#Fursa

Dünyanın dört bir yanından insanlardan Fursa hakkında 51K Reels videosu izle.

Giriş yapmadan anonim olarak izle.

51K posts
NewTrendingViral

Trend Reels

(12)
#Fursa Reels - @kelvinkibenje (onaylı hesap) tarafından paylaşılan video - Ukiangalia hii mashine na ukafikiria hardware zilizopo mjini na ujenzi wa kila siku unaona fursa kubwa....

Lakini ukweli Biashara sio kumiliki mashin
268.6K
KE
@kelvinkibenje
Ukiangalia hii mashine na ukafikiria hardware zilizopo mjini na ujenzi wa kila siku unaona fursa kubwa.... Lakini ukweli Biashara sio kumiliki mashine na kuzalisha... Biashara ni kujua Namna ya kuliteka soko, kulitawala na kukaa sokoni kwa muda mrefu. China hii 40M unapata.. Bongo pia used zipo
#Fursa Reels - @kipaza_afrika_mashariki tarafından paylaşılan video - Justin Bahati, kijana mbunifu wa Kitanzania ameona fursa ambayo haikuonwa na wengi.

Kupitia kampuni ya Dry Food Product, inayochakata nyanya na kuzig
57.1K
KI
@kipaza_afrika_mashariki
Justin Bahati, kijana mbunifu wa Kitanzania ameona fursa ambayo haikuonwa na wengi. Kupitia kampuni ya Dry Food Product, inayochakata nyanya na kuzigeuza kuwa unga amewapa wakulima wa nyanya ujasiri kutokana na uhakika wa soko unaotokana na kupanda kwa thamani ya zao hilo.
#Fursa Reels - @queenie_masanja (onaylı hesap) tarafından paylaşılan video - Naomba kuchukua Fursa hii kuwakaribisha Wazazi wa boys Kwenye duka la nguo lililopo Ubungo stand ya mkoa zamani duka no E2-27  @poapoa25_fashion @poap
351.3K
QU
@queenie_masanja
Naomba kuchukua Fursa hii kuwakaribisha Wazazi wa boys Kwenye duka la nguo lililopo Ubungo stand ya mkoa zamani duka no E2-27 @poapoa25_fashion @poapoa25_fashion JUMLA NA REJAREJA 0699 829 323 au 0795 884 885
#Fursa Reels - @mamasubmeter_tz tarafından paylaşılan video - Submeter sio kifaa cha ziada ❌
Ni suluhisho la migogoro ya umeme, hasara na malalamiko ya kila mwezi ⚡
Kama unauza au unafunga vifaa vya umeme, hii ni
165.2K
MA
@mamasubmeter_tz
Submeter sio kifaa cha ziada ❌ Ni suluhisho la migogoro ya umeme, hasara na malalamiko ya kila mwezi ⚡ Kama unauza au unafunga vifaa vya umeme, hii ni fursa 💡 Elimu sahihi = wateja wa kudumu. 📩 DM kwa ushauri na huduma. #SubmeterTanzania #UmemeTz #VifaaVyaUmeme #ElectricalSupplies #HardwareTz
#Fursa Reels - @eastafricaradio tarafından paylaşılan video - #TwenzetuSokoni: Mkufunzi wa masuala ya kibishara, Coach Ahmed Mohammed Ahmed, anawasanua vijana kuhusu mambo ya muhimu ambayo wakiyafanya basi wanawe
612.0K
EA
@eastafricaradio
#TwenzetuSokoni: Mkufunzi wa masuala ya kibishara, Coach Ahmed Mohammed Ahmed, anawasanua vijana kuhusu mambo ya muhimu ambayo wakiyafanya basi wanaweza kutoboa ndani ya wmaka mmoja tu. 🕒 Usikose #TwenzetuSokoni kila Jumatatu hadi Ijumaa | Saa 3:00 - 4:00 Asubuhi kupitia East Africa Radio! 📻 Maarifa, fursa na mbinu za kibiashara zinazobadili maisha! #EastAfricaRadio #HainaKuchoka #FursaZaBiashara #TwenzetuSokoni
#Fursa Reels - @jambo_online_tv tarafından paylaşılan video - VIDEO:

