Trending

#Tamko

Guarda 113K video Reel su Tamko da persone di tutto il mondo.

Guarda in modo anonimo senza effettuare il login.

113K posts
NewTrendingViral

Reel di Tendenza

(12)
#Tamko Reel by @trtafrikasw (verified account) - Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) kwa kushirikiana na taasisi zingine limetoa tamko kuhusu matukio ya kuanzia Oktoba 29, yaliyosababisha vurug
25.6K
TR
@trtafrikasw
Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) kwa kushirikiana na taasisi zingine limetoa tamko kuhusu matukio ya kuanzia Oktoba 29, yaliyosababisha vurugu nchini humo. Taarifa hiyo ilisomwa na Sheikh Issa Othman ambaye ni Mjumbe wa Baraza la Ulamaa. Katika taarifa hiyo viongozi hao wamesisitiza suala la amani kama msingi muhimu kwa taifa. Wameitaka serikali kufanya uchunguzi na kuchukua hatua dhidi ya wale wanaodaiwa kuchochea machafuko hayo.
#Tamko Reel by @dw_kiswahili (verified account) - Chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania cha Demokrasia na Maendeleo, CHADEMA, kimetangaza kile kimeutaja kuwa "msimamo wa chama na watanzania" wa kui
48.0K
DW
@dw_kiswahili
Chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania cha Demokrasia na Maendeleo, CHADEMA, kimetangaza kile kimeutaja kuwa "msimamo wa chama na watanzania" wa kuipinga serikali inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan. Tamko hilo limetolewa na Makamu Mwenyekiti wa chama hicho John Heche, Alhamisi ya Disemba 11. Pamoja na mambo mengine, CHADEMA, imesema haiutambui utawala wa Rais Samia na imetaka kuundwe "serikali ya mpito itakayosimamiwa na taasisi za kikanda na kimataifa" na uchaguzi mpya uitishwe. 🎥: Kwa hisani ya CHADEMA
#Tamko Reel by @trtafrikasw (verified account) - Makadinali 133 akiwemo Kadinali Fridolin Ambongo Besungu wa DRC wamekula kiapo na kisha wale ambao hawahusiki na mchakato wa upigaji kura kutakiwa wat
8.6K
TR
@trtafrikasw
Makadinali 133 akiwemo Kadinali Fridolin Ambongo Besungu wa DRC wamekula kiapo na kisha wale ambao hawahusiki na mchakato wa upigaji kura kutakiwa watoke nje ya Kanisa la Sistine kwa tamko la Mshereheshaji Dieho Ravelli kutamka ‘extra omnes’ jioni ya Mei 7 2025. Kisha milango ya Kanisa hilo la Sistine yakafungwa kuashiria upigaji kura wa kumchagua Papa mpya umeanza rasmi.
#Tamko Reel by @jamiiforums (verified account) - DAR: Katibu Mkuu wa Shura ya Maimamu Tanzania, Sheikh Ponda Issa Ponda amesema hayo Mei 6, 2026 alipokuwa akiwasilisha tamko lao kuhusiana na Ripoti y
119.8K
JA
@jamiiforums
DAR: Katibu Mkuu wa Shura ya Maimamu Tanzania, Sheikh Ponda Issa Ponda amesema hayo Mei 6, 2026 alipokuwa akiwasilisha tamko lao kuhusiana na Ripoti ya Tume ya Kuchunguza Matukio ya Wakati na Baada ya Uchaguzi Mkuu Oktoba 2025, iliyowasilishwa na kukabidhiwa kwa Rais Samia, Aprili 23, 2026. #JamiiForums #Uwajibikaji
#Tamko Reel by @azamtvtz (verified account) - Mkurugenzi wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), Thabit Idarous Faina amewahimiza viongozi wa dini kuwa mstari mbele katika kuhamasisha maridhiano katik
13.7K
AZ
@azamtvtz
Mkurugenzi wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), Thabit Idarous Faina amewahimiza viongozi wa dini kuwa mstari mbele katika kuhamasisha maridhiano katika jamii ili kuongeza matumaini ya usalama na amani katika jamii katika kipindi chote cha Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba mwaka huu. Faina ametoa tamko hilo wakati akifungua semina maalumu ya viongozi wa dini inayohusu masuala ya amani na utulivu wakati wa uchaguzi mkuu. Mhariri | @moseskwindi #AzamTVUpdates
#Tamko Reel by @tbc_online (verified account) - Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Dkt. Tulia Ackson, ametangaza nia ya kugombea Ubunge wa J
5.5K
TB
@tbc_online
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Dkt. Tulia Ackson, ametangaza nia ya kugombea Ubunge wa Jimbo jipya la Uyole, mkoani Mbeya, katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025. Dkt. Tulia ametoa tamko hilo leo Mei 23, 2025 wakati wa kuhutubia Mkutano Mkuu Maalumu wa Wilaya ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), ambapo ameeleza kuwa amefikia uamuzi huo kutokana na kasi ndogo ya maendeleo katika eneo hilo. “Maendeleo ya Uyole yanasonga kwa taratibu sana. Nimeona ni vyema nijitoe kwa moyo wote kuhakikisha wananchi wa Uyole wanapata huduma stahiki na maendeleo ya haraka,” amesema. Aidha, amewahimiza wananchi wa Uyole kufanya maamuzi sahihi kwa kuchagua viongozi wanaojituma kwa ajili ya maendeleo ya jamii.
#Tamko Reel by @mikecollierwx (verified account) - Severe storms possible Tuesday TAMKO Building Products

