#Mapinduzi

Guarda video Reel su Mapinduzi da persone di tutto il mondo.

Guarda in modo anonimo senza effettuare il login.

Reel di Tendenza

(12)
#Mapinduzi Reel by @kakajambazitv - #entertainment #kakajambazitv✍️ #theblue💙 

" #leopardbgky fc wameifunga team ya @mapinduzi_tv  goal 4 kwa  1 ! Huku MAPINDUZI FC wakiwa uwanjani mwa
8.8K
KA
@kakajambazitv
#entertainment #kakajambazitv✍️ #theblue💙 “ #leopardbgky fc wameifunga team ya @mapinduzi_tv goal 4 kwa 1 ! Huku MAPINDUZI FC wakiwa uwanjani mwaho!! “ #kakajambazitv✍️
#Mapinduzi Reel by @yangasc (verified account) - Mazoezi ya mwisho ya kuelekea mchezo wa nusu fainali, Muungano Cup 

#timuyawananchi
#daimambelenyumamwiko
54.8K
YA
@yangasc
Mazoezi ya mwisho ya kuelekea mchezo wa nusu fainali, Muungano Cup #timuyawananchi #daimambelenyumamwiko
#Mapinduzi Reel by @stbongotv - Maelfu ya wananchi wamejitokeza kutoa heshima za mwisho kwa kiongozi Mkuu wa Mapinduzi ya Kiislam, Ayatollah Ali Khamenei, aliyeuawa kwa shambulio la
59.2K
ST
@stbongotv
Maelfu ya wananchi wamejitokeza kutoa heshima za mwisho kwa kiongozi Mkuu wa Mapinduzi ya Kiislam, Ayatollah Ali Khamenei, aliyeuawa kwa shambulio la Marekani huku Serikali ya nchi hiyo ikitangaza maombolezo ya siku 40. Tufuatilie kupitia #STBongoTV ndani ya kisimbuzi cha @startimestz CH 161 (antena) CH 401 (Dish) pamoja na kwenye YouTube channel yetu ya #STBongoTV Kwa Taarifa zaidi. #STBongoUPDATES #nyumbanikwanza
#Mapinduzi Reel by @mzawaonline - Makada 18 wa Chama cha Mapinduzi (CCM), wamejitokeza kuchukua fomu ili kuomba kuteuliwa na Chama chao  kujaza nafasi ya ubunge wa jimbo la Isimani ili
31.6K
MZ
@mzawaonline
Makada 18 wa Chama cha Mapinduzi (CCM), wamejitokeza kuchukua fomu ili kuomba kuteuliwa na Chama chao kujaza nafasi ya ubunge wa jimbo la Isimani iliyoachwa wazi na aliyekuwa Mbunge wa jimbo hilo Marehemu William Lukuvi aliyefariki hivi karibuni. Katibu wa Chama hicho Wilaya ya Iringa Vijijini, Sule Masanguti, amethibitisha kukamilika kwa hatua ya uchukuaji na urejeshaji wa fomu za kuomba kuteuliwa kugombea ubunge wa Jimbo la Isimani baada ya mchakato huo kuanza tarehe 17 mwezi huu. Orodha ya wanachama waliochukua na kurejesha fomu wakiongozwa na mfanyabiashara maarufu nchini Tanzania Fred Fabian Ngajilo (Vunjabei) aliyekuwa mpinzani wa Lukuvi, Festo Kiswaga wengine ni Asakwe Lameck Widambe mfanyabiashara maarufu mkoani Iringa Arif Ally Abri. Aidha aliwataja wengine waliochukua fomu ni Mha. Sebastian Antony Kiyoyo, Dkt. Tumaini Godwin Msowoya, Watende Gwerino Kiyagi, Lazaro Francis Ngwila, David Evance Komba na Thobias Karlo Mwilapwa Pia katika orodha hiyo wapo Tito Maulilio Cholobi, Emmanuela Kaganda Mtatifikolo, Claudio Francis Nzwaga, Josephat Gwelino Msambwa , Elias Lupituko Migodela Kazikuboma, Egidy Stanslaus Mkolwe, Dkt. Abdallah Suleiman Lusasi na Tedson Johansery Ngwale Katibu Masanguti ameongeza kuwa chama kimejiandaa kuhakikisha mchakato wa kura za maoni unafanyika kwa amani, uwazi na kufuata taratibu zote zilizowekwa na Chama Cha Mapinduzi. #MzawaUPDATES
#Mapinduzi Reel by @bbcswahili (verified account) - Baada ya kuwasilishwa jana kwa ripoti ya Tume ya uchunguzi wa matukio ya uvunjifu wa amani yaliyojitokeza wakati na baada ya uchaguzi wa Oktoba 29, 20
222.8K
BB
@bbcswahili
Baada ya kuwasilishwa jana kwa ripoti ya Tume ya uchunguzi wa matukio ya uvunjifu wa amani yaliyojitokeza wakati na baada ya uchaguzi wa Oktoba 29, 2025 nchini Tanzania,mwandishi wa BBC, @humphreymgonja , amezungumza na Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Stephen Wasira. 🎥: @frankmavura - - - #bbcswahili #tanzania #uchaguzitz2025 #oktoba29 #uongozi
#Mapinduzi Reel by @mbao_kutoka_mafinga_kigamboni - 🌲 Tunawapenda Watanzania wetu wote 🇹🇿❤️
Tunawapenda sana watanzania wetu wa Tanzania na hasa Dar es Salaam 🙏

