#Mbwa

Mira 14K videos de Reels sobre Mbwa de personas de todo el mundo.

Ver anónimamente sin iniciar sesión.

14K posts
NewTrendingViral

Reels en Tendencia

(12)
#Mbwa Reel by @tz_dog_trainer_sandy - Je, Mbwa wako ana power? (Working on the gripping) still on security work.

.

.

.

.

#instagram #photooftheday #foryou #fashionista #fashion
10.5K
TZ
@tz_dog_trainer_sandy
Je, Mbwa wako ana power? (Working on the gripping) still on security work. . . . . #instagram #photooftheday #foryou #fashionista #fashion
#Mbwa Reel by @mifugokilimo - TUNAUZA MBWA WA KISASA WA ULINZI | GERMANY SHEPHERD DOG | BOERBOEL | BELGIUM MALINOIS | ROTTWEILER | PITBULL | ECT

Call/Text/WhatsApp: +255 712 253 1
1.8K
MI
@mifugokilimo
TUNAUZA MBWA WA KISASA WA ULINZI | GERMANY SHEPHERD DOG | BOERBOEL | BELGIUM MALINOIS | ROTTWEILER | PITBULL | ECT Call/Text/WhatsApp: +255 712 253 102 @joackcompany @kilimo_tz @mifugo_tz @joackagrovet @joackanimalclinic @joackbagamoyo Muda wetu wa kazi ni saa 1 Asubuhi hadi saa 5 Usiku Ofisi zetu zipo Tegeta Wazohill-Dar es salaam na Bagamoyo Mara nyingi mbwa hufugwa kwa malengo nne ambayo ni:- 1. Kunusa (Detection dogs or Sniffer dogs) 2. Kulinda/usalama (Guard dogs) 3. Kuongoza (Guide dogs) 4. Mbwa kipenzi (pets) Kwa kazi ya ulinzi, mbwa ni kati ya walinzi wazuri na waaminifu, ni mlinzi asiyepokea rushwa wala kula dili na wezi, akiamua kukulinda basi ataulinda kweli. Mbwa ni kati ya wanyama wenye tabia tofauti tofauti kulingana na asili yao, hivyo ni muhimu kupata taarifa sahihi za mbwa husika ili uweze kujua namna ya kumtunza. Licha ya kufahamu tu tabia za mbwa, ni muhimu pia kujua taratibu za chanjo na matibabu za mbwa, lengo ni kuhakikisha mbwa wako anakuwa salama dhidi ya magonjwa na hatari nyingine. Pia kuna swala la mafunzo, mbwa ni kati ya wanyama wenye uelewa hivyo anaweza kufundishika.. Unaweza mfundisha mbwa wako tabia unazo zitaka, mfano unaweza mafundisha ukali, utii, kunusa, sehemu za kujisaidia, nk Ukiamua kufuga mbwa kwa lengo lolote ni muhimu kuwasiliana na wataalamu ili uweze kupata ushauri sahihi. Hayo ni machache tu kuhusu mbwa, lakini kama unahitaji mbwa kwa lengo lolote karibu sana JOACK. #gsd #securitydog #germanyshephered #mbwa #matibabuyambwa dogsforsale mbwa tunauzambwa mbwawanauzwa wauzajiwambwa mbwawakisasa mbwawakizungu mbwawaulinzi Office zetu zipo @tegetawazohill - Barabara ya kwenda kiwanda cha twigacement, opposite na kota za kiwanda - Dar