
312
TMWAITARA KUTOA HOJA YA DHARURA BUNGENI, NI KUHUSU BEI MPYA ZA MAFUTA 'GHARAMA ZA MAISHA ZITAPANDA TUNATAKA MAJIBU'
Kufuatia tangazo la EWURA kutangaza mabadiliko ya bei mpya ya mafuta Mbunge wa Tarime Vijijini Mwita Waitara amesema kuwa kupanda kwa bei ya mafuta kunaweza kuongeza gharama za maisha, kuathiri bajeti ya nchi, na kusababisha changamoto kubwa kiuchumi, hivyo kusisitiza umuhimu wa serikali kujitafakari na kuchukua hatua za haraka kulinda maslahi ya wananchi#tmcnews565#BeiZaMafuta #GharamaZaMaisha #Waitara #Bunge Uchumi Tanzania
Una maoni gani kuhusu habari hii?
Andika maoni yako kwenye comment hapa chini.
Usisahau kulike video, kushare, na ku-Subscribe kwenye channel yetu ya @tmcnewsmedia
@tmcnewsmedia










