
1.3K
CCVideo Calling smart camera (2in 1) Now available in Stock
Price; 65,000/=
-Hii ni Wifi camera, uzuri wa hii camera ni kwamba unawezakupiga video call ukawaona nyumbani na wewe wakakuona pia( wanaweza kupiga wao au wewe ukawapigia)
-inakuja na wireless remote control call
-Ina camera ya kawaida ambayo utaendelea kuangalia matukio kama kawaida ukiwa popote pale.
-kwa wale wenye watoto nyumbani au Wazee hii inafaa sana unaweza kuwasiliana nao mda wowote na popote pale
Call/Whatsaap 0719640182
Shop location; Sinza Madukani
@cctvexpert_tz