We track the storms - but what's protecting your roof when they hit? TAMKO's HailGuard™ shingl
1.2K
MI
@mikecollierwx
Severe storms possible Tuesday TAMKO Building Products We track the storms — but what’s protecting your roof when they hit? TAMKO's HailGuard™ shingles are engineered for higher impact performance and the first and only asphalt shingle system backed by a hail warranty, designed for hail-prone markets like ours. Visit Locate a Contractor to connect with a local installer. See TAMKO’s HailGuard™ Extended Limited System Warranty for complete terms and details.
#Tamko Reel by @gersonmsigwa (verified account) - TAMKO LA JWTZ.

PUUZENI UPUUZI WA MPUUZI MMOJA ANAYETAMANI KUCHAFUA SIFA, HESHIMA, HAIBA NA HADHI YA JESHI LETU LA ULINZI LA WANANCHI WA TANZANIA (JWT
1.0M
GE
@gersonmsigwa
TAMKO LA JWTZ. PUUZENI UPUUZI WA MPUUZI MMOJA ANAYETAMANI KUCHAFUA SIFA, HESHIMA, HAIBA NA HADHI YA JESHI LETU LA ULINZI LA WANANCHI WA TANZANIA (JWTZ). Mwambie jirani yako Tanzania ni nchi imara, iliyojengwa kwa jasho na gharama kubwa. Haiwezi kuchezewa kirahisi.
#Tamko Reel by @bunge.tanzania (verified account) - Spika wa Bunge, Mhe. Mussa Azzan Zungu akiwaongoza Waheshimiwa Wabunge wote kutoa Tamko la Ahadi ya Uzalendo wakati wa Kikao cha Kwanza cha Mkutano wa
8.5K
BU
@bunge.tanzania
Spika wa Bunge, Mhe. Mussa Azzan Zungu akiwaongoza Waheshimiwa Wabunge wote kutoa Tamko la Ahadi ya Uzalendo wakati wa Kikao cha Kwanza cha Mkutano wa Pili wa Bunge la 13, kinachofanyika leo Januari 27, 2026.
#Tamko Reel by @youngsayeed1 - Iran imetoa tamko kwamba mabomu wanayotumia sasa hivi ni mabomu ya zamani sana kiongozi wa nchi hiyo amesema Iran itatumia mabomu mapya hivi karibuni
47.9K
YO
@youngsayeed1
Iran imetoa tamko kwamba mabomu wanayotumia sasa hivi ni mabomu ya zamani sana kiongozi wa nchi hiyo amesema Iran itatumia mabomu mapya hivi karibuni ambayo Marekani hawajawahi kuyaona katika maisha yao na wamesema kwamba siku hii walikuwa wanaisubiri sana.
#Tamko Reel by @azamtvtz (verified account) - Mchambuzi wa siasa Ibrahim Rahbi amesema tamko la Rais wa Marekani Donald Trump la kuzuia mataifa mbalimbali kufanya biashara na Cuba linaweza kuutiki
16.6K
AZ
@azamtvtz
Mchambuzi wa siasa Ibrahim Rahbi amesema tamko la Rais wa Marekani Donald Trump la kuzuia mataifa mbalimbali kufanya biashara na Cuba linaweza kuutikisa uchumi wa nchi hiyo, akieleza kuwa mataifa yatakayokaidi yatawekewa kodi kubwa. Ameongeza kuwa licha ya Cuba kutegemea msaada kutoka Urusi na China, nchi hizo bado hazijatoa tamko wala msaada wowote, hali inayoifanya Cuba kubaki peke yake katika kipindi hiki kigumu ✍Ibrahimu Kilumbo Mhariri | @john_mbalamwezi #AzamTVUpdates
#Tamko Reel by @latra_tz (verified account) - Chama Cha Wamiliki wa Mabasi Tanzania (TABOA) kimesema huduma za usafiri zitaendelea kutolewa kama kawaida kufuatia mazungumzo yaliyofanyika kati ya c
11.5K
LA
@latra_tz
Chama Cha Wamiliki wa Mabasi Tanzania (TABOA) kimesema huduma za usafiri zitaendelea kutolewa kama kawaida kufuatia mazungumzo yaliyofanyika kati ya chama hicho na Serikali. ‎ ‎Akizungumza leo, Katibu Mkuu wa TABOA, Priscus John, amesema uamuzi huo unafuatia tamko la awali la chama hicho la kusitisha huduma za usafiri ifikapo tarehe 12 endapo nauli zisingepandishwa. ‎ ‎Amesema Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Rais Samia Suluhu Hassan imeonesha usikivu kwa kutuma Waziri wa Uchukuzi, Makame Mbarawa, ambaye amekutana na viongozi wa TABOA na kusikiliza changamoto zao. ‎ ‎Kutokana na hatua hiyo, TABOA imewataka watoa huduma za mabasi nchini kuendelea kutoa huduma wakati Serikali ikiendelea kushughulikia changamoto zilizowasilishwa. ‎ ‎Aidha, chama hicho kimetoa rai kwa abiria kuondoa hofu ya kukosekana kwa usafiri siku ya tarehe 12, kikisisitiza kuwa huduma zitakuwepo kama kawaida na kuwataka wananchi kuendelea kupanga safari zao na kukata tiketi mapema. ‎ ‎TABOA imesisitiza kuwa ina imani na Serikali katika kuhakikisha changamoto za sekta ya usafirishaji zinapatiwa ufumbuzi wa haraka na wa kudumu kwa manufaa ya wadau wote.

