#Mbwa

Guarda 14K video Reel su Mbwa da persone di tutto il mondo.

Guarda in modo anonimo senza effettuare il login.

14K posts
NewTrendingViral

Reel di Tendenza

(12)
#Mbwa Reel by @mifugokilimo - TUNAUZA MBWA WA KISASA WA ULINZI | GERMANY SHEPHERD DOG | BOERBOEL | BELGIUM MALINOIS | ROTTWEILER | PITBULL | ECT

Call/Text/WhatsApp: +255 712 253 1
1.8K
MI
@mifugokilimo
TUNAUZA MBWA WA KISASA WA ULINZI | GERMANY SHEPHERD DOG | BOERBOEL | BELGIUM MALINOIS | ROTTWEILER | PITBULL | ECT Call/Text/WhatsApp: +255 712 253 102 @joackcompany @kilimo_tz @mifugo_tz @joackagrovet @joackanimalclinic @joackbagamoyo Muda wetu wa kazi ni saa 1 Asubuhi hadi saa 5 Usiku Ofisi zetu zipo Tegeta Wazohill-Dar es salaam na Bagamoyo Mara nyingi mbwa hufugwa kwa malengo nne ambayo ni:- 1. Kunusa (Detection dogs or Sniffer dogs) 2. Kulinda/usalama (Guard dogs) 3. Kuongoza (Guide dogs) 4. Mbwa kipenzi (pets) Kwa kazi ya ulinzi, mbwa ni kati ya walinzi wazuri na waaminifu, ni mlinzi asiyepokea rushwa wala kula dili na wezi, akiamua kukulinda basi ataulinda kweli. Mbwa ni kati ya wanyama wenye tabia tofauti tofauti kulingana na asili yao, hivyo ni muhimu kupata taarifa sahihi za mbwa husika ili uweze kujua namna ya kumtunza. Licha ya kufahamu tu tabia za mbwa, ni muhimu pia kujua taratibu za chanjo na matibabu za mbwa, lengo ni kuhakikisha mbwa wako anakuwa salama dhidi ya magonjwa na hatari nyingine. Pia kuna swala la mafunzo, mbwa ni kati ya wanyama wenye uelewa hivyo anaweza kufundishika.. Unaweza mfundisha mbwa wako tabia unazo zitaka, mfano unaweza mafundisha ukali, utii, kunusa, sehemu za kujisaidia, nk Ukiamua kufuga mbwa kwa lengo lolote ni muhimu kuwasiliana na wataalamu ili uweze kupata ushauri sahihi. Hayo ni machache tu kuhusu mbwa, lakini kama unahitaji mbwa kwa lengo lolote karibu sana JOACK. #gsd #securitydog #germanyshephered #mbwa #matibabuyambwa dogsforsale mbwa tunauzambwa mbwawanauzwa wauzajiwambwa mbwawakisasa mbwawakizungu mbwawaulinzi Office zetu zipo @tegetawazohill - Barabara ya kwenda kiwanda cha twigacement, opposite na kota za kiwanda - Dar es salaam, Kwa wanaohitaji bidhaa zetu au huduma yoyote fika ofisini au wasilina nasi kwa Simu: +255 712 253 102(WhatsApp) +255 692 43 02 63 Email: info@joack.co.tz joackcompany kilimo mifugo daresalaam tanzania daktariwamifugo hospitalyamifugo hospitalyawanyama animalhospital daktariwambwa matibabuyamifugo matibabuyawanyama dodoma animalhospital tanzania🇹🇿 mikocheni masaki JOACK Company LTD | DSM NA BAGAMOYO
#Mbwa Reel by @tz_dog_trainer_sandy - Je, Mbwa wako ana power? (Working on the gripping) still on security work.

.

.

.

.

