#Pmtvtwo

Guarda 3.3K video Reel su Pmtvtwo da persone di tutto il mondo.

Guarda in modo anonimo senza effettuare il login.

3.3K posts
NewTrendingViral

Reel di Tendenza

(12)
#Pmtvtwo Reel by @bongounlocked_ - #eUnloked: Mchepuko @gloryluphita24 Aliyejirekodi Video Akiwa Na Mume Wa Mtu Amefunguka Mwanzo Mwisho Ilivyokuwa Mpaka Kupelekea Kumrekodi Mwanaume Am
68.2K
BO
@bongounlocked_
#eUnloked: Mchepuko @gloryluphita24 Aliyejirekodi Video Akiwa Na Mume Wa Mtu Amefunguka Mwanzo Mwisho Ilivyokuwa Mpaka Kupelekea Kumrekodi Mwanaume Ambaye Alikuwa Nae Kwenye Mahusiano Kwa Miaka Mitatu Bila Ya Kujua Ameoa Na Ana Watoto Wanne Full Interview Ipo Kwenye YouTube Channel Ya PMTV TWO @nicktozy 🎙 #Dee 🎥 #pmtvtwo #kiburudanizaidi
#Pmtvtwo Reel by @alanmarner_126 - #UnyamaMpya ndani ya @pmtvtwo na @pmtvtz kutoka kwa @k2ga_tz

 🎶 "Leo" by K2ga
Directed by @ommy_khalid 

Unaupa asilimia ngapi unyama huu?
576
AL
@alanmarner_126
#UnyamaMpya ndani ya @pmtvtwo na @pmtvtz kutoka kwa @k2ga_tz 🎶 "Leo" by K2ga Directed by @ommy_khalid Unaupa asilimia ngapi unyama huu?
#Pmtvtwo Reel by @pmtvtwo_ - PMTVTWO imefanya mahojiano na Kelvin Raphael maarufu kama Zungu kuhusiana na sakata zima la yeye kuondoka wasafi media lakini pia wapi anapokwenda kup
1.1K
PM
@pmtvtwo_
PMTVTWO imefanya mahojiano na Kelvin Raphael maarufu kama Zungu kuhusiana na sakata zima la yeye kuondoka wasafi media lakini pia wapi anapokwenda kupata changamoto mpya Lakini pia akielezea sababu za ukaribu wake na Mh Paul Makonda Mkuu wa Mkoa wa Arusha,@baba_keagan na mpango wa yeye mwenyewe @officialzungu_ kuingia kwenye siasa Fuatilia YouTube Channel ya PMTVTWO uweze kujua undani wa stori hii ya Mtangazaji mwenye kipaji cha kipekee ambae ameondoka wasafi media na kuisaka changamoto mpya. 🎤:@bessy_bernie #pmtv #pmtvtwo_
#Pmtvtwo Reel by @nicktozy - Baada Ya Wimbo Mpya Wa Msanii @realjaymelody "In Love" Kushushwa Kwenye Channel Yake Ya YouTube Na Muandajii Wa Muziki ( Producer ) #MuchMore, @pmtvtw
176
NI
@nicktozy
Baada Ya Wimbo Mpya Wa Msanii @realjaymelody "In Love" Kushushwa Kwenye Channel Yake Ya YouTube Na Muandajii Wa Muziki ( Producer ) #MuchMore, @pmtvtwo Tulimtafuta Na Kupiga Nae Story Na Ametuambia Sababu Zilizopelekea Kuufuta Wimbo Huo Kwenye YouTube Tembelea YouTube Channel Yetu Ya @pmtvtwo Kutazama Interview Nzima #pmtvtwo #explore #tanzania🇹🇿
#Pmtvtwo Reel by @maarifabigthinker - ni MUNGU ameamua✍🏾

niliwahi kusema na ninarudia tena ukiona au kusikia mtu yoyoote hapendi rap ujue ni kwasababu tu hajawahi kumsikliza Maarifa

hii
64.1K
MA
@maarifabigthinker
ni MUNGU ameamua✍🏾 niliwahi kusema na ninarudia tena ukiona au kusikia mtu yoyoote hapendi rap ujue ni kwasababu tu hajawahi kumsikliza Maarifa hii leo anayetamka maneno hayo ni mfalme wa mashairi wa muda wote hapa TANZANIA @afandesele1976 ✍🏾 mtaji mkubwa wa mwanadamu yoyote ni watu Alhamdulilah kwasababu watu ninao tena watu kweli kweli halafu mtaa umeitika vizuri kabisa #LifeStyle #Motivation #EachOneTeachOne #LeaderOfNewSchool #BestLyricist 🔥🔥🔥 🎥 credit @pmtvtwo @pmtvtz
#Pmtvtwo Reel by @bongounlocked_ - pmtvtwo Tumepata Nafasi Yakufanya Mahojinao Na Moja Ya Couple Ambayo Imetrendi Sana Mitandao Na Wengi Wakitamani Kufahamu Umri Wao @oneso.ul7 

