#Joack

Assista vídeos de Reels sobre Joack de pessoas de todo o mundo.

Assista anonimamente sem fazer login.

Pesquisas Relacionadas

Reels em Alta

(12)
#Joack Reel by @mifugokilimo - UFUGAJI WA KISASA WA KUKU UNAANZA NA MIUNDOMBINU SAHIHI

Call/Text/WhatsApp: +255 712 25 31 02

Follow Us On....
@joackcompany @mifugo_tz @kilimo_tz @
3.4K
MI
@mifugokilimo
UFUGAJI WA KISASA WA KUKU UNAANZA NA MIUNDOMBINU SAHIHI Call/Text/WhatsApp: +255 712 25 31 02 Follow Us On.... @joackcompany @mifugo_tz @kilimo_tz @afyakiganjani @joackagrovet @joackvetclinic @joackanimalclinic @joackmachinery @mabandayamifugo Tupo wazi kuanzia saa 1 Asubuhi hadi saa 5 Usiku. JOACK COMPANY LTD tunatoa huduma kamili za kubuni na kutengeneza mabanda ya kuku ya kisasa kulingana na mahitaji ya mfugaji na kiwango cha uzalishaji unachotaka. Huduma zetu zinajumuisha: • Kuchora ramani za mabanda ya kuku kwa usahihi wa kitaalamu • Ujenzi wa banda kuanzia mwanzo hadi mwisho • Kufunga mifumo ya kisasa ya chakula (automatic feeding systems) • Kufunga mifumo ya joto na uingizaji hewa (heating & ventilation systems) • Ushauri wa kitaalamu kwa ufugaji wenye tija Lengo letu ni kuhakikisha banda lako linakuwa na mazingira bora ya ukuaji wa kuku, matumizi sahihi ya nafasi, na uzalishaji mkubwa. Wasiliana nasi tukusaidie kujenga mradi wa ufugaji wa kuku wenye tija na wa kisasa. #ujenziwamabanda #mabandayamifugo #PoultryFarming #KukuWaNyama #KukuWaMayai PoultryHouseDesign AgribusinessTanzania SmartFarming KilimoNaUfugaji ModernPoultryFarm TanzaniaFarming Office zetu zipo @TegetaWazohill - Barabara ya kwenda kiwanda cha twigacement, opposite na kota za kiwanda - Dar es salaam, Kwa wanaohitaji bidhaa zetu au huduma yoyote fika ofisini au wasilina nasi kwa Simu: +255 712 25 31 02 (WhatsApp) +255 692 43 02 63 Email: info@joack.co.tz YouTube: https://youtu.be/Yd1kfmho0ac Website link: https://joackcompany.business.site/ Google location: https://maps.app.goo.gl/C2XiH7ppmYe6pq7Q9 FoodChopper MashineYaKukatiaChakula UfugajiWaKuku LisheBoraKwaKuku WafugajiWaKuku ChakulaChaKuku KilimoBiashara JOACKCompany MashineZaUfugaji UfugajiBora BeiNafuu KukuWaMayai KukuWaNyama KuwaMjasiriamali tanzania dodoma mifugo kilimo Welcome JOACK COMPANY LTD
#Joack Reel by @tegetawazohill - HAKUNA KUWEKA ODA LIPA NA KUCHUKUA, MABANDA YA KUKU YA KUHAMISHIKA, MABANDA YA CHUMA NA MBAO.