#instagram #photooftheday #foryou #fashionista #fashion
10.6K
TZ
@tz_dog_trainer_sandy
Je, Mbwa wako ana power? (Working on the gripping) still on security work. . . . . #instagram #photooftheday #foryou #fashionista #fashion
#Mbwa Reel by @moshi_kennel (verified account) - 🐾 BOERBULL WA KIPEKEE KWA OFFER PRICE 🐾

Unatafuta mbwa bora wa familia yako?
Huyu Boerbull Dume ndiye jibu:
✅ Ana mafunzo 👊
✅ Rafiki mwaminifu wa
4.6K
MO
@moshi_kennel
🐾 BOERBULL WA KIPEKEE KWA OFFER PRICE 🐾 Unatafuta mbwa bora wa familia yako? Huyu Boerbull Dume ndiye jibu: ✅ Ana mafunzo 👊 ✅ Rafiki mwaminifu wa familia 👨‍👩‍👧‍👦 ✅ Mlinzi shupavu mwenye afya njema 💪 ✅ Muonekano wa kutamanisha 😍 📍Tunapatikana Moshi – Mbwaruki & Dar es Salaam – Mlimani City 📞 0726 797 989 💥 Nunua kilichobora, ukifurahie siku zote! 💥
#Mbwa Reel by @nobodydogtrainer_ - VYAKULA AMBAVYO MBWA ATAKIWI KULA
1=🍅(nyanya)
2=🍇(Zabibu)
3=🥑(mbegu za parachichi)
4=🫚(Tanga wizi)
5=🧅(Kitunguu maji)
6=🍫(chocolate)
Bila kusaha
22.7K
NO
@nobodydogtrainer_
VYAKULA AMBAVYO MBWA ATAKIWI KULA 1=🍅(nyanya) 2=🍇(Zabibu) 3=🥑(mbegu za parachichi) 4=🫚(Tanga wizi) 5=🧅(Kitunguu maji) 6=🍫(chocolate) Bila kusahau ugali na Pumbavu hivi vyakula havifai kwa afya ya mbwa wako NT:niulize mimi kuhusu mbwa🐶 #fugambwaachananawamasai🚮
#Mbwa Reel by @dogfood_tz - TUNAUZA CHAKULA CHA MBWA CHA BISKUTI, UNGA NA VYAKULA VINGINE VYA ZIADA VYA MBWA KULINGANA NA UMRI WA MBWA KUTOKA KAMPUNI TOFAUTI KWA GHARAMA NAFUU KA
261
DO
@dogfood_tz
TUNAUZA CHAKULA CHA MBWA CHA BISKUTI, UNGA NA VYAKULA VINGINE VYA ZIADA VYA MBWA KULINGANA NA UMRI WA MBWA KUTOKA KAMPUNI TOFAUTI KWA GHARAMA NAFUU KARIBU 🐩🇹🇿📠+255 (0) 656 542 594. Tunahusika na uzaji wa vyakula mbalimbali vya mbwa aina ya biskuti kavu, chakula cha kupika cha unga,maziwa ya unga na vyakula vya kuongezea ladha kwenye chakula cha mbwa. 𝐀𝐈𝐍𝐀 𝐘𝐀 𝐕𝐘𝐀𝐊𝐔𝐋𝐀 𝐓𝐔𝐋𝐈𝐕𝐘𝐎 𝐍𝐀𝐕𝐘𝐎 . 🎯𝐉𝐎𝐒𝐄𝐑𝐀 🍪🐕JOSERA FAMILY PLUS 🍪🐕JOSERA JUNIOR 🍪🐕JOSERA KIDS 🍪🐕JOSERA HIGH ENERGY 🍪🐕JOSERA REGULAR 🍪🐕JOSERA ACTIVE 🍪🐕JOSERA CHICKEN IN SAUCE 🍪🐕JOSERA SALMON AND POTATO 🍪🐕JOSERA MINI 🍪🐕JOSERA WELPEN STARTER 🎯𝐁𝐀𝐃𝐄𝐒 🍪🐕‍🦺MR OVEE 🍪🐕‍🦺BARON 🎯𝐌𝐔𝐋𝐓𝐈𝐅𝐄𝐄𝐃𝐒 🍪🐩POWER DOG MASH 🍪🐩POWE DOG GOLD 🍪🐩HUNTER 🎯𝐊𝐈𝐕𝐔𝐋𝐄 🍪🦮KIV STRONG DOG FOOD 🎯𝐍𝐎𝐕𝐀 🍪🐕‍🦺NOVA ADULT FOOD 🍪🐕‍🦺NOVA PUPPY FOOD #joserafamilyplus #joserajunior #joserakids #joserahighenergy #joseraregular #joseraactive #joserachickeninsauce #joserasalmonandpotato #joseramini #Joserawelpenstarter #mroveedogfood#barondogfood #hunterdogfood#powerdogmash #powerdoggold #kivstrongdogfood #novadogfoodadult #novadogfoodpuppy KWA MAWASILIANO ZAIDI PIGA SIMU 📞0693691716 📱0656542594(WhatsApp)
#Mbwa Reel by @fazajde - Hivi, umewahi kuwaza kufuga mbwa? Ni aina gani ya mbwa ni wazuri kwa ulinzi majumbani? Matibabu yao na gharama ya chakula je?

