#Udongo

Guarda 2.2K video Reel su Udongo da persone di tutto il mondo.

Guarda in modo anonimo senza effettuare il login.

2.2K posts
NewTrendingViral

Reel di Tendenza

(12)
#Udongo Reel by @kilimo_tz - TUNAUZA UDONGO MAALUMU (Cocopeat) WA KUOTESHEA MBEGU, MAUA YA BUSTANI, NK

WE ARE SELLING COCOPIT BLOCK 5Kg | PLANTING SOIL | TREATED SOIL | SPECIAL S
2.7K
KI
@kilimo_tz
TUNAUZA UDONGO MAALUMU (Cocopeat) WA KUOTESHEA MBEGU, MAUA YA BUSTANI, NK WE ARE SELLING COCOPIT BLOCK 5Kg | PLANTING SOIL | TREATED SOIL | SPECIAL SOIL Cocopeat 1Kg Bei ni 2,000Tsh Block ya 5Kg ni 10,000Tsh Call/Text/WhatsApp: 0712 25 31 02 @joackcompany @mifugo_tz @kilimo_tz @afyakiganjani @joackagrovet @joackanimalclinic Muda wetu wa kazi ni saa 1 Asubuhi hadi saa 5 Usiku (7:00am - 11:00pm) Ofisi zipo Tegeta Wazohill-Dar salaam na Bagamoyo Cocopit ni udongo maalumu unaotumika kuoteshea miche/mbegu kabla ya kuipanda/kuhamishia shambani. Udongo wetu wa Cocopeat, upo katika mfumo wa block (tofali), ambapo kila block ina uzito wa kilo 5. Huu udongo unatumika pia kwenye kuoteshea maua mbalimbali kwajili ya bustani. Faida za huu udongo ni kwamba hauna wadudu wala vimelea wa magonjwa vinavyoweza kuharibu mbegu. Faida nyingine ya huu udongo, una PH sahihi na madini ambayo yanaruhusu mbegu yoyote kuota. Udongo huu ni mlaini na unaruhusu hewa kuingia na kutoa ambayo husaidia kuota kwa mbegu, pia unaruhusu mizizi kupenya kwa urahisi. Udongo unauwezo wa kutunza unyevu kwa mda mrefu. Udongo huu unatumika sambamba na zile trei za kuoteshea mbegu, ukitumia huu udongo na trei mbegu zako hazita kufa. #udongo #udongowakupandia #kuoteshambegu #mbegu #wauzajiwambegu #mbegu #cocopeat #mbeguzakisasa #kitaluchambegu #plantnurseryunit #udongowakuotesheambegu #udongowambegu #plantingsoil Office zetu zipo @tegetawazohill -Barabara ya kwenda kiwanda cha twigacement, opposite na kota za kiwanda - Dar es salaam, Kwa wanaohitaji bidhaa zetu au huduma yoyote fika ofisini au wasilina nasi kwa Simu: +255 712 253 102(WhatsApp) +255 692 430 263 Email: kilimotz3@gmail.com YouTube: https://youtu.be/UxLyLqHtfnw Website link: https://joackcompany.business.site/ Google location: https://maps.app.goo.gl/C2XiH7ppmYe6pq7Q9 #joackcompany #joackvetcenter #mbogamboga #nyanya #mifugotz #mifugo #mbogamboga #mbegu #kilimo #kilimotz #greenhouse #dripirrigation #shamba #tanzania #daressalaam #dodoma#tanzania🇹🇿 JOACK Company LTD | DSM & BAGAMOYO
#Udongo Reel by @rusmah_ndosi (verified account) - Wallahi
I am so Much Grateful kuzaliwa kwenye huu Udongo wa Kwetu🥰👌Udongo wa Kimachame Masama Mula

