#Bashe

Assista 47K vídeos de Reels sobre Bashe de pessoas de todo o mundo.

Assista anonimamente sem fazer login.

47K posts
NewTrendingViral

Reels em Alta

(12)
#Bashe Reel by @habarileo_tz (verified account) - DODOMA: WAZIRI wa Kilimo, Hussein Bashe ametoa tahadhari kwa wote wanaokwamisha maendeleo ya zao la pamba akisema hatomvumilia mkwamishaji yeyote.
-
A
554.3K
HA
@habarileo_tz
DODOMA: WAZIRI wa Kilimo, Hussein Bashe ametoa tahadhari kwa wote wanaokwamisha maendeleo ya zao la pamba akisema hatomvumilia mkwamishaji yeyote. - Akizungumza Mei 22, wakati akihitimisha hoja katika majadiliano ya bajeti ya Wizara ya Kilimo Bashe alisema kwasasa zao la pamba na chai ndio kipaumbele chake. - Imeandaliwa na Mwandishi Wetu - #HabarileoUPDATES
#Bashe Reel by @wizara_ya_kilimo (verified account) - BASHE:  RAIS SAMIA KUZINDUA KIWANDA CHA MBOLEA CHA ITRACOM TAREHE 28 JUNI 2025, DODOMA.
13.4K
WI
@wizara_ya_kilimo
BASHE: RAIS SAMIA KUZINDUA KIWANDA CHA MBOLEA CHA ITRACOM TAREHE 28 JUNI 2025, DODOMA.
#Bashe Reel by @wasafifm (verified account) - Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe, ametoa onyo kali kwa wanasiasa wa Mkoa wa Simiyu, akiwataka kuacha kutumia zao la pamba kama siasa na sio zao la kiuc
178.8K
WA
@wasafifm
Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe, ametoa onyo kali kwa wanasiasa wa Mkoa wa Simiyu, akiwataka kuacha kutumia zao la pamba kama siasa na sio zao la kiuchumi linaloweza kuwakomboa wakulima kutoka umaskini. Bashe ametoa kauli hiyo leo katika Wilaya ya Meatu, Mkoani Simiyu, wakati wa ziara ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan. Bashe amesisitiza kuwa tangu historia ya nchi hii, mkulima wa Simiyu alikuwa akivuna kilo 200 hadi 300 za pamba, na kusisitiza kuwa hakuna mtu anayeweza kutathmini bei ya pamba isipokuwa Serikali. Ameongeza kuwa hata wakiwepo wanunuzi 500 kijijini, bei ya pamba huamuliwa na serikali. Bashe ametuma ujumbe kwa Mpina na wanasiasa wote wa Simiyu, akisema, "Nataka nimwambie yeye na wanasiasa wa Simiyu, sitaruhusu mtu yoyote aharibu mfumo ambao tumeanza kuujenga." Amebainisha kuwa mwaka huu, Wilaya ya Simiyu ilikuwa imekadiria kuvuna tani 30,000 za pamba, lakini sasa wanataraji kuvuna tani 60,000. Amewahimiza wakulima kuendelea kukusanya pamba, akisisitiza kuwa bei itaamuliwa na Serikali na si mtu mwingine yeyote. "Tulianza na 1150, leo tupo 1200, mwaka jana tulianza 1150 tukamaliza na 1700. Serikali itakuwa inatoa bei kutokana na bei ya soko la dunia," alifafanua. @Barakadon_ #WasafiDigital
#Bashe Reel by @alfonstan (verified account) - Bashe ternyata meminta 5 Bitcoin atau Rp. 7.6 milyar rupiah dan akan menyebarkan data yg bocor jika tuntutannya tidak dipenuhi.
Bashe klaim memiliki d
10.9K
AL
@alfonstan
Bashe ternyata meminta 5 Bitcoin atau Rp. 7.6 milyar rupiah dan akan menyebarkan data yg bocor jika tuntutannya tidak dipenuhi. Bashe klaim memiliki data dan mampu masuk ke infrastruktur bank untuk memindahkan dana antar akun dan menarik dari tempat lain. Apakah data akan dibagikan pada pukul 16.00, 23 Desember 2024 seperti batas waktu yg diberikan oleh Bashe ? Kita tunggu saja. #bashe #ransomware
#Bashe Reel by @kumbushodawson (verified account) - Watanzania walipoteza ndugu zao,  wakati wa uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29,2025. Milli yao hadi leo haijulikani ilipo, kuna wengine waliamua kuzika nguo z
32.1K
KU
@kumbushodawson
Watanzania walipoteza ndugu zao, wakati wa uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29,2025. Milli yao hadi leo haijulikani ilipo, kuna wengine waliamua kuzika nguo zao na viatu. Lakini Hussein Bashe anajisifia kumzika ng'ombe wake kama binadamu na kwa heshima kubwa. Anasema Watanzania wanaweza kumuona kama CHIZI kwa kumzika ng'ombe kwa heshima. Sisi tumekuelewa ulicho maanisha Babalai.
#Bashe Reel by @rohan.rh1no (verified account) - Namm bashe songs kuuda super guru. 
@tanmayg_music banger...