es salaam, Kwa wanaohitaji bidhaa zetu au huduma yoyote fika ofisini au wasilina nasi kwa Simu: +255 712 253 102(WhatsApp) +255 692 43 02 63 Email: info@joack.co.tz joackcompany kilimo mifugo daresalaam tanzania daktariwamifugo hospitalyamifugo hospitalyawanyama animalhospital daktariwambwa matibabuyamifugo matibabuyawanyama dodoma animalhospital tanzania🇹🇿 mikocheni masaki JOACK Company LTD | DSM NA BAGAMOYO
#Mbwa Reel by @nobodydogtrainer_ - Izo ndio breed zitakazo kufaa wewe unaetaka kuanza kufuga Mbwa wa ulinzi🐶🔥 
.
.
.
#belgianmalinoispuppy #shepherd #fugambwaachananawamasai🚮
3.3K
NO
@nobodydogtrainer_
Izo ndio breed zitakazo kufaa wewe unaetaka kuanza kufuga Mbwa wa ulinzi🐶🔥 . . . #belgianmalinoispuppy #shepherd #fugambwaachananawamasai🚮
#Mbwa Reel by @moshi_kennel (verified account) - Boerboel ni mbwa mkubwa, mwenye nguvu na ujasiri, asili yake ni Afrika Kusini. Alizalishwa awali kwa ajili ya kulinda mashamba na familia dhidi ya wan
4.2K
MO
@moshi_kennel
Boerboel ni mbwa mkubwa, mwenye nguvu na ujasiri, asili yake ni Afrika Kusini. Alizalishwa awali kwa ajili ya kulinda mashamba na familia dhidi ya wanyama wakali na wavamizi. Ni mwenye uaminifu, mlinzi mzuri, jasiri, na pia ana tabia ya kupenda familia yake. Anatakiwa kufundishwa na kulelewa vizuri akiwa mdogo kwa sababu ya ukubwa na nguvu zake. 0716797989
#Mbwa Reel by @dogfood_tz - TUNAUZA CHAKULA CHA MBWA CHA BISKUTI, UNGA NA VYAKULA VINGINE VYA ZIADA VYA MBWA KULINGANA NA UMRI WA MBWA KUTOKA KAMPUNI TOFAUTI KWA GHARAMA NAFUU KA
249
DO
@dogfood_tz
TUNAUZA CHAKULA CHA MBWA CHA BISKUTI, UNGA NA VYAKULA VINGINE VYA ZIADA VYA MBWA KULINGANA NA UMRI WA MBWA KUTOKA KAMPUNI TOFAUTI KWA GHARAMA NAFUU KARIBU 🐩🇹🇿📠+255 (0) 656 542 594. Tunahusika na uzaji wa vyakula mbalimbali vya mbwa aina ya biskuti kavu, chakula cha kupika cha unga,maziwa ya unga na vyakula vya kuongezea ladha kwenye chakula cha mbwa. 𝐀𝐈𝐍𝐀 𝐘𝐀 𝐕𝐘𝐀𝐊𝐔𝐋𝐀 𝐓𝐔𝐋𝐈𝐕𝐘𝐎 𝐍𝐀𝐕𝐘𝐎 . 🎯𝐉𝐎𝐒𝐄𝐑𝐀 🍪🐕JOSERA FAMILY PLUS 🍪🐕JOSERA JUNIOR 🍪🐕JOSERA KIDS 🍪🐕JOSERA HIGH ENERGY 🍪🐕JOSERA REGULAR 🍪🐕JOSERA ACTIVE 🍪🐕JOSERA CHICKEN IN SAUCE 🍪🐕JOSERA SALMON AND POTATO 🍪🐕JOSERA MINI 🍪🐕JOSERA WELPEN STARTER 🎯𝐁𝐀𝐃𝐄𝐒 🍪🐕‍🦺MR OVEE 🍪🐕‍🦺BARON 🎯𝐌𝐔𝐋𝐓𝐈𝐅𝐄𝐄𝐃𝐒 🍪🐩POWER DOG MASH 🍪🐩POWE DOG GOLD 🍪🐩HUNTER 🎯𝐊𝐈𝐕𝐔𝐋𝐄 🍪🦮KIV STRONG DOG FOOD 🎯𝐍𝐎𝐕𝐀 🍪🐕‍🦺NOVA ADULT FOOD 🍪🐕‍🦺NOVA PUPPY FOOD #joserafamilyplus #joserajunior #joserakids #joserahighenergy #joseraregular #joseraactive #joserachickeninsauce #joserasalmonandpotato #joseramini #Joserawelpenstarter #mroveedogfood#barondogfood #hunterdogfood#powerdogmash #powerdoggold #kivstrongdogfood #novadogfoodadult #novadogfoodpuppy KWA MAWASILIANO ZAIDI PIGA SIMU 📞0693691716 📱0656542594(WhatsApp)
