
5.1K
AHCar keys programming tunaprogram funguo za magari zinazotumia sensor na remote, kama unahitaji funguo ya ziada kwa usalama zaidi wa gari yako au hata kama umepoteza kabisa tunaweza tukakufanyia program na kuirudishia kama ilivyokuja kutoka kiwandani
Pia tunazo housing za magari ya aina zote
Alarm system na keyless system
CAR KEYS PROGRAMMING ENJOY THE DIFFERENCE
@ahmed_auto_electronic