Kingine, huwa unaangali
2.0K
FA
@fazajde
Hivi, umewahi kuwaza kufuga mbwa? Ni aina gani ya mbwa ni wazuri kwa ulinzi majumbani? Matibabu yao na gharama ya chakula je? Kingine, huwa unaangalia sifa zipi za mbwa husika kwenye ulinzi, ukali na mafunzo! Wataalamu wa ufugaji na mafunzo kwa mbwa, semeni neno hapa tujifunze.. Video: Huyu ni mbwa aina ya Alabai, mwenye asili ya Urusi. Ana kilo zaidi ya 60 na ni mrefu, unaweza kuona alivyo. Kuhusu uwezo wake, mjaribu kwanza akukamate ndio ujue zaidi🥺. Ulaji wake ni kilo 2 za nyama kwa siku. Hapo umebana matumizi😂 #ufugaji #mbwa #ulinzi #Nyumbani James Dea Elias
#Mbwa Reel by @said_workshop - 🐶✨ Banda la mbwa la chuma - imara na salama
Tunatengeneza kwa ubora wa hali ya juu.
📞 Piga/WhatsApp sasa ☎️ 0767363660 
#Welding #DogHouse #Chuma #v
435
SA
@said_workshop
🐶✨ Banda la mbwa la chuma – imara na salama Tunatengeneza kwa ubora wa hali ya juu. 📞 Piga/WhatsApp sasa ☎️ 0767363660 #Welding #DogHouse #Chuma #viral #Moshimjini
#Mbwa Reel by @jeylanhassan - KWAMBA MNATAKA KUSEMA MBWA KAMUELEWA MBWA MWENZIE...KISA WANAUME SISI WOTE NI MBWA AU!!🤣🤣🤣 WAHENGA HAWAAMINI
12.1K
JE
@jeylanhassan
KWAMBA MNATAKA KUSEMA MBWA KAMUELEWA MBWA MWENZIE...KISA WANAUME SISI WOTE NI MBWA AU!!🤣🤣🤣 WAHENGA HAWAAMINI
#Mbwa Reel by @joackbagamoyo - TUNAUZA MBWA WA KISASA WA ULINZI | GERMANY SHEPHERD DOG | BOERBOEL | BELGIUM MALINOIS | ROTTWEILER | PITBULL | ECT