#Mbwa Reel by @mbwa_alumnus - MBWA Alumnus - Back To School Bash 2024 may have ended
But we have a lot of BTS (Behind the Scenes)😘💫
. 
. 
#MBgians #BacktoSchool24 #Committee #Ama
6.4K
MB
@mbwa_alumnus
MBWA Alumnus - Back To School Bash 2024 may have ended But we have a lot of BTS (Behind the Scenes)😘💫 . . #MBgians #BacktoSchool24 #Committee #Amazing #alumnus #School #almamater #MBWA
#Mbwa Reel by @gaditvonline - Mfanyabiashara maarufu wa uuzaji wa mbwa wa aina mbalimbali anayeishi Mushono mkoani Arusha aitwae Hassan Issa, amedai kuwa hatua ya mafanikio yake ka
9.9K
GA
@gaditvonline
Mfanyabiashara maarufu wa uuzaji wa mbwa wa aina mbalimbali anayeishi Mushono mkoani Arusha aitwae Hassan Issa, amedai kuwa hatua ya mafanikio yake katika biashara hiyo, imekuja baada ya kununua mbwa wa shilingi milioni 18 nakuanza kumzalisha na watu wengi kutoka ndani na nje ya nchi kuvutiwa na uzao wake. Mfanyabiashara huyo akizungumza na GADI TV, amesema kuwa uwekezaji wake wa mbwa wa gharama kubwa umesaidia kukuza biashara yake, kutoka kuuza kitoto cha mbwa chenye umri wa chini ya miezi mitano kwa shilingi elfu sitini (60,000) hadi shilingi milini mbili (2,000,000). Aidha, katika video hii Hassan ameleezea kwa kina namna alivyoanzisha biashara hiyo hadi kufikia alipo na mbwa wake kuhitajika hata nje ya mipaka ya Tanzania, ambapo pia ameongeza kusema kuwa ufugaji wa mbwa ni muhimu katika maeneo yenye uhitajio wa ulinzi thabiti, kutokana na ulinzi wake kuwa wakweli kwa zaidi ya asilimia 90. Unaweza kuwasiliana na Hassan kwa namba hizi 0767 500 795. @hansdogs
#Mbwa Reel by @thelink_digital - Malaika ametumia mashine ipasavyo kumkwangua mbwa kichwani na kumuacha patupu😆
10.7K
TH
@thelink_digital
Malaika ametumia mashine ipasavyo kumkwangua mbwa kichwani na kumuacha patupu😆
#Mbwa Reel by @jeylanhassan - KWAMBA MNATAKA KUSEMA MBWA KAMUELEWA MBWA MWENZIE...KISA WANAUME SISI WOTE NI MBWA AU!!🤣🤣🤣 WAHENGA HAWAAMINI
12.1K
JE
@jeylanhassan
KWAMBA MNATAKA KUSEMA MBWA KAMUELEWA MBWA MWENZIE...KISA WANAUME SISI WOTE NI MBWA AU!!🤣🤣🤣 WAHENGA HAWAAMINI
#Mbwa Reel by @fazajde - Hivi, umewahi kuwaza kufuga mbwa? Ni aina gani ya mbwa ni wazuri kwa ulinzi majumbani? Matibabu yao na gharama ya chakula je?