✨ Guida alla Scoperta #Tamko

Instagram ospita 113K post sotto #Tamko, creando uno degli ecosistemi visivi più vivaci della piattaforma.

#Tamko è uno dei trend più coinvolgenti su Instagram in questo momento. Con oltre 113K post in questa categoria, creator come @gersonmsigwa, @jamiiforums and @dw_kiswahili stanno guidando la strada con i loro contenuti virali. Esplora questi video popolari in modo anonimo su Pictame.

Cosa è di tendenza in #Tamko? I video Reels più visti e i contenuti virali sono in evidenza sopra.

Categorie Popolari

📹 Tendenze Video: Scopri gli ultimi Reels e video virali

📈 Strategia Hashtag: Esplora le opzioni di hashtag di tendenza per i tuoi contenuti

🌟 Creator in Evidenza: @gersonmsigwa, @jamiiforums, @dw_kiswahili e altri guidano la community

Domande Frequenti Su #Tamko

Con Pictame, puoi sfogliare tutti i reels e i video #Tamko senza accedere a Instagram. Nessun account richiesto e la tua attività rimane privata.

Analisi delle Performance

Analisi di 12 reel

✅ Competizione Moderata

💡 I post top ottengono in media 304.9K visualizzazioni (2.8x sopra media)

Posta regolarmente 3-5x/settimana in orari attivi

Suggerimenti per la Creazione di Contenuti e Strategia

💡 I contenuti top ottengono oltre 10K visualizzazioni - concentrati sui primi 3 secondi

📹 I video verticali di alta qualità (9:16) funzionano meglio per #Tamko - usa una buona illuminazione e audio chiaro

✍️ Didascalie dettagliate con storia funzionano bene - lunghezza media 475 caratteri

✨ Molti creator verificati sono attivi (92%) - studia il loro stile di contenuto

Ricerche Popolari Relative a #Tamko

🎬Per Amanti dei Video

Tamko ReelsGuardare Tamko Video

📈Per Cercatori di Strategia

Tamko Hashtag di TendenzaMigliori Tamko Hashtag

🌟Esplora di Più

Esplorare Tamko#tamko shingles#tamko titan xt#tamko titan#tamko building products#tamko hailguard warranty#tamko black shingles#tamko shingles rating#tamko blog