Kuna M
217.3K
BO
@bongounlocked_
pmtvtwo Tumepata Nafasi Yakufanya Mahojinao Na Moja Ya Couple Ambayo Imetrendi Sana Mitandao Na Wengi Wakitamani Kufahamu Umri Wao @oneso.ul7 Kuna Mengi Yakufurahisha Na Kujifunza Tembelea YouTube channel Yetu Ya PMTV TWO Kutazama Muendelezo Mzima Wa Interview Hii ---------------------------------------------- 🔓 Yes, Tunafanya Matangazo Ya Feed & Story Post, Slide Into Our Dm’s Or Contact Us ( +255 ) 0759 027 223 For Rates _____________________________________________ Imeandikwa Na @_joelmadiwa #enterntainment #musicvibes #explore #music #gossip #lifestyle #kenya🇰🇪 #tanzania🇹🇿 #videos #bongounlocked🔓
#Pmtvtwo Reel by @pmtvtwo_ - Mambo Ni Kwa Ushahidi, Mastaa Wafulika Nyumbani Kwa #Nandy Kwenye Kibaokata 🎥

Full Video Ipo Tayari Kwenye YouTube Channel Ya PMTV TWO 

#pmtvtwo #k
28.7K
PM
@pmtvtwo_
Mambo Ni Kwa Ushahidi, Mastaa Wafulika Nyumbani Kwa #Nandy Kwenye Kibaokata 🎥 Full Video Ipo Tayari Kwenye YouTube Channel Ya PMTV TWO #pmtvtwo #kiburudanizaidi
#Pmtvtwo Reel by @alanmarner_126 - Hawa fananii kabisa kama lugha inawapiga chenga namna hii....😂🤣😂

Yapi maoni yako...?