JOACK MOVABLE LIVESTOCK HOUSES

Call/Text/WhatsApp: +25
1.1K
TE
@tegetawazohill
HAKUNA KUWEKA ODA LIPA NA KUCHUKUA, MABANDA YA KUKU YA KUHAMISHIKA, MABANDA YA CHUMA NA MBAO. JOACK MOVABLE LIVESTOCK HOUSES Call/Text/WhatsApp: +255 3712 253 102 @joackcompany @mifugo_tz @kilimo_tz @joackanimalclinic JOACK MOVABLE LIVESTOCK HOUSES - Haya ni mabanda ya mifugo ambayo yametengenezwa kwa chuma na mbao. - Ni mabanda ambayo yanatumika kufugia mifugo mbalimbali kama kuku, sungura, kwale, kanga, nk. - Ni mabanda yanayoweza kuhamishika kutoka sehemu moja kwenda nyingine, hivyo ni mazuri hata kama upo kwenye nyumba za kupanga. - Kwa jinsi tulivyo yatengeneza ni rahisi sana kuhamishika. - Haya ni mabanda ya kisasa yanayo chukua kuku wengi ndani ya eneo dogo, kwasababu unaweza kufuga kuku wako juu na chini. - Ukitumia mabanda haya hakuna changamoto ya magonjwa kwasababu kuku hagusi uchafu, yanasehemu maalumu ya kutolea mbolea. - Kama umepanga mahali na unapenda kufuga haya mabanda yanakufaa maana utapo hama unahama na banda lako. - Kama hauna sehemu ya kutosha kujenga mabanda makubwa na unatamani kufuga kuku wachache kwa lengo la biashara na kitoweo bado yanafaa haya mabanda. - Ila tunashauri usifuge kuku kama sehemu ya kula tu wewe, fuga kuku kibiasha, #zalishazaidi #surplus, na kilichozidi kiweke sokoni. - Kama utafuga kibiashara utaongeza uchumi wako kama mfugaji, uchumi wa nchi na bila kusahau kwamba utakuwa umeongeza ajira katika mnyororo huo wa thamani. - Wasiliana nasi ili kupata haya mabanda lakini pia utapewa na ushauri wa kitaalamu kuhusiana na ufugaji kibiashara, pia utapata fursa ya kuunganishwa na soko. #mabandayakuku #mabandayamifugo #ufugaji mabandayakuhamishika kilimobiashara poultryhouse ujenziwamabanda mabandayakukuyanauzwa tunauzamabanda mabandayambao TUNAPATIKANA WAZO - DAR ES SALAAM (@TegetaWazohill) Barabara ya kiwanda cha twigacement, opposite na kota za kiwanda. Simu: +255 712 25 31 02(WhatsApp) +255 692 43 02 63 Email: info@joack.co.tz Website link: https://joack.co.tz joackcompany mifugo mifugotz kilimotz kilimo ufugaji kuku broiler tanzania mifugozazibar kukuchotara kukuwakienyeji dodoma tanzania morogoro dodoma tanzania🇹🇿!' JOACK MOVABLE LIVESTOCK HOUSES....
#Joack Reel by @mr_mwanya (verified account) - MABANDA YA KUKU YA CHUMA - UBORA WA JUU (JOACK)

Tunatengeneza mabanda ya kuku ya chuma imara, salama na ya kisasa. Yanafaa hata kwa nyumba za kupanga
9.2K
MR
@mr_mwanya
MABANDA YA KUKU YA CHUMA – UBORA WA JUU (JOACK) Tunatengeneza mabanda ya kuku ya chuma imara, salama na ya kisasa. Yanafaa hata kwa nyumba za kupanga (portable & custom size). ✔ Hayaozi, yanavumilia jua na mvua ✔ Salama dhidi ya wanyama na wizi ✔ Huongeza uzalishaji ✔ Lifespan ndefu 📍 Tegeta–Wazohill (Dar es Salaam) & Bagamoyo 🕐 7:00am – 11:00pm 📞 +255 712 25 31 02 | +255 692 43 02 63 📲 Instagram: @joackcompany JOACK – Ubora na Uaminifu kwa mfugaji wa kisasa.
#Joack Reel by @kilimo_tz - POWER TILLER IMARA KWA KAZI NZITO ZA SHAMBA 🌾⚙️ ZIPO POWERTILLER KUBWA NA NDOGO

