#Unga Lishe

Guarda video Reel su Unga Lishe da persone di tutto il mondo.

Guarda in modo anonimo senza effettuare il login.

Reel di Tendenza

(12)
#Unga Lishe Reel by @malkiafoods (verified account) - Mtaalamu wa Lishe, Tutasoma Namna nzuri ya kuandaa Lishe, ingredients sahihi pamoja na ratios. 

Hata kama unauza unga lishe, uza wenye faida kiafya k
50.0K
MA
@malkiafoods
Mtaalamu wa Lishe, Tutasoma Namna nzuri ya kuandaa Lishe, ingredients sahihi pamoja na ratios. Hata kama unauza unga lishe, uza wenye faida kiafya kwa wateja wako. Darasa liraanza tarehe 6/5/2024 Ada 32,000tsh mwaka mzima Unalipia 0784906667 Beatrice Kisha tuma muamala wako whatsap #recipe #lishe #ungalishe
#Unga Lishe Reel by @erica_malya - Wholesome Nutritious The true taste of ugali.📌

FAIDA ZA UNGA HUU ASILIA WA LISHE 🌾

1. Virutubisho vingi - Unawingi  Wa  madini ya chuma, zinc na v
3.2K
ER
@erica_malya
Wholesome Nutritious The true taste of ugali.📌 FAIDA ZA UNGA HUU ASILIA WA LISHE 🌾 1. Virutubisho vingi – Unawingi Wa madini ya chuma, zinc na vitamini A, yanayosaidia afya ya damu na macho 2. Nguvu na uimara – Una protini na nyuzinyuzi nyingi, unaosaidia nguvu na mmeng’enyo bora wa chakula 3. Afya ya mmeng’enyo – kuna nyuzinyuzi zinazosaidia usagaji chakula na kuongeza nishati ya muda mrefu. 4. Lishe kamili – Mchanganyiko huu unaleta uwiano bora wa wanga, protini, madini na vitamini. 5.Afya ya familia – Ni chakula kizuri kwa watoto, vijana na watu wazima kwa sababu kinajenga mwili na kinga. Watoto wasiopenda kula ugali tumewaletea suluhisho 📲0755879951
#Unga Lishe Reel by @moma_porridge (verified account) - MAWAKALA WETU WA UNGA WA LISHE WA MOMA PORRIDGE🥣

