ni Marekani, Urusi, Qatar, Saudi Arabia na Algeria na sasa Tanzania. Kwa upande wake Msimamizi katika maeneo ya utafiti na Uendelezaji wa Mradi huo kutoka Kampuni ya Helium One, Emmanuel Ghachocha amesema awali utafiti uliofanywa na kampuni hiyo katika visima vinne kwenye eneo hilo ulibaini uwepo wa helium kwa viwango tofauti kati ya asilimia 4.4 mpaka 7.9 kulingana na aina ya visima vilivyochimbwa na kwamba kinachosubiriwa kwa sasa ni kusaini mkataba ili uzalishaji uanze rasmi. Imeandaliwa na Fadhili Akida #HabarileoUPDATES
#Momba Reel by @tbc_online (verified account) - Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Utumishi wa Umma na Utawala Bora, George Simbachawene amesema suala la kujitolea kwa watumishi linahitaji kufikiriwa am
48.8K
TB
@tbc_online
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Utumishi wa Umma na Utawala Bora, George Simbachawene amesema suala la kujitolea kwa watumishi linahitaji kufikiriwa ambapo serikali imeandaa mwongozo wa watumishi wanaojitolea kuanza kulipwa. Simbachawene amesema hayo Bungeni jijini Dodoma leo Aprili 18, 2024 wakati akijibu hoja ya Mbunge wa Jimbo la Momba, Condester Sichwale aliyeitaka serikali kuandika waraka kwa halmashauri nchini kutenga fungu la kuwalipa watumishi wanaojitolea. ✍🏾 @clementsilla #BungelaBajeti #Bungeni #TBCdigital #TBCupdates
#Momba Reel by @habarileo_tz (verified account) - DODOMA: MBUNGE wa Momba, Condester Sichalwe ameliomba Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) kuacha tabia ya kukata umeme hasa katika mechi kubwa za kita
2.1K
HA
@habarileo_tz
DODOMA: MBUNGE wa Momba, Condester Sichalwe ameliomba Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) kuacha tabia ya kukata umeme hasa katika mechi kubwa za kitaifa zinazochezwa katika sehemu mbalimbali ikiwemo mechi ya Simba na Yanga. - Mbunge huyo ameyasema hayo Jijini Dodoma wakati akichangia Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya Nishati kwa Mwaka 2024/25. - "Mtu amenunua kifurushi chake Tanesco siku hiyo hiyo ndo wanakata umeme, Mmeshindwa kukata jana muache leo furaha yao iweze kutekelezeka" - Una maoni, tuandikie - #HabarileoUPDATES
#Momba Reel by @millardayo (verified account) - "Tuna imani elimu kupitia Kampeni ya Mali Shambani,  Silaha Mbolea inakwenda kuwa chachu ya kuongeza tija katika uzalishaji wa mazao na kuongeza kipat
73.0K
MI
@millardayo
“Tuna imani elimu kupitia Kampeni ya Mali Shambani, Silaha Mbolea inakwenda kuwa chachu ya kuongeza tija katika uzalishaji wa mazao na kuongeza kipato kwa mkulima mmoja mmoja” - Yona Agrey Tuarira, Mhandisi Kilimo Halmashauri ya Wilaya ya Momba mkoani Songwe. #MillardAyoUPDATES
#Momba Reel by @kenanikihongosi (verified account) - Ziara ya siku Tatu ya Mkuu wa Mkoa wa Songwe Mheshimiwa @daniel_godfrey_chongolo katika wilaya yetu ya Momba ndani ya halmashauri ya Momba Imekamilika
20.3K
KE
@kenanikihongosi
Ziara ya siku Tatu ya Mkuu wa Mkoa wa Songwe Mheshimiwa @daniel_godfrey_chongolo katika wilaya yetu ya Momba ndani ya halmashauri ya Momba Imekamilika kwa kutembelea Kata 7 kukagua miradi ya maendeleo na kuzungumza na wananchi wetu. #mtumishiwawote

✨ #Momba Discovery Guide

Instagram hosts 49K posts under #Momba, creating one of the platform's most vibrant visual ecosystems. This massive collection represents trending moments, creative expressions, and global conversations happening right now.

Discover the latest #Momba content without logging in. The most impressive reels under this tag, especially from @millardayo, @tbc_online and @wasafifm, are gaining massive attention. View them in HD quality and download to your device.

What's trending in #Momba? The most watched Reels videos and viral content are featured above. Explore the gallery to discover creative storytelling, popular moments, and content that's capturing millions of views worldwide.

Popular Categories

📹 Video Trends: Discover the latest Reels and viral videos

📈 Hashtag Strategy: Explore trending hashtag options for your content

🌟 Featured Creators: @millardayo, @tbc_online, @wasafifm and others leading the community

FAQs About #Momba

With Pictame, you can browse all #Momba reels and videos without logging into Instagram. No account required and your activity remains private.

Content Performance Insights

Analysis of 12 reels

✅ Moderate Competition

💡 Top performing posts average 610.5K views (2.9x above average). Moderate competition - consistent posting builds momentum.

Post consistently 3-5 times/week at times when your audience is most active

Content Creation Tips & Strategy

🔥 #Momba shows high engagement potential - post strategically at peak times

✍️ Detailed captions with story work well - average caption length is 681 characters

📹 High-quality vertical videos (9:16) perform best for #Momba - use good lighting and clear audio

✨ Many verified creators are active (100%) - study their content style for inspiration

Popular Searches Related to #Momba

🎬For Video Lovers

Momba ReelsWatch Momba Videos

📈For Strategy Seekers

Momba Trending HashtagsBest Momba Hashtags

🌟Explore More

Explore Momba#momba festival#momba festival 2026#black momba snake#black momba#discoteca momba barakaldo#momba faralya#momba faralya menü#momba faralya resimleri