Mega Popular

#Simba

Смотрите 24M Reels видео о Simba от людей со всего мира.

Смотрите анонимно без входа.

24M posts
NewTrendingViral

Трендовые Reels

(12)
#Simba Reel by @simbasctanzania (verified account) - "Mpanzu ni mchezaji wetu na ataendelea kuitumikia Simba."- Semaji Ahmed Ally akizungumzia taarifa za uongo zinazoenezwa na mmoja wa waandishi wa habar
380.3K
SI
@simbasctanzania
“Mpanzu ni mchezaji wetu na ataendelea kuitumikia Simba.”- Semaji Ahmed Ally akizungumzia taarifa za uongo zinazoenezwa na mmoja wa waandishi wa habari ambaye anatumika kuichafua Simba SC. #NguvuMoja
#Simba Reel by @simbasctanzania (verified account) - 𝐓𝐇𝐈𝐒 𝐈𝐒 𝐒𝐈𝐌𝐁𝐀. #TotalEnergiesCAFCC #HatuishiiHapa #TunaitakaFainali #WenyeNchi #NguvuMoja
1.1M
SI
@simbasctanzania
𝐓𝐇𝐈𝐒 𝐈𝐒 𝐒𝐈𝐌𝐁𝐀. #TotalEnergiesCAFCC #HatuishiiHapa #TunaitakaFainali #WenyeNchi #NguvuMoja
#Simba Reel by @_m15tv - Simba SC Kwasasa ndio timu yenye quality kubwa kuliko timu nyingine hapa Tanzania.. @mandala_simba 

🎥 ✍️ || @jonasjonsjr

#MUNGUJUHUDINANIDAMU
#m15t
4.3K
_M
@_m15tv
Simba SC Kwasasa ndio timu yenye quality kubwa kuliko timu nyingine hapa Tanzania.. @mandala_simba 🎥 ✍️ || @jonasjonsjr #MUNGUJUHUDINANIDAMU #m15tv #m15sportsupdates USISAHAU KUFUATLIA NAMBARI 15 YA BAHATI
#Simba Reel by @alfa_sportstz - Steven Mukwala anaendelea kuthibitisha ubora wake kila anapopata nafasi uwanjani, huku mabao yake yakiendelea kuongezeka na kuwafanya mashabiki wengi
62.1K
AL
@alfa_sportstz
Steven Mukwala anaendelea kuthibitisha ubora wake kila anapopata nafasi uwanjani, huku mabao yake yakiendelea kuongezeka na kuwafanya mashabiki wengi wa soka kujiuliza kama kweli ilikuwa sahihi kwa Simba SC kumuacha aondoke kirahisi. Mshambuliaji huyo ameonekana kuwa na makali makubwa mbele ya lango, akitumia nafasi chache kupata mabao muhimu na kuonyesha kuwa bado ana kitu kikubwa cha kutoa kwenye soka la Afrika Mashariki. ⚽🔥 Kila anapofunga, mjadala unaibuka tena miongoni mwa mashabiki wakisema Simba wanaweza kuanza kujuta uamuzi wao wa kumuacha mchezaji huyo. Wapo wanaoamini kuwa Mukwala angeweza kuwa silaha muhimu sana katika safu ya ushambuliaji ya Simba kama angeendelea kubaki ndani ya kikosi hicho, hasa kwa uwezo wake wa kujua mahali sahihi pa kusimama na kutumia nafasi kwa ufanisi mkubwa. Kwa sasa Mukwala anaonekana kuwa kwenye kiwango bora kabisa, akicheza kwa kujiamini na kuonyesha njaa ya mabao kila anaposhuka dimbani. Hali hiyo imewafanya baadhi ya wachambuzi wa soka kusema kuwa wakati mwingine klabu zinahitaji subira kwa wachezaji wao, kwani wachezaji wengine huanza kuonyesha makali makubwa zaidi baada ya kupewa muda na kuaminiwa. Mashabiki wengi sasa wanaendelea kufuatilia kila mchezo wake kwa karibu, wakisubiri kuona kama ataendelea na mwendo huu wa kufunga. Kama ataendelea hivi, basi mjadala wa kusema kuwa Simba SC wanaweza kujuta kumuacha Steven Mukwala utaendelea kuwa mkubwa zaidi siku hadi siku. ⚽🔴
#Simba Reel by @manaratv__ - Mashabiki wa Simba na Yanga @godyanga_ na @mzaram_simba wamepeana makavu baada ya sare ya bila kufungana huku Mzaramo akisema katika mara sita walizof
167.8K
MA
@manaratv__
Mashabiki wa Simba na Yanga @godyanga_ na @mzaram_simba wamepeana makavu baada ya sare ya bila kufungana huku Mzaramo akisema katika mara sita walizofungwa mara nne ni dhuluma Full interview tumekuwekea youtube channel ya Manara tv #manaratv #manaratvupdate
#Simba Reel by @mwambafive - Hili hapa Goli la 
Anicet oura akiitanguliza
Simba 1 -0 stade Malien 

