
554.3K
HADODOMA: WAZIRI wa Kilimo, Hussein Bashe ametoa tahadhari kwa wote wanaokwamisha maendeleo ya zao la pamba akisema hatomvumilia mkwamishaji yeyote.
-
Akizungumza Mei 22, wakati akihitimisha hoja katika majadiliano ya bajeti ya Wizara ya Kilimo Bashe alisema kwasasa zao la pamba na chai ndio kipaumbele chake.
-
Imeandaliwa na Mwandishi Wetu
-
#HabarileoUPDATES
@habarileo_tz