Udongo bora zaidi kuwahi kutokea nchi hii🥰
Namr
215.4K
RU
@rusmah_ndosi
Wallahi I am so Much Grateful kuzaliwa kwenye huu Udongo wa Kwetu🥰👌Udongo wa Kimachame Masama Mula Udongo bora zaidi kuwahi kutokea nchi hii🥰 Namrudishia Mola wangu Shukrani maana kama singezaliwa kutoka hapa sijui ingekuwaje 1.Uchamungu 2.Inteligence 3.Beauty n Brains 4.Malezi ya Kwetu 5.Utu na Utulivu wa Kwetu 6.Humbleness To just mention the Few Kikao chetu cha Ukoo leo kimeendelea kunithibitishia mimi ni nani😊I am who I am for who I am Daah,Ni Udongo Boora Kabisa wa Kwetu Mola Aendelee kuwahifadhi Wazee wa Ukoo na Kizazi chetu Bora cha Ndeshilio Ndossi🤲🥰 Wamachame are the Next Level People Salute kwa Wamachame wenzangu wote Duniani,Mola aendelee kututunza🥰♥️🤲
#Udongo Reel by @thepotteryhome - COCOPEAT BLOCKS, 
Ni udongo utokanao na makumbi ya nazi yaliyosagwa, kwaajili ya maua na mbegu au miche ya aina mbali mbali, udongo huu ni mwepesi, un
57.1K
TH
@thepotteryhome
COCOPEAT BLOCKS, Ni udongo utokanao na makumbi ya nazi yaliyosagwa, kwaajili ya maua na mbegu au miche ya aina mbali mbali, udongo huu ni mwepesi, unaruhusu maji kupenya, mzunguko wa hewa na hauna magugu. Hufanya mmea/ua kunawiri na kubloom na mizizi kupenya kirahisi sana. Bei ya block ni 20,000 Block moja- unapata udogo ujazo wa approximate Ndoo 2.5 za ltrs 20. Karibuni sana dukani- +255 757 096 035 #udongo #mwanzaudongo #udongorutuba #cocopeat #cocopeatblock
#Udongo Reel by @mifugokilimo - TUNAUZA UDONGO MAALUMU (Cocopeat) WA KUOTESHEA MBEGU, MAUA YA BUSTANI, NK

WE ARE SELLING COCOPIT BLOCK 5Kg | PLANTING SOIL | TREATED SOIL | SPECIAL S
448
MI
@mifugokilimo
TUNAUZA UDONGO MAALUMU (Cocopeat) WA KUOTESHEA MBEGU, MAUA YA BUSTANI, NK WE ARE SELLING COCOPIT BLOCK 5Kg | PLANTING SOIL | TREATED SOIL | SPECIAL SOIL Call/Text/WhatsApp: +255 714 63 63 75 @joackcompany @mifugo_tz @kilimo_tz @afyakiganjani @joackagrovet @joackanimalclinic @joackbagamoyo Muda wetu wa kazi ni saa 1 Asubuhi hadi saa 5 Usiku (7:00am - 11:00pm) Ofisi zipo Tegeta Wazohill-Dar salaam na Bagamoyo Cocopit ni udongo maalumu unaotumika kuoteshea miche/mbegu kabla ya kuipanda/kuhamishia shambani. Udongo wetu wa Cocopeat, upo katika mfumo wa block (tofali), ambapo kila block ina uzito wa kilo 5. Huu udongo unatumika pia kwenye kuoteshea maua mbalimbali kwajili ya bustani. Faida za huu udongo ni kwamba hauna wadudu wala vimelea wa magonjwa vinavyoweza kuharibu mbegu. Faida nyingine ya huu udongo, una PH sahihi na madini ambayo yanaruhusu mbegu yoyote kuota. Udongo huu ni mlaini na unaruhusu hewa kuingia na kutoa ambayo husaidia kuota kwa mbegu, pia unaruhusu mizizi kupenya kwa urahisi. Udongo unauwezo wa kutunza unyevu kwa mda mrefu. Udongo huu unatumika sambamba na zile trei za kuoteshea mbegu, ukitumia huu udongo na trei mbegu zako hazita kufa. #udongo #udongowakupandia #kuoteshambegu #mbegu #wauzajiwambegu #mbegu #cocopeat #mbeguzakisasa #kitaluchambegu #plantnurseryunit #udongowakuotesheambegu #udongowambegu #plantingsoil Office zetu zipo @tegetawazohill -Barabara ya kwenda kiwanda cha twigacement, opposite na kota za kiwanda - Dar es salaam, Kwa wanaohitaji bidhaa zetu au huduma yoyote fika ofisini au wasilina nasi kwa Simu: +255 714 63 63 75 (WhatsApp) +255 692 430 263 Email: joackcompany@gmail.com YouTube: https://youtu.be/UxLyLqHtfnw Website link: https://joackcompany.business.site/ Google location: https://maps.app.goo.gl/C2XiH7ppmYe6pq7Q9 #joackcompany #joackvetcenter #mbogamboga #nyanya #mifugotz #mifugo #mbogamboga #mbegu #kilimo #kilimotz #greenhouse #dripirrigation #shamba #tanzania #daressalaam #dodoma#tanzania🇹🇿 JOACK Company LTD | DSM & BAGAMOYO
#Udongo Reel by @kilimomjini - UMUHIMU WA BUSTANI ZA MBOGAMBOGA NYUMBANI 