DAR ES SALAAM TANZANIA 

🌹WAKALA KARIAKOO - FIRE MTAA WA SWAHILI NA MATUMBI KARIBU NA RADIUM SALOO
4.1K
MO
@moma_porridge
MAWAKALA WETU WA UNGA WA LISHE WA MOMA PORRIDGE🥣 DAR ES SALAAM TANZANIA 🌹WAKALA KARIAKOO - FIRE MTAA WA SWAHILI NA MATUMBI KARIBU NA RADIUM SALOON EQUIPMENT 📞: 0786261414 🌹SHAMIMU SHOP MWENGE MABUCHANI KWA MPEMBA BARABARA YA TRA 📞: 0717596060 OR 0754694848 🌹WAKALA SINZA AFRICASANA NI KANJE SHOP OPPOSITE NA NGOMBE HOUSE 📞:0787 045 527 🌹KIMARA SUKA ROUND ABOUT NA UBUNGO KIBO MSIKITINI -0744 908 042 🌹WAKALA WA MOMA PORRIDGE KIGAMBONI-TANZANIA GARI BOVU YA KWAMCHINA, KARIBU NA SHULE YA MSINGI UNGINDONI 📞: 0786 261 141 🌹TABATA SEGEREA, DUKA NO. 27 📞: +255 756 338 049 🌹TEGETA BOKO BASIHAYA 📞: 0719 001686 🌹WAKALA WA MOMA PORRIDGE GOBA MAMA LAU SHOP - KINZUDI USUKUMANI 📞:0655318161 🌹ZANZIBAR! ZANZIBAR! ZANZIBAR! 📞 : +255 62 110 2322 🌹TANGA KANGE- ANROSE 📞: 0676359920 🌹ARUSHA- RAFIKI MINI SUPERMARKET - JOGOO HOUSE 🌹MOROGORO TANZANIA NGOTTO PHARMACY KARIBU NA CRDB 📞: 068 578 3574 🌹DODOMA TANZANIA MAKULU PHARMACY - MAKULU NJIA YA KUELEKEA UDOM📞0652478018 OR 0652478019 🌹WAKALA DODOMA - MAKOLE OPPOSITE NA CHUO CHA CBE 📞: 0719091969 🌹BUKOBA TANZANIA 📞: +255 68 713 6303 🌹NJOMBE MJINI - MEKU’S FRESH FISH 📞: 0757530061 OR 0679576248 🌹SHINYANGA TANZANIA STENDI YA ZAMANI KARIBU NA MAHAKA KUU NAOMI TOTO COLLECTION 📞: 0754 055045 🌹KAHAMA TANZANIA JENGO LA PETRO AFRICA YA MJINI NAOMI TOTO COLLECTION 📞: 0754 055045 📌 MOSHI KILIMANJARO TANZANIA 🌹KILIMANJARO STAR SUPERMARKET 🌹RAFIKI SUPERMARKETS ZOTE 🌹HAJI SOKO LA KATI - 0746 249 090 AU TUPIGIE 0716 597071 KWA MSAADA ZAIDI
#Unga Lishe Reel by @shanga_za_kaskazini - Unga lishe bora kabisa kwa afya njema ya familia yako. Unga wa uji 1kg ni 10,000 tu, wasiliana nami kwa 0655157561 napatikana Mwenge(dar)
#ungalishe #
4.2K
SH
@shanga_za_kaskazini
Unga lishe bora kabisa kwa afya njema ya familia yako. Unga wa uji 1kg ni 10,000 tu, wasiliana nami kwa 0655157561 napatikana Mwenge(dar) #ungalishe #ungalisheasilia #ungalishezawatoto
#Unga Lishe Reel by @restybura_ (verified account) - UNGA WA LISHE WA AFRICANA @africana_products 
NI UNGA MZURI WENYE VIRUTUBISHO KWA UKUAJI WA WATOTO KUANZIA MIEZI 6 Na kuendelea....
Lakini kwa Familia
86.6K
RE
@restybura_
UNGA WA LISHE WA AFRICANA @africana_products NI UNGA MZURI WENYE VIRUTUBISHO KWA UKUAJI WA WATOTO KUANZIA MIEZI 6 Na kuendelea.... Lakini kwa Familia yangu umekuwa Uji wa Familia kwa Jinsi ulivyo mtamu, mlaini, una harufu nzuri na umenisaidia kuongeza kiwango cha maziwa ya mtoto kwa mimi Mama ninayenyonyesha. Una Virutubisho kama Protein, Wanga na fats....Uwepo wa Nazi, Oats, Mchele na Soya ndani yake umefanya Uji uwe na Afya na watoto wangu na familia nzima wanaupenda Sana Tumia huu uji wewe Mama Mjamzito, Unayenyonyesha, watoto, wagonjwa, wakubwa na Wazee Kizuri mwambie mwenzio nami nikaona sina budi ya kushare....Follow page yao @africana_products @africana_products Wanamawakala na matawi mengi Tanzania nzima
#Unga Lishe Reel by @brees_nutrition - 🥣✨ Unga wa Lishe Bora kwa Afya ya Familia Yako!