Call/Text/WhatsApp: +255 712 25 31 02

@joackcompany @mifugo_tz @kil
3.4K
KI
@kilimo_tz
POWER TILLER IMARA KWA KAZI NZITO ZA SHAMBA 🌾⚙️ ZIPO POWERTILLER KUBWA NA NDOGO Call/Text/WhatsApp: +255 712 25 31 02 @joackcompany @mifugo_tz @kilimo_tz @afyakiganjani @joackagrovet @joackanimalclinic @joackbagamoyo Muda wetu wa kazi ni saa 1 Asubuhi hadi saa 5 Usiku (7:00am - 11:00pm) Ofisi zetu zipo Tegeta Wazohill-Dar es salaam na Bagamoyo. JOACK tunakuletea power tiller zenye nguvu, matumizi madogo ya mafuta na uwezo mkubwa wa kulima aina zote za udongo. Zinafaa kwa kilimo cha mpunga, mahindi, mbogamboga na mashamba ya ukubwa wa kati hadi mkubwa. AINA ZILIZOPO: Petrol 7HP Diesel 8HP RT 140 Diesel 14HP ZT 140 Diesel 14HP ZT 140 Plus Diesel 14HP (Macho ya panzi – taa nyembamba) Diesel ZT 15.5HP BRAND ZILIZOPO: • Kuboer • Toyo • Swami • Kobuta • Tota • Kubota • Hirota • Kobuta • Na nyinginezo kulingana na upatikanaji wa stoo KILA POWER TILLER UNAYONUNUA UNAPATA: ✔️ Majembe matatu ya chuma ✔️ Tyre za mpira ✔️ Tyre za chuma ✔️ Usafiri BURE kwenda mkoa wowote (OFA YA MUDA MFUPI) Chagua nguvu unayohitaji, sisi tunakuletea mashine yenye ubora, uimara na ufanisi wa kazi shambani. Wasiliana nasi sasa kwa bei na maelezo zaidi. #JOACK #PowerTiller #KilimoBiashara #KilimoChaKisasa #MashineZaKilimo FarmMechanization Tanzania joackmashine powertiller powertillerkubwa Mashineyakulimia kubota Mashinezakilimo Mashineyaparaza mashinezakulima amec kubotapowertiller amecpowertiller mashinezakupalilia kilimochampunga kilimochakisasa Office zetu zipo @tegetawazohill -Barabara ya kwenda kiwanda cha twigacement, opposite na kota za kiwanda - Dar es salaam, Kwa wanaohitaji bidhaa zetu au huduma yoyote fika ofisini au wasilina nasi kwa Simu: +255 712 253 102 (WhatsApp) +255 692 43 02 63 Email: info@joack.co.tz YouTube: https://youtu.be/UxLyLqHtfnw Website link: https://joack.co.tz joackcompany Kilimo kilimotz mifugo mifugotz mbogamboga tanzania🇹🇿 kilimo tanzania papai nyanya vitunguu daressalaam morogoro dodoma JOACK Company LTD | DSM & BAGAMOYO
#Joack Reel by @joackanimalfeeds - ONGEZA UTAGAJI MPAKA ASILIMIA TISINI  NA FAIDA KWENYE UFUGAJI WAKO NA JOACK ANIMAL FEEDS.

Call/Text/WhatsApp: +255 712 25 31 02

@joackcompany @kilim
1.4K
JO
@joackanimalfeeds
ONGEZA UTAGAJI MPAKA ASILIMIA TISINI NA FAIDA KWENYE UFUGAJI WAKO NA JOACK ANIMAL FEEDS. Call/Text/WhatsApp: +255 712 25 31 02 @joackcompany @kilimo_tz @mifugo_tz @afyakiganjani @joackagrovet @joackbagamoyo @joackanimalclinic Muda wa kazi: Saa 1 Asubuhi hadi saa 5 Usiku Ofisi zetu zipo: Dar es salaam na Bagamoyo. Sisi hatuuzi chakula tu. Tunauza MATOKEO. JOACK ANIMAL FEED imeandaliwa kwa viwango sahihi vya lishe ili kuhakikisha: • Vifaranga wanakua haraka na kwa afya (Starter Mash) • Kuku wanapata ukuaji imara na uzito sahihi (Grower Mash) • Kuku wa mayai wanazalisha kwa wingi na ubora (Layers Mash) Kila mfuko umezingatia ubora wa malighafi, uwiano sahihi wa protini, nishati, vitamini na madini ili kuongeza tija kwenye banda lako. Ukichagua JOACK, unachagua: ✓ Ufanisi ✓ Uzalishaji wa juu ✓ Faida inayoonekana Piga simu: +255 712 253 102 Tembelea: www.joack.co.tz⁠ JOACK COMPANY LIMITED Transparency. Transformation. Technology. #chakulachakuku #chakulachamifugo #chakulachakukuwamayai #jo
#Joack Reel by @joackagrovet - MASHINE YA KUFUNGA SILAGE (SILAGE BALER MACHINE)