🌱 1. Kupata chakula safi na chenye virutubisho

Unapata mboga zisizo na kemikali hatari, kwani unaweza ku
16.9K
KI
@kilimomjini
UMUHIMU WA BUSTANI ZA MBOGAMBOGA NYUMBANI 🌱 1. Kupata chakula safi na chenye virutubisho Unapata mboga zisizo na kemikali hatari, kwani unaweza kutumia mbolea za asili (kama mboji au samadi). Mboga zinapopikwa zikiwa bado “fresh,” huwa na vitamini na madini mengi zaidi. 💰 2. Kupunguza gharama za maisha Badala ya kununua kila siku sokoni, bustani yako itakupa mboga bila gharama kubwa. Ziada ya mazao inaweza kuuzwa, hivyo kuongeza kipato cha familia. 🏡 3. Kutumia vizuri nafasi ndogo nyumbani Hata kama una eneo dogo, unaweza kutumia vifaa vya plastiki, mapipa, au vyungu kupanda mboga. Inafanya nyumba yako iwe ya kijani na yenye mvuto wa asili. 🌍 4. Kulinda mazingira Kupanda mimea husaidia kupunguza joto, kuongeza oksjeni, na kuimarisha udongo. Inasaidia kupunguza taka kwa kutumia mabaki ya jikoni kutengeneza mboji (compost). ❤️ 5. Kuboresha afya ya mwili na akili Kufanya kazi bustanini ni aina ya mazoezi yanayosaidia mwili kuwa imara. Pia hupunguza msongo wa mawazo (stress) na huleta utulivu wa akili. 👨‍👩‍👧‍👦 6. Kujenga uelewa kwa watoto na familia Watoto wanajifunza kuhusu mazingira, kilimo, na uwajibikaji. Inakuwa shughuli ya pamoja ya familia — inaimarisha mahusiano. 🌾 7. Uhakika wa chakula (Food Security) Bustani ndogo nyumbani inaongeza usalama wa chakula katika kaya, hasa wakati wa mfumuko wa bei au uhaba sokoni. Endelea kufurahia huduma zetu @kilimomjini 0716722899
#Udongo Reel by @ethanim_flowers_dodoma - 🔥🔥Verbena ni maua yanayostahimili mikiki ya aina yote ya jua. Yakipandwa chini yanajaa sana, wale ndugu zangu landscapers karibuni sana. Tunazo rang
584
ET
@ethanim_flowers_dodoma
🔥🔥Verbena ni maua yanayostahimili mikiki ya aina yote ya jua. Yakipandwa chini yanajaa sana, wale ndugu zangu landscapers karibuni sana. Tunazo rangi mbalimbali. Ukihitaji tukuagizie kwa bei nafuu, tafadhali weka order yako sasa. Tunapatikana Dodoma, Isanga Business Centre karibu na office ya mabasi ya Ngasere au office mpya ya mabasi ya BM Coach au karibu na office ya Mitumba Safi. Njia ielekeayo Mirembe Hospital. Mawasiliano yetu ni 0676 750 744 Karibuni sana 🙏 #maua #landscaping #dodoma #udongo #ukoka_mbolea
#Udongo Reel by @rachelflowers0787055335 - Mapishi ya udongo
#udongo #maua #flowersofinstagram #succulents #philodendron #agave #roses #cactus #agave #bromelid #daressalaam #mwanza #mbeya #arus
41.5K
RA
@rachelflowers0787055335
Mapishi ya udongo #udongo #maua #flowersofinstagram #succulents #philodendron #agave #roses #cactus #agave #bromelid #daressalaam #mwanza #mbeya #arusha #iringa #morogoro #mjasiriamali #udongowakupandia
#Udongo Reel by @joackagrovet - TUNAUZA UDONGO MAALUMU (Cocopeat) WA KUOTESHEA MBEGU, MAUA YA BUSTANI, NK