Imetengenezwa kwa viambato asilia, safi na vilivyochaguliwa kwa umakini ili kukupa lishe kamili kila
233
BR
@brees_nutrition
🥣✨ Unga wa Lishe Bora kwa Afya ya Familia Yako! Imetengenezwa kwa viambato asilia, safi na vilivyochaguliwa kwa umakini ili kukupa lishe kamili kila siku. Inafaa kwa watoto, watu wazima na familia nzima. ✅ Husaidia ukuaji bora wa mwili ✅ Huongeza nguvu na afya njema ✅ Rahisi kuandaa na ladha tamu Agiza sasa na ule tofauti ya lishe halisi! 📞 Mawasiliano: 0799 269979 📍 Tunapokea oda muda wowote #UngaLishe #AfyaKwanza #LisheBora #HealthyLiving #familynutrition
#Unga Lishe Reel by @iamvestina - @uji_mtaamu wamekuletea unga wa uji wa lishe bora kabisaa kiwango ambao unawafaa watu wa rika zote:- unawafaa watoto kuanzia miezi sita, watu wazima,
2.1K
IA
@iamvestina
@uji_mtaamu wamekuletea unga wa uji wa lishe bora kabisaa kiwango ambao unawafaa watu wa rika zote:- unawafaa watoto kuanzia miezi sita, watu wazima, wajawazito na wagonjwa, karibu tupo Dodoma barabara ya kumi karibu na Mackay house, mikoani tunatuma pia kwa uaminifu mkubwa sana, kilo moja ni elfu kumi tu tupigie 0714003209 @uji_mtaamu @uji_mtaamu
#Unga Lishe Reel by @smilernutritionproduct - UNGA WETU WA UJI WENYE NUTS NI MTAMU SANA😋😋

UNGA WETU WA UJI WENYE ALMONDS NI MTAMU NA UTANSAIDIA MTOTO WAKO KATIKA UKUAJI🔥

KARIBU SMILER NITRITI
184
SM
@smilernutritionproduct
UNGA WETU WA UJI WENYE NUTS NI MTAMU SANA😋😋 UNGA WETU WA UJI WENYE ALMONDS NI MTAMU NA UTANSAIDIA MTOTO WAKO KATIKA UKUAJI🔥 KARIBU SMILER NITRITION KWA LISHE BORA YA MTOTO WAKO😋☺️🔥 #smilerlishe #afya #nutrition #lishebora #diabetes #mamanamtoto #ungalishe #smiler #afyabilamadhara
#Unga Lishe Reel by @vuls_kitchen - Unga huu wa lishe ni Mlo kamili wa watoto, vijana na watu wazima ,ni nguvu safi kutoka kWa nafaka na mbegu asilia 🌾 

Mahitaji; Ngano ,mtama,ulezi,ka
6.1K
VU
@vuls_kitchen
Unga huu wa lishe ni Mlo kamili wa watoto, vijana na watu wazima ,ni nguvu safi kutoka kWa nafaka na mbegu asilia 🌾 Mahitaji; Ngano ,mtama,ulezi,karanga,mihogo,mbegu za maboga Tag mzazi au rafiki ambaye anahitaji kuongeza afya ndani ya familia yake 🥰 #ungalishenatural #healthyliving #afyayafamilia #chakulabora
#Unga Lishe Reel by @willeygraph_ - Tulikua na wakati mzuri sana sambamba na @nana_naturalproduct watengenezaji na waandaji wa Unga Lishe kwa ajili ya matumizi tofauti tofauti kwa rika z
260
WI
@willeygraph_
Tulikua na wakati mzuri sana sambamba na @nana_naturalproduct watengenezaji na waandaji wa Unga Lishe kwa ajili ya matumizi tofauti tofauti kwa rika zote, watoto, wamama wajawazito, wazee na hata wanamichezo. Tumeweza kushirikiana vizuri kabisa katika uandaaji wa Picha za Bidhaa yao hii nzuri. Shukurani zetu kwao @nana_naturalproduct kwa kuweza kutuchagua katika kuhakikisha tunaipa thamani bidhaa yao pendwa 🙏🏾. Unga huu unapatikana Dar es salaam na katika maeneo yote ya karibu pia na mikoani. Wasiliana nao ☎️: 0719 697 301 au 0717 518 999 Big Up 💪🏾💪🏾💪🏾 kwa timu nzima iliyokuwa nyuma ya Camera kuhakikisha kinafanyika kitu kizuri… @official_mrking20fashion @devinhoofficial @ndunguruvictor @nacky__urio Brand 🏠 || @king20fashion_tanzania #photoshoot #photoshootproduct #product #ungalishe #nanaproduct #business #photooftheday #brand #productbranding #creativity #design #art #photo
#Unga Lishe Reel by @hpm_brand - Unga wa Mahindi lishe mzurii
Laini unaweza kupika uji au ugali...

