#Samweli

世界中の人々によるSamweliに関する200+件のリール動画を視聴。

ログインせずに匿名で視聴。

200+ posts
NewTrendingViral

トレンドリール

(12)
#Samweli Reel by @maungajr_17 - Hata nyie wenyewe sio mnasikia anavyosema mwamba James Samweli kuwa sio Offside.

Mnyama kanyongwa na refa.

Follow @maungajr_17 

#maungajr 
#viralre
764
MA
@maungajr_17
Hata nyie wenyewe sio mnasikia anavyosema mwamba James Samweli kuwa sio Offside. Mnyama kanyongwa na refa. Follow @maungajr_17 #maungajr #viralreels #viralvideos #viralpost #simbasctanzania
#Samweli Reel by @kipato_junior - Wakati wa kutimiza majukumu yake mama mwanaume wa kazi mpaka kitambaa cha unahodha kilimvuka na kudondoka chini🤔🤔

  Na hapa wakati okello anajianda
31.5K
KI
@kipato_junior
Wakati wa kutimiza majukumu yake mama mwanaume wa kazi mpaka kitambaa cha unahodha kilimvuka na kudondoka chini🤔🤔 Na hapa wakati okello anajiandaa kupiga mpira bila kujali hatari itayoenda kutokea mwanaume alienda kutia kichwa Alisikika James samweli akisema tu sura sio roho 😃😃 Captain @rushine23_rd3 🫡🫡🫡
#Samweli Reel by @mcbaruti_ - Hongereni Sana Samwel 🌹🌹 Sophia Mungu Awabariki Mimi Na Timu Nzima Tunasema Asanteni Sana Kwa Kutuleta Kenya 🇰🇪 Hakika Historia Imeandikwa #SS2025
15.9K
MC
@mcbaruti_
Hongereni Sana Samwel 🌹🌹 Sophia Mungu Awabariki Mimi Na Timu Nzima Tunasema Asanteni Sana Kwa Kutuleta Kenya 🇰🇪 Hakika Historia Imeandikwa #SS2025🎤 Host @mcbaruti_ Photographer @_infinite_chris Director Of Photography @impressstudioweddings Wedding Planner || Diamond Events Africa Cake @sweetntasty_kenya Food & Catering @persiscakesandcaterers Decor @luxe.and.allure Bride’s Dress @bibi_harusi_ Sound system || red_carpet&entertainments Groom @s_m.chacha Bride @_mosoba_ Ushers @amoreusheringservices_254 Bride’s Make Up @glam.by_grace254 County || Kenya 🇰🇪
#Samweli Reel by @handmadestore_tz - 27.12.2025 MY BIG DAY 💍🙏

