Trending

#Hisa

Guarda 166K video Reel su Hisa da persone di tutto il mondo.

Guarda in modo anonimo senza effettuare il login.

166K posts
NewTrendingViral

Reel di Tendenza

(12)
#Hisa Reel by @ekmunyagi (verified account) - Usikatishwe tamaa na gawio dogo, hilo hilo gawio dogo Lina nguvu ya kukusaidia kupata nguvu ya kufanya uwekezaji zaidi na baadaye gawio linaweza kujua
31.1K
EK
@ekmunyagi
Usikatishwe tamaa na gawio dogo, hilo hilo gawio dogo Lina nguvu ya kukusaidia kupata nguvu ya kufanya uwekezaji zaidi na baadaye gawio linaweza kujua kuwa na uwezo wa kuendesha maisha yao. Anza kidogo, endelea kwa nidhamu, matokeo yatakuja. #Wekeza #Gawio #UhuruWaKifedha #Hisa
#Hisa Reel by @bro.babuu - Mnaikumbuka hii??
#babuuhisa #hisa #wekeza #crdb
10.0K
BR
@bro.babuu
Mnaikumbuka hii?? #babuuhisa #hisa #wekeza #crdb
#Hisa Reel by @nurupaul1298 - 67/100-Usisubiri upate pesa mingi ndio uanze wekeza utaachwa na gari la mshahara anza na kidogo ulichopewa#hisa
159.3K
NU
@nurupaul1298
67/100-Usisubiri upate pesa mingi ndio uanze wekeza utaachwa na gari la mshahara anza na kidogo ulichopewa#hisa
#Hisa Reel by @miss_wanda_gordon (verified account) - Kama Mnaikumbuka post yangu ya tarehe 21-12-2025 nilieleza kwamba nina hisa zenye thamani ya Tshs 10 M sasa leo tarehe 16-1-2026 Nimechungulia account
69.7K
MI
@miss_wanda_gordon
Kama Mnaikumbuka post yangu ya tarehe 21-12-2025 nilieleza kwamba nina hisa zenye thamani ya Tshs 10 M sasa leo tarehe 16-1-2026 Nimechungulia account yangu ya DSE Hisa Kiganjani nakutana na miujiza🙌🏾🙌🏾🙌🏾 Mind you hapo mimi hisa nimeanza tena kununua mwaka jana December baada ya zile experience zangu mbili za awali ambapo nilipoteza hela kwenye Soko la hisa kwa kukosa elimu sahihi ya uwekezaji. Patia picha kama nisingeuza zile hisa zangu za DSE nilizonnua mwaka 2016 kwa bei ya IPO ya 500 na leo zinauzwa 7,500 😭 Au ningetafuta elimu wakati huo na nikaanza kununua hisa tena 🥹 Au basi hata ningeanza mwaka juzi 🥹 Ndo yake mabilioni ya hela mnayoona watu wanapata kwenye Soko la Hisa. Umapema wako wa kununua hisa ndiyo kutajirika kwako kwenye uwekezaji katika Soko la Hisa. Mapema ya jana imeshapita, unayo Mapema ya Leo. Chukua hatua. Angalizo la kuzingatia ni kuchambua kampuni unayotaka kununua hisa zake kabla haujawekeza huko. Usininue hisa kisa tu Zina bei ndogo inaweza isiongezeke 🌚Na usinunue Hisa kisa tu inabei kubwa inaweza ikashuka🌚 Chukua muda wako. Pata muongozo sahihi wa uwekezaji kwenye Soko la hisa kabla haujaanza kuwekeza. Ulifanikiwa kulielewa Soko la hisa basi mambo ni mazuri kama mnavyoyaona🥳🥳🥳💃🏽💃🏽 #viral #trending #explore #fyp #explorepage
#Hisa Reel by @vijana_money_matters (verified account) - Kabla hujaanza kuwekeza kwenye hisa, kuna vitu vitatu muhimu sana vya kuangalia: malengo yako ya kifedha, elimu kuhusu uwekezaji, na mfuko wa dharura.
7.4K
VI
@vijana_money_matters
Kabla hujaanza kuwekeza kwenye hisa, kuna vitu vitatu muhimu sana vya kuangalia: malengo yako ya kifedha, elimu kuhusu uwekezaji, na mfuko wa dharura. Usiruke hatua hizi. Zinakulinda dhidi ya maamuzi ya haraka na hasara zisizo za lazima. Jiulize: nawekeza kwa muda gani, kwa sababu gani, na niko tayari kuvumilia mabadiliko ya soko kwa kiwango gani? Jifunze misingi kwanza, kisha hakikisha una akiba ya dharura ya miezi kadhaa ya matumizi. Save hii post, like, usisahau kushare na rafiki yako ajifunze pia. #Hisa#akiba#vijanamoneymatters #uwekezaji
#Hisa Reel by @victor_mwambene - 𝐒𝐎𝐌𝐎 𝐉𝐈𝐏𝐘𝐀📚:- 𝐉𝐢𝐧𝐬𝐢 𝐲𝐚 𝐤𝐮𝐚𝐧𝐳𝐚 𝐊𝐮𝐰𝐞𝐤𝐞𝐳𝐚 𝐤𝐰𝐞𝐧𝐲𝐞 𝐇𝐢𝐬𝐚 𝐧𝐚 𝐤𝐮𝐩𝐚𝐭𝐚 𝐅𝐚𝐢𝐝𝐚 𝐲𝐚 𝐔𝐡𝐚𝐤𝐢𝐤𝐚.
.
💡 Je
1.8K
VI
@victor_mwambene
𝐒𝐎𝐌𝐎 𝐉𝐈𝐏𝐘𝐀📚:- 𝐉𝐢𝐧𝐬𝐢 𝐲𝐚 𝐤𝐮𝐚𝐧𝐳𝐚 𝐊𝐮𝐰𝐞𝐤𝐞𝐳𝐚 𝐤𝐰𝐞𝐧𝐲𝐞 𝐇𝐢𝐬𝐚 𝐧𝐚 𝐤𝐮𝐩𝐚𝐭𝐚 𝐅𝐚𝐢𝐝𝐚 𝐲𝐚 𝐔𝐡𝐚𝐤𝐢𝐤𝐚. . 💡 Je unatamani kuanza kuwekeza kwenye soko la Hisa Tanzania lakini hajui namna sahihi ya kuanza?, basi kama jibu ni ndio somo hili ni kwa ajili yako. 🚀 Hapa Utajifunza Nini maana ya Hisa, Jinsi ya kununua Hisa, Jinsi ya kuuza Hisa, Nini maana ya Soko la Hisa na nini maana ya Gawio na Changamoto za kuwekeza kwenye Hisa. . 🔔 Usisahau kusubscribe kwa channel yetu ili upate zaidi ya vidokezo muhimu vya kibiashara! . Kupata somo hili lote nenda kwenye YouTube Channel yangu ya Victor Mwambene na Usisahau Ku-SUBSCRIBE. . MUHIMU, Unaweza Kujifunza Mengi Kuhusu Fedha na Biashara na Mafanikio kwa Ujumla Kupitia Vitabu Vyangu Vitatu ambavyo ni 1.Kanuni 20 za Fedha, 2.Jinsi ya Kuanzisha na Kukuza Biashara na 3.Nguvu ya Kujua. . 4. Akili ya Fedha Kitabu kimoja ni Tsh 20,000 tu ila cha Akili ya Fedha ni 25,000. Kupata Vitabu Piga 0744126640 au Piga Namba ya Ofisini 0766836764. . Tumefungua Duka La Vitabu @akiliplusbookshop ambapo utapata Vitabu bora vya Fedha, Biashara na vya Mafanikio Vya Kiingeleza na Kiswahili. Duka letu Lipo Survey kituoni karibu na Mlimani City. . Tunafungua kila siku J’3 hadi J’mosi kuanzia saa 3 Asubuhi hadi 2 Usk. Kwa Mawasiliano ya kupata Vitabu Piga 0744126640 au 0766836764. . Follow page yetu ya Vitabu @akiliplusbookshop
#Hisa Reel by @nuru_kibona - Kwa soko la hisa , the best time to start was years ago and the next best is NOW. Ukijua usikawie 