WE ARE SELLING COCOPIT BLOCK 5Kg | PLANTING SOIL | TREATED SOIL | SPECIAL S
878
JO
@joackagrovet
TUNAUZA UDONGO MAALUMU (Cocopeat) WA KUOTESHEA MBEGU, MAUA YA BUSTANI, NK WE ARE SELLING COCOPIT BLOCK 5Kg | PLANTING SOIL | TREATED SOIL | SPECIAL SOIL Call/Text/WhatsApp: 0714 636 375 @joackcompany @mifugo_tz @kilimo_tz @afyakiganjani @joackagrovet @joackanimalclinic Muda wetu wa kazi ni saa 1 Asubuhi hadi saa 5 Usiku (7:00am - 11:00pm) Ofisi zipo Tegeta Wazohill-Dar salaam na Bagamoyo Cocopit ni udongo maalumu unaotumika kuoteshea miche/mbegu kabla ya kuipanda/kuhamishia shambani. Udongo wetu wa Cocopeat, upo katika mfumo wa block (tofali), ambapo kila block ina uzito wa kilo 5. Huu udongo unatumika pia kwenye kuoteshea maua mbalimbali kwajili ya bustani. Faida za huu udongo ni kwamba hauna wadudu wala vimelea wa magonjwa vinavyoweza kuharibu mbegu. Faida nyingine ya huu udongo, una PH sahihi na madini ambayo yanaruhusu mbegu yoyote kuota. Udongo huu ni mlaini na unaruhusu hewa kuingia na kutoa ambayo husaidia kuota kwa mbegu, pia unaruhusu mizizi kupenya kwa urahisi. Udongo unauwezo wa kutunza unyevu kwa mda mrefu. Udongo huu unatumika sambamba na zile trei za kuoteshea mbegu, ukitumia huu udongo na trei mbegu zako hazita kufa. #udongo #udongowakupandia #kuoteshambegu #mbegu #wauzajiwambegu #mbegu #cocopeat #mbeguzakisasa #kitaluchambegu #plantnurseryunit #udongowakuotesheambegu #udongowambegu #plantingsoil Office zetu zipo @tegetawazohill -Barabara ya kwenda kiwanda cha twigacement, opposite na kota za kiwanda - Dar es salaam, Kwa wanaohitaji bidhaa zetu au huduma yoyote fika ofisini au wasilina nasi kwa Simu: +255 714 636 375(WhatsApp) +255 692 430 263 Email Info@joack.co.tz YouTube: https://youtu.be/UxLyLqHtfnw Website link: https://joack.co.ts Google location: https://maps.app.goo.gl/C2XiH7ppmYe6pq7Q9 #joackcompany #joackvetcenter #mbogamboga #nyanya #mifugotz #mifugo #mbogamboga #mbegu #kilimo #kilimotz #greenhouse #dripirrigation #shamba #tanzania #daressalaam #dodoma#tanzania🇹🇿 JOACK Company LTD | DSM & BAGAMOYO
#Udongo Reel by @natygreen_flowers - Kuelekea Msimu wa holiday karibuni sana natygreen flowers mjipatie maua vyungu stand udongo mbolea pia unaweza kutupa kazi ya kuja kukufanyia design n
3.1K
NA
@natygreen_flowers
Kuelekea Msimu wa holiday karibuni sana natygreen flowers mjipatie maua vyungu stand udongo mbolea pia unaweza kutupa kazi ya kuja kukufanyia design na kukupandia maua na kuya panga kwa mliopo Arusha na moshi bei ZETU ni NAFUU sana check us via 0652896025 karibuni sana
#Udongo Reel by @udongo_rutuba_dar - WENGI MLIULIZA UDONGO PLAIN USIOSAGWA WALA KUWEKWA CHOCHOTE ..huu hapaaa gunia ni 21500 ( zimeshibq haswaa) karibunii…. 

