
6.7K
FIKumekucha! Huu ni muda wa taarifa muhimu kuhusu maendeleo ya site yetu hapa Mpiji Kibaha.
Hatua ya zege tayari imekamilika, na sasa tunaendelea na hatua inayofuata ya plaster kali ya kisasa inayofanywa na wataalamu wa @finishingmaster. Tunahakikisha kila hatua ya ujenzi inafanyika kwa umakini, ubora na teknolojia za kisasa ili kupata nyumba imara na yenye muonekano wa kisasa.
Kwa huduma bora za ujenzi na finishing, wasiliana nasi kupitia namba zetu:
📞 🇹🇿 Tanzania: +255 659 410 501
📞 🇰🇪 Kenya: +254 105 073 201
📞 🇺🇬 Uganda: +256 793 073 926
Karibu sana Finishing Master – Ubora unaoonekana!
@finishingmaster