Call/Text/WhatsApp: +255 712 25 31 02

Follow Us;
@joackcompany @kilimo_tz @mifugo_tz  @joackagrovet
5.5K
JO
@joackagrovet
MASHINE YA KUFUNGA SILAGE (SILAGE BALER MACHINE) Call/Text/WhatsApp: +255 712 25 31 02 Follow Us; @joackcompany @kilimo_tz @mifugo_tz @joackagrovet @joackanimalclinic @joackbagamoyo @joackmachinery @mabandayamifugo Muda wetu wa kazi ni saa 1 Asubuhi hadi saa 5 Usiku (7:00am - 11:00pm) Ofisi zetu zipo Tegeta Wazohill- DSM na Bagamoyo. Kwa wafugaji wa kisasa, uhifadhi wa malisho bora ni jambo muhimu sana. JOACK tunakuletea mashine ya kufunga silage inayosaidia kufungasha majani ya malisho yaliyokatwa na kuchachushwa ili yahifadhiwe kwa muda mrefu bila kupoteza ubora wake. Mashine hii hufanya kazi zifuatazo: • Hufunga silage kwenye vifurushi vilivyobana vizuri • Hulinda malisho yasiharibike au kuoza • Hurahisisha kuhifadhi na kusafirisha silage • Husaidia wafugaji kuwa na akiba ya malisho kipindi cha kiangazi • Huongeza ufanisi katika usimamizi wa malisho ya mifugo Mashine hii inafaa kwa wafugaji wa ng’ombe wa maziwa, ng’ombe wa nyama, mbuzi na kondoo, pamoja na wawekezaji wa biashara ya malisho ya mifugo. #JOACK #SilageMaking #SilageBaler #UfugajiBora #MalishoYaMifugo Office zetu zipo @tegetawazohill -Barabara ya kwenda kiwanda cha twigacement, oppositw na kota za kiwanda - Dar es salaam, Kwa wanaohitaji aina ng'ombe wa maziwa wasiliana nasi kwa Simu: +255 712 253 102(WhatsApp) +255 692 430 263 Email: mifugotz@gmail.com YouTube: https://youtu.be/Yd1kfmho0ac Website link: https://joackcompany.business.site/ Google location: https://maps.app.goo.gl/C2XiH7ppmYe6pq7Q9 joackcompany Kilimo mifugo ufugaji tanzania mbeya tanga daressalaam morogoro ufugaji kilimoufugaji mwanza arusha iringa dodoma tanzania🇹🇿 JOACK Company LTD | DSM & BAGAMOYO
#Joack Reel by @joackbagamoyo - JOACK COMPANY LTD tuna­tengeneza mashine za manual za kuchakata majani kwa ajili ya mifugo kwa ubunifu na viwango bora vya kitaalamu.

WhatsApp/Call/T
564
JO
@joackbagamoyo
JOACK COMPANY LTD tuna­tengeneza mashine za manual za kuchakata majani kwa ajili ya mifugo kwa ubunifu na viwango bora vya kitaalamu. WhatsApp/Call/Text: +255 712 25 31 02 @joackcompany @kilimo_tz @mifugo_tz @afyakiganjani @joackagrovet @joackanimalclinic @joackbagamoyo Ofisi zetu zipo Tegeta Wazohill-Dar es salaam na Bagamoyo. Masaa ya kazi ni Saa 1 Asubuhi hadi Saa 5 Usiku. Mashine zetu zimetengenezwa ili kumsaidia mfugaji na mkulima kupunguza gharama, kuongeza ufanisi wa kazi, na kupata malisho yaliyokatwa vizuri kwa ng’ombe, mbuzi, kondoo na mifugo mingine. Kwa kuwa ni za mikono (manual), hazihitaji umeme wala mafuta, hivyo zinafaa kutumika popote—mashambani au vijijini. Tunazingatia: Ubora na uimara: Chuma imara, matumizi ya muda mrefu. Ufanisi: Hukata na kuchakata majani kwa haraka na usahihi. Matengenezo rahisi: Muundo mwepesi kusafisha na kutunza. Bei nafuu sana: Rafiki kwa mfugaji wa kawaida bila kushusha ubora. JOACK tunaamini katika ubora, ubunifu, na huduma bora kwa wateja—ndiyo maana mashine zetu ni suluhisho sahihi kwa uchakataji wa malisho kwa gharama ndogo na matokeo makubwa. Office zetu zipo @TegetaWazohill -Barabara ya kwenda kiwanda cha twigacement, opposite na kota za kiwanda - Dar es salaam, Kwa wanaohitaji bidhaa zetu au huduma yoyote fika ofisini au wasilina nasi kwa Simu +255 712 25 31 02 (WhatsApp) +255 692 43 02 63 Email: info@joack.co.tz YouTube: https://youtu.be/Yd1kfmho0ac Website link: https://joackcompany.business.site/ Google location: https://maps.app.goo.gl/C2XiH7ppmYe6pq7 joackcompany mifugo mifugotz kilimotz kilimo ufugaji kuku broiler tanzania daressalaam morogoro tanzania tanzania🇹🇿 mwanza arusha mbeya dodoma JOACK COMPANY LTD | DSM & Bagamoyo
#Joack Reel by @kilimo_tz - JOACK COMPANY LTD - TUNATENGENEZA MABANDA YA KUKU YA CHUMA YA UBORA WA HALI YA JUU