HUU UPO PLAIN UNAENDA KUWEKA
2.8K
UD
@udongo_rutuba_dar
WENGI MLIULIZA UDONGO PLAIN USIOSAGWA WALA KUWEKWA CHOCHOTE ..huu hapaaa gunia ni 21500 ( zimeshibq haswaa) karibunii…. HUU UPO PLAIN UNAENDA KUWEKA VIRUTUBISHOOO MWENYEWE NDUGU MTEJA … 📌 🚦:KINYEREZI: 📞: 0713 647 918 🚦: ARUSHAA JR 📞 0741 727 560 🚦:TEGETA NYUKI 📞 0747581748 🚦:MABIBO MWISHO 📞 0657262445 Delivery ipo kwa gharama nafuuu kwenye matawi yetu yote Mikoani na NCHI ZA JIRANI Tunatuma kwa uaminifu #gardenflowers#tanzaniadecor #tanzaniaflowers#udongorutuba#beikitonga#gardeners#in
#Udongo Reel by @vale_nafaka - shamba kwa ajili ya kilimo kunahitaji hatua kadhaa muhimu ili kupata mavuno mazuri. Hizi ndizo hatua za msingi:
	1.	Kusafisha shamba
Ondoa magugu, vic
10.1K
VA
@vale_nafaka
shamba kwa ajili ya kilimo kunahitaji hatua kadhaa muhimu ili kupata mavuno mazuri. Hizi ndizo hatua za msingi: 1. Kusafisha shamba Ondoa magugu, vichaka, mawe na mabaki ya mazao ya zamani. Unaweza kutumia jembe, trekta au njia ya kuchoma (kwa tahadhari). 2. Kulima (kulima la kwanza) Lima udongo ili kuufungua, kuruhusu hewa na maji kupenya vizuri, na kuua magugu. Hii hufanywa kwa jembe au trekta. 3. Kulima la pili / kupiga haro Huvunja mabonge ya udongo na kuufanya uwe laini zaidi, tayari kwa kupanda. 4. Kuweka mbolea Ongeza mbolea ya samadi au mboji kabla ya kupanda ili kuongeza rutuba ya udongo. Mbolea ya viwandani huwekwa kulingana na zao. 5. Kupima na kupanga mistari Pima shamba na panga mistari kulingana na nafasi inayohitajika kwa zao husika. 6. Kuchagua mbegu bora Tumia mbegu bora, zilizoidhinishwa na zinazofaa kwa eneo lako. 7. Kupanda kwa wakati sahihi Panda kulingana na msimu wa mvua au upatikanaji wa umwagiliaji.
#Udongo Reel by @joackbagamoyo - TUNAUZA UDONGO MAALUMU (Cocopeat) WA KUOTESHEA MBEGU, MAUA YA BUSTANI, NK