Kingine, huwa unaangali
2.0K
FA
@fazajde
Hivi, umewahi kuwaza kufuga mbwa? Ni aina gani ya mbwa ni wazuri kwa ulinzi majumbani? Matibabu yao na gharama ya chakula je? Kingine, huwa unaangalia sifa zipi za mbwa husika kwenye ulinzi, ukali na mafunzo! Wataalamu wa ufugaji na mafunzo kwa mbwa, semeni neno hapa tujifunze.. Video: Huyu ni mbwa aina ya Alabai, mwenye asili ya Urusi. Ana kilo zaidi ya 60 na ni mrefu, unaweza kuona alivyo. Kuhusu uwezo wake, mjaribu kwanza akukamate ndio ujue zaidi🥺. Ulaji wake ni kilo 2 za nyama kwa siku. Hapo umebana matumizi😂 #ufugaji #mbwa #ulinzi #Nyumbani James Dea Elias
#Mbwa Reel by @afrotalia_international - Pet shinewings 

Bei 80,000

Hii ni kifaa ambacho kinatumika kumzibia paka au mbwa mdogo, kimetengenezwa Kwa matumizi ya  ndani na nje pia ,inamzuia p
4.6K
AF
@afrotalia_international
Pet shinewings Bei 80,000 Hii ni kifaa ambacho kinatumika kumzibia paka au mbwa mdogo, kimetengenezwa Kwa matumizi ya ndani na nje pia ,inamzuia paka au mbwa asizunguke ndani ya nyumba ,Ina milango wakufunga na kufungua pia ,Wahi ujipatie yako sasa Bei 80,000 #0757252557#0686979377 Kwa wale wanaotaka kununua pisi nyingi,mnakaribishwa tutawapa bei spesho njoo tufanye biashara. Tupo Mikocheni B pembeni ya Nakiete pharmacy #afrotalia #afroalia_international #afroboel afrotaliaTZ afrotalia_bunju afrotalia_tools

✨ Guía de Descubrimiento #Mbwa

Instagram aloja 14K publicaciones bajo #Mbwa, creando uno de los ecosistemas visuales más vibrantes de la plataforma.

Descubre el contenido más reciente de #Mbwa sin iniciar sesión. Los reels más impresionantes bajo esta etiqueta, especialmente de @mulastar255, @jeylanhassan and @thelink_digital, están ganando atención masiva.

¿Qué es tendencia en #Mbwa? Los videos de Reels más vistos y el contenido viral se presentan arriba.

Categorías Populares

📹 Tendencias de Video: Descubre los últimos Reels y videos virales

📈 Estrategia de Hashtag: Explora opciones de hashtag en tendencia para tu contenido

🌟 Creadores Destacados: @mulastar255, @jeylanhassan, @thelink_digital y otros lideran la comunidad

Preguntas Frecuentes Sobre #Mbwa

Con Pictame, puedes explorar todos los reels y videos de #Mbwa sin iniciar sesión en Instagram. No se necesita cuenta y tu actividad permanece privada.

Análisis de Rendimiento

Análisis de 12 reels

✅ Competencia Moderada

💡 Posts top promedian 16.3K vistas (2.0x sobre promedio)

Publica regularmente 3-5x/semana en horarios activos

Consejos de Creación de Contenido y Estrategia

💡 El contenido más exitoso obtiene más de 10K visualizaciones - enfócate en los primeros 3 segundos

✍️ Descripciones detalladas con historia funcionan bien - longitud promedio 543 caracteres

📹 Los videos verticales de alta calidad (9:16) funcionan mejor para #Mbwa - usa buena iluminación y audio claro

Búsquedas Populares Relacionadas con #Mbwa

🎬Para Amantes del Video

Mbwa ReelsVer Videos Mbwa

📈Para Buscadores de Estrategia

Mbwa Hashtags TrendingMejores Mbwa Hashtags

🌟Explorar Más

Explorar Mbwa#mabanda ya mbwa ya mbao#mbwa wa kisasa#banda la mbwa#mabanda ya mbwa#mbwa mwitu#mbwa leszno#chakula cha mbwa#mbwa wa africa