Call/Text/WhatsApp: +255 712 253 1
312
JO
@joackbagamoyo
TUNAUZA MBWA WA KISASA WA ULINZI | GERMANY SHEPHERD DOG | BOERBOEL | BELGIUM MALINOIS | ROTTWEILER | PITBULL | ECT Call/Text/WhatsApp: +255 712 253 102 @joackcompany @kilimo_tz @mifugo_tz @joackagrovet @joackanimalclinic @joackbagamoyo Muda wetu wa kazi ni saa 1 Asubuhi hadi saa 5 Usiku Ofisi zetu zipo Tegeta Wazohill-Dar es salaam na Bagamoyo Mara nyingi mbwa hufugwa kwa malengo nne ambayo ni:- 1. Kunusa (Detection dogs or Sniffer dogs) 2. Kulinda/usalama (Guard dogs) 3. Kuongoza (Guide dogs) 4. Mbwa kipenzi (pets) Kwa kazi ya ulinzi, mbwa ni kati ya walinzi wazuri na waaminifu, ni mlinzi asiyepokea rushwa wala kula dili na wezi, akiamua kukulinda basi ataulinda kweli. Mbwa ni kati ya wanyama wenye tabia tofauti tofauti kulingana na asili yao, hivyo ni muhimu kupata taarifa sahihi za mbwa husika ili uweze kujua namna ya kumtunza. Licha ya kufahamu tu tabia za mbwa, ni muhimu pia kujua taratibu za chanjo na matibabu za mbwa, lengo ni kuhakikisha mbwa wako anakuwa salama dhidi ya magonjwa na hatari nyingine. Pia kuna swala la mafunzo, mbwa ni kati ya wanyama wenye uelewa hivyo anaweza kufundishika.. Unaweza mfundisha mbwa wako tabia unazo zitaka, mfano unaweza mafundisha ukali, utii, kunusa, sehemu za kujisaidia, nk Ukiamua kufuga mbwa kwa lengo lolote ni muhimu kuwasiliana na wataalamu ili uweze kupata ushauri sahihi. Hayo ni machache tu kuhusu mbwa, lakini kama unahitaji mbwa kwa lengo lolote karibu sana JOACK. #gsd #securitydog #germanyshephered #mbwa #matibabuyambwa dogsforsale mbwa tunauzambwa mbwawanauzwa wauzajiwambwa mbwawakisasa mbwawakizungu mbwawaulinzi Office zetu zipo @tegetawazohill - Barabara ya kwenda kiwanda cha twigacement, opposite na kota za kiwanda - Dar es salaam, Kwa wanaohitaji bidhaa zetu au huduma yoyote fika ofisini au wasilina nasi kwa Simu: +255 712 253 102(WhatsApp) +255 692 43 02 63 Email: info@joack.co.tz joackcompany kilimo mifugo daresalaam tanzania daktariwamifugo hospitalyamifugo hospitalyawanyama animalhospital daktariwambwa matibabuyamifugo matibabuyawanyama dodoma animalhospital tanzania🇹🇿 mikocheni masaki JOACK Company LTD | DSM NA BAGAMOYO
#Mbwa Reel by @homecitymall_internationaltz - Kwa mapenzi ya mbwa wako, tumekusogezea kila kitu unachohitaji! 🐾
Kuanzia toys za kuchezea, leashes, collars, hadi harness za kisasa - zipo kwa rangi
4.4K
HO
@homecitymall_internationaltz
Kwa mapenzi ya mbwa wako, tumekusogezea kila kitu unachohitaji! 🐾 Kuanzia toys za kuchezea, leashes, collars, hadi harness za kisasa – zipo kwa rangi na size zote! 🎾🦴 Let your furry friend enjoy life with comfort & style! 😍 Tembelea Home City Mall leo ujionee mwenyewe! #homecitymlimani #homecitypalmvillage #price #mlimanicity #business #VifaaVyaMbwa #DogAccessories #PetLove #HomeCityMall #MbwaFurahaNyumbaniFuraha 🐶🏠”
#Mbwa Reel by @uncle_b_vet - TUNAUZA MBWA WA ULINZI JAMII YA GERMAN SHEPHERD MANYOYA MAREFU (LONG COAT)  WANAPATIKANA KWA GHARAMA NAFUU, KARIBU 🇹🇿📠+255 656 542 594.