Asanteni sana kwa kuendelea kutuchag
53.6K
MB
@mbao_kutoka_mafinga_kigamboni
🌲 Tunawapenda Watanzania wetu wote 🇹🇿❤️ Tunawapenda sana watanzania wetu wa Tanzania na hasa Dar es Salaam 🙏 Asanteni sana kwa kuendelea kutuchagua Mbao Kutoka Mafinga 🌳 Sisi ndio: ✅ Wasambazaji wa mbao bora ✅ Wakulima na wachanaji wa mbao ✅ Wauzaji wa mbao za uhakika na zilizoidhinishwa 🚫 Epuka matapeli – nunua kwa chanzo halisi 🌐 Tumeanza mapinduzi ya kuuza mbao mitandaoni Instagram 📸 | TikTok 🎥 | Facebook 📘 | X (Twitter) 🐦 💪 Tunajivunia kuwa miongoni mwa wa kwanza kuleta biashara ya mbao kwa mtandao kwa uwazi na uaminifu 📍 Karibuni sana maduka yetu ya mbao 🌲 Hii ni shamba letu + mashine za kisasa za uchanaji ⚙️ Tunakata mbao saizi zote unazohitaji – 2x2, 2x4 na nyinginezo 🚛 Usambazaji wa haraka Dar es Salaam na maeneo yote 🙏 Asanteni sana kwa kuendelea kutuamini Mbao Kutoka Mafinga – ubora, uaminifu na nguvu ya ujenzi wako 💪🌳
#Mapinduzi Reel by @ikulu_habari (verified account) - Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Alhaj Dkt. Hussein Ali Mwinyi, akizungumza leo, tarehe 24 Aprili 2026, alipojumuika na waumini
1.6K
IK
@ikulu_habari
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Alhaj Dkt. Hussein Ali Mwinyi, akizungumza leo, tarehe 24 Aprili 2026, alipojumuika na waumini wa dini ya Kiislamu katika Sala ya Ijumaa iliyoambatana na ufunguzi wa Msikiti Mpya wa Jamaa Nour uliopo Boshowa, Nungwi, Mkoa wa Kaskazini Unguja.
#Mapinduzi Reel by @jambofmtz - Makamu mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mzee Stephen Wasira akiwasili viwanja vya nyumbani kwa Hayati Magufuli Chato, Geita kushiriki kumbukiz
198.5K
JA
@jambofmtz
Makamu mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mzee Stephen Wasira akiwasili viwanja vya nyumbani kwa Hayati Magufuli Chato, Geita kushiriki kumbukizi ya miaka mitano ya kiongozi huyo rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa awamu ya tano. #jambofmtz #chaguamaishafresh
#Mapinduzi Reel by @young.zeal_tv - ZEALTV #HABARI za ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) zimeanza kuchukua sura mpya huku kauli za viongozi zikizidi kuibua mijadala mikali miongoni mwa w
138.4K
YO
@young.zeal_tv
ZEALTV #HABARI za ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) zimeanza kuchukua sura mpya huku kauli za viongozi zikizidi kuibua mijadala mikali miongoni mwa wanachama na wananchi kwa ujumla. Hivi karibuni, Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara, Stephen Wasira, alitoa kauli iliyoweka wazi msimamo wake kuhusu wanasiasa wanaoanza harakati za kuwania urais mapema, akimtaja kwa namna ya moja kwa moja Paul Makonda. Katika hotuba yake, Wasira alikemea tabia ya baadhi ya wanachama kuanza kampeni za urais wa mwaka 2030 mapema, akisisitiza kuwa muda huo bado haujafika. Alieleza kuwa siasa za kukimbilia madaraka kabla ya wakati wake zinaweza kusababisha mgawanyiko ndani ya chama na kupunguza umakini katika kutekeleza majukumu ya sasa ya uongozi. Kauli hiyo ilionekana kulenga moja kwa moja kwa Makonda, ambaye kwa muda sasa amekuwa akitajwa na baadhi ya wafuasi wake kama kiongozi mwenye sifa za kuwania nafasi ya juu zaidi ya uongozi nchini. Wasira alihoji waziwazi mantiki ya kuanza kampeni mapema bila kuwa na uhakika wa mafanikio, akisema kuwa siasa zinahitaji uvumilivu, nidhamu na kufuata taratibu za chama. Kwa upande mwingine, wafuasi wa Makonda wameendelea kuonyesha imani yao kwake, wakidai kuwa ana uwezo wa kuongoza na kuleta mabadiliko chanya. Hata hivyo, wachambuzi wa siasa wanaona kauli ya Wasira kama ishara ya tahadhari kwa kizazi kipya cha viongozi kinachotaka kupanda ngazi kwa kasi kubwa bila kupitia hatua zote muhimu ndani ya chama. Ndani ya CCM, suala la urais limekuwa likisimamiwa kwa umakini mkubwa, huku viongozi wakisisitiza umoja na mshikamano. Kauli ya Wasira inaonekana kulenga kulinda misingi hiyo kwa kuzuia siasa za mapema ambazo zinaweza kuleta migawanyiko isiyo ya lazima. Kwa ujumla, mjadala huu unaonyesha jinsi siasa za Tanzania zinavyoanza kuingia katika hatua mpya kuelekea uchaguzi wa 2030. Ingawa bado muda upo, ni wazi kuwa baadhi ya wanasiasa tayari wameanza kujipanga, jambo ambalo linaweza kuongeza ushindani lakini pia kuhitaji busara kubwa ili kudumisha amani na utulivu ndani ya chama na taifa kwa ujumla.@young.zeal_tv @sir_tiva_talks @bunge.tanzania @sativ
#Mapinduzi Reel by @wasafifm (verified account) - RAIS DKT. MWINYI: MISIKITI ITUMIKE KUTATUA CHANGAMOTO ZA KIJAMII