#sandalwood #kannadasongs #bengaluru 

{Karnataka, kannada new songs, ninna notavu, kann
815.1K
RO
@rohan.rh1no
Namm bashe songs kuuda super guru. @tanmayg_music banger... #sandalwood #kannadasongs #bengaluru {Karnataka, kannada new songs, ninna notavu, kannada low fi, sandalwood hits, Bengaluru, kannada memes, kannada reels, kannada edits, Bangalore reels, song trends, church street}
#Bashe Reel by @wizara_ya_kilimo (verified account) - Mhe. Hussein Bashe (Mb), Waziri wa Kilimo akiwa katika mazungumzo ya faragha ya kumbukumbu mbalimbali za historia ya Ushirika iliyokuwa ikisimuliwa na
23.7K
WI
@wizara_ya_kilimo
Mhe. Hussein Bashe (Mb), Waziri wa Kilimo akiwa katika mazungumzo ya faragha ya kumbukumbu mbalimbali za historia ya Ushirika iliyokuwa ikisimuliwa na Mhe. Prof. Palamagamba Kabudi (Mb), Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo huku wakijiburudisha na kikombe murua cha Kahawa murua inayozalishwa na moja ya Vyama vya Ushirika nchini. Zao la Kahawa ndiyo chanzo cha uanzishwaji wa Vyama vya Ushirika nchini na Bara la Afrika. #TunajivuniaKahawaYetu #UzinduziBenkiYaUshirikaTanzania
#Bashe Reel by @wasafifm (verified account) - BASHE APOKEA NDEGE YA KUDHIBITI VISUMBUFU VYA MIMEA

Waziri wa Kilimo, Mhe. Hussein Bashe (Mb) amepokea ndege ya kisasa aina ya Thrush 510P2+ ambayo i
385.7K
WA
@wasafifm
BASHE APOKEA NDEGE YA KUDHIBITI VISUMBUFU VYA MIMEA Waziri wa Kilimo, Mhe. Hussein Bashe (Mb) amepokea ndege ya kisasa aina ya Thrush 510P2+ ambayo inaenda kutumika kudhibiti visumbufu vya mazao (magonjwa na wadudu waharibifu) ambavyo vingeathiri uzalishaji wa mazao ya wakulima nchini. Mapokezi ya ndege hiyo yamefanyika tarehe 30 Mei 2025 katika uwanja wa ndege wa Dodoma ambapo amesema kuwa ni lazima kama nchi tujitegemee katika suala zima la sekta ya kilimo, kwani kwa sasa hakuna tena dunia ya kubebana. Cc:@carlosngonya #WasafiDigital
#Bashe Reel by @habarileo_tz (verified account) - DODOMA: WAZIRI wa Kilimo, Hussein Bashe ameiagiza Bodi ya Chai nchini kukaa na wadau wa zao la chai hususani wazalishaji kwa lengo la kujadili changam
15.8K
HA
@habarileo_tz
DODOMA: WAZIRI wa Kilimo, Hussein Bashe ameiagiza Bodi ya Chai nchini kukaa na wadau wa zao la chai hususani wazalishaji kwa lengo la kujadili changamoto zinazowakabili na kupelekea kusua sua kwa uzalishaji wa zao ili kuzitafutia ufumbuzi utakaoliinua zao hilo nchini linaonekana kusuasua. Bashe ametoa maagizo hay oleo Aprili 8, 2025 wakati akifungua Mkutano Mkuu wa Wadau wa Tasnia ya Chai Tanzania 2025 mkoani Dodoma. Imeandaliwa na Fadhili AKida #HabarileoUPDATES
#Bashe Reel by @azamtvtz (verified account) - Waziri wa Kilimo Hussein Bashe amewataka viongozi wa kampuni zinazonunua tumbaku katika mikoa ya Katavi, Shinyanga na Tabora kufika mbele ya kamati ya
84.7K
AZ
@azamtvtz
Waziri wa Kilimo Hussein Bashe amewataka viongozi wa kampuni zinazonunua tumbaku katika mikoa ya Katavi, Shinyanga na Tabora kufika mbele ya kamati ya uchunguzi kujibu tuhuma dhidi yao za uhujumu uchumi kwa kile kinachodaiwa kuwauzia wafanyabiashara magunia ya kufungashia tumbaku badala ya kuyarejesha kwao kama wamiliki halali wa magunia hayo yanayotambulika kama MAJAFAFA. Bashe ametoa agizo hilo mjini Tabora wakati akizungumza na vyombo vya habari kuhusu mafanikio ya Operesheni maalum aliyoianzisha ya kuwasaka wanaofanya biashara hiyo haramu ya majafafa katika mikoa hiyo ambapo watu takribani 15 wamekamatwa wakiwemo wafanyabiashara na viongozi mbalimbali wa vyama vya AMCOS. #Azamnewsupdates Mhariri|@official_jennifersumi
#Bashe Reel by @millardayo (verified account) - Waziri wa Kililmo Hussein Bashe ametoa muda wa siku saba kwa nchi za Malawi na Afrika Kusini endapo hazitabadilisha msimamo wa kuzuia mazao na bidhaa
253.0K
MI
@millardayo
Waziri wa Kililmo Hussein Bashe ametoa muda wa siku saba kwa nchi za Malawi na Afrika Kusini endapo hazitabadilisha msimamo wa kuzuia mazao na bidhaa za Kilimo ya kutoka Tanzania kwenda kwenye nchi zao,Serikali ya Tanzania itazuia uingizwaji wa mazao na bidhaa zote za kilimo kutoka nchi hizo mbili au kupitisha mazao kwenye nchi zingine. Bashe amesema hayo wakati wa ufunguzi wa mkutano wa wadau wanaotekekelza Miradi ya kuwezesha Vijana na Wanawake katika sekta ya Kilimo “Hatujawahi kumsumbua jirani yeyote lakini majirani marajingi wakiwa na njaa na shida wako mlangoni kwetu wakishainuka kidogo wanazuia mazao yetu kuingia kwenye nchi zao” Hussein Bashe Waziri wa Kilimo “Nimetoa notisi leo by Jumatano wasipofungua Malawi na South Afrika kutufungulia kupeleke mazao yetu ya kilimo kama yanavyoingia ya kwao kwetu hatutazuia zao lolote la kwao kuingia Tanzania vilevile sitawaruhusu Malawi na wenzake kupitisha kile kinachohusiana na mmea wa kilimo kuingia wala kupita Ontransit kwenye nchi hii” Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe #MillardAyoUPDATES
#Bashe Reel by @jamiiforums (verified account) - SIMIYU: Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe ametoa onyo kwa Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina pamoja na Wanasiasa wengine wa Mkoa wa Simiyu, kuacha kutumia z
164.1K
JA
@jamiiforums
SIMIYU: Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe ametoa onyo kwa Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina pamoja na Wanasiasa wengine wa Mkoa wa Simiyu, kuacha kutumia zao la Pamba kama mtaji wa Kisiasa - Bashe amesema Mpina aliwahi kumdanganya Hayati Rais Magufuli kuhusu Bei ya Zao la Pamba Duniani na kusababisha Wakulima kupata hasara, kwa kuuza Pamba kwa Tsh. 500 #JamiiForums #Accountability #Uwajibikaji #JamiiAfrica #Siasa #Transparency

