Trending

#Necta

Assista 116K vídeos de Reels sobre Necta de pessoas de todo o mundo.

Assista anonimamente sem fazer login.

116K posts
NewTrendingViral

Reels em Alta

(12)
#Necta Reel by @andrew_kato (verified account) - Countdown to NECTA! Proud of this young man as he steps into his Form Four finals, focus, faith, finish strong. 📚⏳💪
2.5K
AN
@andrew_kato
Countdown to NECTA! Proud of this young man as he steps into his Form Four finals, focus, faith, finish strong. 📚⏳💪
#Necta Reel by @ajiracoach_tz (verified account) - *BREAKING NEWS 🔥 MATOKEO YA MTIHANI WA UPIMAJI KIDATO CHA PILI 2025/2026* 

📌 *TAZAMA MATOKEO HAPA KUPITIA LINK INAYOFUNGUKA HARAKA:* 
https://www.m
2.5K
AJ
@ajiracoach_tz
*BREAKING NEWS 🔥 MATOKEO YA MTIHANI WA UPIMAJI KIDATO CHA PILI 2025/2026* 📌 *TAZAMA MATOKEO HAPA KUPITIA LINK INAYOFUNGUKA HARAKA:* https://www.mavusu.com/2026/01/form-two-results-20252026.html 🔗 *Follow AjiraCoach LinkedIn kwa updates zaidi:* *https://www.linkedin.com/company/ajiracoachtz/* #Matokeo #NECTA #FormTwoResults #AjiraCoach
#Necta Reel by @britishschooltz (verified account) - Hongereni sana NECTA, matokeo yanatoka kwa wakati @necta_tanzania

Mwaka huu tunatarajia kishindo kikuu cha ufaulu hapa The British School.  Wahitimu
161.1K
BR
@britishschooltz
Hongereni sana NECTA, matokeo yanatoka kwa wakati @necta_tanzania Mwaka huu tunatarajia kishindo kikuu cha ufaulu hapa The British School. Wahitimu wetu popote mlipo, zawadi tulizowaahid zinawasubiri na muda ndo huu umewadia. Tuna imana mwaka huu mtavunja rekodi. Mungu wetu akawashindie kama tulivyoomba na kusoma kwa bidii .
#Necta Reel by @azamtvtz (verified account) - Baraza la Mitihani Nchini (NECTA) limefuta matokeo ya wanafunzi wa kidato cha nne zaidi ya 300 kutokana na kubainika kufanya udanganyifu katika mitiha
14.2K
AZ
@azamtvtz
Baraza la Mitihani Nchini (NECTA) limefuta matokeo ya wanafunzi wa kidato cha nne zaidi ya 300 kutokana na kubainika kufanya udanganyifu katika mitihani ya kuhitimu kidato cha nne. Uongozi wa baraza hilo umeeleza hayo wakati wakitangaza matokeo ya kidato cha nne na maarifa QT uliofanyika mwezi Novemba na Disemba 2022 ambapo wanafunzi 456,975 sawa na asilimia 87.79 wamefaulu kati ya daraja la kwanza hadi la nne kati ya wanafunzi 520,558 wenye matokeo. #mitihani #wanafunzi #matokeo #necta #kidatochanne #udanganyifu
#Necta Reel by @ruhuwiko_secondary_school_jwtz - 📍𝗠𝗔𝗧𝗢𝗞𝗘𝗢 𝗬𝗔 𝗗𝗔𝗥𝗔𝗦𝗔 𝗟𝗔 𝗦𝗔𝗕𝗔 2025
 Wanafunzi wote wamefaulu wa Wastani mzuri wa Daraja A. Wanafunzi hawa wamefundishwa kwa mtaala
2.0K
RU
@ruhuwiko_secondary_school_jwtz
📍𝗠𝗔𝗧𝗢𝗞𝗘𝗢 𝗬𝗔 𝗗𝗔𝗥𝗔𝗦𝗔 𝗟𝗔 𝗦𝗔𝗕𝗔 2025 Wanafunzi wote wamefaulu wa Wastani mzuri wa Daraja A. Wanafunzi hawa wamefundishwa kwa mtaala wa Lugha ya Kingereza yaani "ENGLISH MEDIUM" hivyo wanakidhi vigezo vya Soko la Dunia la Elimu. Kipekee sana Pongezi zimwendee Mwenyekiti wa Board ya Shule ambaye pia ni Mkuu wa Shule Mama ya Ruhuwiko Sekondari Luteni Kanali BS Bahame, psc. Pia kwa usimamizi Mzuri kutoka kwa Mwalimu Mkuu wa Ruhuwiko B Major DL Lemwai na Walimu waliofundisha darasa hilo. Mafanikio haya pia yamechangizwa na ushirikiano baina ya Walimu wote na wafanyakazi wasio walimu katika utekelezaji wa Majukumu yao. Tunawapongeza wanafunzi hawa, Walikuwa Wasikivu na wenye Nidhamu ya hali ya Juu na ndiyo hayo yaliyofanya waweze kuibuka na ushindi kwa Ufaulu Mzuri. Lakini Pia tunawapongeza Wazazi na Walezi wa Watoto hao kwa kuiamini Ruhuwiko B na kuwagharamia katika hatua zao zote za masomo kuanzia mwanzo mpaka leo tunaposherekeaa Mafanikio haya kwa Pamoja. 𝗛𝗢𝗡𝗚𝗘𝗥𝗔 𝗦𝗔𝗡𝗔........!!!!! #wizarayaelimu #jwtz #tamisemi #necta
#Necta Reel by @mozillah_media - Nacheka kwa DHARA...
#necta #afcon2025 #tanzania #diamondplatnuzmz
5.5K
MO
@mozillah_media
Nacheka kwa DHARA... #necta #afcon2025 #tanzania #diamondplatnuzmz
#Necta Reel by @kimayatv - Wanafunzi wa Kidato cha Sita pamoja na wanafunzi wa vyuo vya ualimu kote nchini Tanzania wanatarajia kuanza Mtihani wa Taifa kesho. Tunawatakia kila l
218
KI
@kimayatv
Wanafunzi wa Kidato cha Sita pamoja na wanafunzi wa vyuo vya ualimu kote nchini Tanzania wanatarajia kuanza Mtihani wa Taifa kesho. Tunawatakia kila la heri katika safari hii muhimu ya kitaaluma. Kimaya TV inawatakia mafanikio mema na itaendelea kukuletea habari zote muhimu kuhusu mitihani hii. #KimayaTV #MtihaniWaTaifa #KidatoChaSita #VyuoVyaUalimu #NECTA #ElimuTanzania #BreakingNews #Wanafunzi #Success #VoiceOfUniversity #EducationUpdates
#Necta Reel by @uswege_danken - Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani Prof. Said A. Mohamed amesema watu waache dhihaka katika somo la hisabati.