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Alhaj Dkt. Hussein Ali Mwinyi
25.2K
WA
@wasafifm
RAIS DKT. MWINYI: MISIKITI ITUMIKE KUTATUA CHANGAMOTO ZA KIJAMII Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Alhaj Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amewahimiza waumini wa dini ya Kiislamu kuitumia vema misikiti kwa ajili ya kujadiliana na kuzipatia ufumbuzi changamoto zilizopo katika jamii. Alhaj. Dkt. Mwinyi ameyasema hayo leo, tarehe 24 Aprili 2026, alipojumuika na waumini wa dini ya Kiislamu katika Sala ya Ijumaa iliyoambatana na ufunguzi wa Msikiti Mpya wa Jamaa Nour uliopo Boshowa, Nungwi, Mkoa wa Kaskazini Unguja. Ameeleza kuwa zipo changamoto nyingi katika jamii zinazohitaji kupatiwa ufumbuzi, hususan zile wanazokabiliana nazo watu wa makundi maalumu, wakiwemo wajane, wazee wasiojiweza, watoto, watu wenye ulemavu na mayatima. Aidha, Alhaj Dkt. Mwinyi amesema waumini wana wajibu mkubwa wa kuitumia misikiti kusomesha dini, hususan kwa watoto ili waijue vema dini yao, pamoja na kusali kwa bidii na kumcha Mwenyezi Mungu, kwani hiyo ndiyo sababu kuu ya kujengwa misikiti mikubwa na mizuri katika maeneo mbalimbali. Vilevile, Alhaj Dkt. Mwinyi amewahimiza waumini kuutunza msikiti huo mpya ili ubaki katika haiba na mazingira bora wakati wote, kwa kuweka utaratibu mzuri wa kuchangia, pamoja na kuwatunza maimamu na walimu wa madrasa, na kumshukuru mfadhili wa msikiti huo kwa uamuzi wake. cc: @rashidbattashy #WasafiDigital
#Mapinduzi Reel by @almasdigitaltz - 🗣️ Nyota Mpya wa Yanga kutoka Vipers Uganda Allan Okello baada ya utambulisho wake rasmi leo atakuepo Zanzibar kushuhudia fainali ya Mapinduzi cup na
88.1K
AL
@almasdigitaltz
🗣️ Nyota Mpya wa Yanga kutoka Vipers Uganda Allan Okello baada ya utambulisho wake rasmi leo atakuepo Zanzibar kushuhudia fainali ya Mapinduzi cup na baada ya hapo ataanza maandalizi rasmi kuelekea mchezo wa Klabu bingwa dhidi ya Al Ahly nchini Misri. Follow @almasdigitaltz

