#Simiyu

Assista 74K vídeos de Reels sobre Simiyu de pessoas de todo o mundo.

Assista anonimamente sem fazer login.

74K posts
NewTrendingViral

Reels em Alta

(12)
#Simiyu Reel by @mc_rose07 - Kazini kwangu kuna kazi 🙏❤️🥰 Simiyu, Bariadi ,Mwamoto
Mc Rose tulianza ivyo
#wasukumatotheworld
318.4K
MC
@mc_rose07
Kazini kwangu kuna kazi 🙏❤️🥰 Simiyu, Bariadi ,Mwamoto Mc Rose tulianza ivyo #wasukumatotheworld
#Simiyu Reel by @airtel_tanzania (verified account) - Airtel Tumewasha Bariadi, Simiyu!

Kasi ya 4G na 5G imetua rasmi Wilayani Bariadi, Simiyu baada ya kuwasha mnara mpya uliopo Kata ya Masewa.

Sasa ni
2.6K
AI
@airtel_tanzania
Airtel Tumewasha Bariadi, Simiyu! Kasi ya 4G na 5G imetua rasmi Wilayani Bariadi, Simiyu baada ya kuwasha mnara mpya uliopo Kata ya Masewa. Sasa ni wakati wa kufurahia kasi ya kuperuzi na huduma za Airtel Money bila chenga. #AirtelTumewasha#Sustainability#MtandaoKwaWote
#Simiyu Reel by @_mtufitunderground - These rivers aren't famous by luck.
Mara, Simiyu & Lupa are linked to gold for a reason.

Gold follows geology.
Water only reveals it.
Unajua mto wowo
36.3K
_M
@_mtufitunderground
These rivers aren’t famous by luck. Mara, Simiyu & Lupa are linked to gold for a reason. Gold follows geology. Water only reveals it. Unajua mto wowote? Comment below 👇
#Simiyu Reel by @fahh_simiyuofficial - With @mayiwanabwile @black_doll_nelima @joelwandiaka @mourine.misiko .. Get my song on YouTube Faridah simiyu official
142.3K
FA
@fahh_simiyuofficial
With @mayiwanabwile @black_doll_nelima @joelwandiaka @mourine.misiko .. Get my song on YouTube Faridah simiyu official
#Simiyu Reel by @tuskerfc (verified account) - 🗣️| Edwin Simiyu feared his career would be over after suffering concussion during training, early in the year.

But, six months down the line he has
4.3K
TU
@tuskerfc
🗣️| Edwin Simiyu feared his career would be over after suffering concussion during training, early in the year. But, six months down the line he has returned to first team contact training, and he speaks on the journey, the challenges and the relief of wearing his gloves once again.
#Simiyu Reel by @gersonmsigwa (verified account) - Tazama Simiyu ilivyojengwa.

Serikali imetekeleza miradi ya maendeleo iliyobadili Mkoa wa Simiyu kwa maendeleo na ustawi wa wananchi.

#KaziIendelee
20.7K
GE
@gersonmsigwa
Tazama Simiyu ilivyojengwa. Serikali imetekeleza miradi ya maendeleo iliyobadili Mkoa wa Simiyu kwa maendeleo na ustawi wa wananchi. #KaziIendelee
#Simiyu Reel by @ghaflakenya (verified account) - Bunge la Wananchi leader Joakim Simiyu explains how major deals in the country go down on the @ikoninitv Podcast.
69.7K
GH
@ghaflakenya
Bunge la Wananchi leader Joakim Simiyu explains how major deals in the country go down on the @ikoninitv Podcast.
#Simiyu Reel by @kenanikihongosi (verified account) - SIMIYU ASANTENI ❤️

Tumehitimisha ziara Mkoani Simiyu ya Siku tatu na sasa Kazi inaanza Mkoa wa Mwanza Leo Wilaya ya Magu.

