
3.0K
KITUNAUZA KWARE WAKUBWA KWAJILI YA KUFUGA NA KULA AU KUPATA MAYAI.
Call/Text/ WhatsApp: +255 712 25 31 02
@joackcompany @mifugo_tz @kilimo_tz @afyakiganjani @joackagrovet @joackanimalclinic
Muda wetu wa kazi ni saa 1 Asubuhi hadi saa 5 Usiku (7:00am - 11:00pm)
Ofisi zetu zipo Tegeta Wazohill-Dar es salaam na Bagamoyo.
FAHAMU KWA UCHACHE KUHUSU NDEGE AINA YA KWARE | HAWA TUNAO HAPA - DSM
Kware ni ndege mdogo mwenye asili ya toka huko Japan. Wakiwa mwituni kware ni ndege wanaohama hama na kuishi mashambani.
Rangi ya kware huyu wa mjapan ni yenye madoadoa ya kahawia meupe na meusi yanayoanzia kichwani mwake na hadi mkiani tumboni akiwa na rangi ya kahawia hafifu.
kware pia wanapatikana katika rangi tofauti kama nyeupe tupu, au nyeupe na nyeusi, Kware mkubwa anaweza kuwa na uzito upatao wa gramu 150.
#kware #ndege #ndegeainayakware #quial #birds #ufugajiwakware #kwarewanauzwa #wauzajiwakware #mayaiyakware #nyamayakware #ufugajiwakwale #kwale #mayaiyakwale
Office zetu zipo @tegetawazohill -Barabara ya kwenda kiwanda cha twigacement, opposite na kota za kiwanda - Dar es salaam, Kwa wanaohitaji bidhaa zetu au huduma yoyote fika ofisini au wasilina nasi kwa
Simu:
+255 712 25 31 02 (WhatsApp)
+255 692 43 02 63
Email:
mifugotz@gmail.com
YouTube: https://youtu.be/Yd1kfmho0ac
Website link: https://joackcompany.business.site/
Google location: https://maps.app.goo.gl/C2XiH7ppmYe6pq7Q9
#joackcompany #joackvetshop #mifugo #kilimo #poultry #kuku #kuroiler #mbuzi #daressalaam #morogoro #bata #kuchi #ufugaji #kilimoufugaji #dodoma #tanzania #tanzania🇹🇿
JOACK COMPANY LTD| DSM & BAGAMOYO
@kilimo_tz