#personalfinance #uwekezaji #100daysofvisibilitych
2.3M
NU
@nuru_kibona
Kwa soko la hisa , the best time to start was years ago and the next best is NOW. Ukijua usikawie #personalfinance #uwekezaji #100daysofvisibilitychallenge #tanzania #kenya
#Hisa Reel by @busarazaemilian - Nini maana ya ETF⁉️

Sikiliza kwa umakini niliyosema kuhusu ETF's zilizomo kwenye soko la hisa.

Full video ipo youtube channel 🎯: Victor Busara
.
.
68.3K
BU
@busarazaemilian
Nini maana ya ETF⁉️ Sikiliza kwa umakini niliyosema kuhusu ETF’s zilizomo kwenye soko la hisa. Full video ipo youtube channel 🎯: Victor Busara . . . . . . #fyp #uwekezaji #hisa
#Hisa Reel by @fursa.tu - Kiwango cha uwekezaji na gawio katika uwekezaji bank ya CRDB .

NB: Hisa @3000 na gawio @90

#uwekezaji #fursatu #hisa
34.5K
FU
@fursa.tu
Kiwango cha uwekezaji na gawio katika uwekezaji bank ya CRDB . NB: Hisa @3000 na gawio @90 #uwekezaji #fursatu #hisa
#Hisa Reel by @dw_kiswahili (verified account) - Watu wengi wameshasikia kuhusu uwekezaji wa hisa, lakini wengi hawafahamu namna ya kuanza uwekezaji huu.