Prof. Said A. Mohamed aliyesema hayo
2.9K
US
@uswege_danken
Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani Prof. Said A. Mohamed amesema watu waache dhihaka katika somo la hisabati. Prof. Said A. Mohamed aliyesema hayo wakati wa Uzinduzi wa Mpango Mkakati wa Kisayansi wa Kujenga Umahiri wa Kusoma, Kuandika na Kuhesabu (KKK) kwa watoto wa elimu ya awali na wanafunzi wa Darasa la Kwanza na la Pili, tarehe 29 Januari, 2026 kwenye viwanja vya Ofisi za Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA), Dar es Salaam. Cc; #makinitv #uswegeupdate #uswege_danken #uswege_digital #necta
#Necta Reel by @preuniversity_services - NAMNA YA KUANGALIA MAJIBU YA MAOMBI YA CHUO(CBE)

Video inaonesha namna ya kuangalia Majibu ya Chuo Cha CBE(College of business education)

Huduma ya
387
PR
@preuniversity_services
NAMNA YA KUANGALIA MAJIBU YA MAOMBI YA CHUO(CBE) Video inaonesha namna ya kuangalia Majibu ya Chuo Cha CBE(College of business education) Huduma ya Maombi ya Vyuo vikuu inapatikana kwetu Kwa kuzingatia muongozo kutoka TCU KARIBU_TUKUHUDUMIE #tcu #necta

✨ Guia de Descoberta #Necta

O Instagram hospeda 116K postagens sob #Necta, criando um dos ecossistemas visuais mais vibrantes da plataforma.

Descubra o conteúdo mais recente de #Necta sem fazer login. Os reels mais impressionantes sob esta tag, especialmente de @britishschooltz, @casual___kidd and @tengeruboys_arushatz, estão ganhando atenção massiva.

O que está em alta em #Necta? Os vídeos Reels mais assistidos e o conteúdo viral estão destacados acima.

Categorias Populares

📹 Tendências de Vídeo: Descubra os últimos Reels e vídeos virais

📈 Estratégia de Hashtag: Explore opções de hashtag em alta para seu conteúdo

🌟 Criadores em Destaque: @britishschooltz, @casual___kidd, @tengeruboys_arushatz e outros lideram a comunidade

Perguntas Frequentes Sobre #Necta

Com o Pictame, você pode navegar por todos os reels e vídeos de #Necta sem fazer login no Instagram. Nenhuma conta é necessária e sua atividade permanece privada.

Análise de Desempenho

Análise de 12 reels

✅ Competição Moderada

💡 Posts top têm média de 71.0K visualizações (2.8x acima da média)

Publique regularmente 3-5x/semana em horários ativos

Dicas de Criação de Conteúdo e Estratégia

🔥 #Necta mostra alto potencial de engajamento - publique estrategicamente nos horários de pico

📹 Vídeos verticais de alta qualidade (9:16) funcionam melhor para #Necta - use boa iluminação e áudio claro

✍️ Legendas detalhadas com história funcionam bem - comprimento médio 316 caracteres

✨ Muitos criadores verificados estão ativos (33%) - estude o estilo de conteúdo deles

Pesquisas Populares Relacionadas a #Necta

🎬Para Amantes de Vídeo

Necta ReelsAssistir Necta Vídeos

📈Para Buscadores de Estratégia

Necta Hashtags em AltaMelhores Necta Hashtags

🌟Explorar Mais

Explorar Necta#necta form four results 2025#necta gas#necta form two 2025 results#necta 2025#necta results#san pedro necta#necta tanzania#necta 2024