✨ Guia de Descoberta #Bashe

O Instagram hospeda 47K postagens sob #Bashe, criando um dos ecossistemas visuais mais vibrantes da plataforma.

Descubra o conteúdo mais recente de #Bashe sem fazer login. Os reels mais impressionantes sob esta tag, especialmente de @rohan.rh1no, @habarileo_tz and @wasafifm, estão ganhando atenção massiva.

O que está em alta em #Bashe? Os vídeos Reels mais assistidos e o conteúdo viral estão destacados acima.

Categorias Populares

📹 Tendências de Vídeo: Descubra os últimos Reels e vídeos virais

📈 Estratégia de Hashtag: Explore opções de hashtag em alta para seu conteúdo

🌟 Criadores em Destaque: @rohan.rh1no, @habarileo_tz, @wasafifm e outros lideram a comunidade

Perguntas Frequentes Sobre #Bashe

Com o Pictame, você pode navegar por todos os reels e vídeos de #Bashe sem fazer login no Instagram. Sua atividade permanece completamente privada - sem rastros, sem conta necessária. Basta pesquisar a hashtag e começar a explorar conteúdo trending instantaneamente.

Análise de Desempenho

Análise de 12 reels

✅ Competição Moderada

💡 Posts top têm média de 502.0K visualizações (2.4x acima da média)

Publique regularmente 3-5x/semana em horários ativos

Dicas de Criação de Conteúdo e Estratégia

🔥 #Bashe mostra alto potencial de engajamento - publique estrategicamente nos horários de pico

✍️ Legendas detalhadas com história funcionam bem - comprimento médio 537 caracteres

📹 Vídeos verticais de alta qualidade (9:16) funcionam melhor para #Bashe - use boa iluminação e áudio claro

✨ Muitos criadores verificados estão ativos (100%) - estude o estilo de conteúdo deles

Pesquisas Populares Relacionadas a #Bashe

🎬Para Amantes de Vídeo

Bashe ReelsAssistir Bashe Vídeos

📈Para Buscadores de Estratégia

Bashe Hashtags em AltaMelhores Bashe Hashtags

🌟Explorar Mais

Explorar Bashe#miss bashful sf#birthday bash themes 2026#bash truworths#owala beach bash 2026#birdie bash#bash#ntando bash#bashful luxe bunny juniper