Call/Text/WhatsApp: +255 712 25 31 02

@joackcompany @mifugo_tz @k
3.5K
KI
@kilimo_tz
JOACK COMPANY LTD – TUNATENGENEZA MABANDA YA KUKU YA CHUMA YA UBORA WA HALI YA JUU Call/Text/WhatsApp: +255 712 25 31 02 @joackcompany @mifugo_tz @kilimo_tz @afyakiganjani @joackagrovet @joackanimalclinic @joackbagamoyo Muda wetu wa kazi ni saa 1 Asubuhi hadi saa 5 Usiku (7:00am - 11:00pm) Ofisi zetu zipo Tegeta-Wazohill Dar es salaam na Bagamoyo Katika JOACK, tunabuni na kutengeneza mabanda ya kuku ya chuma (metal poultry cages & houses) yenye uimara, usalama na ufanisi mkubwa kwa ufugaji wa kisasa. Kila banda tunalotengeneza linapitia hatua za kitaalamu kuanzia mchoro, uteuzi wa vifaa, mpaka finishing ili kuhakikisha mfugaji anapata thamani na matokeo ya uhakika. Sifa za Mabanda Yetu 🔩 Muundo wa chuma imara – hauozi, unavumilia mvua na jua. 🪵 Plyboard za ubora kwa kupunguza upepo baridi na kuongeza faraja kwa kuku. 🐔 Wiring yenye nguvu kuhakikisha usalama dhidi ya wanyama walao na wizi. 🌧️ Paa la bati imara linalozuia maji kuingia na kulinda ndege kwa msimu wote. 🔐 Milango yenye locks salama kwa urahisi wa kuingia na kutunza. 🛠️ Finishing ya kitaalamu – inafaa kwa kuku wa mayai, broilers, chotara, vifaranga, hata sungura. Faida kwa Mfugaji Banda linaongeza uzalishaji kwa kudhibiti joto, usalama na usafi. Lifespan ndefu kwa sababu ya vifaa vilivyochaguliwa kitaalamu. Ni banda la kusafirisha na kusimika sehemu yoyote (portable design). Tunatengeneza kulingana na kipimo unachotaka (custom size). JOACK – Ubora, Uaminifu na Huduma BORA kwa mfugaji wa kisasa. #mabandayakuku #bandalakukulachuma #kejizakuku #banda #bandalakuku Office zetu zipo @TegetaWazohill -Barabara ya kwenda kiwanda cha twigacement, opposite na kota za kiwanda - Dar es salaam, Kwa wanaohitaji bidhaa zetu au huduma yoyote fika ofisini au wasilina nasi kwa Simu: +255 712 25 31 02 (WhatsApp) +255 692 43 02 63 Email: mifugotz@gmail.com YouTube: https://youtu.be/Yd1kfmho0ac Website link: https://joackcompany.business.site/ Google location: https://maps.app.goo.gl/C2XiH7ppmYe6pq7Q9 #joackcompany #joackcompany #mifugo #ufugaji #kilimo #pets #daressalaam #mbeya #morogoro #petstore #wanyamawananyumbani #kuku #mbuzi #ngombe #kondoo #friesian #boergoat #borancattle
#Joack Reel by @joackanimalfeeds - JOACK ANIMAL FEEDS LTD - TUNAHUDUMIA WAFUGAJI WOTE WAKUBWA NA WADOGO.