#pmtvtwo #pmtv #imnotabirthdaygirl
1.7K
AL
@alanmarner_126
Hawa fananii kabisa kama lugha inawapiga chenga namna hii....😂🤣😂 Yapi maoni yako...? #pmtvtwo #pmtv #imnotabirthdaygirl
#Pmtvtwo Reel by @pmtvtwo_ - Mwanamuziki na Muanzilishi wa Sharobaro Records Bob Juniour ameweka wazi ugonjwa Unaomsumbua baada ya kukaa kimya mda mrefu lakini pia ameomba msaada
19.6K
PM
@pmtvtwo_
Mwanamuziki na Muanzilishi wa Sharobaro Records Bob Juniour ameweka wazi ugonjwa Unaomsumbua baada ya kukaa kimya mda mrefu lakini pia ameomba msaada kwa Watanzania na Mashabiki zake kutokana na kuwa matibabu ya kinachomsumbua anakwenda kuyapatia Nchini India Fuatilia YouTube Chaneli Ya PMTVTWO Kupata stori kamili Host: @zuuchilk #PmtvUpdates #Kiburudanizaidi
#Pmtvtwo Reel by @pmtvtwo_ - @zamaradimketema Uvumilivu Umemshinda Na Kuamua Kumjibu Aliyekuwa Mfanyakazi Wake #SaleheClassic Baada Ya Kudai Kuwa Ameondoka #ZamaradiTv Akiwa Bado
10.0K
PM
@pmtvtwo_
@zamaradimketema Uvumilivu Umemshinda Na Kuamua Kumjibu Aliyekuwa Mfanyakazi Wake #SaleheClassic Baada Ya Kudai Kuwa Ameondoka #ZamaradiTv Akiwa Bado Anamdai Mshahara Wa Zaidi Ya miezi 2. Tembelea YouTube Channel Yetu Ya PMTV TWO Kutazama Muendelezo Mzima Wa Habari hii @zuuchilk 🎙 @director.didi 🎥 #pmtvtwo #KiburudaniZaidi
#Pmtvtwo Reel by @pmtvtwo_ - Mapema Ya Leo Tumefanya Mahojiano Na Daktari Wa Afya Ya Uzazi Kwa Upande Wa Wanaume Na Wanawake, Na Amezungumza Mengi Ambayo Kwa Namna Moja Au Nyengin
1.2K
PM
@pmtvtwo_
Mapema Ya Leo Tumefanya Mahojiano Na Daktari Wa Afya Ya Uzazi Kwa Upande Wa Wanaume Na Wanawake, Na Amezungumza Mengi Ambayo Kwa Namna Moja Au Nyengine Yanaweza Yakawa Ni Funzo Kubwa Sana Kwenye Maisha Yako Ya Kila Siku Kama Una Swali Lolote Kuhusu Afya Ya Uzazi, Basi Maswali Yako Yamejibiwa; Tembelea YouTube Channel Yetu Ya PMTV TWO Kutazama Sasa Mahojiano Ya @dr_ednah Na @zuuchilk #pmtvtwo #KiburudaniZaidi
#Pmtvtwo Reel by @pmtvtwo_ - Inakuja kama Podcast ya kwanza ikiwa na wanawake wote mastaa kutoka hapa Bongo ambapo ukiachilia mbali umaarufu wao, namna walivyo na mashabiki wengi
5.4K
PM
@pmtvtwo_
Inakuja kama Podcast ya kwanza ikiwa na wanawake wote mastaa kutoka hapa Bongo ambapo ukiachilia mbali umaarufu wao, namna walivyo na mashabiki wengi mitandaoni ila ndani ya "The Top Reality Show" wanakwenda kuonyesha uhalisia wa maisha yao mbali na kuigiza, Urafiki, upambanaji kwenye maisha, Drama, inspiration kwa kizazi hiki pamoja na harakati za kweli za maisha yao. Wema Sepetu na Elizabeth Michael 'Lulu' ni kama suprise package kwenye Podcast hii kwa mujibu wa Director #MajagiKing kwani hawajaonekana nao sana ila ni miongoni mwa washiriki kwenye show hii inayotarajiwa kuwa moja ya vipindi vitakavyowavutia watu na kupata watazamaji wengi kutokan na ukubwa wa majina yao Fuatilia YouTube chaneli ya PMTVTWO kwa stori zaidi 🎤: @bessy_bernie #PmtvUpdates #Kiburudanizaidi

✨ Guida alla Scoperta #Pmtvtwo

Instagram ospita 3K post sotto #Pmtvtwo, creando uno degli ecosistemi visivi più vivaci della piattaforma.

#Pmtvtwo è uno dei trend più coinvolgenti su Instagram in questo momento. Con oltre 3K post in questa categoria, creator come @bongounlocked_, @maarifabigthinker and @pmtvtwo_ stanno guidando la strada con i loro contenuti virali. Esplora questi video popolari in modo anonimo su Pictame.

Cosa è di tendenza in #Pmtvtwo? I video Reels più visti e i contenuti virali sono in evidenza sopra.

Categorie Popolari

📹 Tendenze Video: Scopri gli ultimi Reels e video virali

📈 Strategia Hashtag: Esplora le opzioni di hashtag di tendenza per i tuoi contenuti

🌟 Creator in Evidenza: @bongounlocked_, @maarifabigthinker, @pmtvtwo_ e altri guidano la community

Domande Frequenti Su #Pmtvtwo

Con Pictame, puoi sfogliare tutti i reels e i video #Pmtvtwo senza accedere a Instagram. Nessun account richiesto e la tua attività rimane privata.

Analisi delle Performance

Analisi di 12 reel

✅ Competizione Moderata

💡 I post top ottengono in media 94.6K visualizzazioni (2.7x sopra media)

Posta regolarmente 3-5x/settimana in orari attivi

Suggerimenti per la Creazione di Contenuti e Strategia

🔥 #Pmtvtwo mostra alto potenziale di engagement - posta strategicamente negli orari di punta

✍️ Didascalie dettagliate con storia funzionano bene - lunghezza media 389 caratteri

📹 I video verticali di alta qualità (9:16) funzionano meglio per #Pmtvtwo - usa una buona illuminazione e audio chiaro

Ricerche Popolari Relative a #Pmtvtwo

🎬Per Amanti dei Video

Pmtvtwo ReelsGuardare Pmtvtwo Video

📈Per Cercatori di Strategia

Pmtvtwo Hashtag di TendenzaMigliori Pmtvtwo Hashtag

🌟Esplora di Più

Esplorare Pmtvtwo