Serikali imetoa mwito kwa Watanzania wanaomiliki maeneo makubwa ya ardhi kuacha kuyaweka kama akiba ya kijadi na badala yake kuyatumia kama fu
163.4K
JA
@jambo_online_tv
VIDEO: Serikali imetoa mwito kwa Watanzania wanaomiliki maeneo makubwa ya ardhi kuacha kuyaweka kama akiba ya kijadi na badala yake kuyatumia kama fursa kwa kuyaunganisha na wawekezaji wenye mitaji. Akizungumza katika uzinduzi wa Kampeni ya Kuhamasisha Uwekezaji wa Ndani na Mkutano na Wawekezaji wa Kimkakati, leo Januari 16, 2026, jijini Dar es Salaam, Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais- Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Mkumbo, amesema kuwa kumiliki ardhi bila kuiunganisha na mtaji au teknolojia hakumnufaishi mmiliki wala taifa kiuchumi. Amewataka wananchi kuitumia Mamlaka ya Uwekezaji na Maeneo Maalum ya Kiuchumi Tanzania (TISEZA) ili kupata wabia wa kibiashara. Aidha, Prof. Mkumbo amesisitiza kuwa uwekezaji wa ndani lazima uende sambamba na uwekezaji wa kigeni (FDI) kwani nchi bado inahitaji teknolojia na mitaji mikubwa kutoka nje.
#Fursa Reels - @chapchap.china_tz (onaylı hesap) tarafından paylaşılan video - Fursa ya kuosha viatu kama ilivyo watu hupeleka nguo kufuliwa kwenye dry cleaner basi na hii fursa ya viatu usiipuuzie 

Nunua mashine ya kuoshea viat
78.1K
CH
@chapchap.china_tz
Fursa ya kuosha viatu kama ilivyo watu hupeleka nguo kufuliwa kwenye dry cleaner basi na hii fursa ya viatu usiipuuzie Nunua mashine ya kuoshea viatu kwenye ChapChap App kisha nenda kapige kazi 📲Download ChapChap App kulipia ☎️Wasiliana nasi 0657254798
#Fursa Reels - @carrymastorytv2 (onaylı hesap) tarafından paylaşılan video - Kuna mchongo uku wa million 50 ila uje na ushahidi changamkia fursa 😂😂😂😂😂😂😂😂 kama nawaona Wadada wa mjini..ila usije ukajutia maneno yako @nan
511.2K
CA
@carrymastorytv2
Kuna mchongo uku wa million 50 ila uje na ushahidi changamkia fursa 😂😂😂😂😂😂😂😂 kama nawaona Wadada wa mjini..ila usije ukajutia maneno yako @nanasilimited 🤔🤔🤔 @rojamastory @chipu_bongo @chipu_bongo
#Fursa Reels - @tbc_online (onaylı hesap) tarafından paylaşılan video - Serikali imewataka wahitimu wa Kidato cha Nne mwaka 2025 kutumia kikamilifu fursa ya kubadilisha machaguo ya tahasusi na kozi kupitia mfumo wa mtandao
199.2K
TB
@tbc_online
Serikali imewataka wahitimu wa Kidato cha Nne mwaka 2025 kutumia kikamilifu fursa ya kubadilisha machaguo ya tahasusi na kozi kupitia mfumo wa mtandao wa Selform, zoezi linaloanza rasmi Aprili 11 hadi Mei 10, 2026. Akizungumza leo Aprili 11, 2026 jijini Dodoma, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (TAMISEMI), Profesa Riziki Shemdoe, amesema muda uliotolewa unatosha kwa kila mhitimu kufanya marekebisho sahihi ya machaguo yao, huku akisisitiza kuwa kuchelewa au kushindwa kufanya mabadiliko kunaweza kusababisha changamoto baada ya matokeo kutangazwa. Amesema wahitimu wanapaswa kutafuta ushauri wa kitaaluma kabla ya kufanya mabadiliko ya tahasusi au kozi ili kuhakikisha maamuzi yao yanaendana na uwezo wao na matokeo ya mtihani wa taifa. Ameongeza kuwa baada ya dirisha la marekebisho kufungwa hakutakuwa na nafasi ya kushughulikia malalamiko yoyote yatakayohusiana na machaguo, hivyo ni muhimu kwa wahusika kuzingatia muda uliopangwa. Aidha, huduma ya kubadilisha machaguo imetolewa bure, huku wanafunzi wakihimizwa kutumia dawati la huduma kwa wateja endapo watakumbana na changamoto katika mfumo huo.
#Fursa Reels - @eastafricaradio tarafından paylaşılan video - #TwenzetuSokoni: Mtaalamu wa masuala ya mauzo @amosinyanda ametoa mbinu kali za kukabiliana na vipingamizi vya wateja, kama mteja wako ukimfanyia hivi
64.9K
EA
@eastafricaradio
#TwenzetuSokoni: Mtaalamu wa masuala ya mauzo @amosinyanda ametoa mbinu kali za kukabiliana na vipingamizi vya wateja, kama mteja wako ukimfanyia hivi basi atanunua tu. 🕒 Usikose #TwenzetuSokoni kila Ju#twenzetusokonifamily umaa | Saa 3:00 - 4:00 Asubuhi kupitia East Africa Radio! 📻 Maarifa, fursa na mbinu za kibiashara zinazobadili maisha! #EastAfricaRadio #HainaKuchoka #FursaZaBiashara #TwenzetuSokoni
#Fursa Reels - @miss_navinaj (onaylı hesap) tarafından paylaşılan video - 📍Na leo nimemaliza kupitia mawazo yaliyotumwa kwenye fursa ya shindano la mawazo bora ya kidigitali yatakayofikia hasa makundi yanayosahaulika. 