Call/Text/WhatsApp: +255 712 25 31 02

Muda wa kazi: Saa 1 Asubuhi hadi saa 5 U
419
JO
@joackanimalfeeds
JOACK ANIMAL FEEDS LTD - TUNAHUDUMIA WAFUGAJI WOTE WAKUBWA NA WADOGO. Call/Text/WhatsApp: +255 712 25 31 02 Muda wa kazi: Saa 1 Asubuhi hadi saa 5 Usiku Ofisi zetu zipo: Dar es salaam na Bagamoyo. Tunajivunia kuwa mshirika wa karibu wa mfugaji wa kisasa! 🐔🐄🐐 JOACK ANIMAL FEEDS LTD inahudumia wafugaji wadogo, wa kati na wakubwa kwa weledi wa hali ya juu, tukihakikisha unapata matokeo bora kwenye uzalishaji wako kila siku. ✅ Lishe bora na yenye viwango ✅ Ushauri wa kitaalamu wa ufugaji ✅ Huduma ya usimamizi wa shamba ✅ Kuongeza tija na afya ya mifugo Tunajali mafanikio yako – mafanikio yako ndiyo kipaumbele chetu! 📞 Wasiliana nasi leo upate huduma bora zaidi 📍 JOACK COMPANY – Suluhisho la uhakika kwa mfugaji wa kisasa #JoackAnimalFeeds #UfugajiBora #LisheYaMifugo #KilimoNaUfugaji chakulachakuku #chakulachamifugo chakulachakukuwamayai joackanimalfeed chukulachavifaranga layers starter grower finisher pumba mahindi mashudu soya joackcompletelayersfeed vichanganyiovyachakulachamifugo Office zetu zipo @tegetawazohill Barabara ya kwenda kiwanda cha twigacement, opposite na kota za kiwanda - Dar es salaam, Kwa wanaohitaji bidhaa zetu au huduma yoyote fika ofisini au wasilina nasi kwa Simu: +255 712 25 31 02(WhatsApp) +255 692 43 02 63 Email: Info@joack.co.tz Website www.joack.co.tz joackcompay mifugo mifugotz kilimotz kilimo mwanza arusha mbeya dodoma tanzania🇹🇿 ufugaji kukuchotara kukuwanyama ufugajiwakisasa tanzania WELCOME JOACK ANIMAL FEEDS | POULTRY FEEDS
#Joack Reel by @joackagrovet - POWERTILLER (Power Tiller) - Suluhisho la Kisasa kwa Maandalizi ya Shamba 🌱

Call/Text/WhatsApp: +255 712 253 102

Kama JOACK Company, tunatambulisha
3.7K
JO
@joackagrovet
POWERTILLER (Power Tiller) – Suluhisho la Kisasa kwa Maandalizi ya Shamba 🌱 Call/Text/WhatsApp: +255 712 253 102 Kama JOACK Company, tunatambulisha powertiller za aina hii kama mashine imara na yenye ufanisi mkubwa kwa kazi za kilimo, hasa kwa wakulima wadogo na wa kati. Powertiller ni mashine ya kulima inayotumia injini, ikiendeshwa kwa mikono, na hutumika kulima, kuchanganya udongo, kuvunja vifungu vya udongo mgumu na kuandaa shamba kabla ya kupanda. Aina hii ina matairi makubwa yenye mshiko mzuri, hivyo kufanya kazi vizuri hata kwenye ardhi ngumu au yenye mwinuko mdogo. Faida zake ni nyingi. Kwanza, inapunguza sana nguvu kazi na muda wa kulima ikilinganishwa na jembe la mkono. Pili, huandaa udongo kwa ubora mzuri zaidi, jambo linalosaidia miche kukua vizuri. Tatu, ni rahisi kutumia na kutunza, na pia inaweza kuunganishwa na vifaa vingine kama rotavator, plau au trela ndogo kwa matumizi mbalimbali ya shambani. Kwa mkulima anayelenga kuongeza tija na kupunguza gharama za uendeshaji, powertiller ni chaguo sahihi. JOACK tunatoa ushauri wa kitaalamu, mashine bora pamoja na huduma ya baada ya mauzo ili kuhakikisha unapata matokeo halisi shambani. 📍 JOACK Company – Kilimo chenye tija, kwa teknolojia sahihi. #joackmashine #powertiller #powertillerkubwa #Mashineyakulimia #kubota Mashinezakilimo Mashineyaparaza mashinezakulima amec kubotapowertiller amecpowertiller mashinezakupalilia kilimochampunga kilimochakisasa Office zetu zipo @tegetawazohill -Barabara ya kwenda kiwanda cha twigacement, opposite na kota za kiwanda - Dar es salaam, Kwa wanaohitaji bidhaa zetu au huduma yoyote fika ofisini au wasilina nasi kwa Simu: +255 712 253 102 (WhatsApp) +255 692 43 02 63 Email: info@joack.co.tz YouTube: https://youtu.be/UxLyLqHtfnw Website link: https://joack.co.tz joackcompany Kilimo kilimotz mifugo mifugotz mbogamboga tanzania🇹🇿 kilimo tanzania papai nyanya vitunguu daressalaam morogoro dodoma JOACK Company LTD | DSM & BAGAMOYO
#Joack Reel by @mifugokilimo - TUNAUZA MASHINE YA KUPIGA MPUNGA (RICE SHELLER MACHINE) - JOACK