🐕‍🐕‍🐶🐶
465
UN
@uncle_b_vet
TUNAUZA MBWA WA ULINZI JAMII YA GERMAN SHEPHERD MANYOYA MAREFU (LONG COAT) WANAPATIKANA KWA GHARAMA NAFUU, KARIBU 🇹🇿📠+255 656 542 594. 🐕‍🐕‍🐶🐶📩📩🐶🐶🐕‍🐕‍ ⏩Jamii🐶: GERMANY SHEPHERD(𝐏𝐔𝐑𝐄 𝐁𝐑𝐄𝐄𝐃) 💸 𝟏,𝟓𝟎𝟎,𝟎𝟎𝟎𝐓𝐬𝐡 💸 ⏩Miaka🐶: miezi 12 ⏩Jinsia🐶: Jike ⏩Chanjo💉:DHLP✅ +RABIES✔ ⏩ Usafiri 🚗: gharama za mteja. 🌇mahali:Dar es salaam-Tanzania 📞kwa taarifa zaidi📠:0656542594 #mbwawaulinzi #mbwaainayagermanshepherd #germanshepherd #germanshepherdpuppies #puppygermanyshepherd Mbwa wa jamii ya German Shepherd mwenye medium coat (yaani manyoya ya urefu wa kati) ni aina maarufu sana ya mbwa anayejulikana kwa akili, utii, nguvu, na uwezo wa kufanya kazi mbalimbali Na asili ya mbwa huyu ni Ujerumani. Hapa chini ni maelezo ya kina kuhusu mbwa huyu: 🐾 𝐒𝐈𝐅𝐀 𝐙𝐀 𝐌𝐁𝐖𝐀 𝐉𝐀𝐌𝐈𝐈 𝐘𝐀 𝐆𝐄𝐑𝐌𝐀𝐍 𝐒𝐇𝐄𝐏𝐇𝐄𝐑𝐃 🎯🐕‍🦺Mwonekano; Mwili mkubwa na wa misuli, masikio yamesimama, macho ya mviringo ya uangalifu 🎯🐕‍🦺Tabia ; Mwerevu sana, mtiifu, mwaminifu, mwenye ulinzi, na anaweza kufundishwa kwa urahisi 🎯🐕‍🦺Ulinzi ; Moja ya mbwa bora kwa ulinzi wa familia, polisi, na kazi za kijeshi 🎯🐕‍🦺Mazoezi; Anahitaji mazoezi ya kila siku, matembezi marefu, na shughuli za kiakili 🎯🐕‍🦺Manyoya; Medium coat ina wingi wa manyoya ya urefu wa kati — yanahitaji kupigwa brashi mara kwa mara 🎯🐕‍🦺Rangi: Nyeusi na kahawia (black & tan), nyeusi kabisa, sable, na wengine wachache. 🧠🐕‍🦺 Uwezo wa Kazi German Shepherds hutumika kwa: Kazi za polisi na ulinzi ,Mbwa wa msaada kwa wenye ulemavu, Mbwa wa kutafuta na kuokoa (search and rescue) na Michezo ya mbwa kama agility na obedience JE UNGEPENDA KUJIFUNZA UFUGAJI WA MIFUGO AINA GANI? 1:Jamii ya ndege (kuku,Bata,kwale n.k)🐓🦆🦃🕊️🐥 2: Ng'ombe🐄🐂 3:mbuzi🐐 4:kondoo 🐑 5: Mbwa 🐕 6: Sungura🐇 7: Nguruwe🐖 KWA MAWASILIANO ZAIDI PIGA SIMU 📞0693691716 📱0656542594(WhatsApp)

✨ Guida alla Scoperta #Mbwa

Instagram ospita 14K post sotto #Mbwa, creando uno degli ecosistemi visivi più vivaci della piattaforma.

Scopri gli ultimi contenuti #Mbwa senza effettuare l'accesso. I reel più impressionanti sotto questo tag, specialmente da @mulastar255, @nobodydogtrainer_ and @jeylanhassan, stanno ottenendo un'attenzione massiccia.

Cosa è di tendenza in #Mbwa? I video Reels più visti e i contenuti virali sono in evidenza sopra.

Categorie Popolari

📹 Tendenze Video: Scopri gli ultimi Reels e video virali

📈 Strategia Hashtag: Esplora le opzioni di hashtag di tendenza per i tuoi contenuti

🌟 Creator in Evidenza: @mulastar255, @nobodydogtrainer_, @jeylanhassan e altri guidano la community

Domande Frequenti Su #Mbwa

Con Pictame, puoi sfogliare tutti i reels e i video #Mbwa senza accedere a Instagram. Nessun account richiesto e la tua attività rimane privata.

Analisi delle Performance

Analisi di 12 reel

✅ Competizione Moderata

💡 I post top ottengono in media 19.3K visualizzazioni (2.5x sopra media)

Posta regolarmente 3-5x/settimana in orari attivi

Suggerimenti per la Creazione di Contenuti e Strategia

🔥 #Mbwa mostra alto potenziale di engagement - posta strategicamente negli orari di punta

✍️ Didascalie dettagliate con storia funzionano bene - lunghezza media 792 caratteri

📹 I video verticali di alta qualità (9:16) funzionano meglio per #Mbwa - usa una buona illuminazione e audio chiaro

Ricerche Popolari Relative a #Mbwa

🎬Per Amanti dei Video

Mbwa ReelsGuardare Mbwa Video

📈Per Cercatori di Strategia

Mbwa Hashtag di TendenzaMigliori Mbwa Hashtag

🌟Esplora di Più

Esplorare Mbwa#mbwa mwitu#mbwa mkubwa duniani#banda la mbwa#mabanda ya mbwa#mbwa wa kisasa#chakula cha mbwa#mbwa leszno#mbwa wa africa