✨ Guida alla Scoperta #Mapinduzi

Instagram ospita thousands of post sotto #Mapinduzi, creando uno degli ecosistemi visivi più vivaci della piattaforma.

L'enorme raccolta #Mapinduzi su Instagram presenta i video più coinvolgenti di oggi. I contenuti di @bbcswahili, @jambofmtz and @young.zeal_tv e altri produttori creativi hanno raggiunto thousands of post a livello globale.

Cosa è di tendenza in #Mapinduzi? I video Reels più visti e i contenuti virali sono in evidenza sopra.

Categorie Popolari

📹 Tendenze Video: Scopri gli ultimi Reels e video virali

📈 Strategia Hashtag: Esplora le opzioni di hashtag di tendenza per i tuoi contenuti

🌟 Creator in Evidenza: @bbcswahili, @jambofmtz, @young.zeal_tv e altri guidano la community

Domande Frequenti Su #Mapinduzi

Con Pictame, puoi sfogliare tutti i reels e i video #Mapinduzi senza accedere a Instagram. Nessun account richiesto e la tua attività rimane privata.

Analisi delle Performance

Analisi di 12 reel

✅ Competizione Moderata

💡 I post top ottengono in media 161.9K visualizzazioni (2.2x sopra media)

Posta regolarmente 3-5x/settimana in orari attivi

Suggerimenti per la Creazione di Contenuti e Strategia

💡 I contenuti top ottengono oltre 10K visualizzazioni - concentrati sui primi 3 secondi

✨ Molti creator verificati sono attivi (33%) - studia il loro stile di contenuto

✍️ Didascalie dettagliate con storia funzionano bene - lunghezza media 637 caratteri

📹 I video verticali di alta qualità (9:16) funzionano meglio per #Mapinduzi - usa una buona illuminazione e audio chiaro

Ricerche Popolari Relative a #Mapinduzi

🎬Per Amanti dei Video

Mapinduzi ReelsGuardare Mapinduzi Video

📈Per Cercatori di Strategia

Mapinduzi Hashtag di TendenzaMigliori Mapinduzi Hashtag

🌟Esplora di Più

Esplorare Mapinduzi#ratiba ya kombe la mapinduzi 2026#mapinduzi cup 2026 leo#yanga mapinduzi cup#fainali ya mapinduzi cup 2026#kombe la mapinduzi#matokeo ya yanga leo mapinduzi cup#kombe la mapinduzi 2026#mapinduzi cup 2026