⚙️ UWEZO: TANI 1 KWA SAA

📞 Simu/WhatsApp: +255 712 25 31 02

📲 Mitandao ya kijamii
5.6K
MI
@mifugokilimo
TUNAUZA MASHINE YA KUPIGA MPUNGA (RICE SHELLER MACHINE) – JOACK ⚙️ UWEZO: TANI 1 KWA SAA 📞 Simu/WhatsApp: +255 712 25 31 02 📲 Mitandao ya kijamii: @joackcompany 🕖 Muda wa kazi: Saa 1 Asubuhi hadi Saa 5 Usiku (7:00am – 11:00pm) 📍 Mahali: Tegeta, Dar es Salaam ⸻ Rice Sheller Machine ni mashine ya kisasa na imara kwa ajili ya kupiga mpunga kwa haraka, kwa usafi na kwa ufanisi mkubwa. Inafaa kwa wakulima binafsi, vikundi vya wakulima pamoja na matumizi ya kibiashara. ⚙️ Uwezo wa uzalishaji: Tani 1 kwa saa 🔌 Chanzo cha nguvu: Umeme au Dizeli (kulingana na mahitaji ya mteja) ⸻ Faida za Rice Sheller Machine za JOACK: ✔️ Huongeza kasi ya uzalishaji ✔️ Hupunguza upotevu wa mpunga ✔️ Hutoa mchele safi na wenye ubora wa soko ✔️ Hupunguza gharama za kazi za mikono ✔️ Inafaa kwa matumizi ya mashambani na kibiashara ⸻ 📍 Karibu JOACK – Tegeta, Dar es Salaam 📞 Call/WhatsApp: +255 712 25 31 02 ⸻ #JOACK #RiceShellerMachine #mashineyakupigampunga #mashinezakilimo #kilimokisasa agrimachinery tanzania
#Joack Reel by @joackbagamoyo - MASHINE YA KUCHIMBA MASHIMO. JOACK COMPANY LTD 

