Trending

#Kilimo

Guarda 402K video Reel su Kilimo da persone di tutto il mondo.

Guarda in modo anonimo senza effettuare il login.

402K posts
NewTrendingViral

Reel di Tendenza

(12)
#Kilimo Reel by @msakusafifarm - Kilimo na ufugaji ni shughuli ambazo mtu aliyeajiriwa anaweza kufanya bila kuacha kazi na akatengeneza kipato kinachozidi mshahara wake.

Cha msingi a
3.3K
MS
@msakusafifarm
Kilimo na ufugaji ni shughuli ambazo mtu aliyeajiriwa anaweza kufanya bila kuacha kazi na akatengeneza kipato kinachozidi mshahara wake. Cha msingi anza na mtaji kidogo, ujifunze na ku-upscale kadri unavyoelewa unachofanya. Usiweke pesa nyingi kwa wakati mmoja wakati unapoanza. #mboleaniyara #tukafosichaka
#Kilimo Reel by @vale_nafaka - Kilimo kina fursa nyingi sana za biashara na ajira, hasa katika nchi za Afrika kama Tanzania ambako ardhi na hali ya hewa inaruhusu mazao mengi. Hapa
12.3K
VA
@vale_nafaka
Kilimo kina fursa nyingi sana za biashara na ajira, hasa katika nchi za Afrika kama Tanzania ambako ardhi na hali ya hewa inaruhusu mazao mengi. Hapa kuna baadhi ya fursa kuu za kilimo 🌱: ⸻ 1. Kilimo cha Mazao ya Chakula 🌽 Mazao ya chakula yana soko la uhakika kwa sababu watu wanahitaji kula kila siku. Mfano: • Mahindi • Mpunga • Maharage • Viazi vitamu Faida: soko ni kubwa ndani ya nchi na nchi jirani. ⸻ 2. Kilimo cha Mazao ya Biashara 💰 Mazao haya huuzwa kwa bei nzuri ndani na nje ya nchi: • Kahawa • Korosho • Pamba • Chai Mazao haya yanaweza kuuzwa kwa viwanda au kusafirishwa nje. ⸻ 3. Kilimo cha Matunda 🍍 Matunda yana soko kubwa sana hasa mijini: • Nanasi • Embe • Parachichi • Tikiti maji Faida: yanaweza kuuzwa fresh au kutengeneza juisi. ⸻ 4. Kilimo cha Mboga mboga 🥬 Ni biashara inayolipa haraka kwa sababu hukua kwa muda mfupi: • Nyanya • Kabeji • Vitunguu • Pilipili hoho Soko lake ni hoteli, masoko, na supermarket. ⸻ 5. Ufugaji 🐄 Kilimo kinaenda sambamba na ufugaji: • Ng’ombe (maziwa na nyama)#
#Kilimo Reel by @mawo_buy (verified account) - 💧🌱 MIFUMO YA UNYWESHELEAJI KWA GHARAMA NAFUU 🌱💧

Kilimo cha kisasa hakihitaji gharama kubwa - kinahitaji mfumo sahihi.

