
2.5K
NAMachi ni Mwezi wa Wanawake, muda wa kusherehekea uzuri, nguvu na thamani ya mwanamke. 🌸
Kwa ajili ya kusherehekea hili, tunatoa punguzo maalum kwa mtindo wa Micro Twist mwezi huu.
Kama umekuwa ukifikiria kujaribu mtindo huu mzuri, huu ndio wakati sahihi.
. Tupigie/WhatsApp 0756245121 kufanya booking yako mapema.
.
Tunapatikana Mbezi Beach Africana opposite Braeburn School
.
#nyweleyanguasilia #microtwist #discount
@naturaldivinehairclinic