Zipo aina mbili;
1. Mashine ya kuchimbia mashimo ya kitoroli
2. Mashine ya kuchimbia mashimo ya mikon
5.9K
JO
@joackbagamoyo
MASHINE YA KUCHIMBA MASHIMO. JOACK COMPANY LTD Zipo aina mbili; 1. Mashine ya kuchimbia mashimo ya kitoroli 2. Mashine ya kuchimbia mashimo ya mikono Call/Text/WhatsApp: +255 712 25 31 02 @joackcompany @mifugo_tz @kilimo_tz @joackagrovet @joackanimalclinic @joackbagamoyo Muda wetu wa kazi ni saa 1 Asubuhi hadi saa 5 Usiku (7:00am - 11:00pm) Hii mashine ni two stroke, na inatumia mafuta ya petrol ili kufanya kazi. Mashine ina uwezo mkubwa wa kuchimba mashimo katika upana na kina cha kutosha kwajili ya kupanda Miche mbalimbali. Faida ya hii mashine ni kwamba unaweza kupanda eneo kubwa ndani ya muda mfupi, na hauitaji wafanyakazi wengi, hivyo inaokoa gharama za uendeshaji. Mashine inatumia mafuta machache sana, hivyo haina gharama kwenye matumizi yake ya kila siku, na faida nyingine ni kwamba unaweza ukawa unaikodisha hii mashine kwa wakulima wenzio. JOACK tunauza na kusambaza mashine zinazoweza kufanya kazi tofatuti tofatuti kwenye maswala ya kilimo. Matumizi ya mashine za kisasa kwenye kilimo ni teknolojia chanya inayoongeza tija kwa mkulima. Baadhi ya hizo mashine za kilimo ni:- 1. Mashine kuchakata mpunga 2. Mashine ya kupukuchua mahindi 3. Mashine ya kukamua mafuta ya alizeti 4. Mashine ya kukoboa Michele 5. Mashine ya paraza 6. Mashine ya kusaga mahindi. 7. Mashine ya kusaga vitu vikavu 8. Mashine ya kuchakata majani 9. Mashine kukata nyasi 10. Mashine ya kupandia mpunga Hizo ni baadhi tu ya mashine tunazo uza, ila ukiitaji mashine yoyote unapata, pia tunaweza kuagiza kutoka nje ya nchi. #joackmashine #mashinezakilimo #kuchimbamashimo #mashineyakuchimbamashimo #Mashineyaalizeti mashineyakupandiamiti Mashineyaparaza Mashineyakusagamahindi mashineyakupandia Mashineyakuchakatamajani Mashineyakukatanyasi Mashineyakupandiampunga Office zetu zipo @tegetawazohill - kwenye barabara ya Wazo, Karibuni na kanisa la KKKT Wazo, opposite na kota za kiwandani cha Twiga Cement Simu: +255 712 25 31 02 (WhatsApp) +255 692 43 02 63 Email: info@joack.co.tz joackcompany Kilimo kilimotz mifugo mifugotz mbogamboga tanzania🇹🇿 kilimo agricultural tanzania papai nyanya vitunguu daressalaam morogoro tango dodoma JOACK Company LTD | DSM & BAGAMOYO

✨ Guia de Descoberta #Joack

O Instagram hospeda thousands of postagens sob #Joack, criando um dos ecossistemas visuais mais vibrantes da plataforma.

#Joack é uma das tendências mais envolventes no Instagram agora. Com mais de thousands of postagens nesta categoria, criadores como @mr_mwanya, @joackbagamoyo and @mifugokilimo estão liderando com seu conteúdo viral. Navegue por esses vídeos populares anonimamente no Pictame.

O que está em alta em #Joack? Os vídeos Reels mais assistidos e o conteúdo viral estão destacados acima.

Categorias Populares

📹 Tendências de Vídeo: Descubra os últimos Reels e vídeos virais

📈 Estratégia de Hashtag: Explore opções de hashtag em alta para seu conteúdo

🌟 Criadores em Destaque: @mr_mwanya, @joackbagamoyo, @mifugokilimo e outros lideram a comunidade

Perguntas Frequentes Sobre #Joack

Com o Pictame, você pode navegar por todos os reels e vídeos de #Joack sem fazer login no Instagram. Nenhuma conta é necessária e sua atividade permanece privada.

Análise de Desempenho

Análise de 12 reels

✅ Competição Moderada

💡 Posts top têm média de 6.5K visualizações (1.8x acima da média)

Publique regularmente 3-5x/semana em horários ativos

Dicas de Criação de Conteúdo e Estratégia

💡 O conteúdo de melhor desempenho recebe 1K+ visualizações - foque nos primeiros 3 segundos

✍️ Legendas detalhadas com história funcionam bem - comprimento médio 1650 caracteres

📹 Vídeos verticais de alta qualidade (9:16) funcionam melhor para #Joack - use boa iluminação e áudio claro

Pesquisas Populares Relacionadas a #Joack

🎬Para Amantes de Vídeo

Joack ReelsAssistir Joack Vídeos

📈Para Buscadores de Estratégia

Joack Hashtags em AltaMelhores Joack Hashtags

🌟Explorar Mais

Explorar Joack#joack company#joacks