WE ARE SELLING COCOPIT BLOCK 5Kg | PLANTING SOIL | TREATED SOIL | SPECIAL S
445
JO
@joackbagamoyo
TUNAUZA UDONGO MAALUMU (Cocopeat) WA KUOTESHEA MBEGU, MAUA YA BUSTANI, NK WE ARE SELLING COCOPIT BLOCK 5Kg | PLANTING SOIL | TREATED SOIL | SPECIAL SOIL Cocopeat 1Kg Bei ni 2,000Tsh Block ya 5Kg ni 10,000Tsh Call/Text/WhatsApp: +255 655 05 73 23 @joackcompany @mifugo_tz @kilimo_tz @afyakiganjani @joackagrovet @joackanimalclinic Muda wetu wa kazi ni saa 1 Asubuhi hadi saa 5 Usiku (7:00am - 11:00pm) Ofisi zipo Tegeta Wazohill-Dar salaam na Bagamoyo Cocopit ni udongo maalumu unaotumika kuoteshea miche/mbegu kabla ya kuipanda/kuhamishia shambani. Udongo wetu wa Cocopeat, upo katika mfumo wa block (tofali), ambapo kila block ina uzito wa kilo 5. Huu udongo unatumika pia kwenye kuoteshea maua mbalimbali kwajili ya bustani. Faida za huu udongo ni kwamba hauna wadudu wala vimelea wa magonjwa vinavyoweza kuharibu mbegu. Faida nyingine ya huu udongo, una PH sahihi na madini ambayo yanaruhusu mbegu yoyote kuota. Udongo huu ni mlaini na unaruhusu hewa kuingia na kutoa ambayo husaidia kuota kwa mbegu, pia unaruhusu mizizi kupenya kwa urahisi. Udongo unauwezo wa kutunza unyevu kwa mda mrefu. Udongo huu unatumika sambamba na zile trei za kuoteshea mbegu, ukitumia huu udongo na trei mbegu zako hazita kufa. #udongo #udongowakupandia #kuoteshambegu #mbegu #wauzajiwambegu #mbegu #cocopeat #mbeguzakisasa #kitaluchambegu #plantnurseryunit #udongowakuotesheambegu #udongowambegu #plantingsoil Office zetu zipo @tegetawazohill -Barabara ya kwenda kiwanda cha twigacement, opposite na kota za kiwanda - Dar es salaam, Kwa wanaohitaji bidhaa zetu au huduma yoyote fika ofisini au wasilina nasi kwa Simu: +255 655 05 73 23(WhatsApp) +255 692 43 02 63 Email: joackbagamoyo@gmail.com YouTube: https://youtu.be/UxLyLqHtfnw Website link: https://joackcompany.business.site/ Google location: https://maps.app.goo.gl/C2XiH7ppmYe6pq7Q9 #joackcompany #joackvetcenter #mbogamboga #nyanya #mifugotz #mifugo #mbogamboga #mbegu #kilimo #kilimotz #greenhouse #dripirrigation #shamba #tanzania #daressalaam #dodoma#tanzania🇹🇿 JOACK Company LTD | DSM & BAGAMOYO

✨ Guida alla Scoperta #Udongo

Instagram ospita 2K post sotto #Udongo, creando uno degli ecosistemi visivi più vivaci della piattaforma.

#Udongo è uno dei trend più coinvolgenti su Instagram in questo momento. Con oltre 2K post in questa categoria, creator come @rusmah_ndosi, @thepotteryhome and @rachelflowers0787055335 stanno guidando la strada con i loro contenuti virali. Esplora questi video popolari in modo anonimo su Pictame.

Cosa è di tendenza in #Udongo? I video Reels più visti e i contenuti virali sono in evidenza sopra.

Categorie Popolari

📹 Tendenze Video: Scopri gli ultimi Reels e video virali

📈 Strategia Hashtag: Esplora le opzioni di hashtag di tendenza per i tuoi contenuti

🌟 Creator in Evidenza: @rusmah_ndosi, @thepotteryhome, @rachelflowers0787055335 e altri guidano la community

Domande Frequenti Su #Udongo

Con Pictame, puoi sfogliare tutti i reels e i video #Udongo senza accedere a Instagram. Nessun account richiesto e la tua attività rimane privata.

Analisi delle Performance

Analisi di 12 reel

✅ Competizione Moderata

💡 I post top ottengono in media 82.7K visualizzazioni (2.8x sopra media)

Posta regolarmente 3-5x/settimana in orari attivi

Suggerimenti per la Creazione di Contenuti e Strategia

🔥 #Udongo mostra alto potenziale di engagement - posta strategicamente negli orari di punta

✍️ Didascalie dettagliate con storia funzionano bene - lunghezza media 1098 caratteri

📹 I video verticali di alta qualità (9:16) funzionano meglio per #Udongo - usa una buona illuminazione e audio chiaro

Ricerche Popolari Relative a #Udongo

🎬Per Amanti dei Video

Udongo ReelsGuardare Udongo Video

📈Per Cercatori di Strategia

Udongo Hashtag di TendenzaMigliori Udongo Hashtag

🌟Esplora di Più

Esplorare Udongo#sahani za udongo#vyungu vya udongo#vikombe vya udongo#udongo wa kula#madhara ya kula udongo#vyombo vya udongo#bakuli za udongo#sahani nzuri za udongo