#mtumishiwawote🙏
6.6K
KE
@kenanikihongosi
SIMIYU ASANTENI ❤️ Tumehitimisha ziara Mkoani Simiyu ya Siku tatu na sasa Kazi inaanza Mkoa wa Mwanza Leo Wilaya ya Magu. #mtumishiwawote🙏
#Simiyu Reel by @wizara_afyatz (verified account) - TUBADILIKE, TUCHUKUE TAHADHARI YA KUJIKINGA NA MAGONJWA YASIYOAMBUKIZA

Na, WAF-Maswa, Simiyu

Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Florence Samizi, amewataka w
6.5K
WI
@wizara_afyatz
TUBADILIKE, TUCHUKUE TAHADHARI YA KUJIKINGA NA MAGONJWA YASIYOAMBUKIZA Na, WAF-Maswa, Simiyu Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Florence Samizi, amewataka wananchi kubadilika na kuchukua tahadhari dhidi ya magonjwa yasiyo ya kuambukiza ikiwemo shinikizo la damu, kisukari na magonjwa ya moyo kwa kupunguza ulaji usiofaa, kuacha matumizi ya sigara na ugoro pamoja na kupunguza matumizi ya pombe. Dkt. Samizi ametoa wito huo wilayani Maswa mkoani Simiyu wakati wa uzinduzi wa Kituo cha Afya Barikiwa sambamba na maadhimisho ya miaka 10 tangu kuanzishwa kwa kituo hicho, akisisitiza kuwa mabadiliko ya mtindo wa maisha ni msingi wa kujenga Taifa lenye afya bora. Akizungumza katika hafla hiyo, Dkt. Samizi amesema kuwa takribani watu 3,327 nchini wanapatiwa huduma ya kusafisha figo katika vituo vya kutolea huduma za afya, huku idadi ya wananchi wanaokadiriwa kuwa na matatizo ya figo ikizidi watu 12,000. Amesema hali hiyo inaendelea kuiongezea Serikali mzigo mkubwa wa gharama za matibabu na upatikanaji wa dawa kwa ajili ya magonjwa yasiyo ya kuambukiza. Aidha, Dkt. Samizi amesema magonjwa yasiyo ya kuambukiza yameendelea kuwa changamoto kubwa kwa sekta ya afya kutokana na gharama zake, hivyo amewahimiza wananchi kuendelea kuchukua tahadhari mapema kwa kubadili mitindo ya maisha, akisisitiza kuwa kinga ni bora kuliko tiba. Ameongeza kuwa Serikali itaendelea kuimarisha elimu kwa umma kuhusu namna ya kujikinga na magonjwa yasiyo ya kuambukiza ili kupunguza mzigo wa magonjwa kwa wananchi na Taifa kwa ujumla.
#Simiyu Reel by @invest_in_tanzania (verified account) - DC Simalenga Aeleza Hali ya Miundombinu na Fursa za Uwekezaji Mkoa wa Simiyu

Mkuu wa Wilaya Bariadi Mjini Simiyu Mhe. Simon Simalenga ameeleza kuwa M
1.7K
IN
@invest_in_tanzania
DC Simalenga Aeleza Hali ya Miundombinu na Fursa za Uwekezaji Mkoa wa Simiyu Mkuu wa Wilaya Bariadi Mjini Simiyu Mhe. Simon Simalenga ameeleza kuwa Mkoa wa Simiyu una miundombinu ya kutosha na mazingira rafiki ya uwekezaji, hali inayoufanya kuwa miongoni mwa mikoa yenye ushawishi mkubwa kuwekeza. Akizungumza mkoani Simiyu, DC Semalenga alisema pamoja na ardhi ya kutosha kwa ajili ya miradi mbalimbali ya uwekezaji, ikiwemo viwanda, kilimo cha biashara na biashara za kuongeza thamani pia miradi ya umeme na maji inaenda kukamilika hivi karibuni. Alisema mazingira hayo yameiwezesha Simiyu kuwa eneo lenye uwezo mkubwa wa kuvutia wawekezaji, hususan Watanzania, na kuchangia kwa kiasi kikubwa katika ukuaji wa uchumi wa mkoa na taifa kwa ujumla. DC Semalenga alitoa maelezo hayo wakati alipokuwa ameambatana na timu ya Mamlaka ya Uwekezaji na Maeneo Maalum ya Kiuchumi Tanzania (TISEZA), walipotembelea kiwanda cha pamba kinachomilikiwa na mwekezaji wa Kitanzania mkoani Simiyu. Ziara hiyo ilikuwa ni sehemu ya utekelezaji wa Kampeni ya Kitaifa ya Uhamasishaji wa Uwekezaji wa Ndani, inayoendelea kufanyika katika mikoa mbalimbali nchini, ikiwemo Mkoa wa Simiyu. Aliongeza kuwa Serikali ya mkoa iko tayari kushirikiana na wawekezaji, kutoa ushirikiano wa karibu katika masuala ya ardhi na vibali, pamoja na kuhakikisha mazingira salama na rafiki ya uwekezaji yanadumishwa.
#Simiyu Reel by @kenanikihongosi (verified account) - ASANTENI SHINYANGA

Wajibu wetu Chama ni Kuendelea Kusimamia Serikali kikamilifu.

