
815.8K
WAHALI ILIVYO MUDA HUU MBEZI KWA MSUGURI
Hii Ndio Hali Halisi Ilivyo Mitaa ya Kwa Msuguri Mbezi Jijini Dar Es Salaam Leo Disemba 9, 2025 . Kuna Hali Ya Utulivu kufuatia Maagizo ya Serikali ya Kuwataka Wananchi wasio na Ulazima Wa Kutoka Wabakie Majumbani Kwao, huku hali ya Ulinzi Ikiimarishwa kwenye Barabara ya Morogoro .
🎥✍️ @official_bigben255
#WasafiDigital #WNews
@wasafifm










