
15.6K
MOKwa ninavyo elewa ni kwamba sisi wananchi wa kawaida wakrisoto kwa waislam ni kitu kimoja, tunaishi wote kwa amani kabisa na wengine ni ndugu kabisa wa damu toka nitoke baba mmoja mama mmoja na hakuna anaye weza kutugombanisha. Ifike pahala viongozi wetu wa dini wamalize tofauti zao. Ila huku kwa wananchi tutaendelea kupendana na kusimama pamoja💪🏾💪🏾💪🏾. Let’s join our hands together and pray for our nation Tanzania 🇹🇿 #IPDE 🙏🏾🙏🏾🙏🏾
@moris_escobar_255