ZIARA LEO INAANZA MKOA WA SIMIYU

#mtumishiwawote🙏
5.0K
KE
@kenanikihongosi
ASANTENI SHINYANGA Wajibu wetu Chama ni Kuendelea Kusimamia Serikali kikamilifu. ZIARA LEO INAANZA MKOA WA SIMIYU #mtumishiwawote🙏
#Simiyu Reel by @ccmtanzania (verified account) - BARIADI - SIMIYU

Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Kenan Kihongosi ameitaka Halmashauri ya Wilaya ya Bari
3.1K
CC
@ccmtanzania
BARIADI - SIMIYU Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Kenan Kihongosi ameitaka Halmashauri ya Wilaya ya Bariadi kuhakikisha wafanyabiashara waliokuwa wakifanya biashara katika eneo la Soko Kuu la Bariadi wanapewa kipaumbele mara baada ya kukamilika kwa ujenzi wa soko hilo. Kihongosi ametoa maelekezo hayo leo Machi 9, 2026 alipokagua ujenzi wa soko hilo linalojengwa eneo la Sima Wilayani Bariadi Mkoa wa Simiyu. Katika ziara hiyo, amemuagiza pia mkandarasi kuongeza kasi ya ujenzi na kuhakikisha mradi unakamilika ndani ya muda wa mkataba ifikapo Februari 3, 2027. Kwa mujibu wa taarifa ya Halmashauri ya Wilaya ya Bariadi, ujenzi wa soko hilo unaogharimu zaidi ya Sh bilioni 26.5 umefikia asilimia 25 na unahusisha pia ujenzi wa barabara za lami zenye urefu wa kilomita 8.6 pamoja na majengo ya ofisi. Soko hilo litakapokamilika litakuwa na maduka 251, vizimba 592, vizimba vya samaki 64 pamoja na maeneo ya mama lishe na baba lishe, maegesho ya magari na miundombinu mingine ya kisasa kwa ajili ya kuboresha shughuli za biashara wilayani humo.

✨ Guia de Descoberta #Simiyu

O Instagram hospeda 74K postagens sob #Simiyu, criando um dos ecossistemas visuais mais vibrantes da plataforma.

Descubra o conteúdo mais recente de #Simiyu sem fazer login. Os reels mais impressionantes sob esta tag, especialmente de @mc_rose07, @fahh_simiyuofficial and @ghaflakenya, estão ganhando atenção massiva.

O que está em alta em #Simiyu? Os vídeos Reels mais assistidos e o conteúdo viral estão destacados acima.

Categorias Populares

📹 Tendências de Vídeo: Descubra os últimos Reels e vídeos virais

📈 Estratégia de Hashtag: Explore opções de hashtag em alta para seu conteúdo

🌟 Criadores em Destaque: @mc_rose07, @fahh_simiyuofficial, @ghaflakenya e outros lideram a comunidade

Perguntas Frequentes Sobre #Simiyu

Com o Pictame, você pode navegar por todos os reels e vídeos de #Simiyu sem fazer login no Instagram. Nenhuma conta é necessária e sua atividade permanece privada.

Análise de Desempenho

Análise de 12 reels

✅ Competição Moderada

💡 Posts top têm média de 141.6K visualizações (2.8x acima da média)

Publique regularmente 3-5x/semana em horários ativos

Dicas de Criação de Conteúdo e Estratégia

💡 O conteúdo de melhor desempenho recebe mais de 10K visualizações - foque nos primeiros 3 segundos

📹 Vídeos verticais de alta qualidade (9:16) funcionam melhor para #Simiyu - use boa iluminação e áudio claro

✨ Muitos criadores verificados estão ativos (75%) - estude o estilo de conteúdo deles

✍️ Legendas detalhadas com história funcionam bem - comprimento médio 456 caracteres

Pesquisas Populares Relacionadas a #Simiyu

🎬Para Amantes de Vídeo

Simiyu ReelsAssistir Simiyu Vídeos

📈Para Buscadores de Estratégia

Simiyu Hashtags em AltaMelhores Simiyu Hashtags

🌟Explorar Mais

Explorar Simiyu#mvua simiyu#paul simiyu#bariadi simiyu#simiyu secondary school matokeo#simiyu matokeo#matukio simiyu#simiyu region#hali ya hewa bariadi simiyu