Bei 5000/= 1kg...

Delivery ipo na mikoani tunatuma Kila siku..

📞 0759234762
1.9K
HP
@hpm_brand
Unga wa Mahindi lishe mzurii Laini unaweza kupika uji au ugali... Bei 5000/= 1kg... Delivery ipo na mikoani tunatuma Kila siku.. 📞 0759234762
#Unga Lishe Reel by @ezra_food_products - Unasubiri nini? Jipatie unga lishe wa TRUST LISHE sasa na uanze safari yako ya afya bora. Utapata virutubisho muhimu na kujenga mwili wenye nguvu na k
729
EZ
@ezra_food_products
Unasubiri nini? Jipatie unga lishe wa TRUST LISHE sasa na uanze safari yako ya afya bora. Utapata virutubisho muhimu na kujenga mwili wenye nguvu na kinga imara. Chagua TRUST LISHE kwa maisha yenye furaha na afya bora. Utaupata kwa 10000/= tu kilomoja, tunapatikana kinyerezi mwisho, tunafanya delivery. #ezrafoodproducts #trustlishe #afyabora #0786877993

✨ Guida alla Scoperta #Unga Lishe

Instagram ospita thousands of post sotto #Unga Lishe, creando uno degli ecosistemi visivi più vivaci della piattaforma.

L'enorme raccolta #Unga Lishe su Instagram presenta i video più coinvolgenti di oggi. I contenuti di @restybura_, @malkiafoods and @vuls_kitchen e altri produttori creativi hanno raggiunto thousands of post a livello globale.

Cosa è di tendenza in #Unga Lishe? I video Reels più visti e i contenuti virali sono in evidenza sopra.

Categorie Popolari

📹 Tendenze Video: Scopri gli ultimi Reels e video virali

📈 Strategia Hashtag: Esplora le opzioni di hashtag di tendenza per i tuoi contenuti

🌟 Creator in Evidenza: @restybura_, @malkiafoods, @vuls_kitchen e altri guidano la community

Domande Frequenti Su #Unga Lishe

Con Pictame, puoi sfogliare tutti i reels e i video #Unga Lishe senza accedere a Instagram. Nessun account richiesto e la tua attività rimane privata.

Analisi delle Performance

Analisi di 12 reel

✅ Competizione Moderata

💡 I post top ottengono in media 36.7K visualizzazioni (2.8x sopra media)

Posta regolarmente 3-5x/settimana in orari attivi

Suggerimenti per la Creazione di Contenuti e Strategia

🔥 #Unga Lishe mostra alto potenziale di engagement - posta strategicamente negli orari di punta

✨ Molti creator verificati sono attivi (25%) - studia il loro stile di contenuto

📹 I video verticali di alta qualità (9:16) funzionano meglio per #Unga Lishe - usa una buona illuminazione e audio chiaro

✍️ Didascalie dettagliate con storia funzionano bene - lunghezza media 523 caratteri

Ricerche Popolari Relative a #Unga Lishe

🎬Per Amanti dei Video

Unga Lishe ReelsGuardare Unga Lishe Video

📈Per Cercatori di Strategia

Unga Lishe Hashtag di TendenzaMigliori Unga Lishe Hashtag

🌟Esplora di Più

Esplorare Unga Lishe#lish#lishe#unga#lishing#lishé#label unga wa lishe#lish lish#unga unga