1Samweli 7:12 "Ndipo Samweli akatwaa jiwe, na kulisimamisha kati ya Mispa na Sheni, akaliita jina lake Ebenezeri, akisema,
129.3K
HA
@handmadestore_tz
27.12.2025 MY BIG DAY 💍🙏 1Samweli 7:12 “Ndipo Samweli akatwaa jiwe, na kulisimamisha kati ya Mispa na Sheni, akaliita jina lake Ebenezeri, akisema, Hata sasa BWANA ametusaidia.”
#Samweli Reel by @gisboy_tz - KUNA HUYU JAMAA @paul_samwel_16  NIMEPITA KWENYE ACCOUNT YAKE 🙌🏾🙌🏾KIDOGO NIMEOGOPA ASEE ..NI ANAJUA SANA 💥🎙️…YAWEZEKANA AKIPEWA SUPPORT ATAKUA M
238
GI
@gisboy_tz
KUNA HUYU JAMAA @paul_samwel_16 NIMEPITA KWENYE ACCOUNT YAKE 🙌🏾🙌🏾KIDOGO NIMEOGOPA ASEE ..NI ANAJUA SANA 💥🎙️…YAWEZEKANA AKIPEWA SUPPORT ATAKUA MTU HATARI SANA HASA KWENYE MAMBO ANAYOPENDA @barnabaclassic …kama mimi nimemuona kwa @rich_msafii 🫡 bro ..so kupitia ivo kuna mwingine anatamuona kupitia mtu mwingine tumpe love kubwa …wenda ikawa ndo AJIRA yake mungu kampangia 🙏 … @paul_samwel_16 KEEP IT UP BROTHER WE NI MTU HATARI SANA ASEEE 🙌🏾🙌🏾🔥😔💥 ..NIMESHANGAA SANA ILO VOCAL 💥💥💥
#Samweli Reel by @sisimedia_tz - Samweli John Kutoka Malangali ameshes elimu nzuri sana ameandika "Unachoona ni Nyumba moja ambayo inatumia bomba moja kubwa linalosambaza maji kwenye
1.5K
SI
@sisimedia_tz
Samweli John Kutoka Malangali ameshes elimu nzuri sana ameandika "Unachoona ni Nyumba moja ambayo inatumia bomba moja kubwa linalosambaza maji kwenye nyumba zaidi ya tatu kutokana na mvua kukithiri bomba kubwa lilikuwa limeharibika na kuanza kuruhusu maji na mchanga kuingia hivyo kusababisha nyumba zote kupata maji machafu. Mwanzoni tulijua ni Maji ndio yamekuja machafu lakini kabla ya kuwaita Idara ya kaji tukaamua kuchunguza mambomba yote tukagundua ni Bomba kubwa limepasuka ndio linaruhusu uchafu" CHAKUJIFUNZA: kabla hujakimbilia kutoa lawama fanya utafiti hata kidogo kuna watu wengine wangekimbilia kutoa lawama kwa Idara ya Maji kumbe tatizo ni la Nyumba yao binafsi. #waterfalls #environment
#Samweli Reel by @taimediatv - #MICHEZO Mtumishi wa Mungu, Nabii Denis Samweli , wa huduma ya Wokovu, Ukombozi na Unabii kwa wote, ametabiri Klabu ya Simba itachukua kombe katika ms
600
TA
@taimediatv
#MICHEZO Mtumishi wa Mungu, Nabii Denis Samweli , wa huduma ya Wokovu, Ukombozi na Unabii kwa wote, ametabiri Klabu ya Simba itachukua kombe katika msimu wa ligi kuu 2025/2026. Mara ya mwisho Simba Sports Club kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara ilikuwa msimu wa 2020–21, ambapo wametwaa taji hilo kama mabingwa wa ligi. ✍🏿 @mariamshabanitz #taimweusi🦅 #taimedia #taimediatz #taimediatv #tanzania
#Samweli Reel by @pmtvtwo_ - Mwanamuziki Nandy ameahidi kukutana na Mtumishi wa Mungu ambae anachangamoto ya Miguu @paul_samwel_16 hivi karibuni hii ikiwa ni baada ya Paul Samweli
12.0K
PM
@pmtvtwo_
Mwanamuziki Nandy ameahidi kukutana na Mtumishi wa Mungu ambae anachangamoto ya Miguu @paul_samwel_16 hivi karibuni hii ikiwa ni baada ya Paul Samweli kuonekana akiimba wimbo wa #ASANTE ambao ni wimbo mpya wa Nandy uliobeba ujumbe wa Shukrani kwa Mungu lakini pia Matumaini #PmtvUpdates #Kiburudanizaidi
#Samweli Reel by @tbc_online (verified account) - Msanii wa vichekesho nchini, Eliud Samweli amemvunja mbavu Rais Samia Suluhu Hassan kutokana vichekesho vyake ambavyo vimeupamba usiku wa Tuzo za Sami
113.2K
TB
@tbc_online
Msanii wa vichekesho nchini, Eliud Samweli amemvunja mbavu Rais Samia Suluhu Hassan kutokana vichekesho vyake ambavyo vimeupamba usiku wa Tuzo za Samia Kalamu Awards, hafla inayofanyika kwenye ukumbi wa Super Dome, Masaki mkoani Dar es Salaam.
#Samweli Reel by @wasafifm (verified account) - MWANACHUO ANAYEJISOMESHA AANZA KUBADILI MAISHA YA FAMILIA YAO, AJENGA CHOO CHA MILIONI 4