✅ 1️⃣ Drip Irrigation (Mat
160.6K
MA
@mawo_buy
💧🌱 MIFUMO YA UNYWESHELEAJI KWA GHARAMA NAFUU 🌱💧 Kilimo cha kisasa hakihitaji gharama kubwa — kinahitaji mfumo sahihi. ✅ 1️⃣ Drip Irrigation (Matone) • Hutoa maji kidogo kidogo moja kwa moja kwenye mizizi • Huokoa maji sana • Inafaa mboga, matunda & bustani • Gharama ndogo kuanzia shamba dogo ✅ 2️⃣ Sprinkler System • Maji yananyunyizwa kama mvua • Inafaa mashamba ya kati • Rahisi kufunga na kuhamisha ✅ 3️⃣ Pump + Hose System • Pump ya maji + mabomba • Inavuta maji kisima, bwawa au mto • Mfumo rahisi na wa bei nafuu kuanza 💰 Kwa nini ni muhimu? • Huongeza mavuno • Hulima mwaka mzima • Huokoa muda & nguvu • Inaweza kuwa pia biashara ya kufunga mifumo kwa wakulima wengine 👉 Kilimo bila maji ni kubahatisha. 👉 Mfumo wa umwagiliaji = uhakika wa mavuno. 📍 Vifaa vya mifumo ya umwagiliaji vinapatikana MAWO BUY – Mwananyamala Ujiji 📞 0750401818 / 0757471618 #Unywesheleaji #KilimoChaKisasa #DripIrrigation #MAWOBUY #AjiraKilimo PigaPesa
#Kilimo Reel by @kilimo_faida_tz - Fanikisha kilimo bora cha mahindi na Super Gro! 🌽💧
Kwa kutumia Super Gro, mimea yako inapata unyevu wa kutosha, kinga dhidi ya magonjwa, na ukuaji w
654
KI
@kilimo_faida_tz
Fanikisha kilimo bora cha mahindi na Super Gro! 🌽💧 Kwa kutumia Super Gro, mimea yako inapata unyevu wa kutosha, kinga dhidi ya magonjwa, na ukuaji wa haraka. Pata mazao bora na mavuno ya uhakika! ✅ 👉 Jipatie Super Gro sasa na uone tofauti shambani kwako! 🚜🌟 #SuperGro #KilimoChaMahindi #MazaoBora #WakulimaWaKisasa #MazaoYenyeThamani
#Kilimo Reel by @mkulima_wakishua - Group maalum kwa ajili ya kilimo na biashara ya  kitunguu maji!
Ada 50,000 Malipo 0653 359909 tigo pesa majina Baraka Simion Maligana.
Thibitisha muam
9.5K
MK
@mkulima_wakishua
Group maalum kwa ajili ya kilimo na biashara ya kitunguu maji! Ada 50,000 Malipo 0653 359909 tigo pesa majina Baraka Simion Maligana. Thibitisha muamala wako 0653 359909 whasup. MASOMO. 1.Mahali utakopoweza kulima kwa kukodi au kununua mashamba kwa bei rahisi. 2.Jinsi ya kutofautisha msimu wa kitunguu kama unalima kilosa kisikutane na cha Iringa au Dodoma. Kama unalima Kilimanjaro kisikutane na cha Singida. Kama unalima Turiani kisikutane na cha Man'gula ili kulinda soko lako la ndani. 3.Jinsi ya kusafirisha vitunguu nje ya nchi na kulijua soko lake linataka kitunguu gani? 4.Ulime mbegu gani ili kitunguu chako kiwe na soko zuri. 5.Msimu wa kununua vitunguu kwa bei ya chini na kuhifadhi kuja kuuza baadae. 6.Kwann Uhifadhi vitunguu maji kwa wingi uje kuuza baadae. 7.Machimbo na mikoa inayotoa vitunguu maji kwa bei rahisi. 8.Mbegu gani ukipanda wateja watakufata shamba wenyewe shambani. 9.Njia gani utumie kusafirisha na kuuza vitunguu sokoni kwa kumwepa Dalali. 10.Kujua Taasisi zinazojihusisha na kilimo cha vitunguu maji ambazo zitakuuzia mbegu kwa bei rahisi na wao ndio watakuja kununua hiko kitunguu shambani na kukufundisha soko lisilo kufa. DARASA LINAANZA 1/2/2026 NA LITAISHA 1/4/2026 TUTAKUA NA SIKU 60 ZA KUSOMA NA KUJIFUNZA LENGO NI KUMUUNGANISHA MKULIMA NA MFANYABIASHARA KUWA KITU KIMOJA. BAADA YA MAFUNZO TUTATEMBELEA MASHAMBA YA MKULIMA WAKISHUA GROUP NA MAGHALA MAKUBWA YA VITUNGUU MAJI KUJIFUNZA NAMNA YA KUHIFADHI VITUNGUU MAJI KWA MUDA MREFU,TUTANUNUA VITUNGUU PAMOJA NA KUHIFADHI KATIKA HIO SAFARI MIKOA ITAKUA MOROGORO NA DODOMA. WAHI SASA NAFASI NI CHACHE. BOSS YA MBONA MKULIMA WAKISHUA.
#Kilimo Reel by @mauamazuri_tz - Mche wa cm 30, ndizi ya Kg 65; We huogopi😂
Kama wahenga wanavosema, Kila kitu ni Matunzo!

