
83.3K
ZINgoma ambayo kwangu mimi ndo ilionifanya nikamjua Stamina. Ngoma iliyokuwa imebeba mengi sana yaliyoko kwenye mioyo ya Watanzania wengi wa hali ya chini. Mavoko akishakuwa kwenye chorus, basi lazima uwe na hit kwenye mikono yako. Mojawapo ya kolabo bora kabisa. Ulikuwa wapi ilivyotoka hii?
Track: Kabwela
Artists: Stamina ft Rich Mavoko
Producer: Kevy
Year released: 2011
#zilipendwabongo
#zilipendwahiphop
#bongofleva
@zilipendwa_bongo