Mwanafunzi wa Chuo Samweli Wilson aijengea Familia yao Choo
374.5K
WA
@wasafifm
MWANACHUO ANAYEJISOMESHA AANZA KUBADILI MAISHA YA FAMILIA YAO, AJENGA CHOO CHA MILIONI 4 Mwanafunzi wa Chuo Samweli Wilson aijengea Familia yao Choo cha Milioni 4 na nusu, mkakati wa mkakati wa miaka mitano wa kubadilisha maisha ya familia yao. @profit_mmanga #WasafiDigital
#Samweli Reel by @millardayo (verified account) - VIDEO: Mwigizaji Jackline Wolper @wolperstylish sasa ni rasmi atatambulika kama Mrs. Richard Samweli Bruno na hii ni baada ya kufunga ndoa na Mwanamit
242.6K
MI
@millardayo
VIDEO: Mwigizaji Jackline Wolper @wolperstylish sasa ni rasmi atatambulika kama Mrs. Richard Samweli Bruno na hii ni baada ya kufunga ndoa na Mwanamitindo Richard Bruno @richmitindo katika Kanisa katoliki la St. Peter’s Ostarbey Jijini Dar es salaam. #MillardAyoUPDATES
#Samweli Reel by @apostle_nick_shaboka (verified account) - KATAA KU KATISHWA TAMAA NA CHOCHOTE MWAKA HUU.

"Naye Daudi akafadhaika sana; kwa sababu watu walikuwa wakisema kwamba apigwe kwa mawe, kwa maana nafs
7.2K
AP
@apostle_nick_shaboka
KATAA KU KATISHWA TAMAA NA CHOCHOTE MWAKA HUU. “Naye Daudi akafadhaika sana; kwa sababu watu walikuwa wakisema kwamba apigwe kwa mawe, kwa maana nafsi za hao watu wote walisononeka, kila mtu kwa ajili ya wanawe na binti zake; lakini Daudi alijitia nguvu katika BWANA, Mungu wake.” ‭‭1 Sam‬weli 30‬:‭6‬ ‭SUV‬‬ TUNAENDELEA NA MAOMBI SIKU 21, TUNAKUTANA KANISANI KILA SIKU JIONI SAA 12 KUHITIMISHA KWA PAMOJA NA KUSHIRIKI KUUMEGA MKATE PAMOJA. KARIBU. TUPO MBEZI BEACH MAKONDE JIRANI NA SHULE YA LIBERMAN. @apostle_nick_shaboka #madhabahuyamoto #0755311004 #2026aboveonly

✨ #Samweli発見ガイド

Instagramには#Samweliの下に200+件の投稿があり、プラットフォームで最も活気のあるビジュアルエコシステムの1つを作り出しています。

Instagramの膨大な#Samweliコレクションには、今日最も魅力的な動画が掲載されています。@wasafifm, @millardayo and @handmadestore_tzや他のクリエイティブなプロデューサーからのコンテンツは、世界中で200+件の投稿に達しました。

#Samweliで何がトレンドですか?最も視聴されたReels動画とバイラルコンテンツが上部に掲載されています。

人気カテゴリー

📹 ビデオトレンド: 最新のReelsとバイラル動画を発見

📈 ハッシュタグ戦略: コンテンツのトレンドハッシュタグオプションを探索

🌟 注目のクリエイター: @wasafifm, @millardayo, @handmadestore_tzなどがコミュニティをリード

#Samweliについてのよくある質問

Pictameを使用すれば、Instagramにログインせずに#Samweliのすべてのリールと動画を閲覧できます。あなたの視聴活動は完全にプライベートです。ハッシュタグを検索して、トレンドコンテンツをすぐに探索開始できます。

パフォーマンス分析

12リールの分析

✅ 中程度の競争

💡 トップ投稿は平均214.9K回の再生(平均の2.8倍)

週3-5回、活動時間に定期的に投稿

コンテンツ作成のヒントと戦略

💡 トップコンテンツは10K以上再生回数を獲得 - 最初の3秒に集中

✨ 多くの認証済みクリエイターが活動中(33%) - コンテンツスタイルを研究

📹 #Samweliには高品質な縦型動画(9:16)が最適 - 良い照明とクリアな音声を使用

✍️ ストーリー性のある詳細なキャプションが効果的 - 平均長380文字

#Samweli に関連する人気検索

🎬動画愛好家向け

Samweli ReelsSamweli動画を見る

📈戦略探求者向け

Samweliトレンドハッシュタグ最高のSamweliハッシュタグ

🌟もっと探索

Samweliを探索#samw#maana ya jina samweli#is heavy cream and heavy whipping cream the samw#samweli etoo#is wifi and i ternet samw#paul samweli