Karibu sana Maua Mazuri kujifunza zaidi kuhusu kilimo cha
547.9K
MA
@mauamazuri_tz
Mche wa cm 30, ndizi ya Kg 65; We huogopi😂 Kama wahenga wanavosema, Kila kitu ni Matunzo! Karibu sana Maua Mazuri kujifunza zaidi kuhusu kilimo cha Migomba Kibiashara! Kwa maelezo zaidi wasiliana nasi kupitia 0752102645 #agriculture #bananafarm #kimalindi #tissueculture
#Kilimo Reel by @everpeak_company - 💧 KILIMO CHA KISASA KINAANZIA HAPA!

Huu ni mfumo wa kisasa wa umwagiliaji ukiwa kazini ndani ya shamba la parachichi aina ya Hass - umeundwa kuongez
1.9K
EV
@everpeak_company
💧 KILIMO CHA KISASA KINAANZIA HAPA! Huu ni mfumo wa kisasa wa umwagiliaji ukiwa kazini ndani ya shamba la parachichi aina ya Hass — umeundwa kuongeza tija, kuokoa maji, na kuhakikisha miche inakua kwa afya bora kuanzia siku ya kwanza. 👉🏽 Tunatoa huduma kamili: ✅ Ufungaji wa mifumo ya umwagiliaji (Drip & Sprinkler) ✅ Ushauri wa kitaalamu wa kilimo cha parachichi ✅ Upatikanaji wa miche bora ya parachichi Hass ✅ Kilimo chenye matokeo, si majaribio 📈 Kilimo cha Hass si ndoto tena — ni biashara yenye uhakika ukifanya na wataalamu. 📞 Wasiliana nasi leo 0684 414 025, shamba lako lifanye kazi kwa akili 💪🏽🌍 Location: MOROGORO TOWN #ParachichiHass #UmwagiliajiWaKisasa #KilimoBiashara #SmartFarming #AvocadoFarming
#Kilimo Reel by @salama_supergro - Kilimo cha maharage na Super Gro..
#supergro 
#maharage 
#kilimobora 
#green
266
SA
@salama_supergro
Kilimo cha maharage na Super Gro.. #supergro #maharage #kilimobora #green
#Kilimo Reel by @mkulima_smartz - Endapo utatumia #dripirrigationsystem💧 kwenye kilimo chako cha migomba basi zingatia hili hakika utakuwa wa mfano kuigwa.

Chimba shimo kina sm 60 na
1.5K
MK
@mkulima_smartz
Endapo utatumia #dripirrigationsystem💧 kwenye kilimo chako cha migomba basi zingatia hili hakika utakuwa wa mfano kuigwa. Chimba shimo kina sm 60 na kipenyo sm 60 kiasi cha debe 2_3 kubwa weka kwenye shimo kisha ludishia udongo kiasi tu nakisha acha kwa muda wa siku 5_7. Na apo sasa utapanda mche wako kisha weka drip utaona maajabu ya kilimo hiki. Uzur kilimo cha migomba kwa mtu aliyezingatia vizuri kuanzia maandaliz ya shamba, upandaji, maji na mborea huwa akimtupi bure. Mkulima hapa atapata kjvuna mikungu mikubwa kweli kweli. Sokoni unapokuwa na mikungu mikubwa ndizi zilizokomaa vizuri basi wala huteseki. #kilimochaumwagiliaji ##migomba #kilimobiashara
#Kilimo Reel by @kilimomjini - Bado unahofia kwamba Kilimo cha Mjini kina gharama kuanza???. Kuna mbinu nyingi za kujifunza ili uzitumie kulima mbogamboga.

Tarehe 1  March Tunaanza
1.3K
KI
@kilimomjini
Bado unahofia kwamba Kilimo cha Mjini kina gharama kuanza???. Kuna mbinu nyingi za kujifunza ili uzitumie kulima mbogamboga. Tarehe 1 March Tunaanza Darasa la Kilimo cha Mjini online bei ya ofa kubwa haijawahi kutokea. Wasiliana nasi kupitia namba 0726722899 #farmtoserve
#Kilimo Reel by @jidejaydee (verified account) - Mwaka jana mimi na shoga angu Amani tuliongea kuhusu kuanza kilimo ila sijui tuliishia kula nyama 🤷🏽‍♀️ eeeeeeh Mola tuokoe waja wako. 