Leo tunakwambia ni namna gani unaweza kuanza
6.3K
DW
@dw_kiswahili
Watu wengi wameshasikia kuhusu uwekezaji wa hisa, lakini wengi hawafahamu namna ya kuanza uwekezaji huu. Leo tunakwambia ni namna gani unaweza kuanza kuwekeza kwenye hisa na vitu gani vya kivizingatia. Uko tayari kuanza kuwekeza kwenye hisa? #dwkiswahili #hisa #dwpesasmart #uwekezaji #tanzania
#Hisa Reel by @ana.zontar (verified account) - Pa jo imava 🤭☀️ | oglas

Kako neverjeten občutek je, ko je celoten proces za postavitev sončne elektrarne za nama. ☺️ Tako sva bila navajena, da pazi
65.6K
AN
@ana.zontar
Pa jo imava 🤭☀️ | oglas Kako neverjeten občutek je, ko je celoten proces za postavitev sončne elektrarne za nama. ☺️ Tako sva bila navajena, da paziva pri veliko opravilih, da bo zdaj to kar sprememba, ko se na določene ure in dneve pri pranju, pomivanju … ni več treba toliko ozirati, ob enem pa je res dober občutek, ko lahko nastopava bolj trajnostno. 🍃 Res zelo dobrodošla sprememba, ki sva si jo že dolgo želela. 🤗 Vsi, ki imate sončno elektrarno 👉 katera sprememba vam je bila najljubša? 😉 #firbcam Pri meni je zagotovo to, da zdaj perem perilo kadar se mi zlušta. 🤭🔝 • • Naročnik: Petrol d.d.
#Hisa Reel by @achievefinancetz - Dear Investors.

Mnajua bei ya hisa za CRDB leo ! Uwwwwwiiiiii kabla hazijapanda zaidi njoo kwenye mafunzo ya @achievefinancetz ya leo ya online. 

Ba
2.6K
AC
@achievefinancetz
Dear Investors. Mnajua bei ya hisa za CRDB leo ! Uwwwwwiiiiii kabla hazijapanda zaidi njoo kwenye mafunzo ya @achievefinancetz ya leo ya online. Baada ya session utaweza kununua hisa za CRDB na zingine zote bila shida yoyote kabla hazijapanda zaidi. Don’t miss out today.

✨ Guida alla Scoperta #Hisa

Instagram ospita 166K post sotto #Hisa, creando uno degli ecosistemi visivi più vivaci della piattaforma.

L'enorme raccolta #Hisa su Instagram presenta i video più coinvolgenti di oggi. I contenuti di @nuru_kibona, @nurupaul1298 and @miss_wanda_gordon e altri produttori creativi hanno raggiunto 166K post a livello globale.

Cosa è di tendenza in #Hisa? I video Reels più visti e i contenuti virali sono in evidenza sopra.

Categorie Popolari

📹 Tendenze Video: Scopri gli ultimi Reels e video virali

📈 Strategia Hashtag: Esplora le opzioni di hashtag di tendenza per i tuoi contenuti

🌟 Creator in Evidenza: @nuru_kibona, @nurupaul1298, @miss_wanda_gordon e altri guidano la community

Domande Frequenti Su #Hisa

Con Pictame, puoi sfogliare tutti i reels e i video #Hisa senza accedere a Instagram. Nessun account richiesto e la tua attività rimane privata.

Analisi delle Performance

Analisi di 12 reel

✅ Competizione Moderata

💡 I post top ottengono in media 650.4K visualizzazioni (2.8x sopra media)

Posta regolarmente 3-5x/settimana in orari attivi

Suggerimenti per la Creazione di Contenuti e Strategia

🔥 #Hisa mostra alto potenziale di engagement - posta strategicamente negli orari di punta

📹 I video verticali di alta qualità (9:16) funzionano meglio per #Hisa - usa una buona illuminazione e audio chiaro

✍️ Didascalie dettagliate con storia funzionano bene - lunghezza media 447 caratteri

✨ Molti creator verificati sono attivi (42%) - studia il loro stile di contenuto

Ricerche Popolari Relative a #Hisa

🎬Per Amanti dei Video

Hisa ReelsGuardare Hisa Video

📈Per Cercatori di Strategia

Hisa Hashtag di TendenzaMigliori Hisa Hashtag

🌟Esplora di Più

Esplorare Hisa#hiša franko#jinsi ya kuwekeza kwenye soko la hisa#hiša zlata maribor#hisa brivcev#hiša eksperimentov#bei ya hisa za crdb 2026#soko la hisa tanzania#hisa za crdb