#cafcl
#mwambafive
Follow @mwambafive Kwa habari na matukio mbalimbali
533
MW
@mwambafive
Hili hapa Goli la Anicet oura akiitanguliza Simba 1 -0 stade Malien #cafcl #mwambafive Follow @mwambafive Kwa habari na matukio mbalimbali
#Simba Reel by @hamaditv71 - Ilikuaje Hii ikawa sio Penalty  Singida vs Simba 
#soccer #tanzania
200
HA
@hamaditv71
Ilikuaje Hii ikawa sio Penalty Singida vs Simba #soccer #tanzania
#Simba Reel by @lumato_official - WANA SIMBA MMEONA WENYEWE KIWANGO CHAO, HARAFU BILA UWOGA BILA HAYA MSEMAJI WAO ANASEMA ETI ATATUPELEKA ZANZIBAR HAKIA NANI. 

HIVI HIYO SIKU TUTAKAO
62.6K
LU
@lumato_official
WANA SIMBA MMEONA WENYEWE KIWANGO CHAO, HARAFU BILA UWOGA BILA HAYA MSEMAJI WAO ANASEMA ETI ATATUPELEKA ZANZIBAR HAKIA NANI. HIVI HIYO SIKU TUTAKAO KUTANA NAO ITAKUWA TAREHE NGAPI NDUGU ZANGUNI...?!?? #simbanguvumoja #burudani #simbasctanzania #michezo #comedy
#Simba Reel by @erastovedastotz_ - Yanga wameitesa sana Simba, kwasasa itoshe tu kusema kwamba ni ngum sana Yanga kuifunga tena Simba kutokana na aina ya sajili zilizofanyika dirisha do
47.9K
ER
@erastovedastotz_
Yanga wameitesa sana Simba, kwasasa itoshe tu kusema kwamba ni ngum sana Yanga kuifunga tena Simba kutokana na aina ya sajili zilizofanyika dirisha dogo!
#Simba Reel by @afrosatemedia - kwa aina ya viungo wa Simba Sc wa sasa huyu Mukwala angefunga sana ⚽!
ila sawa si mmechagua MWANGOSI, SOWAH NA MWALIMU, Fresh tu!😌🤝

#afrosate #foot
52.3K
AF
@afrosatemedia
kwa aina ya viungo wa Simba Sc wa sasa huyu Mukwala angefunga sana ⚽! ila sawa si mmechagua MWANGOSI, SOWAH NA MWALIMU, Fresh tu!😌🤝 #afrosate #football #tanzania #Libya #simbasc

✨ Руководство по #Simba

Instagram содержит 24 million публикаций под #Simba, создавая одну из самых ярких визуальных экосистем платформы.

Откройте для себя последний контент #Simba без входа в систему. Самые впечатляющие reels под этим тегом, особенно от @simbasctanzania, @cantodopedim and @jambo_online_tv, получают массовое внимание.

Что в тренде в #Simba? Самые просматриваемые видео Reels и вирусный контент представлены выше.

Популярные Категории

📹 Видео-тренды: Откройте для себя последние Reels и вирусные видео

📈 Стратегия хэштегов: Изучите трендовые варианты хэштегов для вашего контента

🌟 Избранные Создатели: @simbasctanzania, @cantodopedim, @jambo_online_tv и другие ведут сообщество

Часто задаваемые вопросы о #Simba

С помощью Pictame вы можете просматривать все реелы и видео #Simba без входа в Instagram. Учетная запись не требуется, ваша активность остается приватной.

Анализ Эффективности

Анализ 12 роликов

✅ Умеренная Конкуренция

💡 Лучшие посты получают в среднем 580.6K просмотров (в 2.6x раз выше среднего)

Публикуйте регулярно 3-5 раз/неделю в активные часы

Советы по Созданию Контента и Стратегия

🔥 #Simba показывает высокий потенциал вовлечения - публикуйте стратегически в пиковые часы

✨ Некоторые верифицированные создатели активны (17%) - изучайте их стиль контента

✍️ Подробные подписи с историей работают хорошо - средняя длина 258 символов

📹 Вертикальные видео высокого качества (9:16) лучше всего работают для #Simba - используйте хорошее освещение и четкий звук

Популярные поиски по #Simba

🎬Для Любителей Видео

Simba ReelsСмотреть Simba Видео

📈Для Ищущих Стратегию

Simba Трендовые ХэштегиЛучшие Simba Хэштеги

🌟Исследовать Больше

Исследовать Simba#simba sg#simba resort#simba kemenag#simba service centre#kikosi cha simba sc leo#simba mbili curry powder#yanga na simba#the lion king 2 simbas pride