#2025Posts
673.2K
JI
@jidejaydee
Mwaka jana mimi na shoga angu Amani tuliongea kuhusu kuanza kilimo ila sijui tuliishia kula nyama 🤷🏽‍♀️ eeeeeeh Mola tuokoe waja wako. #2025Posts
#Kilimo Reel by @mkandamizaji (verified account) - HAPA NDIPO TUNAHIFADHI MPUNGA!

WAFANYA BIASHARA WA MCHELE NA WAKULIPA NTAWAPELEKA HAPA ILI UJUE NAMNA YA KUPATA MPUNGA AU KUHIFADHI MPUNGA UTAKAO LIM
242.7K
MK
@mkandamizaji
HAPA NDIPO TUNAHIFADHI MPUNGA! WAFANYA BIASHARA WA MCHELE NA WAKULIPA NTAWAPELEKA HAPA ILI UJUE NAMNA YA KUPATA MPUNGA AU KUHIFADHI MPUNGA UTAKAO LIMA AU UTAKAO NUNUA! NASEMAJE!! ZIMEBAKI SIKU 4 TUELEKEE KWENYE SHAMBA TOUR SEASON 10 NAFASI ZIMEBAKI CHACHE, MZAZI UNAYETAMANI MWANAO AJIFUNZE KUHUSU KILIMO AU BIASHARA YA NAFAKA BASI NIPE NIENDE NAYE SHAMBANI KWA SIKU 3 UTANISHUKURU!! GHARAMA YA SH LAKI 3 ITA COVER NAULI YA KWENDA NA KURUDI, CHAKULA KWA SIKU ZOTE NA MALAZI KWA SIKU ZOTE . Unataka Mungu akupe nn tena? UNAYETAKA KUSHIRIKI ANDIKA NENO “Shamba Tour KISHA TUMA KUJA 0756 444 000 NAMI NITAKUPA MAELEKEZO! SAFARI NI TAREHE 5/3/2026 NAKUSUBIRI INBOX🙏🏿

✨ Guida alla Scoperta #Kilimo

Instagram ospita 402K post sotto #Kilimo, creando uno degli ecosistemi visivi più vivaci della piattaforma.

#Kilimo è uno dei trend più coinvolgenti su Instagram in questo momento. Con oltre 402K post in questa categoria, creator come @jidejaydee, @mauamazuri_tz and @mkandamizaji stanno guidando la strada con i loro contenuti virali. Esplora questi video popolari in modo anonimo su Pictame.

Cosa è di tendenza in #Kilimo? I video Reels più visti e i contenuti virali sono in evidenza sopra.

Categorie Popolari

📹 Tendenze Video: Scopri gli ultimi Reels e video virali

📈 Strategia Hashtag: Esplora le opzioni di hashtag di tendenza per i tuoi contenuti

🌟 Creator in Evidenza: @jidejaydee, @mauamazuri_tz, @mkandamizaji e altri guidano la community

Domande Frequenti Su #Kilimo

Con Pictame, puoi sfogliare tutti i reels e i video #Kilimo senza accedere a Instagram. Nessun account richiesto e la tua attività rimane privata.

Analisi delle Performance

Analisi di 12 reel

✅ Competizione Moderata

💡 I post top ottengono in media 406.1K visualizzazioni (2.9x sopra media)

Posta regolarmente 3-5x/settimana in orari attivi

Suggerimenti per la Creazione di Contenuti e Strategia

🔥 #Kilimo mostra alto potenziale di engagement - posta strategicamente negli orari di punta

✍️ Didascalie dettagliate con storia funzionano bene - lunghezza media 595 caratteri

📹 I video verticali di alta qualità (9:16) funzionano meglio per #Kilimo - usa una buona illuminazione e audio chiaro

✨ Molti creator verificati sono attivi (25%) - studia il loro stile di contenuto

Ricerche Popolari Relative a #Kilimo

🎬Per Amanti dei Video

Kilimo ReelsGuardare Kilimo Video

📈Per Cercatori di Strategia

Kilimo Hashtag di TendenzaMigliori Kilimo Hashtag

🌟Esplora di Più

Esplorare Kilimo#kilimo cha maharage#kilimo cha alizeti#kilimo cha nyanya#kilimo cha matango#kilimo cha viazi mviringo#kilimo cha tikiti maji#wizara ya kilimo#kilimo cha kokoa