
1.6K
AZ𝐌𝐊𝐀𝐍𝐃𝐀 𝐖𝐀 𝐉𝐔𝐌𝐀𝐌𝐎𝐒𝐈 𝐇𝐈𝐈 𝐍𝐈 𝐂𝐀𝐒𝐓𝐋𝐄 𝐅𝐀𝐋𝐋𝐒 (𝟐𝟎𝟐𝟏)
Ungana nao @rajab_mbogo @amanikilaha na @ilhamrashid14 Jumamosi hii kuanzia saa 3:00 usiku kupitia kipindi cha #Mkanda cha #animeart zamTWO, ambapo wikiendi hii wataichambua na kuinyumbua filamu ya Castle Falls, usipange kukosa wala kuhadithiwa ilikuwaje.
#AzamTVBurudaniKwaWote
@azamtvburudani