1 T
95.4K
MI
@miss_navinaj
📍Na leo nimemaliza kupitia mawazo yaliyotumwa kwenye fursa ya shindano la mawazo bora ya kidigitali yatakayofikia hasa makundi yanayosahaulika. 1 Tanzania, 27 Kenyans, 11 Ugandans, 13 Rwanda, over 90% Europe & US, 📍My heart is torn into pieces today🥹🥹🥹 @innocentgrant1 @carie__joe @allenkaiza_ @aphiber @elizabeth_baluze @reginamagoke @ireneiraba__ @faraji_h_emily Mbona hamja-apply?

✨ #Fursa Keşif Rehberi

Instagram'da #Fursa etiketi altında 51K paylaşım bulunuyor ve platformun en canlı görsel ekosistemlerinden birini oluşturuyor. Bu devasa koleksiyon, şu an gerçekleşen trend anları, yaratıcı ifadeleri ve küresel sohbetleri temsil ediyor.

#Fursa etiketi, Instagram dünyasında şu an en çok ilgi gören akımlardan biri. Toplamda 51K üzerinde paylaşımın bulunduğu bu kategoride, özellikle @eastafricaradio, @carrymastorytv2 and @queenie_masanja gibi üreticilerin videoları ön plana çıkıyor. Pictame ile bu popüler içerikleri anonim olarak izleyebilirsiniz.

#Fursa dünyasında neler viral? En çok izlenen Reels videoları ve viral içerikler yukarıda yer alıyor. Yaratıcı hikaye anlatımını, popüler anları ve dünya çapında milyonlarca görüntüleme alan içerikleri keşfetmek için galeriyi inceleyin.

Popüler Kategoriler

📹 Video Trendleri: En yeni Reels içeriklerini ve viral videoları keşfedin

📈 Hashtag Stratejisi: İçerikleriniz için trend hashtag seçeneklerini inceleyin

🌟 Öne Çıkanlar: @eastafricaradio, @carrymastorytv2, @queenie_masanja ve diğerleri topluluğa yön veriyor

#Fursa Hakkında SSS

Pictame ile Instagram'a giriş yapmadan tüm #Fursa reels ve videolarını izleyebilirsiniz. Hesap gerekmez ve aktiviteniz gizli kalır.

İçerik Performans Analizi

12 reel analizi

✅ Orta Seviye Rekabet

💡 En iyi performans gösteren içerikler ortalama 435.8K görüntüleme alıyor (ortalamadan 1.9x fazla). Orta seviye rekabet - düzenli paylaşım momentum oluşturur.

Kitlenizin en aktif olduğu saatlerde haftada 3-5 kez düzenli paylaşım yapın

İçerik Oluşturma İpuçları & Strateji

💡 En iyi içerikler 10K üzeri görüntüleme alıyor - ilk 3 saniyeye odaklanın

📹 #Fursa için yüksek kaliteli dikey videolar (9:16) en iyi performansı gösteriyor - iyi aydınlatma ve net ses kullanın

✍️ Hikayeli detaylı açıklamalar işe yarıyor - ortalama açıklama uzunluğu 399 karakter

✨ Çok sayıda onaylı hesap aktif (%50) - ilham almak için içerik tarzlarını inceleyin

#Fursa İle İlgili Popüler Aramalar

🎬Video Severler İçin

Fursa ReelsFursa Reels İzle

📈Strateji Arayanlar İçin

Fursa Trend Hashtag'leriEn İyi Fursa Hashtag'leri

🌟Daha Fazla Keşfet

Fursa Keşfet#ujuzi fursa africa#fursa travel#fursa snake#fursa za kazi#fursa za biashara#fursa za ajira#fursa hub#fursa store